"Here's to you,my amazing follower !Thank you for being with me every step of the way."A heartfelt thank you for the unwavering support.I couldn't do it without you!"To support me call 0704102458
@StacyChebet-j2t25 күн бұрын
@@maggywaweru you're welcome so much ♥️ but for now I don't have WhatsApp number ok maybe next time I will support you dear
@janemutindaMusembi10 сағат бұрын
❤
@westleysoi3419 ай бұрын
nasikia kubarikiwa sana,. maana mungu ni kila kitu na ni wa msaada kwangu. my friends tumpe likes huyu sister.
@maggywaweru8 ай бұрын
Amen
@tesstescian255 Жыл бұрын
Huu wimbo nimeona status ya rafiki yangu 26/12/2023 na imeniguza sana♥️☝️♥️nikaja kusikiza nimepatwa na machozi mingi😢😭😭😭sana Ee Mungu umenitoa mbali sana 😭na changamoto nyingi za maisha ila wewe ni kila kitu kwangu Bwana 🙏🙌mbarikiwe sana ❤sitokata😢tamaa ya maisha Mungu ni wewe kila kitu kwangu 😭😭🙏🙌 I'm a Muslims but I like this christians song 🙌
@patricknyongesa95729 ай бұрын
I❤ this song my almighty higher God bless you 🙏😭😭😭😭😭😭
@JaneWanjiru-k4p8 ай бұрын
Waoh...ata mm nimepata status...wonderful one
@josephjohn4298 ай бұрын
Welcome to Jesus beloved friend
@gladdyswakesho954 Жыл бұрын
I really love this song. Wewe ni kila kitu... 🙏🙏. Be blessed Mamaa. Mwenye ameirudia zaidi ya mara mbili anipe likes....😊😊😊
@maggywaweru Жыл бұрын
Amen
@elizabethnjuguna453411 ай бұрын
I love this song so much Amen Glory to God Amen
@PurityMeru11 ай бұрын
God bless you
@BeatriceKadaga-mm6qj10 ай бұрын
Am blessed with the song..thank you
@TIMOTHYNZUKI-d6v9 ай бұрын
So powerful,❤
@nemestarimo29223 жыл бұрын
wewe ni kila kitu kwangu Eee bwana , wew ni msaada wa karibu kwangu. Goga like nying kama huu wimbo umekugusa kama mim.
@michaelamimo26853 жыл бұрын
Wewe ni kila kitu baba.I really love this song🙏🙏🙏🙏🙏...wapi likes za Maggy pls
@janethhaule59482 жыл бұрын
⅝
@sharonjuma-sm2ns Жыл бұрын
Wewe ni kila kitu baba 🙏🙏🙏
@DorcusMumbi-t1i27 күн бұрын
❤❤❤
@junewavinya5791 Жыл бұрын
Good massage to Kenya...wapy likes za maggy
@maggywaweru Жыл бұрын
Amina
@Iam_Nanah-y3k2 ай бұрын
Wewe ni kila kitu wewe bwana 😢😢😢😢huu wimbo ndo my skiza my ringtone my favourate nikikumbuka sina wazazi wala mtu wakuni confort its only me n my God😢😢😢....may God continue kuwa everthing kwa wanao lia na mimi na wanakuwa strong day n nyt ...lets remain to be strong 2024 ikiisha
@vicotychepkoech1389 Жыл бұрын
Wewe ni Kila kitu kwa familia yangu bwana,come and bless my family God,i pray for you this night come and bless me God ,spirit of stagnation in my life i break it in Jesus name...you are everything my God ,hold my hand Jehovah ,I need you in my life God😢😢 .
@maggywaweru Жыл бұрын
God bless you, in the name of Jesus
@nickyamani74023 жыл бұрын
Yesu ni kila kitu katika maisha yangu ....Uzima amenipa ni kwa Nehema 😭😭😭😭😭😭😭😩
@BeatriceKamama3 ай бұрын
Mungu wewe ni kila kitu kwangu hakika Bwana wangu na kutegemea wewe
@villancekeke2954 Жыл бұрын
Saa tisa za usiku nimekua nikiimbiwa huu wimbo nikiwa kwa usingizi imebidi niinuke Kuutafuta KZbin mungu akubariki mamaa kwa wimbo huu uniniinua nakutambua yesu ni kila kitu katika maisha yangu pamoja na jamii yangu🙏🙏
@maggywaweru Жыл бұрын
Amina Ahsante
@LilianAdah8 ай бұрын
Amen ❤
@BettyNyakoa2 ай бұрын
Wewe ni kilakitu kwangu eebwana nipe uzima nipe nguvu pigana vita vingu bwana
@BettyNyakoa2 ай бұрын
Unanibariki mama ubarikiwe sana
@MailesYanga6 ай бұрын
Wimbo huu niliimba mpaka nguvu za Roho mtakatifu alinishukia nilinena Kwa lugha ❤❤❤❤
@danielkiamba38653 жыл бұрын
Hakika Mungu wewe ni kila kitu maishani Mwangu.
@rispathequeen3 жыл бұрын
All my God this morning 26.6.2021 this is my worship song wewe ni kila kitu bwana kwa maisha yangu kwa mapito yote. 😭😭just say Amen kama machozi ya roho yatoka.
@nancykinyua-wo3mv Жыл бұрын
Yes....indeed
@christthesolidrock4780 Жыл бұрын
@Nancy kinyua
@akaisarah1503 Жыл бұрын
Amen
@elizabethemmanuel2366 Жыл бұрын
Amen
@jenipherkasaine2133 Жыл бұрын
Amen
@terrywekesa-di2ti3 күн бұрын
I was stressed beyond tell, owing someone some cash, the debt pressure was so intense. I had no one to call to, i started singing this song, I cried to God. God sent someone to my house to bring me 10k and that's was exactly what I needed. Glory to God I saw God through this song. More anointing to you servant of most high God.
@kentaal77813 жыл бұрын
Kabisa yesu ni kila kitu,hii song nimerudia kirudia nikitoa machozi 😭😭😭😭 nani kama wewe baba
@aliceekwangat86432 жыл бұрын
Ninapohimba hiyo wimbo nasikia Niko miguuni pa mwana mungu wangu natiririkwa na machozi ninakumbuka mahali bwana halinitoa sitawai kummwacha kumuhabudu sikusote samahisha yangu ubarikiwe sana dadangu🙏🙏🙏
@maggywaweru2 жыл бұрын
Amen
@eliaswekesa41402 жыл бұрын
Ooohh my lord you are my everything wewe umekua mwaminifu kwangu bwana japo majaribu yamekua ni mengi Baba lakini wewe ulitazama hali yangu na kunichunguza bwana
@RachaelDyianah-jf8zr11 ай бұрын
In love with this song ohooo Wew ni kila kitu Yesu🙏🙏🙏my trust is in You Lord 😭🙏
@daisymusenga62493 жыл бұрын
I came across this song through someone status but have been blessed deeply in my heart and awaken my soul ,may God bless you so much mum..more grace can't stop listening God is everything to me..
@faithkyalo15753 жыл бұрын
Me too a blessing to me too
@faithmutindi44182 жыл бұрын
I also saw it in some ones status and has really blessed me
@gideonsigei67172 жыл бұрын
Me too
@gideonsigei67172 жыл бұрын
Me to
@alexkavai59033 жыл бұрын
Hii song huwa Yani bless tu sana
@loise.adero0 Жыл бұрын
I was thrown out of the house for rent areas, me and my family I came across this song in June 2021, and it became my household anthem...it really encouraged us, thank you Mr & Mrs Henry for covering our shame and accomodating us, for four months without asking us for a single cent..God bless you and keep you ..
@maggywaweru Жыл бұрын
Amen
@collinskisasati-lz5lp Жыл бұрын
Utukufu kwa mungu barikiwa sana mama maggy
@akaisarah1503 Жыл бұрын
God answers in His own ways!
@valentineomoiti1022 Жыл бұрын
Mungu wewe n kila kitu Kwa maisha yetu sisi wengine Asante sana n mungu abariki hii huduma iendeleee
@maggywaweru Жыл бұрын
Amen
@joselineapoma87303 жыл бұрын
Wewe nikila kitu kwangu ewe Bwana, hallelujah Hallelujah Glory be to God Amen
@AliceMakonjio-yp8mj21 күн бұрын
You mean everything to me,ninapolemewa Najua upo kama msaidizi,there is no other God beside you,you sooth the crying souls and wipe out the tears,you strengthen the weak,you redeem and give restoration to the fallen🙏🙏
@shillahboss94393 жыл бұрын
Am here after seeing this song on people WhatsApp statuses. Such a powerful and spirit relaxing song. Wow
@nancymathenge27573 жыл бұрын
Wewe ni kila kitu Bwana😭😭 am blessed by this song
@alicengina20633 жыл бұрын
Hakika yake Yesu ni kila kitu kwetu, kwa maana ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda, na kuwa na uhai wetu, Acts 17:28
@joanauma3737 Жыл бұрын
Am going through alot almost giving up,I came through this song on my friends status and come here to listen to it.Some how feel encouraged.We normally put on a smile but inside us we are dying.Thank you for this song somehow it has encouraged me.Let me leave everything to God because yeye ni kila kitu.😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Since yesterday am crying while listening to this song.Hoping things will be fine.
@maggywaweru Жыл бұрын
In Jesus name amen
@joycemshai2452 Жыл бұрын
Mungu ni kila kitu kw maisha yako, ata simama pamoja na wewe kwa kila jambo. Maisha yakikupa sababu 5 za kutowa machozi yape sababu 10 za kufanya ufurai, Maana mtete wako yuko usife moyo. Mungu ana sema kwa neno lake wakati ukifika mimi mungu nita fanya mombo ya tetende. Mungu akuongoze kwa njia zake. Na akufute machozi akupe tamanio la moyo wako.
@opengochris937 Жыл бұрын
Be encouraged sister! God is above all the season. Trust in Him
@opengochris937 Жыл бұрын
He created you to do great things
@peggystarmusau7453 Жыл бұрын
God is my everything am grateful for this wonderful song
@ckkevinkigen4968 Жыл бұрын
@Maggy-Waweru. I remember crying while on a matatu travelling from Ravine to Kericho when i was listening to this song in my earphones. I was seated next to the driver. If anyone had asked me what was wrong, i dont know how i could have answered. My eyes were flowing with tears and i didnt hide. Because, this song makes me feel so happy that God has mercy over my life, ananipenda sana. I CAN NOT EVEN EXPLAIN THE FEELING. Whoever is listening this March 2023 or beyond, just know God has something special for your life.
@maggywaweru Жыл бұрын
Glory to Jesus
@ShiiDavy3 ай бұрын
Amen
@sefaniangoya78622 жыл бұрын
Nmebarikiwa sana ,be blessed singers of this favorite song
@jackymutile82913 жыл бұрын
Najipata tu nikiiskiza.....Yesu ww Ni Kila kitu kwangu
@beatriceombati394 Жыл бұрын
Wewe ni kila kitu bila wewe mimi ni bure
@maggywaweru Жыл бұрын
Amen
@julianakimwele4743 жыл бұрын
Wewe ni kila kitu nani kama mungu 🙏🙏wapi likes za maggy
@janekagendo31003 жыл бұрын
I love this song plz
@mercykanini21763 ай бұрын
Thankyou Jesus🤲😭
@rizikichigodi43163 жыл бұрын
Yesu nikila kitu Maishani Mwangi, barikiwa Sana Sana niwimbo Huu, Una nguvu za Mungu washukisha roho mtakatifu
@maggywaweru3 жыл бұрын
Amina
@neemangulo65663 жыл бұрын
Balikiwa sana na wimbo huu hakika MUNGU yuko pamoja nasi
@benadict86882 жыл бұрын
Enyewe yesu ni kila kitu,,asifiwe
@sarahchebet2 жыл бұрын
Yesu Nikola kitu katika maisha yangu popote niendapo siwezi mwacha kamwe thank you so much
@FelsterMatonange-g1q4 ай бұрын
Hakika mungu ww ni Kila kitu kwangu
@maggywaweru4 ай бұрын
Amen
@godfreyonyango5124 жыл бұрын
mum you are going far, The song has bless me and my ministry.
@maggywaweru3 жыл бұрын
Amen
@rmusembi25442 жыл бұрын
WEWE NI KILA KWANGU EE BWANA,JUST YOU GOD,IN THE LIFE OF MY BABY,MY SISTER,SHUSH,BABE AND MY FAMILY WEWE NI KILA KITU KWETU
@StephenKasolo3 жыл бұрын
Wow wow Kweli wewe ni kila kitu kwangu
@AdiruHellen-xf6mbАй бұрын
Ohhhh God you are everything to me 🙏🙏🙏🙏
@maggywaweruАй бұрын
Amen
@kerrycarolofficial3 жыл бұрын
Woow what a song... Glory to God.wacha tuzidi kumwimbia .am blessed.
@kerrycarolofficial3 жыл бұрын
Check my song
@joycelokol1152 жыл бұрын
⁰
@ndindavirginiah2562 жыл бұрын
This song really. Uplifts me when am down like now😭😭😭may God give uh strength en wisdom sister
@aronkimuta29782 жыл бұрын
Mighty
@dukeomae9113 Жыл бұрын
this song has touched me.... my spirits are low once I listen...... and high lifting God
@HappynessJoshua-ru3mm Жыл бұрын
Najisikia kuokoka Tena na Tena Mungu utukuzwe Kwa wimbo huu
@mercywanzila68423 жыл бұрын
Amazing song,,love it ur everything God🙏🙏 congrats mum mugu na azidi kukutia guvu ufanye kazi yke🙏❣️
@catemunga51222 жыл бұрын
Congratulation mom God bless you ❤️❤️❤️
@wycliffeondanga49202 жыл бұрын
I love this song, it encourages me when I am all round feeling down alone and lonely 🙁
@marynechesa502 жыл бұрын
Thanks for the song, be blessed abundantly.Actualy God is everything in our lives
@amoskibet25022 жыл бұрын
Thanks God bless you
@elizabethmuronji2939 Жыл бұрын
@@catemunga5122 000
@StacyChebet-j2t27 күн бұрын
I really love this song.wewe ni Kila kitu yesu . my trust in you Lord 🙏🙏 be blessed mamaa.
Surely Jesus you're everything in my life thank Lord..
@alicekaita Жыл бұрын
Leo nimesikiza huu wimbo kutoka asubuhi hata sasa. Mungu afungue njia pasipo njia mama. Watu wainuliwe Kila wakati.
@maggywaweru Жыл бұрын
Amen
@danielnamunyu94011 ай бұрын
Amen
@christinekurui1709Ай бұрын
Amen
@essy84143 жыл бұрын
Hallelujah..Mungu wewe ni Kila kitu kwa maisha yangu 📌
@Chichivenessah6 ай бұрын
My sister alikuwa akisikiza huu wimbo kila siku asubuhi na mungu akamkumbuka kwa yale alikuwa anapitia ..naupenda sana
@maggywaweru5 ай бұрын
Amen
@puritykigasia38392 жыл бұрын
The comfort i found in this song only God knows 🙏🙏🙏
@maggywaweru Жыл бұрын
Thanks for watching, be blessed
@jobmongera74254 ай бұрын
❤Mimi nimesikia hii nyimbo kwa radio nikaja hapa kuitafuta hapa
@lucyjuliana73453 жыл бұрын
If only we can let God in our lives everything will be super cool God I thank you for everything in my life
@okumumunyite23633 жыл бұрын
Wewe ni kila kitu eeh bwana
@jancintahnasiuma7594 жыл бұрын
Sualy I cnt stop listening this song I wish I was the one singing the song is a blessing it has made me to knw u maggy waweru be blessed this song deep from my heart it has touched my soul everyday at work my earfons never get tired 🙏🙏🙏🙏🙏
@danielkahinga2483 жыл бұрын
The lord is everything.
@maggywaweru3 жыл бұрын
Amen
@weddiekikh70563 жыл бұрын
The song is a blessing to me, thanks to God for being everything to me
@mamakememu99093 жыл бұрын
Wewe n kila kitu kwangu eeeh bwana,,,nikiwa chini huu wimbo unanitia nguvu
@brianmwathy92993 жыл бұрын
Someone's status made me to look for this song,,so inspiring God is our everything
@johnmurika85173 жыл бұрын
Wewe ni kilakitu kwangu ,najuchia kwako🙌🙌🙌😭😭😭😭😭😭😭
@seraphinenjoroge35664 жыл бұрын
Wow,,,very nice message,,,may God be our everything in our life!!!
@NancyMwitkaptain6 ай бұрын
Vile naomba mungu anajibu maombi yangu kila wakati ,, namwamini sana ni kila kitu maishani mwangu
@maggywaweru5 ай бұрын
Amina
@lilianm87603 жыл бұрын
Wewe ni kila kitu kwangu mungu!!! Thank you Maggy I'm so blessed
@estafungo6310 Жыл бұрын
DEAR 2090... Ndugu zangu na wadogozangu katika Kristo 2023 mwezi wa kwanza nilikuwa hapa nikipata baraka ya Nyimbo hii NAKIRI KWAMBA MUNGU NIKILA KITU KATIKA MAISHA YANGU NA YETU SOTE NDUGU ZANGU
@heavenlyprincess11224 жыл бұрын
Without GOD am as good as nothing, but with GOD I can do all things through CHRIST who strengthens me, what a powerful song🙏🙏
@leontinacharle66103 жыл бұрын
Wewe no kila kitu kwangu bwa naima milele Amina
@vivianokutoyi82504 жыл бұрын
A blessing indeed;JEHOVAH WEWE NI KILA KITU KWANGU
@leebracca61233 жыл бұрын
Oo yes! Tumekubali, Mungu ni kila kitu kwetu
@fridahblessed8973 жыл бұрын
Weww ni kila kitu
@davidkawiche83722 ай бұрын
Huu wimbo umenibariki sana. Nimelia sana wakati natafuta kazi na wimbo huu ulikuwa kivuko changu . Nililia sana baada ya kufanya interview nikimlilia Mungu akanipe kibali cha kushinda na hatimae nilishinda na kipata hiyo kaz. Mungu ni kila kitu katika kila mapito yetu
@beerirestorationchurch3 жыл бұрын
Pls pls let us keeping watching and like and commend share to away friends and God will bless you
@revivalloise53323 жыл бұрын
wewe NI kila kitu kwangu,😭😭😭kila kitu kwangu bwana
@benmuli83463 жыл бұрын
I got to hear this song from someone WhatsApp status and I so impressed to search for it,,,,,, Maggy waweru,,, utaenda mbali my sister be blessed na usimuache Mungu
@maggywaweru3 жыл бұрын
Amen
@rebeccabecky37323 жыл бұрын
Ooooh mungu wewe ni kila kitu kwangu🙏🙏🙏🙏🙏😢😢😢😢😥
@risperkanana34632 жыл бұрын
This song made me come back to God...after I realised in his presence we never lack...amen jehova
@kandawesley51402 жыл бұрын
Amen , in Jesus we shall not want.
@davidremo67432 жыл бұрын
Amen....this is so amazing
@primroseadhiambo3426 Жыл бұрын
Hakika Jehova ni Kila kitu katika maisha yangu nitazidi kumpa sifa siku zote ♥️
@brandyrisper20413 жыл бұрын
I keep on rewinding this song throughout the day,,,,more blessings sister Maggy
@philliskamau7442Ай бұрын
Like 4yrs ago and am seeing it now, surely it is the right time, because am so much blessed by it. More Grace Maggy
@maggywaweruАй бұрын
Amen
@juliankaveni17013 жыл бұрын
🙌🙌the song blesses my heart....yesu wewe ni Kila kitu kwangu
@queenliz25456 ай бұрын
🙏🙏🙏wewe ni kila kitu kwangu Mungu. 2024 July ,by the grace of God 🙏
@Ramareking3 жыл бұрын
Wewe ni kila kitu kwangu bwana
@roymutie52663 жыл бұрын
I wonder why this song is not trending like Patrick kibuya's song. This a big Hit 2021. "Wewe ni kila kitu bwana ".......🎶🎶🎶🎶. Wacha wimbo huu ukawe wa baraka kwa kila mtu .
@queennzuethi9553 жыл бұрын
It's trending in the kingdom of God 🙏
@brianmunenecleanfixit6693 жыл бұрын
It will trend hata kama itachukua muda bado itatrend
@margaretnjoki94513 жыл бұрын
Amen Amen yesu ni kila kitu. Its my first time to hear maggys music, am blessed, may the Lord continue to annoint you more n more
@maggywaweru3 жыл бұрын
Amen
@deopende82023 жыл бұрын
Ubarikiwesana sana mtumishi wa Mungu nimependa wimbo huu asante
@mauricemunene48134 жыл бұрын
Mom this is a inspiration to me and it makes me get more strength to move on.You are such a blessing
@sayunimrocky84455 ай бұрын
Yesu ni kila kitu kwangu, nilishausikia sn huu wimbunbut this time umezidi kuniinua sn, nilifiwa na mama nikiwa mdogo, baadae nilikuja kuwa na ndoa nzuri sn lkn bila sababu yoyote miaka 10 ya ndoa mwanaume aliondoka nakuniachia watoto, nilijiona nisiye na thamani lkn Mngu alinipa baba wa tofauti sn kila nikiwa naongea naye alikua inanitia moyo sn kwahiyo sikua na wasiwasi lkn bado Mungu akaona amchukue na yy mwezi uliopita baba yangu amefariki, niliumia sn sn lkn leo niliposikia huu wimbo umezi kunitia nguvu Yesu ni kila kitu kwangu hata kama nikibaki peke yangu kwenye hii Dunia bado atabaki kuwa kila kitu change, stay blessed mama, Mungu azidi kukutumia
@maggywaweru5 ай бұрын
Amen
@naseriankimpai25682 жыл бұрын
Wewe ni kila kitu kwangu ewe Bwana yesu I declare it , even for everything I have trusted you for in my marriage.Baraka mum for such a soul touching song , more grace to touch many over the world in Jesus name.
@maggywaweru2 жыл бұрын
Amen
@judywekesa61768 ай бұрын
Great worship, Yesu ni Kila kitu kwangu .
@kuruyonlonny58224 жыл бұрын
this song is really touching my heart n bringing back lost souls when someone listen to it,be blessed mum
@maggywaweru3 жыл бұрын
Amen
@nelimarose50213 жыл бұрын
Ever Mungu ako nasi wacha awe kila kitu kwetu
@paulyulu55803 жыл бұрын
Wewe ni kila kitu kwangu Amen Amen its really touching my heart and awaking the spirit of worship in me
@linetondiek15192 жыл бұрын
Yesu kweli ni Kila kitu kwetu bila yeye atuwezi.good message to all people
@violetnaliaka22313 жыл бұрын
Thank you my God you are my everything. Thank you Maggie for this wonderful song. Be blessed all
@noreenmeja72503 жыл бұрын
Indeed wewe ni kila kitu kwangu eeh Bwana Yesu
@hapinesmoragwa96542 жыл бұрын
This song has completely changed my life I got it in someone's status and I can't stop listens each and every minute
@felixkieti98173 жыл бұрын
Voted for this song.... Yesu ni kila kitu
@robinaimbodio78672 жыл бұрын
GOD is everything in my life.The sng is a touching one.whenever i remember my past I thank GOD.Thank you mum for the song.Be blessed abundantly in Jesus name Amen 🙏.