Mradi mzur ila vituo havija design vzur kwa muonekano na dart badilikeni muwe wabunifu nataka nion brt ya segerea iwe tofauti vituo na ya ubungo mpak darajan kigambon iwe tofaut
@israelsimba49546 ай бұрын
Good job
@mduda_i6 ай бұрын
kwa mabasi yapi labda?
@BagramenshZuma3 ай бұрын
Mama yetu Samia kuna mdudu anaitwa sijui ni Tarura au DMP kiukweli hawa ondoa wote wanakuangush na wanaangusha watanzania mfano kigamboni ni mji mzuri ila hauna barabara huwa naona wanaziba viraka tu na cjawahi kuona hata barabara za mitaani hata moja kazi kula hela za watanzania tu
@BagramenshZuma3 ай бұрын
Kiukwel vituo inatakiw vibadilike sio kituo cha mbagala kiwe hiko hiko temeke wanaochora wawe wabunifu kila sehemu iwe na design yake ya kituo pangependeza mno ila ukiend huku vile vile ukiend kule vile vile badilikeni
@vinny.morales6 ай бұрын
Ongezeni ubunifu kwenye muonekano wa vituo
@section8ight1746 ай бұрын
Yaani, ni kama vibanda vya kuku aisee 😂 very basic hata kile pale SGR station mjini hakina hadhi ya ile station, wonder who comes up with these mundane designs or is it cost cutting?
@stellahlinusi8215Ай бұрын
tuwe na shukrani jamani kila kitu mnakosoa@@section8ight174
@adamkapolo88176 ай бұрын
Kupanda mwendo kasi ni aibu yani mnasukumizana kama wanyama mnapandana migongoni yani hakuna heshima kabisa
@BagramenshZuma3 ай бұрын
Kiukwel mainjinia wa kibongo nabserikali siwaelewi barabara ya gongolamboto na bugururuni zina msongamano ila nashangaa wanajenga barabara nyembamba watueleze tatizo nini barabara ni pana ila wanajenga nyembamba
@alfinmbilinyi59856 ай бұрын
Kazi nzuri ila wale wa barabara za mitaa DMDP ni majanga matupu Kila siku ahadi tu.pugu, banguro mwembe kiboko, kifuru kinyerezi hakuna kitu mara mwezi wa nne mara wasita na Sasa wasaba duu!
@filamupictures93496 ай бұрын
barabara za mitaa ni tarura, DMDP wana mambo mengi, japo hujenga barabara sometimes
@WilfredShirima-e2j6 ай бұрын
Mwendokas mefeli kilakitu mpk chenji za kuwarudishia abiria hakuna kama vp mjiuzulu wate tuwape wengne
@oscarfilimbi32826 ай бұрын
Kuna changamoto nyingine nyingi mno,msongamano kwenye vituo,ukatishaji wa tiketi,wahudumu wanakuwa na lugha chafu,kukosekana kwa chenji,madereva wamekuwa wanatoa lugha chafu kwa abiria,Nauliza swali jingine ni kwa nini UDART mliondoa wale madereva wa awali mkaajiri madereva wa daladala ambao hawajali chochote wawapo barabarani na kusababisha ajali kedekede na kuharibu mabus yenyewe!
@paschaliboniphace89746 ай бұрын
KADI WAMEUA MAKSUDI
@HamisMghuna-fj3vz5 ай бұрын
Latra kwenye magar y wt binafisi wapiga faini kisa mtu kazdi mwendokasi tunapandiana kama ngo'mbe mbona hamuweki mabasi yenu tuone ikiwa n wakweli,mtishia raia kilacku
@mukhsintwaha59096 ай бұрын
Mwendo kasi imefeli mjitathimin huwez kata ticket ukakaa kituoni zaid ya saa moja umesubiri gari na wakati ikitokea yanapita yanapita empty hayana watu ilhali watu wamejazana vituoni , ifike pahala mjitathimini kama mnatosha kutuhudumia watanzania , Dhamira ya serikali ni nzuri lakin utendaji ni mbovu aswaaa
@LoseB6 ай бұрын
Kwan c naskia kuna mwendokasi app
@shabanponera28956 ай бұрын
Mnapoteza pesa bure hakuna mabasi ya kupita humo msitusumbue
@isaackm36206 ай бұрын
Soma comment za bongo wajuaji kuliko wako kila mahali hii hulka sijui tutaiacha lini , mbongo huyo huyo ndo kocha, mchezaji, injinia, daktari…😅 na anasema akiwa anajiamini kabisa 😂
@section8ight1746 ай бұрын
Kwani unadhani wabongo vipofu? Kama kitu hakijakaa vizuri sasa unataka tunyamaze wakati ndio kodi zetu hizo!!! Wewe vipi mbona hueleweki?
@MamodelPark5 ай бұрын
Nyie DART uku mbagala ujenzi si ushaisha??? Mbn hamuanzi huduma ?? Yan barabara imanza kujengwa tangu niko diploma ad leo nimemaliza degree. Nyie watu kiboko
@amanijampion30456 ай бұрын
Rais alituahidi mabasi ya umeme alivyotoka ufaransa
@Kabwela7766 ай бұрын
Ulikuwa uongo mtupu kila siku wanaahidi
@rayisadesigns26466 ай бұрын
Hiyo project ina njia zake na ni ya katikati ya mji wala haina uhusiano na mwendo kasi. renovation ya jiji la Dar inakuja soon, muda si mrefu kuna kitu kizito kinakuja kufanyika pale jangwani na hata klabu ya Yanga na wao uwanja wao wa kisasa wanaoutarajia kuujenga hivi karibuni pia nao upo ktk sehemu ya project hiyo. Na istoshe mkumbuke hata treni za kuchongoa alivyosema atazileta mlimbeza hivyo hivyo, mlimuita muongo, mkamtukana na kumkejeli, lakini mwisho wa siku mkaishia kupata aibu, chuma zimekuja na hizo safari zimeshaanza na stori taka zote zimeishia midomoni.
@Kabwela7766 ай бұрын
@@rayisadesigns2646 treni zs mchongoko ni JPM na tokea yuko mzima walishatoa oda na miradi yote anamalizia ya JPM anatembelea nyota ya JPM ! Samia ni nuongeaji hamna kitu sport arena hadi michoro walionyesha na wako kimya tu
@section8ight1746 ай бұрын
@@rayisadesigns2646sorry but I would like to know how or where you got that info from “renovation la jiji” I wanna check it out for myself if you have a link?
@josephmartin2926 ай бұрын
vituo muonekano wake mbaya mradi uko poa,Mjini wekeni vituo dizaini nyingine na kadi zitumike sio tiketi za makaratasi
@section8ight1746 ай бұрын
Vilevile waweke A/C kwenye hayo mabasi watu wasafiri kwa style nzuri walau!!
@petersonolangu23986 ай бұрын
Ujenzi wa awamu ya 1 uliikamilika 2016, miaka 8 baadae awamu nyingine zinajengwa. Cha ajabu design ni ileile na zaidi ni mbovu kuliko awamu ya kwanza. Hii ni ishara ya kufeli kwa DART na TANROADS kwa ujumla. Shame on you!!!
@section8ight1746 ай бұрын
Sa we bwege Kwani ushasahau mambo ya COVID hapo katikati ama unabwabwaja tu?
@petersonolangu23986 ай бұрын
@@section8ight174 COVID inaingilianaje na design ya vituo vya mabasi?
@section8ight1746 ай бұрын
@@petersonolangu2398 si umesema hapo kwamba Kuna gepu kubwa kati ya awamu ya kwanza na awazu zilizofuata? Na mimi nilikuwa nakukumbushia tu kwamba mambo yalisimama ama kupungua spidi kubwa dunia nzima.
@petersonolangu23986 ай бұрын
@@section8ight174 bro hapa sizungumzii mda wa ujenzi wa awamu, nazungumzia angalu pangekua na design tofauti za vituo sio vilevile kwa awamu zote...pawe na improvement