No video

MAGOLI: MBABANE SWALLOWS 0-4 SIMBA SC (CAF CL - 04/12/2018)

  Рет қаралды 192,375

Azam TV

Azam TV

5 жыл бұрын

Wekundu wa Msimbazi Simba SC imeiangushia dozi nene ya kipigo cha mabao 4-0 timu ya Mbabane Swallows ya eSwatin katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa kwenye Dimba la Mavuso nchini humo.
Simba iliyokuwa ugenini imejipatia mabao yake kupitia kwa Clatous Chama aliyefunga mabao mawili dakika ya 28 na 33, huku mengine yakifungwa Emmanuel Okwi dakika ya 52 na Meddie Kagere dakika ya 63.
Ushindi huo unaifanya Simba kufuzu hatua hiyo na kuingia hatua ya kwanza kwa jumla ya mabao 8-1 kufuatia ushindi wa mabao 4-1 iliyoupata katika mchezo wa kwanza uliopigwa wiki moja iliyopita Jijini Dar es Salaam.

Пікірлер: 145
@obbylazaro511
@obbylazaro511 4 жыл бұрын
Kama bado unafatilia game hii naomba like ata 10 tujuane
@brianamani557
@brianamani557 5 жыл бұрын
My Tanzania My Simba thanks GOD for all 4 Goals
@amoniisaya9287
@amoniisaya9287 5 жыл бұрын
taifastazi
@crimenood4889
@crimenood4889 5 жыл бұрын
Tunamshkuru Allah kwa haya aliotujalia. Naipenda Simba mshabik wa dam simba mshabik wadammmmmm. Asante sana simba motooooooo.
@swaleheismail46
@swaleheismail46 5 жыл бұрын
Haijalixhi unafanyia wap ilimradi unafanya na kuku mweus hatafutwi gizan kama wote mmesikia hii naomben like mojamoja tu
@kelvinmatita1516
@kelvinmatita1516 5 жыл бұрын
Kagere hio style nimeipenda yakucheza
@thompsonmasologo5093
@thompsonmasologo5093 5 жыл бұрын
Simba yetu club bingwa yetu kivyetuvyetuuuuu sema Chamaaaaaaaaaaaaaaa....
@fadhilisanga5227
@fadhilisanga5227 5 жыл бұрын
This is simbaaaaaaaaaa brother, kwa hisanii ya siamba najikuta naongea kiingereza
@christophermwaimise9487
@christophermwaimise9487 5 жыл бұрын
Hongereni sana simba mmetuwakilisha watz
@christopherryoba4068
@christopherryoba4068 5 жыл бұрын
kama wewe una hila na super man chama gonga like yako hapo
@jumamollel7275
@jumamollel7275 5 жыл бұрын
Baba kaenda kazini.....
@user-vi5rv3ju9n
@user-vi5rv3ju9n 5 жыл бұрын
Matukio ya kimataifa na mchezaji wa kimataifa nimeipenda iyoooo
@rafaelsmon4354
@rafaelsmon4354 5 жыл бұрын
masitepu kama yoteeeeee alipo fungaa kageleeeeeee nimeipendaaa sanaaaa this is simba brother
@wakaki1990
@wakaki1990 5 жыл бұрын
Simbaaaaaaaaa mambo n fire
@christianedom2216
@christianedom2216 5 жыл бұрын
Nipo TEYALI kukosana nandugu kwajili simba dar mungu atusaidie
@barakadaniel7125
@barakadaniel7125 5 жыл бұрын
Mhhhhhh ama kwel watani mmejipanga kushindana congratulations wanashimbwa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Baraka Daniel muache ubabe, mpira haupo hivyo!
@barakadaniel7125
@barakadaniel7125 5 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 ndiyo hivyo shimbwa hawana njaa washindwe wenyewe si huku ligi kuu tunanyakulia point 3
@babdulla3779
@babdulla3779 5 жыл бұрын
Hiyo ndyo simba 😁😁😁
@yusuphamani72
@yusuphamani72 5 жыл бұрын
I really like this Simba I'm pulling all the matches to leisure Tanzania nomaaa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Yusuph Amani the pleasure is yours
@allymnyongomnyongo9947
@allymnyongomnyongo9947 5 жыл бұрын
Chama kwa sifa
@mnyamwezionlinetv3998
@mnyamwezionlinetv3998 5 жыл бұрын
This is Simba braza
@wilsonngosha3249
@wilsonngosha3249 5 жыл бұрын
Chama noma sn
@chrispinmkanda608
@chrispinmkanda608 5 жыл бұрын
simba ng'ataaaa!! tisha sana mnyama
@petermim
@petermim 5 жыл бұрын
Huyu chama huyu mhmhmh😂😂😂😂😂🙄🙄🙄🙄😠😠😠😠
@hancekiteve8362
@hancekiteve8362 5 жыл бұрын
Nice my team mungu awatangulie zaid
@adamissa6972
@adamissa6972 5 жыл бұрын
Amina
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 жыл бұрын
Najua watu walikua wanajiuliza wakimataifa ni kinanani siwangine jamani nisimbaa sport 🔥🔥🔥nje ndani
@dvjrichvanny5923
@dvjrichvanny5923 5 жыл бұрын
this is simba chama ulaya iz loading mzee baba
@joelphilipo3243
@joelphilipo3243 5 жыл бұрын
🙌🙌🙌👏👏👏
@mcisunga3822
@mcisunga3822 5 жыл бұрын
Jamni mtangaziji unanifurahisha sana
@omaryjuma3029
@omaryjuma3029 5 жыл бұрын
P1 saaaana wadau wangu wa Sssz
@andrewandrews4635
@andrewandrews4635 5 жыл бұрын
huku refa aliibeba simba na hko je! nipn mwko wke chama jman... au kabira lake, chma nifndi kwel tmepta kiubgo bora.
@justineyakobo9531
@justineyakobo9531 5 жыл бұрын
simba hatariiiiiiiii
@IRONMAN-po9ob
@IRONMAN-po9ob 5 жыл бұрын
Chunga sana mtu anaenyamaza bila kelele kaziyake utaielewa...Neno Simba nishidaaaaaa upande wapili mupoooo.. Uzarendo mwisho wapiiii hahahahaaa hatareeeee
@madibatata8755
@madibatata8755 5 жыл бұрын
chama jaman
@fatumamkuta9570
@fatumamkuta9570 5 жыл бұрын
safiiiiii
@rosemarykaroli9572
@rosemarykaroli9572 5 жыл бұрын
Eh chama chama chama chama Wa kimataifaaa mpoooo mnyamaaaaaaa
@ajuaomar3323
@ajuaomar3323 4 жыл бұрын
Rosemary Karoli mbosso m
@sirlum_2673
@sirlum_2673 5 жыл бұрын
Simba hii imeshindikana
@dancanyonah4185
@dancanyonah4185 5 жыл бұрын
unakuja ugenini unapgwa,yanga wanakupa moyo kuwa ukirud nyumbani utashnda,,unafka kwako unafungwA,unakufa,unatolewa kwny mashndano,unazkwa!!!
@christophermwaimise9487
@christophermwaimise9487 5 жыл бұрын
Huyo chama ni mtu wa sayari nyingine aiseee
@allytausi7450
@allytausi7450 5 жыл бұрын
Duuuuh walimwagia simba maji walijua mbwa imelala alipo nyanyuka kumbe....SIMBA
@shabankhamis2160
@shabankhamis2160 Жыл бұрын
🔥
@eddygonza891
@eddygonza891 5 жыл бұрын
Shikamoo Chama
@stanfordkishebukas8751
@stanfordkishebukas8751 5 жыл бұрын
4G ndio mpango mzima
@jabirmawazo9680
@jabirmawazo9680 5 жыл бұрын
wewe unapambana na ligi sisi tunapambana na mligi yaani mkubwa kama mlima kilimanjaroooooo
@racistracist2709
@racistracist2709 5 жыл бұрын
ndio maana wale yeboyebo walikaa golini mwanzo mwisho kumbe waliyajuwa haya
@wilbardfrankchao1000
@wilbardfrankchao1000 5 жыл бұрын
hii ndio simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@alexmamti5022
@alexmamti5022 5 жыл бұрын
Yajayo ya nafurahisha
@heresiawambura537
@heresiawambura537 3 жыл бұрын
Dah! Chama si mtu
@keyakeya8911
@keyakeya8911 5 жыл бұрын
Kuna mtuuu anatesekaa??????????? Haha hahaaaaaa this is simba!!!!!!!!!!!! Duuuuuuu simba inatishaaa kamaa a njaaaa!!!!!!!
@stevemichaelmzumbwe4096
@stevemichaelmzumbwe4096 5 жыл бұрын
Swaumu Kea keel 2 much Keya
@yonagadi8553
@yonagadi8553 5 жыл бұрын
NGK
@ismailmoyo3637
@ismailmoyo3637 5 жыл бұрын
Simbanguvu moja
@haridymohamedy226
@haridymohamedy226 5 жыл бұрын
hii ndio tofauti ya timu ya wachezaj wa kulipwa na timu ya wachezaj wa kujitolea hahaha kwako mtani
@wilsonngosha3249
@wilsonngosha3249 5 жыл бұрын
Hii ndo simba utaipenda tu
@avithapolinary7443
@avithapolinary7443 5 жыл бұрын
dah chama unajua mpaka unakela this is simba brother hahahahaaaaaa
@sweetluc2660
@sweetluc2660 5 жыл бұрын
Habari simba
@reyjosee9390
@reyjosee9390 5 жыл бұрын
haijalishi unafanyia wapi ilmradi UNAFANYA
@msellemseif2433
@msellemseif2433 5 жыл бұрын
Mashindano bado yanaendelea, huu ni mchezo wa mzunguko wa kwanza tu cha ajabu washabiki wanaandika jumbe zao kama tayari wameshachukua kombe, angalieni mueke akiba ya maneno msije mkatafuta mchawi baadae.
@meryriwa1912
@meryriwa1912 5 жыл бұрын
Jamani kagere iyo style dah mi hooiiii
@yasinmakengwa988
@yasinmakengwa988 5 жыл бұрын
chama mungu anakuona ujue
@eddiedonald7483
@eddiedonald7483 5 ай бұрын
Afu leo hii kuna kichezaji wanakiita zuzu kimecheza mechi tano tu wanakilinganisha na Chama
@waryobamahunyo4990
@waryobamahunyo4990 5 жыл бұрын
Kwa simba hiii,kama ingekuwa inawezekana ndio ingekuwa timu ya Taifa
@abdallahnanyeu8583
@abdallahnanyeu8583 5 жыл бұрын
kwel kabisaa
@charlesedward88
@charlesedward88 5 жыл бұрын
👋👋👋👋👋
@rajaairtel7807
@rajaairtel7807 5 жыл бұрын
Saruut sana wakala wangu
@fatmabakary6576
@fatmabakary6576 5 жыл бұрын
Uwiiiiiiiiiiiiii raha had kule eeeeeh kwa watu kwa simba hiii watateseka sanaaaa vyura wanapambana na magor ya ndosi simba ya kiufund lzma combe lije msimbaz jamoon chamaaaaa anawafanya watu watateseka
@benithaben2555
@benithaben2555 5 жыл бұрын
mnacheza na mbabane yanga inahusikaje! aah nilisahau kumbe ni yanga Toleo jipya!
@yimbatv4151
@yimbatv4151 5 жыл бұрын
Achana na simba
@salumyasin9029
@salumyasin9029 5 жыл бұрын
jitahidi sana safi sana simba bonyeza neno sy kushoto kwako kisha usubscribe na upate zote story nzuri na uwe umenisaport kukuza chaneli
@japhetisraelsmafie997
@japhetisraelsmafie997 5 жыл бұрын
Tatizo chama anatakiwa na arsenals
@eddonyagawa6767
@eddonyagawa6767 5 жыл бұрын
Simba ni atareee cyo ya kawaida kabisa
@aminamachim12
@aminamachim12 5 жыл бұрын
Wa kwanza Leo kukomenti
@manyweletheboss6053
@manyweletheboss6053 5 жыл бұрын
kuna habari gani?
@njinjoissa7714
@njinjoissa7714 5 жыл бұрын
Chamaaaaaaaaaaaaaaaa
@omarboss6607
@omarboss6607 5 жыл бұрын
Hii ndo kimataifa sio unapigwa nje ndani tz marefa tu wanaibania.
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Omar Boss hivyo?!
@elizabethjohn4549
@elizabethjohn4549 5 жыл бұрын
Fred ,na ww otea basi acheni kuvunjana moyo
@chondecannibal6108
@chondecannibal6108 5 жыл бұрын
Jipeni moyo.
@abelmahenge9879
@abelmahenge9879 5 жыл бұрын
Wamerudi wenye game zao
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Abel Mahenge haki ya kwl..
@fremwamedia1976
@fremwamedia1976 5 жыл бұрын
Watani Wang mmeotea leo,ila msibweteke maana wale wazambia so wa kitoto kama hao
@festomlowegypsum8214
@festomlowegypsum8214 5 жыл бұрын
Napenda simba kutoka moyoni
@alistairelias536
@alistairelias536 5 жыл бұрын
Hiyo sauti ya kwenye background ni ya nini?!
@lazarojr8923
@lazarojr8923 5 жыл бұрын
Chama kamuonesha nn shabiki?! Baada ya kufunga goli la kwanza! 😂😂😂
@yusuphnyuguyu7721
@yusuphnyuguyu7721 5 жыл бұрын
Hiyodosimba
@siwonikewilliam8832
@siwonikewilliam8832 5 жыл бұрын
This is a simba,,vyura mupo,,?
@mariamukasyupa2782
@mariamukasyupa2782 5 жыл бұрын
kumbe Jana ilikuwa tarehe 4 , goli 4, hii simba,jifanye unajikuna basi
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 5 жыл бұрын
Kwani vipi kunamtu kashika
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 5 жыл бұрын
sasa tumeanza kutekeleza ilan ya mh John pombe magufuli tuakikishe tunatoa ili jina Tanzania ni kichwa cha mwenda wa zimu afu washabiki kama vile wanaipata simba mpk uko kwl simba jina kubwa
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 5 жыл бұрын
Vyila msibishe hii simba tuishabikiye tu Mimi yanga lakini kwasimba hii lazima nishabikiye yanga wote tuseme chamaaaaa hajalishi wewe niyanga
@mnyamwezionlinetv3998
@mnyamwezionlinetv3998 5 жыл бұрын
Upo sahihi Ndugu Welcome simbaaa
@luciakiwale736
@luciakiwale736 5 жыл бұрын
Chamaaa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Thadey Lyimo nkana ndo mwenye % kubwa kucheza nasi
@mariamukasyupa2782
@mariamukasyupa2782 5 жыл бұрын
huo ndo uzalendo,ushabiki kando
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 5 жыл бұрын
Tz kwanza mambo mengine badayeeeeeee
@michaelmkandawile8420
@michaelmkandawile8420 5 жыл бұрын
huyu chama hapa anapita tu,yaani akili nyingi mno
@elielgideon
@elielgideon 5 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe 100%. Jamaa amekwiva, angalia utulivu wake mbele ya goli, halafu ulinganishe na Bocco. Nina uhakika ile pasi aliyompa Bocco, akagonga mwamba, angefunga kama angepiga shuti badala ya kutoa pasi.
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Eliel Gidion aliona asiwe mchoyo ila huyo mtu aliyempatia sasa 😞
@keyphaedisonedison2607
@keyphaedisonedison2607 5 жыл бұрын
Lazima ukae
@wilbertekoni6024
@wilbertekoni6024 5 жыл бұрын
Simba raha tupuuuuuuuuuu
@fedlemanya834
@fedlemanya834 5 жыл бұрын
Huyu mtu anaeitwa chama,kwa kweli sina usemi juu yake
@eliaisaya514
@eliaisaya514 3 жыл бұрын
Matokeo ya kimataifa na mchezaji wa kimataifa hahahahahaha naitizama leo tarehe 1.12.2020. Hahahaha haijalishi unafanyia wapi maradi unafanya
@omarymakeka234
@omarymakeka234 5 жыл бұрын
Ss waarabu tunawasubili mbele
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Omary Makeka duu!!
@mohamedmunguatamripamwinyi3221
@mohamedmunguatamripamwinyi3221 5 жыл бұрын
Kuna mtu anateseka?
@dickisondominicmamajoodarx8097
@dickisondominicmamajoodarx8097 5 жыл бұрын
lusongondola type xmba ttakutana bogo 2
@chrissjoel5198
@chrissjoel5198 5 жыл бұрын
Waqmataifa f4 raha thaaan
@allyking324
@allyking324 5 жыл бұрын
Wapo wanateseka
@lilianmwambatula7921
@lilianmwambatula7921 5 жыл бұрын
triple c
@fabianojohn9218
@fabianojohn9218 5 жыл бұрын
Mbabane wamekata lufaa wanaadai kua hawakucheza na timu ya tz wanatsha vjana
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Fabiano John 😃
@flosinkonde6099
@flosinkonde6099 5 жыл бұрын
tukonde.wenyewe
@ericklaiton2763
@ericklaiton2763 5 жыл бұрын
Kuna watu wanateseka
@hijazhija316
@hijazhija316 5 жыл бұрын
Tandika yanga mango
@angelusilljujalijuja9852
@angelusilljujalijuja9852 5 жыл бұрын
NIMWONE MTU ANAJIKUNAKUNA APO NIMWONE HAAAA CHAMA MAPOZI KAMA YOTE
@eliasjilanga2320
@eliasjilanga2320 5 жыл бұрын
Huyu jamaa ni chama gan ambacho hakinahuruma kwa wananchi wake??
@denniskiango6901
@denniskiango6901 5 жыл бұрын
Tz
@micdantv1911
@micdantv1911 5 жыл бұрын
chamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamamamamamamamamamamamamaamm
@micdantv1911
@micdantv1911 5 жыл бұрын
okwiiiiiiiiiiiiiikwikwikwikwikwiiiiiiiiiiiii
@micdantv1911
@micdantv1911 5 жыл бұрын
kagereeeeeeererererrerererereeeeeeeeeeeeeeee
@micdantv1911
@micdantv1911 5 жыл бұрын
fanya kama unajikuna uone
@mnyamwezionlinetv3998
@mnyamwezionlinetv3998 5 жыл бұрын
Umetisha mzee baba This is Simba Burudan inaendelea
@belackruhanyula1569
@belackruhanyula1569 5 жыл бұрын
Tupen laha
@yusuphmussa554
@yusuphmussa554 5 жыл бұрын
Mpira tunaujua tutafute tu staili za kushangilia
@stevemichaelmzumbwe4096
@stevemichaelmzumbwe4096 5 жыл бұрын
ongeeni nyie vyula
@philipanyoni4793
@philipanyoni4793 5 жыл бұрын
kuna mtu anateseka kwani
@azizijaja3803
@azizijaja3803 5 жыл бұрын
Hii dume
Azam FC 1-0 APR FC | Highlights | CAF CL 18/08/2024
7:33
Azam TV
Рет қаралды 4,8 М.
MAGOLI YOTE 6 YA CHAMA TANGU ATUE SIMBA
8:39
Pascal Kabombe
Рет қаралды 544 М.
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 38 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 41 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 26 МЛН
Vital'o FC 0-4 Yanga SC | Highlights | CAF CL 17/08/2024
10:10
0% Sportsmanship but it gets increasingly more disrespectful
12:27
orlando pirates vs disciples FC HIGHLIGHTS/GOALS CAF Champions League 2024/25
13:03
علم تكنولوجي | Tech Science
Рет қаралды 17 М.
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 38 МЛН