MAGUFULI ALIPOKATAA KUIPOKEA BARABARA YA KILWA (KM 5.1)

  Рет қаралды 125,908

Malili Migongwa

Malili Migongwa

Күн бұрын

UJENZI wa Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam ambayo Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli alikataa kuipokea mwaka 2011, baada ya kujengwa chini ya kiwango. Ujenzi wa kipande hicho cha kilomita 5.1 kutoka Mtongani hadi Mbagala Rangi Tatu, ulikamilika mwaka 2012.
Mafundi wa Kampuni ya Kajima ndio waliokuwa wakijenga kipande hicho cha barabara .
Magufuli alikataa kuipokea barabara hiyo kutoka katika Serikali ya Japan, iliyotoa msaada wa fedha na ujenzi kufanywa na Kampuni ya Kajima, baada ya kujiridhisha kuwa ilijengwa chini ya kiwango.
Magufuli alimweleza Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada kwamba asingeipokea barabara iliyo chini ya kiwango hata kama imetolewa kama msaada kwa Tanzania.
Baada ya msimamo huo wa Serikali, Japan ilifanya uchunguzi na kubaini kuwa kampuni hiyo ilijenga barabara hiyo chini ya kiwango.
Kutokana na hali hiyo, Balozi Okada aliahidi kurudia ujenzi wa kilometa 5.1 kipande ambacho waligundua kuwa kampuni hiyo ilijenga chini ya kiwango.
Baada ya kauli hiyo ya Balozi, Dk Magufuli alimtaka mkandarasi huyo kuondoa tabaka la lami na kuweka tabaka jingine gumu lenye sentimita saba jambo ambalo limetekelezwa baada ya marudio.Ujenzi wa Barabara ya Kilwa yenye urefu wa kilomita 13.5 kutoka bandarini hadi Mbagala Rangitatu ulizinduliwa kwa kuwekwa jiwe la msingi na Rais Jakaya Kikwete mwaka 2007.

Пікірлер: 41
@kingsuleiman7201
@kingsuleiman7201 3 жыл бұрын
Tangu zamani huyu jamaa alikuwa anaweza kufanya kazi vizuri
@williamlisala8222
@williamlisala8222 5 жыл бұрын
Kabisa unaweza kazi mzee Magufuli
@brightdeogratias6664
@brightdeogratias6664 3 жыл бұрын
What a man😭
@kassimandrea8540
@kassimandrea8540 6 жыл бұрын
Mungu akuzidishie,Magufuli, Kuna mijitu inacomente pumba nyerere aliondoka na wewe utaondoka,na mimipi pamoja na wazee wako.
@malcomg1004
@malcomg1004 3 жыл бұрын
Huyu mtu alikua na uchungu na hii nchi tangu cku nyingi sana,Rest in peace Rais wangu wa muda wote!😭😭😭😭
@williammwambokwa1511
@williammwambokwa1511 6 жыл бұрын
safi sana
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 8 жыл бұрын
he is very conservative love it
@edwardkabamba4272
@edwardkabamba4272 8 жыл бұрын
safiiii
@lucasmogoile7097
@lucasmogoile7097 3 жыл бұрын
Chuma#Magu kimetutoka kazi umeifanya alama umeiacha tangulia kwa amani
@mashamasha2854
@mashamasha2854 3 жыл бұрын
😭😭😭😭
@edwardedward2520
@edwardedward2520 6 жыл бұрын
He is supper.
@matatizobuloko4283
@matatizobuloko4283 9 жыл бұрын
Mie naona tumempata mwenye maamuz ya msimamo kama baba wa Taifa
@gideonkalumbu5220
@gideonkalumbu5220 4 жыл бұрын
Huyu ndiye Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli tumsaidie huyu ndiye Rais wetu.
@venancenyanda3343
@venancenyanda3343 3 жыл бұрын
Pumzika baba
@josephasewe8899
@josephasewe8899 9 жыл бұрын
mugu akubariki
@user-de6ys8dj5j
@user-de6ys8dj5j 11 ай бұрын
The great leader who knows what to do and in truly unique e cecrifise his life😢😢
@paskalinamichael3723
@paskalinamichael3723 3 жыл бұрын
Dah jamaa alkuwa si wakawaida kilometa zmejaa kichwani
@abednego3876
@abednego3876 5 жыл бұрын
hapo mezakuu hata hawapigi mskofi ..wamekaa kama ma master ... jpm ni definition ya mwanaume.
@MartinGao-pq3ed
@MartinGao-pq3ed 4 күн бұрын
Jembe hiloooo
@emmanuelmalando3100
@emmanuelmalando3100 8 жыл бұрын
nzur sana
@manjoriwakunesa7006
@manjoriwakunesa7006 7 жыл бұрын
Emmanuel Malando
@husseindaimu9265
@husseindaimu9265 3 жыл бұрын
Mungu amlaze mahali pema peponi
@abdallahmkomwa4091
@abdallahmkomwa4091 4 жыл бұрын
Upo sahihi tangu zamani kumbe we mzee kuwa rais hatujakosea kukuchagua
@zion3655
@zion3655 3 жыл бұрын
Wezi macontracta wapatikana. Waziri pia angetiwa mbaroni kutaka kumchezea Shera Raisi.
@damasnungu2822
@damasnungu2822 9 жыл бұрын
Namuombea hekima na busara zake ziendelee kuwa imara
@unclegmihale455
@unclegmihale455 Жыл бұрын
Dah R.I.P
@jamesjb561
@jamesjb561 5 жыл бұрын
tupo pa 1
@michaelmisago3671
@michaelmisago3671 4 ай бұрын
Alikua na uwezo wa kuhutubia bila kuandaa hutuba
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 6 ай бұрын
RIP mwamba utakumbukwa daima
@ukweli255
@ukweli255 9 жыл бұрын
huyu ndie anetufaa ila tumuombe mungu asije shikwa pua
@bettymsongole2254
@bettymsongole2254 7 жыл бұрын
Aloyce Garani hongera jembe retu hapa kazi tu
@stn4873
@stn4873 3 жыл бұрын
Nadhani show umeiona.
@denicemwitakabwere6770
@denicemwitakabwere6770 3 жыл бұрын
R.I.p comrade JpM
@geopolitics94
@geopolitics94 3 жыл бұрын
Rest in Peace my President
@user-ez3ub7hk3y
@user-ez3ub7hk3y Жыл бұрын
R l P
@gemmaathumani5178
@gemmaathumani5178 9 жыл бұрын
asilimia kadhaa????
@queenmseven2286
@queenmseven2286 6 жыл бұрын
wew ndio rais
@juliuskatemi6816
@juliuskatemi6816 7 жыл бұрын
ulikubalika toka zaman
@sampartick2235
@sampartick2235 4 жыл бұрын
Mchina uso wa bundi
@Princewaweru
@Princewaweru 6 ай бұрын
😂Huyu mzee utata aliaza zaman san
Rais MAGUFULI Alivyowabana TANESCO, Nusura AWATUMBUE!
27:53
Global TV Online
Рет қаралды 303 М.
HUYU NI MHE  JOHN POMBE MAGUFULI
13:38
Adam Gille
Рет қаралды 172 М.
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 14 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 87 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 29 МЛН
MOTO WA MAGUFULI ALIPOKUWA WIZARA YA ARDHI
16:51
Quadroonq Quadro
Рет қаралды 40 М.
Joho DAZZLES CROWD in Homabay, AFFIRMS support for Ruto come 2027
18:09
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 52 М.
Historia Ya Magufuli Kazini
10:26
SIMU. Tv
Рет қаралды 352 М.
Mhe  Magufuli, Kudorora kwa Ujenzi | TBC
3:47
SIMU. Tv
Рет қаралды 218 М.
DKT.MAGUFULI AFOKA MAJENGO YA WILAYA MOSHI NA SIHA
8:26
Qan Tas
Рет қаралды 191 М.