MAGOMA AVURUGWA YANGA WAMEVUNJA KURUJUANI KWA MAOMBI ,KUFUNGA MABAO KILA SIKU

  Рет қаралды 34,269

S500 TV

S500 TV

Күн бұрын

Пікірлер: 154
@samwelwesterberg9400
@samwelwesterberg9400 19 күн бұрын
Kurjuani imemludia mwenyewe😂😂😂😂😂😂
@liliansahan5770
@liliansahan5770 17 күн бұрын
Mbona mzee magoma anaonekana kama kalewa😂😂😂
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 19 күн бұрын
Mwanangu magoma upo maji sana
@PaulHuncho-v3u
@PaulHuncho-v3u 15 күн бұрын
mzee anashindana na mungu daaa!!!!ataumbuka vibayà
@rehemasuleiman-q4s
@rehemasuleiman-q4s 18 күн бұрын
Ameumbuka anahangaika sasa 😂😂😂
@GraceMarine-vo9hu
@GraceMarine-vo9hu 18 күн бұрын
Na ataumbuka sana kenge huyu, yeye anauchawi, sisi tuna Yesu Tuna MUNGU, akae na tunguli zake, niliwahi kusema hapa, Yanga anaenda Robo fainal club bingwa na watashangaa nakupigwa na bumbuazi
@hassanimustafa3297
@hassanimustafa3297 18 күн бұрын
Kiukweli Mzee anamkata mungu hiii inasikitisha.....hatari sana eti wakae nasisi....ameshaanza kuogopa
@RashidKaoneka-bj8mm
@RashidKaoneka-bj8mm 18 күн бұрын
Hili zee lina laana ya yanga njaa mbaya
@ibrahimmakata2111
@ibrahimmakata2111 19 күн бұрын
Amesema manara ngozi yake inamlinda daah😂😂
@rahmaarrington9019
@rahmaarrington9019 14 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 ahahah ahaha Daah alie mroga Magoma leo sija penda!! Kasema wote wa3 ni ma jeuri na mafidhuli..😅😅😅 yani wameshindikana.. twajibiiii
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu 12 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kweli ana pepo
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix 18 күн бұрын
siku zote mzee fatilia kote duniani walemavu ote ni majeuli kweli kweli mungu kawaumba hivyo lakini isiwe sababu kutukana mbaka vyombo vya dola mnara ajifunze hata ukiwa mlemavu uwe wa hakili ukienda kinyume unakamatwa wanakupeleka sehem husika eiza milembe ukakae na vichaa wenzio mnara hayuko timanu mungu hua habagui anaweza kumupa mali hata kichaa
@AmiriShamte
@AmiriShamte 18 күн бұрын
Mzee magoma bado hujasema, Yani mpak useme
@jafarimsigwa277
@jafarimsigwa277 19 күн бұрын
Mzee magoma sema "kurujuani imefeliiiiiiiii"
@tumvisiagekonga2142
@tumvisiagekonga2142 19 күн бұрын
S500TV mwandishi mpeleke kwa Mtalemwa huyo magoma,ana pepo
@MatikiMwibeleca
@MatikiMwibeleca 18 күн бұрын
Uyo mzee mjiga sana
@MayeyeMayeye-t6w
@MayeyeMayeye-t6w 18 күн бұрын
Ngozi yake😂😂😂😂heti inambebaaaa Mzee -magoma
@Muna-en4yq
@Muna-en4yq 19 күн бұрын
Mzee comedy hyu😂😂😂
@nyondoloja6228
@nyondoloja6228 19 күн бұрын
mnafiki huyu Mzee njaa mbaya
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 19 күн бұрын
Hivi Magoma kalewa au ana Marohani kichwani😂😂😂😂😂😂
@titobernard383
@titobernard383 18 күн бұрын
Jamani ! Mie navuta majani lakini huyu mzee sijui anavuta gosoo au 😁🤷‍♂️
@MayeyeMayeye-t6w
@MayeyeMayeye-t6w 18 күн бұрын
Mzee wetu Leo kalewa aisee 😂😃🍻🍻🥂
@AnordJoseph-e2e
@AnordJoseph-e2e 19 күн бұрын
Hili lizee limelewa aibu maana halina chakusema kila mechi tunshinda
@halixoncameroon5665
@halixoncameroon5665 18 күн бұрын
Mwisho wa ubaya ni aibuuuu @magoma ni kengeee 😂
@Hamy1109
@Hamy1109 19 күн бұрын
Huyu mtangazaji mbona sio mtu wa michezo!? Tuleteeni mtangazaji wa michezo sio huyo boya HAJIELEWI😡🤬
@willsoniissaya
@willsoniissaya 19 күн бұрын
Kashapiga vyombo mzee magomaaa
@JacklinMponzi
@JacklinMponzi 19 күн бұрын
Kwani huyu mzee hana kazi yakufanya au😂😂😂
@HanceMagazi
@HanceMagazi 19 күн бұрын
Mzeee kashalewa kumanina 😅😅😅😅😅😅😅
@Muna-en4yq
@Muna-en4yq 19 күн бұрын
😅😅😅
@juliusdonard933
@juliusdonard933 19 күн бұрын
Huyu mzee 😂😂😂😂😅😅
@ZawadiMoris
@ZawadiMoris 19 күн бұрын
Mijicho ilee😂😂😂😂
@snchimbi
@snchimbi 18 күн бұрын
Mzee kalewa na maombi😂😂
@dastunluswaga5182
@dastunluswaga5182 19 күн бұрын
Hili la kisema ngozi yake inamlinda anakuitia press aise...😂😂
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 18 күн бұрын
Mzee ana akili nyingi sana
@hassanimustafa3297
@hassanimustafa3297 18 күн бұрын
Ameshaanza kuchanganyikiwa huyo...Mzee mchawi na roho mbaya
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 19 күн бұрын
Ndio ujue uchawi au Uganga hauna mam laka kwa Jina la Yesu
@SULEIMAN-l8v
@SULEIMAN-l8v 18 күн бұрын
Kurjuani ni maombi kuliko ujinga wenu wa Yesu
@meckmussa1840
@meckmussa1840 18 күн бұрын
Amina
@januarysungura8119
@januarysungura8119 17 күн бұрын
@@SULEIMAN-l8v mtasema sana ila hakimu ni mmoja yesu ambaye hata mtume wenu ameshawaambia adiyekiri jina lake hataingia ahela na kumbuka ndiye atakayekuja kuhukumu ulimwengu.
@EmmanuelPeter-t6j
@EmmanuelPeter-t6j 17 күн бұрын
Kiukweli Niki angalia hii intavyu nacheka sana uli mukalia koon mze magoma
@farhaanmanji6569
@farhaanmanji6569 19 күн бұрын
Njaa tu...
@caimedia
@caimedia 19 күн бұрын
Je Rais wa TFF hamjui pia, halafu Mzee mbona kama hayupo sawa Leo! Mmemuhoji akiwa kasherehekea sana Sikukuu😂
@damianmcba9525
@damianmcba9525 18 күн бұрын
Tungi " yupo chicha mzee njaa
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 17 күн бұрын
Mungu hamwamini, huyu Mungu wake kurujuani, na kapigwa
@GraceMarine-vo9hu
@GraceMarine-vo9hu 18 күн бұрын
Haohao mafedhuri ndo tunataka waongoze Yanga yetu, utateseka sana Magoma na bado
@ZawadiJustine-s6c
@ZawadiJustine-s6c 18 күн бұрын
Jitu Zima hovyo!
@tumainielmremi7912
@tumainielmremi7912 19 күн бұрын
Sioni mwandishi hapa. Mlevi anamhoji mlevi mwenzake.
@geraldlaurent6750
@geraldlaurent6750 18 күн бұрын
Mungu yupo na timu yetu
@abedysteven4930
@abedysteven4930 14 күн бұрын
Nmegundua magoma ndo lichawi litashindwa kwa Jina la yesu
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix 18 күн бұрын
kwel mzee uko sawa huyo mtoto hajalelewa malezi bola amekulia malezi ya mama
@moyolameck555
@moyolameck555 18 күн бұрын
🐊 Crocodie face😅😅
@anthonywilliam6510
@anthonywilliam6510 17 күн бұрын
Dawa kuombewa TU
@mussamwampamba
@mussamwampamba 18 күн бұрын
Uyu mzee hahahaha
@Mkaluminium550
@Mkaluminium550 17 күн бұрын
😂😂😂😂 fedhhhhuriiii
@felixjoseph4652
@felixjoseph4652 18 күн бұрын
Magoma kakwama leo...amekuwa kama mwali leo...hana lolote!..uchawi wooote kwiasha kazi, hakuna uchawi unaozidi jina la YESU.....nyinyi munajisifu kwa kurjuani Dube anajisifu kwa jina la YESU
@ZauloChanga
@ZauloChanga 18 күн бұрын
Mwache mzee kalewa yanga wamsamehe tu
@ZawadiMoris
@ZawadiMoris 19 күн бұрын
Mzee yuko bar hapo kaishautwika sema wamemtoa nje afanye enter view tu,simnaona mnazi ukutani hapo😂😂😂😂😂
@imrankweka4752
@imrankweka4752 18 күн бұрын
Aisee unajua kufuatilia jambo,Magoma wa Leo sio yule wa siku zote!Ni kweli wamemchomoa bar nazisikia kelele za mziki huko ndani😂😂😂😂
@MussabhalengaBhalenga
@MussabhalengaBhalenga 19 күн бұрын
Huyo mbona kama Leo kapoa sijamuelewa
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 17 күн бұрын
Kwako hata chura atakung'ata, jeuri sana
@JofreyErias
@JofreyErias 19 күн бұрын
Ww ulisema kuapaka viogonzi was yanga wajekuogeanawe dowatapata ushidi bona hawajaja na wanapata ushidii???
@marthajosephdihimbwa2329
@marthajosephdihimbwa2329 18 күн бұрын
hiyo ni aibu anayoiona hakuna aliyemfuata na yanga inashinda kwa mungu hakuna kubwa
@GiliadMwajanga
@GiliadMwajanga 18 күн бұрын
We mwandishi ni mjinga Sana unauliza maswali yakitoto sana
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 19 күн бұрын
Mzee mbaya wewe yani unataka yanga ifungwe kilasiku mbona una choyo sana au umehongw a
@janejoel2465
@janejoel2465 18 күн бұрын
Mpira hauna mchungaji. Ila qulujuan ndio inajua mpira .
@MohamedChillo
@MohamedChillo 18 күн бұрын
Mmmh hapo Sasa huyu mzee anaongopea kuwa amechomia waya mmoja ni muongo , aaache kudanganya watu bhana
@mussampagama3065
@mussampagama3065 18 күн бұрын
Watunwenyewe mnafanya mahojiano hata records hamna.
@TeddyPaul-qo2iy
@TeddyPaul-qo2iy 18 күн бұрын
Dahhhh
@JlmaniDanka
@JlmaniDanka 19 күн бұрын
Wewe magoma utakuja kuhabika ww sio mungu 1:31
@brycesonmathias6112
@brycesonmathias6112 18 күн бұрын
Mzee Magoma una Akili nzuri?
@dotomanda-h9q
@dotomanda-h9q 18 күн бұрын
Magoma hana kitu chakuongea ila anaona shame maana ameona Yanga inashinda maana alijenga imani yakwamba yeye anamadawa sana ndiyo mana yanga inapoteza sasa kwakutisha watu kwamba abembelezwe kwamba yanga ishinde sasa yanga inashinda bila kum'bembeleza yote anayoongea hapo amejua ameaibika
@halixoncameroon5665
@halixoncameroon5665 18 күн бұрын
Mbulu kengeee
@AbdulkarimKigarawa
@AbdulkarimKigarawa 18 күн бұрын
Nanyi wakristo kilam2 nabii kweli ninyi hamana dini ya haki
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 19 күн бұрын
Mzee Magoma mimi namkubali sana
@redtk2971
@redtk2971 19 күн бұрын
😂😂
@jacklinejohn552
@jacklinejohn552 18 күн бұрын
Mnaakiki sawa
@jacklinejohn552
@jacklinejohn552 18 күн бұрын
Huyo mzee hajitambui ndio mchawi mwenyewe huyo kachoka na maisha tuu eti mtu mzm hujitambui
@Boniphacetz-w9x
@Boniphacetz-w9x 19 күн бұрын
Mbona mzee kamaind dube kuombewa 😅😅😅😅
@ezekielmlay8219
@ezekielmlay8219 19 күн бұрын
Naona wamerudia zile sindano maana kwa kasi hiyo na mabawa hayo ngoja tuwashangae aindano
@gyestudios267
@gyestudios267 18 күн бұрын
waandishi muangalie mnaweza kutengeza uadui na watu kiasi kwamba unaweza kumkuta mtu na shida usimsadie
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 17 күн бұрын
Hayo maneno kuwaita wenzako jeuri na fedhuli wakikushtaki utawalipa?
@DamaryKenani
@DamaryKenani 19 күн бұрын
Mtu mwenyewe hajui hata yanga ilishinda ngapi mnampandisha chat, kazi bila Mungu huwezi huyo yeye anaamini uchawi
@WilfredMaho
@WilfredMaho 18 күн бұрын
Kwel leo kalewa
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 18 күн бұрын
KULUJUANI KULUJUANI KULUJUANI KULUJUANI KULUJUANIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
@nelsonntenga3341
@nelsonntenga3341 18 күн бұрын
Kama anakataa hakuna maombi basi hata kurujuani hakuna Kapagawa huyo
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 19 күн бұрын
Mzee fix sana huyu
@EmmanuelPeter-t6j
@EmmanuelPeter-t6j 18 күн бұрын
Jaman uyu mze ame data nime cheka et jeuli fezuli kumbe Ana kelekaga yanga iki shinda
@HajiHija-zv5ym
@HajiHija-zv5ym 19 күн бұрын
Huyu mzee hajielewi mtu mzima anadhalilika ivi kweli jamani
@FeristaPaulo-v7d
@FeristaPaulo-v7d 19 күн бұрын
Cheki mijicho yake Ile. Msura mbayaaa kama limekosa lazi kwa baba yake Mzee mpili. Kulujuani imemludia mwenyewe.
@Hezron-z9c
@Hezron-z9c 19 күн бұрын
We dad we usitukane ban,,😂😂😂😂😂
@ELIYAJohn-s8q
@ELIYAJohn-s8q 19 күн бұрын
Mzee anasema ukweli hawa ndo wazee tunaowataka maana Wana busara na sio wanafiki
@ELIYAJohn-s8q
@ELIYAJohn-s8q 19 күн бұрын
Hahah TP mazembe tukae chini tuzungumze
@CHARLESJUMANNE-d3m
@CHARLESJUMANNE-d3m 19 күн бұрын
Mpeleke kw p didy huyo babu Yako
@CHARLESJUMANNE-d3m
@CHARLESJUMANNE-d3m 19 күн бұрын
Ww m,zeee unatakiwa kupelekwa MILEMBE
@TauKimpa
@TauKimpa 18 күн бұрын
Tumeshagundua kumbe mchawiwao anaixh jaribu
@jumannendayigeze2899
@jumannendayigeze2899 19 күн бұрын
Kichaa huyo mzee ana mapepo na yatamtoa roho
@msiiwaziri1159
@msiiwaziri1159 19 күн бұрын
Huyu mzee magoma anavuta Bangi na huyu mwaandishi ndiyo anayemuuzia
@juliusdonard933
@juliusdonard933 19 күн бұрын
Hili lizee
@PierreBukasa-fu3yx
@PierreBukasa-fu3yx 19 күн бұрын
Kulujuani inamludia, kashafeli huyo,
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 18 күн бұрын
Magol ya mchongo
@FeristaPaulo-v7d
@FeristaPaulo-v7d 19 күн бұрын
Gusa wote we mpumbavu Helis muache kama alivyo mjinga we.
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 19 күн бұрын
Hapo umeongea kweli Mz Magoma Haji amejitia ujinga akiamini Ngozi yake ndio kinga yake.Hawezi kufanywa chochote. Aheshimu utu wake aache ujinga.
@eliudkweba9220
@eliudkweba9220 18 күн бұрын
Mzee unatudanganya.. ngamia ya kwenye msemo sio mnyama ni kamba inayofungia Nanga ya meli… mfyuuuu!!! Kasome mzee…. Acha u ababaishaji wa magomeni….😅
@minaniormar5841
@minaniormar5841 19 күн бұрын
MZEE KALALE HUNA CAKO YANGA
@MahembegaMturi
@MahembegaMturi 19 күн бұрын
Mbona kama leo mzee Magoma amelewa?
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 19 күн бұрын
Huyo Ana majini kichwani.na kaongeza Nyagi kidogo kapiga... ...
@hamisishirikisho2199
@hamisishirikisho2199 19 күн бұрын
😂😂😂
@mwambage972
@mwambage972 19 күн бұрын
Siokulewa tuu kadindikea kwenye pipala gongo
@richardnganya2311
@richardnganya2311 19 күн бұрын
Leo sikukuu kunywa kunywa kwingi kwa bure.
@willsoniissaya
@willsoniissaya 19 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@PaulHuncho-v3u
@PaulHuncho-v3u 15 күн бұрын
huamini lakini ndo Rais wako utake usitake.
@SidaMalove
@SidaMalove 19 күн бұрын
Ila uyu mzee waovyoo kweli tem ikishinda anajipendekeza kusema yeye ndo anaiendesha yanga kufunga🤣🤣🤣🤣🤣anatafuta kutrendiiiiiii tu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 19 күн бұрын
Tusimdharau tumpe heshima yake.Hawa wazee inabidi tuwaheshimu manake bila wao yanga isingefika hapa ilipo.Yaani watanzania wakishaona mtu hana kitu wanamletea dharau bila kujua huyu mzee yanga katoka nayo mbali sana.
@derickmkuwa6977
@derickmkuwa6977 18 күн бұрын
Aache uongo na kutafuta kiki, mbon timu miaka yote uliyokuwa nayo hamkuipeleka hatua yoyote kimataifa ila leo baada ya kuiona ina mafanikio ndio unaanzisha kamdomo?
@HamisHemed-yl5ke
@HamisHemed-yl5ke 19 күн бұрын
Ngozi
@Boniphacetz-w9x
@Boniphacetz-w9x 19 күн бұрын
Macho mekumduu huyu mzee mwanga😢
@richardnganya2311
@richardnganya2311 19 күн бұрын
Siyo mwanga.. amuivuta ile sigara KUBWA
КОНЦЕРТЫ:  2 сезон | 1 выпуск | Камызяки
46:36
ТНТ Смотри еще!
Рет қаралды 3,7 МЛН
JUMA MAGOMA: NIMETOA TENA WEEK YA MWISHO..
19:36
NYAVUNI TV
Рет қаралды 6 М.
MBOWE AMTOLEA Lissu UVIVU mbele ya BAVICHA, AMCHANA Liveee!!!
22:14
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 13 М.
GAMBO amjibu MAKONDA bila uoga adai hana ELIMU anatakiwa kuelimishwa
9:18
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 216 М.