MAFUNDISHO: " SOKO LA PESA" - ⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️ - PART 1 - GeorDavie TV

  Рет қаралды 35,565

GeorDavie TV

GeorDavie TV

Күн бұрын

KINGDOM IDEAS FOR “MONEY MARKET/SOKO LA PESA” ⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️
(AKILI YA UFALME KUHUSU “MKONDO/NJIA ZA PESA” MONEY TRAIL/PATH)
*****
DUNIA IMEFAULU KUCHUKUA PESA ZA WATU WA MUNGU KWA NJIA YA MANUNUZI
ILA WATU WA MUNGU HAWAJAFAULU KUCHUKUA PESA ZA WATU WA DUNIA KWA NJIA YA MAUZO *****
“Hakika kuna shimo wachimbako fedha, Na mahali wapatapo dhahabu waisafishayo.”
‭‭AYU.‬ ‭28:1‬ ‭
LAKINI KWANZA NI LAZIMA UJUE JINSI YA KUIDHIBITI NAFSI YAKO
mwenye kudhibiti nafsi yake;”
‭‭TIT.‬ ‭1:8‬ ‭
NDIO MAANA YESU ALISEMA MSIULIZE ULIZE KWA AJILI YA NAFSI
25. “Kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni, bila kuuliza-uliza, kwa ajili ya dhamiri;
26. maana, Dunia ni mali ya Bwana na vyote viijazavyo.”
‭‭1 KOR.‬ ‭10:25-26‬ ‭
By The LandMark Senior Prophet of the Equator H.E Dr. GeorDavie
********
+255 784 31 51 91
gdm@geordavie.org
GeorDavie.org
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!

Пікірлер: 18
@GeorDavieTV
@GeorDavieTV 5 жыл бұрын
WhatsApp/Piga namba: +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu. Kwa iPhone au Android Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
@florencendatila9183
@florencendatila9183 5 жыл бұрын
Amina Kubwa nabii mkuu
@malkiabintmfalme8682
@malkiabintmfalme8682 5 жыл бұрын
Jamani hili kanisa lipo Arusha sehemu gani,, na ibada ni siku gani,, na muda ni saa ngapi,, nipo Nairobi
@bbw95tanzania68
@bbw95tanzania68 5 жыл бұрын
👏👏👏👏👏Saf sana hilisomo zurisana wakiristo wengi wamefungwa na udini bora MUNGU kamleta NABII wake atutoe Kwenye ujinga.
@sethobed7682
@sethobed7682 5 жыл бұрын
DAAAH !!,ACHA NIPAMBANE ,LAZIMA NIVUKE NIWE BILLIONAIRE!!!
@leonardkalowela5887
@leonardkalowela5887 5 жыл бұрын
Nabii ubarikiwa sana mungu akupe miaka mingi
@robartnaivasha2377
@robartnaivasha2377 5 жыл бұрын
kweliii baba umenivushaaa sanaa
@mropeamadeus5445
@mropeamadeus5445 5 жыл бұрын
power power power
@beatricehendry7588
@beatricehendry7588 5 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na hili somo
@juliusmwaise5277
@juliusmwaise5277 5 жыл бұрын
Baba mwenyezi MUNGU azidi kukupa afya hekima zako na UPAKO ziwe faraja na baraka kwetu
@bertharaphael303
@bertharaphael303 5 жыл бұрын
Namna ya kufika kanisani kwako
@beatricehendry7588
@beatricehendry7588 5 жыл бұрын
Kweli baba
@babaraka5133
@babaraka5133 5 жыл бұрын
Amen NABII MKUU
@joshuakiimay4194
@joshuakiimay4194 5 жыл бұрын
Asante mungu kwa maneno ya nabii wako leo
@dinnajumanne9717
@dinnajumanne9717 5 жыл бұрын
Naomba namba zake
@emmanuelzakayo996
@emmanuelzakayo996 5 жыл бұрын
Amen very fruitful lesson.
@abigaelijohn1539
@abigaelijohn1539 5 жыл бұрын
Ameeen
@anicethmushwahili2662
@anicethmushwahili2662 5 жыл бұрын
Fanuel mbona part2 hatuioni ?
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 1,4 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
MISINGI 10 YA FEDHA, MAISHA NA MAFANIKIO
8:30
Success Path Network
Рет қаралды 293 М.
ASKOFU MKUU AKIZUNGUMZA BAADA YA KUPOKEA USAJILI WA DHEHEBU LA AGGCI
4:14
AGGCI Penueli Gospel Centre Tv
Рет қаралды 7 М.
Wana ndoa
6:10
Gabriel tikiko
Рет қаралды 10 М.
SOMO: KANUNI 5 ZA MAFANIKIO (2)   GeorDavie TV
1:11:10
GeorDavie TV
Рет қаралды 10 М.
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН