MAFURIKO DAR: Maji yamejaa ndani lakini chakula kinauzwa kama kawaida

  Рет қаралды 67,517

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 65
@EddoTigger
@EddoTigger 7 жыл бұрын
Aiseee Leo Ni Hatari Sana Haya MAFURIKO Dar Es Salaam poleni sana Ndugu Zangu. Vp Mkuu Wa Mkoa Amesema Je
@subirasubira274
@subirasubira274 7 жыл бұрын
Poleni wa tz wenzangu kwa mafuriko
@aimanali8612
@aimanali8612 7 жыл бұрын
jmn poleni ndio maisha tupunguze maasi tumrudie allah .allah atupe nusra
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 7 жыл бұрын
Unamuuliza mpishi kuhusu idadi ya wateja unataka TRA waanze kuwapa tafrani. Uliza maswali mengine banaa watu wanatafuta rizki zao wakalishe na kusomesha watoto jameni. Mwenyezimungu awasimamie kwa kila hali
@ayunramadhan3104
@ayunramadhan3104 5 жыл бұрын
Na bado mungu aliahidi endapo maasi yakizidi riziki zitapatikana kwa shida zinaa sana wanawake kutembea uchi na mvua zikinyesha zitakua hazina baraka bali maafa dalili zote za kiama zipo dar
@ruqaiyahali8055
@ruqaiyahali8055 6 жыл бұрын
Poleni sna duuh
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 6 жыл бұрын
poleni mungu atusaidie haraka
@festontumemmakasa1764
@festontumemmakasa1764 6 жыл бұрын
mmhh aisee.. balaa. polen watz wenzangu.
@EddoTigger
@EddoTigger 7 жыл бұрын
MIUNDO MBINU ya Dar Es Salaam Inaonekana Mibovu Sana Aiseee Jiji letu ilo tena.
@TRAVELANDTASTETANZANIA
@TRAVELANDTASTETANZANIA 7 жыл бұрын
poleni sana wakazi wa dar.....
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 жыл бұрын
Duh! Poleni sana wana Dar es salaam
@Jameskaguo
@Jameskaguo 7 жыл бұрын
tatizo ni system ya kutupa taka, kama kila mtaa waka pata system ya utupajitaka, ambayo taka zinakua zinaenda sehemu maalum, mitalo haizibi na mafuriko hayatokei, lakini dar taka nyingi sana, miundo mbinu inaweza ongezwa sana lakini taka zina ziba ni kama sinki la jikoni, hata kama ukiweka masinki kumi kama unatupa taka kwenye sinki lazima yazibe
@salmabangababo659
@salmabangababo659 5 жыл бұрын
etii jiji njooni huku kwetu shwarii
@julianankulila497
@julianankulila497 7 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂daaah wa Tz Mungu katupa moyo wa uvumilivu hata litokee gumu la ainagani watu wanaendelea na maisha Kama kawaida sasa hapo watu wanapiga msosi kama hakijatokea kitu.
@goldengodfrey8662
@goldengodfrey8662 4 жыл бұрын
Serikali ata kusafisha maeneo mnayo ishi serikali mitaro inaziba uchafu hianzishwe sera ya safisha dar siku tatu tu na migambo kazi kichacho kwa asiye shiriki
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 5 жыл бұрын
Poleni sana
@daudimaguha9447
@daudimaguha9447 7 жыл бұрын
Uwaulize pia, mbona mazingira yanajionyesha machafu tu hata bila Maji, au watangazaji nao wanatoka pachafu, yaani wanaona hali yetu
@abubakarahmed3111
@abubakarahmed3111 7 жыл бұрын
Mungu yupo afrika kwa ayo mazingir watu wanyokulia ni atari
@devothaantony5079
@devothaantony5079 7 жыл бұрын
Iringa kwetu rahaaaa tu, achen kumtukana mtangazaj kwan nyie akina nani hasa ndo mnamlipa au mnaacha kuwambia viongoz wenu wainue miferejii mnaanza kumjaji mtangazaj wabongo bwanaaa
@halimkepa7766
@halimkepa7766 7 жыл бұрын
Dah Polen san
@wamburamachele8850
@wamburamachele8850 7 жыл бұрын
Sasa hiyo ndio tafsiri nzuri ya Tunakulagaaaa😂😂
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 7 жыл бұрын
Daah jamanii njaa nayo ikikubana unapambana tuu na mimaji
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 6 жыл бұрын
mungu awanusuru na kipindu pindu tu
@KhadijaKhadija-ed5gj
@KhadijaKhadija-ed5gj 7 жыл бұрын
polen jmn, Ila duh watu wanamoyo kweli maji hayo yote wanakula mulemule
@tatut3889
@tatut3889 7 жыл бұрын
Khadija Khadija wasipo kula watakufa njaa 😂😂😂😂😂😂😂
@devothaantony5079
@devothaantony5079 7 жыл бұрын
Hio ndo tanzania ya viwanda mvua inanyesha sikum moja yanajaa barabara zimejaa maji miferej imetengenezwa kama mitaro,watu wote wanalalamika miundombinu
@tatut3889
@tatut3889 7 жыл бұрын
Devotha Antony afu wanatwambia wamenunuwa ndege uku miundombinu mibovu
@suroman5840
@suroman5840 6 жыл бұрын
Maasi yenu ni mengi sana munakomeshwa
@supumoto6819
@supumoto6819 6 жыл бұрын
mama hataki KUSEMA WACHANA nae
@maliharajabu8917
@maliharajabu8917 7 жыл бұрын
Yani
@fatumashark105
@fatumashark105 6 жыл бұрын
Jamani wandishi mnatia aibu una ata buti za maji
@georgesamwelchacha7680
@georgesamwelchacha7680 7 жыл бұрын
Wa Der ni wahuni yani ukimuuliza Jina Lake anakutajia, pia anataja jingine et ni alimaaalufu
@revelianalphonce8115
@revelianalphonce8115 7 жыл бұрын
karibuni nyanda za juu kusini raha2 karibu iringa
@saidsaid9463
@saidsaid9463 7 жыл бұрын
Hayo maji nikuogelea2tufanyeje miundo Mbinu mibovu
@fatwimamakungu5456
@fatwimamakungu5456 7 жыл бұрын
Daudi maguha yani ss wenyewe tunachangia uwaribifu wa mazingila kwa kutupa taka ovyoo ila yakiwatokea puwani anasema selkari wakati ss webishi wakutupa taka ovyoo
@suroman5840
@suroman5840 6 жыл бұрын
Mupunguze kuuwa mumche allah
@diva2501
@diva2501 6 жыл бұрын
Tanzania mna zambi nyingi mungu kawakomesha
@manmacho6529
@manmacho6529 5 жыл бұрын
daslam😀😀😀
@rashidsuleiman2663
@rashidsuleiman2663 6 жыл бұрын
TATIZO LA MITARO HALIPO KWENYE ILANI WALA HATUJATOA AHADI KWENYE KAMPENI VUMILIENI TU.
@ashminaabdullah5626
@ashminaabdullah5626 6 жыл бұрын
Mikicheni Sinza yaan maeneo mingi yalikua mabonde ya mpunga
@papafikiri
@papafikiri 7 жыл бұрын
Mtangazaji umevaa nn miguuni unatembea tu kwenye maji machafu
@tatunaally1510
@tatunaally1510 6 жыл бұрын
tatizo taka acheni kutupa uchafu kwenye mitaro
@zubedahussain2133
@zubedahussain2133 6 жыл бұрын
TATUNA Ally kilakitu serekali mbona kambla yamvuwa hamwakumbushi serekali
@huserehema8618
@huserehema8618 5 жыл бұрын
jamn. uruma. daaaah
@bgjoehdrtinn9306
@bgjoehdrtinn9306 7 жыл бұрын
swala ni miundo mbinu ndio mibovu
@hassangaudence1814
@hassangaudence1814 5 жыл бұрын
Duu hatari
@angelalphonce2962
@angelalphonce2962 5 жыл бұрын
Selikali jalala
@shuwehaomar6658
@shuwehaomar6658 7 жыл бұрын
eti ndio jijini si bora hata morogoro kwetu kuwe jiji hatuna tabu sie
@shufaamohameed2603
@shufaamohameed2603 7 жыл бұрын
Shuweha Omar 😚😚😚Moro raha sana
@hazjay4671
@hazjay4671 7 жыл бұрын
Morogoro/Vibandani/Misufini/Kichangani Mkwajuni Stand Up!!
@carolinamushi5555
@carolinamushi5555 6 жыл бұрын
Hata kwetu Moshi mjini kama Newyork aisee.
@carolinamushi5555
@carolinamushi5555 6 жыл бұрын
Hata kwetu Moshi mjini kama Newyork aisee.
@ayunramadhan3104
@ayunramadhan3104 5 жыл бұрын
C kila kitu serikali mnataka rais aje azibue mifereji? Tumieni akili wananch mnatakutafuniwa kisha nyie kazi yenu kumeza 2 wacha yafurike namaasi dar imezidi
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 7 жыл бұрын
Watangazaji muwe na vifaa vya kazi sasa unaingia katika maji hujavaa viatu maalum vya maji?
@selemanihussein5073
@selemanihussein5073 6 жыл бұрын
Nimkono wamtu huo siyobure
@mariamhadija7236
@mariamhadija7236 7 жыл бұрын
tatizo miundo mbinu mibovu
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 7 жыл бұрын
POLENI WALIO ATHIRIKA NA MAFURIKO
@mangiclaus
@mangiclaus 7 жыл бұрын
Hivi millard umeshindwa kumnunulia huyu jamaa gam but au anataka tu kujionsha mgumu?..utakatwa na machupa huko mzee
@pasikamamy1268
@pasikamamy1268 5 жыл бұрын
sasa Mama uo mvereji ni njia ya maji maji hayazuuliki ukiyazuia yatazuulika kwamuda tu baadae yatakuja kwanguvu nakuzibua mulivyoziba kinachotakiwa ni kuhama apo ata wewe miundombinu vipi maji kwenye njia zake hayazuuliki nahayazibiki pia maji hayasaau njia yake ata iwe miaka mia ipo siku yatapita njia yake yazamani ila poleni
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 5 жыл бұрын
Io ni dar tu, arusha inyeshe siku6 shwari tu
@emmammbando3720
@emmammbando3720 6 жыл бұрын
mbombo ngafuu
@ayunramadhan3104
@ayunramadhan3104 5 жыл бұрын
Na bado mungu aliahidi endapo maasi yakizidi riziki zitapatikana kwa shida zinaa sana wanawake kutembea uchi na mvua zikinyesha zitakua hazina baraka bali maafa dalili zote za kiama zipo dar
@ramadhanisuru1822
@ramadhanisuru1822 4 жыл бұрын
Poleni sana
@georgesamwelchacha7680
@georgesamwelchacha7680 7 жыл бұрын
Wa Der ni wahuni yani ukimuuliza Jina Lake anakutajia, pia anataja jingine et ni alimaaalufu
@christinangossi4669
@christinangossi4669 7 жыл бұрын
GEORGE SAMWEL CHACHA 😂😂😂😂ndo hivo tulivyo aise....unakumbuka yule jamaa aliye sema yy anaitwa Azam
They Chose Kindness Over Abuse in Their Team #shorts
00:20
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 11 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 7 МЛН
They Chose Kindness Over Abuse in Their Team #shorts
00:20
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 11 МЛН