JUMA MAGOMA: NIMETOA TENA WEEK YA MWISHO..

  Рет қаралды 5,557

NYAVUNI TV

NYAVUNI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 74
@aminasogo5780
@aminasogo5780 25 күн бұрын
Mshikamano hamna tunaumia Sana jaman
@Kabeya410
@Kabeya410 25 күн бұрын
@@aminasogo5780 mshikamano na nani sasa nikuulize wakati wa bakuli tunachangishana alikua wapi asiokoe jahazi alifanya nini kusajili alifanya nini kuifanya Yanga ishinde mechi alifanya nini kuifanya Yanga icheze makundi au kuingia makundi africa. Achana na sisi mfuate wewe ukaungane nae
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@allybaba-td9ty
@allybaba-td9ty 25 күн бұрын
wazeee wa yanga ao
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@asiasued3655
@asiasued3655 25 күн бұрын
Hili zee hovyooo kabisa
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@LucyShila
@LucyShila 25 күн бұрын
Ushirikina tu kuoga aaaah
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
😳😳😳😳 duuuuuuhhhh
@seydouside4081
@seydouside4081 26 күн бұрын
Viongozi wa yanga huyu anaemuhoji na huyu babu..mnadharau kuwa chachu kidogl huchachua done Zima huyimu mzee anaqhujumu timu mnamuangalia kesi yake imeishia wapi..atakuja kutngeneza genre kubwa mtakuja kujuta..manenonyake nimbaya sana kwa maendeleo ya yanga..mdomo ni mbaya naitakuja kuonekana maneno yake ni yakweli halafu tutakufurisheni hapo mtajuta.
@MirajiMohamed-be1qc
@MirajiMohamed-be1qc 25 күн бұрын
Huyu fala hata uwezo wakumsajili mchezaji 1 hana mnamsikiza nn hana llte ninjaa inamsumbua t. Halafu nibora isifanye v
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 22 күн бұрын
Magoma achana na mambo ya kale, hamna mwanayanga au kiongozi atakayethubutu kukupa hela usiyoifanyia kazi, hayo mliyokuwa mnayafanya huko nyuma yamepitwa na wakati. Tafuta timu nyingine siyo Yanga.
@nyavunitv12
@nyavunitv12 22 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@ramadhaniOsujacki
@ramadhaniOsujacki 25 күн бұрын
Hatuna mshabiki shetani kama huyo ni chawa wa simba lakini kama kweli kuna mungu basi hyo magoma anamaswali mengi ya kumjibu mwenyezi mungu ikiwa yeye nikweli ni mchawi ajipange kushindana na wasio kuwa na makosa nae maana yanga ni ya wanachama na sii ya mtu mmoja kama huyu shetani magoma
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
Mbona mnamkataa sana
@Kabeya410
@Kabeya410 25 күн бұрын
@@nyavunitv12 tunamkataa siyo mwanachama ila wewe ndo unampa time ili aichafue Yanga kwa maslahi yako ungekua mwandishi mwadilifu hoja zake ungemshauri kama anaipenda Yanga aende klabu akatoe maoni yake kwa huyo kiongozi na Yanga ina Rais ila kuna kamati ya utendaji ndo inaamua kila kitu na msemaji ni Rais anasema kile kilichoamuliwa na kamati ya utendaji aende akamuone Hers kama anamtaka Hers siyo Hersi amfuate yeye magoma kama nani kwanza siyo mwanachama kwa mujibu wa katiba mpya kaisome. Na yeye kwa kuwateka na hamjui kitu anawaonesha kadi za zamani ni kama za kliniki tu ukizaa mtoto kadi ipo haina kazi. Na hata ukiwa na kadi mpya hujalipia miezi 6 we ni mwanachama mfu. Wewe unamtetea kwa maslahi anakupelekesha kwa majibu ya ujanja ujanja. Na tapeli yoyote huwa na maneno matamu. Na huyo mzee hayumo kwenye baraza la wazee ni muhuni tu wa mjini kila uongozi ukiingia anaupinga ili wamfuate apate pesa. Mmemuanzishia online tv ili aiponde Yanga. Na hataweza awe makini atafungwa tunajua kuna watu wapo nyuma yake hawamtaki Eng. HERS kwa kuwa kafunga mirija ya kupiga pesa za klabu ndo hao magoma wamemweka mbele ye boya tu.
@IMANIMWAITEGE-ve8gr
@IMANIMWAITEGE-ve8gr 25 күн бұрын
Ana haki asikilizwe
@Kabeya410
@Kabeya410 25 күн бұрын
@@IMANIMWAITEGE-ve8gr haki gani unayoisema we kama nani huyo mzee wenu kwa taarifa yako siyo mwanachama wala hayupo kwenye baraza la wazee wa Yanga hana cheo chochote ni mpinga maendeleo humjui kila uongozi yeye ni mpinzani. Huyo mchukueni nyie simba maana mnamshangilia saana kwa uharo wake naoharishia mdomoni. Hatumtambui anajipendekeza SIYO MWANACHAMA KWA MUJIBU WA KATIBA MPYA NA YA ZAMANI.
@MusaKaombe
@MusaKaombe 24 күн бұрын
Kunakoelekea muhandish anaemuoj magoma kuus yanga tutamfany asije kupata Abar kuus yanga mana nyny ndo chanz
@nyavunitv12
@nyavunitv12 24 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@CHARLESJUMANNE-d3m
@CHARLESJUMANNE-d3m 26 күн бұрын
Chukua famlia Yako ,ww umwombe msamah huyo baba Ako
@nyavunitv12
@nyavunitv12 26 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@henrydanlord7822
@henrydanlord7822 25 күн бұрын
Mzee fuuuulish sana huyu
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
😳😳✍️
@mathiaschoma9527
@mathiaschoma9527 25 күн бұрын
Nanyi mnao mhoji huyu mna tatizo
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
Kwanini
@SaidMwampashi
@SaidMwampashi 25 күн бұрын
Wewe mzee mwanga et hiv unapenda yanga anavopitia wakati mugumu mbona unanongwa sana mzee
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
Aaaaaaahhhhh magoma hana nongwa watu hawamuelewi tu
@JohnHerbet-os7uh
@JohnHerbet-os7uh 26 күн бұрын
Mpeni huyu hatari
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@CHARLESJUMANNE-d3m
@CHARLESJUMANNE-d3m 26 күн бұрын
Nyie wanacham si muende kwhyo kunguru ,mkayajenge ,mbna kinawabemblza San hcho kimubabu chenu
@nyavunitv12
@nyavunitv12 26 күн бұрын
Fanye ivyo
@Kabeya410
@Kabeya410 25 күн бұрын
Kwani lazima waje kwako si uende kwake we kenge kwani we nani ufuatwe
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
Haeataki kumwita
@Kabeya410
@Kabeya410 25 күн бұрын
@nyavunitv12 Nani mwenye hoja au nani mwenye shida kama ye ni Yanga na anataka mazuri kwa Yanga aende klabu. We nae mwandishi we ni kolo nimechunguza majibu yako kwa watu umelalia kwa huyo kenge wewe na yeye ni wale wale msioitakia Yanga utulivu.
@GeorgeManyama
@GeorgeManyama 25 күн бұрын
acheni ujinga Yani mnataka tuamini huo upuzi wenu mbona kipindi hicho mpo natimu mbona hata makundi ilikua shida kama hizo kurujuani zenu Zina Fanya kazi hata hao wanao kuoji wakapimwa akali
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
Aaaaaaahhhhh
@MohamedNgaula-zn7rp
@MohamedNgaula-zn7rp 25 күн бұрын
MAGOMA NA WEWE KIBOKO YAKO ITAKUJIA, NINI HIYO KURJUANI YAKO.
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
Ilo neno
@CHARLESJUMANNE-d3m
@CHARLESJUMANNE-d3m 26 күн бұрын
Ww unae mhoji huyo mzee we ni k
@nyavunitv12
@nyavunitv12 26 күн бұрын
Aaaaaaahhhhh
@nyavunitv12
@nyavunitv12 26 күн бұрын
@nyavunitv12 tatizo UKWELI atutaki
@agneskaseya8473
@agneskaseya8473 26 күн бұрын
Kwani ni sh ngapi anadai mbona tunadhalilika hivi
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
Swali la maana sana
@CHARLESJUMANNE-d3m
@CHARLESJUMANNE-d3m 26 күн бұрын
Mbwa ww
@nyavunitv12
@nyavunitv12 26 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@MusaStephano-s9c
@MusaStephano-s9c 26 күн бұрын
Uongozi umefanya mambo mazuri, tumetengeneza timu nzuri, kwa sehemu uongozi umejikwaa. Kujikuta katika mazingira ya kimakundi na kama vile kubaguana hili ni tatizo, Lakini magoma anatembelea upepo.
@nyavunitv12
@nyavunitv12 26 күн бұрын
Mbona inaonekana kua huyu mzee anachoongea ana huwakika nalo
@agneskaseya8473
@agneskaseya8473 26 күн бұрын
Sasa ww kama unajua ni timu ya wanachama na ww ni mwanachama kwa nn unafanya hivyo? HAYA mm nakuja chap
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
Nenda kafanye ivyo maana tunaelekea pabaya
@dotomanda-h9q
@dotomanda-h9q 26 күн бұрын
Huyu Magoma inaonekana njaa inamsumbua tena anajiona kama yanga kufanya vibaya nilana kutoka kwake asijidanganye anataka kutisha watu ameona yanga mambo hayaendi vizuri anatumia mwanya huwo ili wanayanga wamuone yeye ndiyo anakwamisha timu aende zake huko
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
Duuuuuuhhhh
@NyangilaMwessanyangila
@NyangilaMwessanyangila 26 күн бұрын
Wiki Moja ya kufa wewe.
@hakimundabila7940
@hakimundabila7940 26 күн бұрын
Tunaweza ukafa ukamwacha tunda bichi laweza dondoka likabaki mtini lilioiva
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
Aaaaaaahhhhh
@abednegontangale4719
@abednegontangale4719 26 күн бұрын
Wewe nyavuni tv yako ya mchongo
@nyavunitv12
@nyavunitv12 26 күн бұрын
Apana sio hata ya mchongo naomba msikilize kwanza magoma vizur alafu uniite Nyavunitv niyamchongo
@stanastana3199
@stanastana3199 25 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@OlivaMHANDO
@OlivaMHANDO 26 күн бұрын
Ila juwa muumba wako anakuona, maana yy ndo alie kuumba ww, na YANGA hiyo unaiongelea vibaya kira siku, kumbuka yy ndo muweza wa yote, na yy ndo mwenye kupanga na kupanguwa,,.sisi tuamuachia MUNGU ndo akatujibie kwako.
@nyavunitv12
@nyavunitv12 26 күн бұрын
Magoma Wala haongei vibaya Yanga ila mashabiki mnashindwa kumuekewa tu
@nyavunitv12
@nyavunitv12 26 күн бұрын
@nyavunitv12 mnatumia miemko ya kishabiki
@Kabeya410
@Kabeya410 25 күн бұрын
Wewe mwandishi nyavuni nakusihi nenda na hoja hizo kwa Eng. Hersi mweleze usituletee story ya upande mmoja nyie wandishi huwa mnafuata upepo mfano wenu mzee Abdul baba wa Diamond alipokataliwa mlimfuata kila siku kila kijitivi cha online kiliona content ni huyo mzee na sasa mnamuhoji mtu ambae kila uongozi wa Yanga yeye ni mpingaji wa kila uongozi ila si kwa manufaa ya Yanga ila manufaa binafsi ya kushinda klabu kuomba omba pesa viongozi. Na sasa hilo halipo viongozi wamefunga mianya ya ujinga ujinga sasa huyo anaumia ati kiongozi amfate yeye kama nani kwanza siyo mwanachama kwa mujibu wa katiba mpya hatumrambui. Ati anaonesha kadi za zamani sawa tu na kuonesha pasport ya zamani huwezi kusafiri nayo maana kuna mpya uwe unataka hutaki lazima uwe na mpya ma hizo kadi zake zimekufa na hata akiwa na kadi mpya kajalipia kwa muezi 6 huyo ni mshabiki mandazi siyo mwanachama. Yeye kama yanga kweli aende klabu au ofisi ya Rais wa Yanga akaseme hayo huo ushauri pili yeye ktk uongozi wa wazee wa Yanga hayupo. Asiongee chochote kuhusu Yanga hana haki akaongee kwenye vijiwe vya kahawa. Kama kweli yeye anaweza kuipa Yanga ushindi mbona enzi za kina yipe alikua wapi kuipa Yanga ushindi na ule wakati wa michango bakuli alikua wapi kenge huyo. Atuache na timu yetu aende akaroge tufungwe poa tu yatakwisha. Lakini siyo kumuangukia kenge hana uwezo ila uwezo ni wa Mungu. Yeye ndo tunamuabudu na kumuomba.
@Shu-w7f
@Shu-w7f 25 күн бұрын
Mngekua mnayajua haya msingemshirikisha muumba wenu kusema mnamtaka Na Malaika ashuke
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
😳😳😳😳✍️✍️🔨
@MohamedNgaula-zn7rp
@MohamedNgaula-zn7rp 25 күн бұрын
DOGO ENG.HARSI NA BENCH LAKO PIGENI KAZI ACHANA NA MAGOMA MPIGA ZUMARI
@nyavunitv12
@nyavunitv12 25 күн бұрын
Mmmmmm
@jamesmbelwa3438
@jamesmbelwa3438 26 күн бұрын
Kama yanatija hayo nenda wewe klabuni
@nyavunitv12
@nyavunitv12 26 күн бұрын
Ilo neno
HAKUNA MWISLAMU DUNIANI ANAYEWEZA KUJIBU HOJA ZETU...WAMEMBAKI TU NA BWEBWE!
1:28:30
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
'Mawazo' Sehemu Ya  84 , Dr. Elie VD.Waminian
25:22
Chomoza Media
Рет қаралды 1,4 М.
DAH HII CONTENT IMENILIZA SANA😭 PART ONE 1
18:39
Ivan17_tz
Рет қаралды 26 М.
Lissu Ataja UTAJIRI WAKE, Nchi YATETEMEKAAAAA!!!!!
17:15
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 297 М.
Real Madrid - Barcelona | Highlights | Final | Football | Spanish Super Cup
12:06
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН