Now the Gen Z has made this guy more strong than they ever imagined...a grand coalition of president William Samoei Ruto & the Right Hon. Raila Amollo Odinga is just beyond any coalition..2027 those of Uhuru kalonzo Karua fighting will see dust they have never seen... it's ODM pentagon reloading.
@Jibambeshow254k2 ай бұрын
MOMBASA NYI SIO WAKENYA NAONA IMEFIKA WAKATI MRUDI KWENU TANZANIA WAPUMBAVUU MNAKARIBISHA WEZII
@SalimMohermadd2 ай бұрын
Nko sure angeenda Nairobi hivi angetoka akiwa maiti
@Mwanashaali-z6u2 ай бұрын
Huku Nairobi hawamueki sisi wapwani wajinga sana
@maimunaqueenmaimunamaimuna90012 ай бұрын
Wait vitu vipande handshake 🤝 watataka pesa na nitulipe tax zaidi tena zaidi,na ndio mko wavivu kweli Kwa kilakitu
@Irene-pm3sk2 ай бұрын
Munapimwa haki wana Coast
@Peter-oc4yl2 ай бұрын
Hizo ni ndoto Bado ametenga
@Peter-oc4yl2 ай бұрын
Who bewitched us
@MefakiMgandi2 ай бұрын
Ruto must go
@atwigurirehoisreal77992 ай бұрын
People power
@stevenchogo98562 ай бұрын
🙏🙏
@jennifermuhonja2 ай бұрын
Uwongo
@CalebMuendo-m1o2 ай бұрын
Kweli,I hope akuna ahadi z huongo
@DinahMwadime2 ай бұрын
Jamani wapwa ni nyinyi ni danganya toto. Mnasahau mugoks imemali vijana??????. Sawa furahi Tu '- Iko siku mtakumbuka.
@Beckam2542 ай бұрын
Sio kwa kupenda kwao pesa ilitembea ili kutuliza hali halisi
@Mwanashaali-z6u2 ай бұрын
Walahi msiba mkubwa kwa wapwani
@Shadow-pn1if2 ай бұрын
Hawa watu wamelipwa na Ruto sio watu wa Mombasa.
@abdiaziztwahir51202 ай бұрын
This is so sad
@21214GlobalArchitect2 ай бұрын
How the mighty have fallen same lies 😂
@saumbliz89832 ай бұрын
Waona niwajinga hao amewapa doo wapige hizo kelelle akili bwana
@watuweusiblackfamily90732 ай бұрын
Atumtski huyo jicho pevu pamoja na wewe
@watuweusiblackfamily90732 ай бұрын
Nonsense
@lucykabuga56912 ай бұрын
I hate the way he force people with a lot of lies atafanyia wakenya kazi lini juu ya magari kila wakati
@Ronny_k_tV.Kenya12 ай бұрын
Jana 😂. Ati niliteua. Joho 😅of all.the people
@Peter-oc4yl2 ай бұрын
Confused people remember those who died because of bad governance and you are here cheering
@BlessMonicah2 ай бұрын
Kitenda wili
@MediahAseka-n4z2 ай бұрын
Mitengo wa mitengano
@Rhemaschoolacademy2 ай бұрын
Tano tena
@CatherineMutheu-k8o2 ай бұрын
Mwanadanganywa mnarukaruka
@KimweliJunior-ww4li2 ай бұрын
hawa watu ni rahisi kusahau ju ya pesa ndogo ndogo
@Hsm1402 ай бұрын
Kenya people, ata sitaongea
@AbelSM2542 ай бұрын
Hmmm nothing only nonsense unatapeliwa na 200unakubali umbwa nyinyi