Kama una amini amechukua ameweka ahouwaaaaaaa gonga like apa👍❤️
@monicachacha4552 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@MariamYahay2 ай бұрын
❤🎉
@dixhangdecious7528Ай бұрын
@@monicachacha455 ❤️❤️❤️❤️karb🥰
@miangijunior43582 ай бұрын
Ni 🔥 Tume enjoy sn Asanteni Wanajeshi wetu Kwa kutupatia furaha Na Ongera kubwa Kwa Waalimu kazi kubwa sn Wachezaji wanacheza kiteam na molari pamoja na kiu kubwa ya kupata matoleo mazuri 👏👏 Ila Hispokua YUFUPH KAGOMA Pekeyake ndio kacheza nyondi nyondi kama Kuku anaeumwa mdondo!' Zibwe bro mwambie jamaa ajitambue haifai kunyoosheana vidole kama hivi bhana!".
@SarahCharlsАй бұрын
❤❤❤❤huyu ndo mnyama wa miaka ilee kabla ata sjazaliwa
@CarimPhilipo2 ай бұрын
Yaaani simbayetu imeanza kutufurahishaaaa❤❤❤
@BoniphasLukas-c3c2 ай бұрын
Busta inazid kufunguka ila viongoz wetu wawe makin Kila sku tusiingiziwe vibaraka ndan timu wawe makin namangungu asituuze Tena mbele yasafar Yan safar hii hata supu yakuongoza msalit. Ndan timu yetu tunakunywa mm nipo tayariii Simba nguvu mojaaaa ubaya ubwelaaa❤❤❤❤❤❤❤
@monde-cg4tt2 ай бұрын
Leo nimeenjoy sana,,hasa kwa ahoa na mkwala
@Dativa-b6p2 ай бұрын
Naipenda Simba timu yangu ❤❤❤❤❤❤❤❤
@MohamediSadick-z7s2 ай бұрын
Simba 2 endeleee❤ 3:23 kupamba 2takua saw2
@nshaijatedy55122 ай бұрын
Yan kunawatu wanazalau chama lang ila wataelewa , tu, tbr tulioichapa Leo kachukua point 3 kusn
Kocha aangalietu pasi zamwisho Bado sana finish pass Bado wachezaji watulie kule mbele wa mtolee mkwala pasi nzuli zamwisho
@shaffihsiraji31412 ай бұрын
Scout wetu Msimu huu wamekula hela kihalali hawajatupiga🫡
@ShafiiMbande2 ай бұрын
Saf sana ahoua umefanya kazi kubwa pamoja na wachezaj wenzio, wanasimba tuelewe tunapokosoa wachezaj sio kwamba hatuwapendi no, ila tunajaribu kuwa motivate wasiridhike nguvu moja
@abelimaganga4172 ай бұрын
Wew ngoda wew Leo umenikosha mnoooo❤❤❤❤
@CarimPhilipo2 ай бұрын
Naipenda mileleeee❤❤❤
@AcksunBonifas-mj2sw2 ай бұрын
simba's my life❤❤❤❤❤❤❤
@almasijunior1032 ай бұрын
Ahoua 2 match 3 assist 1 goal so far so 👍
@BoniphaceLwambo2 ай бұрын
Msimu wetu na misimu yetu...
@ferdinandntembagara29492 ай бұрын
Simba Bado sana. Hii tim Haina kipa wa back
@ZachaZacharia2 ай бұрын
Charles ahuoa💪💪
@Merrymerry-l4n2 ай бұрын
🦁🦁🦁🦁🦁
@onanimtemela372 ай бұрын
Simba bado sana magoli yambinde tu.
@monicachacha4552 ай бұрын
simba nguvu moja ❤❤❤❤
@PaulKitambala-z4x2 ай бұрын
sawa kaka tuiombee oteee
@MariamYahay2 ай бұрын
❤🎉
@absm80842 ай бұрын
Huyu Jean Ahoua❤❤❤❤❤
@MaryamMalcolm2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@lydiathomas29052 ай бұрын
Hii Simba bado naona mabao mengi inapoteza. Ikiwaka maji waita mma😂😂 Simba nguvu moja❤❤❤❤❤❤❤
@john-mj4px2 ай бұрын
🎉🎉❤
@imanuelibraАй бұрын
simba na halihilali sangap jaman
@ogtv92222 ай бұрын
🔥🔥🔥
@sulejmandj75822 ай бұрын
Love you SIMBA ❤️❤️
@adelikelivisadelikelivis90512 ай бұрын
Waooooooo🎉
@adamtunda77952 ай бұрын
Nakubar wanangu
@voisaclassic18662 ай бұрын
Tuna timu nzuri
@neemaraphael87322 ай бұрын
Ahouwaaaa Kama sakho asanteni wachezaji wetu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@israelkisaila84012 ай бұрын
Kabisa,sakho alikuwa MTAMU sana
@MartinMbwana-t9r2 ай бұрын
Nguvu moja 💪💪💪💪💪🦁
@gatsonmatiko80002 ай бұрын
Simba nguvu moja ❤❤❤❤❤❤
@ChrispinAchilah2 ай бұрын
Jamani muwe mna upload video zenye quality nzuri
@GabrielJoseph-h7m2 ай бұрын
Simba ya ubaya ubwelaaaaaaaa
@JoseEmanuel-ug3lo2 ай бұрын
Mnyamaaaaaa kwenye ubola wake
@MchungajiNzelani2 ай бұрын
Nyie mtakula nyingi ohooo
@DanielChaula2 ай бұрын
Unyama mwingi sana
@Dannymwaki2 ай бұрын
Ubaya ubwela
@BarakaMgala-c5b2 ай бұрын
Nikweli scouti wamejitahidi ila bado kidogo mtowa BC zamwisho
@champion.9062 ай бұрын
Kipa na mabeki wake wote wakatwe mishahara😂😂
@PhilipoKabalo2 ай бұрын
Yes good
@One_5_l2 ай бұрын
Sio poa hizi ni sura za maangamizi
@kassimdadi54062 ай бұрын
🎉
@JentoMmary-et7py2 ай бұрын
Izo ndio mechi zinazowadanganya nakuwasahaulisha muone mnatimu imara wakat sngda wanakabia macho nawanaachia mianya mingi makosa Kama hayo msitegemee kukutana nayo kiulahis
@KaraniBitacharles2 ай бұрын
Na bado
@Basagamp42 ай бұрын
Taaratibu taaratibu vitu vinajipa😂
@MwatangaSeleman2 ай бұрын
Ha ha ha Kwan mbna tim pinzan hawakabi au macho yang😅😊
@jamesjoseph-n1o2 ай бұрын
Tutumieni mechi nzima jamani sisi tuku nje ya nchi ili tuione tim yetu jamani kwani hamuwezi?
@HOLINESSPIUSE-gv8ud2 ай бұрын
Gori bora ni la awaaaaaaaaaaaaaaaa eti 🎉🎉🎉🎉🎉achukue maua yake John
@MohamedKalatula2 ай бұрын
Amna kipaa umoo
@JacksonMartin-pb2vq2 ай бұрын
Hii timu imeingiaje ligi kuu
@rithadonatus81102 ай бұрын
Mimi sihiifahamu kabisa inatoka mkowa gani kwani
@jumasagi28402 ай бұрын
marwa .juma sagi❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@jumasagi28402 ай бұрын
Marwa juma sagi na ramdai👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@hancysadaty47992 ай бұрын
Kipa amna kitu magari ya kawaida
@LindaMbilinyi-n3n2 ай бұрын
Kuma ww kwenda
@AsiaShaban-k3w2 ай бұрын
Huo Ndio ubaya ubwela
@musahaji56372 ай бұрын
Timu ni mbovu nyie jipigien tu ila yanga akishinda msiseme amebebwa au amehonga
Ni 🔥 Tume enjoy sn Asanteni Wanajeshi wetu Kwa kutupatia furaha Na Ongera kubwa Kwa Waalimu kazi kubwa sn Wachezaji wanacheza kiteam na molari pamoja na kiu kubwa ya kupata matoleo mazuri 👏👏 Ila Hispokua YUFUPH KAGOMA Pekeyake ndio kacheza nyondi nyondi kama Kuku anaeumwa mdondo!' Zibwe bro mwambie jamaa ajitambue haifai kunyoosheana vidole kama hivi bhana!".