Рет қаралды 18,513
Tazama magoli yote sita, Gor Mahia FC ya Kenya ikiishushia kichapo kikali cha mabao 5-1 El Merreikh Bentiu ya Sudan Kusini katika mchgezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL uliopigwa kwenye Dimba la Kenyatta, Nairobi Kenya.
Wafungaji wa magoli haya ni Ochieng, Onyango, Omija na Rooney aliyefunga mawili huku goli pekee la Bentiu likifungwa na Akinbinu...
Matokeo haya yanaivusha Gor Mahia kwa jumla ya magoli 5-2 baada ya kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza kwa bao 1-0.