MAGUFULI Alivyowavunja Watu MBAVU - "Sijafunga, Ila Kwenye Pilau Nipo"

  Рет қаралды 1,263,764

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 667
@wolfugangtesha5724
@wolfugangtesha5724 5 жыл бұрын
Magufuli katika uongozi wako hakutakuwa na malalamiko ya kidini kwa sababu unazijali dini zote bila ubaguzi...Mungu akubariki sana sana
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 жыл бұрын
Sana huyu baba nampenda nakuombea baraka dua ampunguzie adhabu za kabri.
@nasrullahdakota6399
@nasrullahdakota6399 3 жыл бұрын
MaashaAllah.
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 Ай бұрын
Mashaallah tabaraka Allah Akbar
@sojasufu9897
@sojasufu9897 5 жыл бұрын
Tanzani Nchi takatifu mungu ibariki Africa iwe mfano kwa Mwenyezi mbele ya mwenyezi Mungu
@salimufundi8277
@salimufundi8277 5 жыл бұрын
Soja Sufu amiin
@muslimabdallahngoda7170
@muslimabdallahngoda7170 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu ailazemahara pemapeponi roho ya jemedari😭😭magufuli🙏
@hollanddutch-day
@hollanddutch-day 5 жыл бұрын
MaanshaAllah Rais wa Tanzania 🇹🇿 ningependa wangine Marais wa Dunia wajifunze kutoka kwako InshaAllah,ni salam kutoka Burundi 🇧🇮 ila mukazi wa South Africa 🇿🇦🙌Takbir
@zaidishabani5745
@zaidishabani5745 5 жыл бұрын
Tunakushukur pia mola mwingi wa rehma siku moja akupe nuru zaidi ya hii aliyokutunuku Leo amin namwisho mwema
@jaliakamote5485
@jaliakamote5485 5 жыл бұрын
Allah akujaalie nuru ya kiislamu ikufikie Insha Allah! Nakupnda sana mjomba Magu na leo ulivyopendeza walah kama Shekhe flani ivi.
@richardhakizimana8993
@richardhakizimana8993 5 жыл бұрын
Hongera sana mweshimiwa Rais
@mwanakomboomar5624
@mwanakomboomar5624 5 жыл бұрын
Amin ya Rabb
@yunussharif9267
@yunussharif9267 5 жыл бұрын
Ameen
@naimaabdallah9491
@naimaabdallah9491 4 жыл бұрын
Unakaz kadeki choo
@majidially4363
@majidially4363 3 жыл бұрын
MUNGU akurehemu na akusamehe makosa yako rahis wang mpendwa Hayati Magufuli,,AMEN🙏🙏🙏
@mimitijara4806
@mimitijara4806 5 жыл бұрын
Naona kiongozi wetu uko sawa xana Allah akujamilie cku moja utakuwa hapo kwenye kanzu inn sha Allah mungu mkubwa mungu mkumbwa mungu mkubwa
@naamohamed9964
@naamohamed9964 5 жыл бұрын
Amiiiin
@mecksonjacobo8632
@mecksonjacobo8632 5 жыл бұрын
mimi tijara .hizo gauni za wajawazito .
@naamohamed9964
@naamohamed9964 5 жыл бұрын
@@mecksonjacobo8632 matusi hayo dada yangu
@hassanbiduda4438
@hassanbiduda4438 5 жыл бұрын
Naa mohamed
@naimaabdallah9491
@naimaabdallah9491 4 жыл бұрын
@@mecksonjacobo8632 😂😂afadhar umenisadia
@rashidbusanya7166
@rashidbusanya7166 5 жыл бұрын
Allah akulinde akupe nguvu ulinzi na aman na upendo mkubwa kwa watanzania Kikubwa Allah akujalie usliim uipate nuru ya uislaam
@biramsakh9212
@biramsakh9212 5 жыл бұрын
Huyu ndie kiongozi mzuri sana asieleta ubaguzi wwte ktk nchi yake nawatu wake Allah azidi kumuongoza na awajaalie wote mashekh kher nabaraka amin
@rachellaizer941
@rachellaizer941 5 жыл бұрын
Safi Sana Mungu ni mwema Sana kwa tanzania anaetafuta vita akafie mbali mwenyewe na laana zake za kutotaka amani
@zulachama1067
@zulachama1067 5 жыл бұрын
Mashallah mashallah hongera kwa utuba yako ya mguvu muishiniwa John pombe makufuli kwa imani yako ya kuijenga inch ya Tanzanian #254 Kenya
@mohamedmatewele9185
@mohamedmatewele9185 5 жыл бұрын
Magufuli rais wetu mwenyezi mungu akulinde na mahadui wote wa ndani na nje ya nchi akujaalie afya njema,ingekuwa amri yangu uendelee kutuongoza milele
@mussakondo8931
@mussakondo8931 5 жыл бұрын
Tunajivunia kuongozwana magufuli ilinijembe
@frankchibago1046
@frankchibago1046 5 жыл бұрын
Jembe usie na ubaguzi alah akulinde
@kulthumahmada2631
@kulthumahmada2631 5 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu wenye manufaa rais wetu dunian na akher pamoja na waislam wote amin
@bulolerobert8107
@bulolerobert8107 5 жыл бұрын
AMEN
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 3 жыл бұрын
Dah kashaenda masikini😭😭😭😭😭
@shimuld6721
@shimuld6721 5 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Rahman Mwenye enzi Mungu akuzidishieni kheir mzidi kushikamana katika kila kitu. Ameen Yaarabil Alameen jamian .Na sisi kutoka Sultanate Oman tuna wapongeza wote
@fatmajuma9211
@fatmajuma9211 5 жыл бұрын
Yaallah nakuomba mpe umr mrefu rais wetu Magufuli na umsamehe dhambi zake inshaa Allah Kwan amevutiwa na kitabu chako kitukufu cha Quruan tukufu Allahuma Amina
@hidayaking3383
@hidayaking3383 5 жыл бұрын
Ongera sana majirani wetu nyinyi amnanga ubangizi wa udini kama kwetu Mozambique kwaiyo mnastaili pogezi kwenu
@jaliakamote5485
@jaliakamote5485 5 жыл бұрын
Asante.
@bukaone7507
@bukaone7507 5 жыл бұрын
Raisi uyu ni mfano mzur Tanzania.
@jazilingais5059
@jazilingais5059 5 жыл бұрын
Idaya Karrimu kabisaaa
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
Karibu tuombe mungu ukaguxi wa dini hautakuwepo
@danmafy2725
@danmafy2725 5 жыл бұрын
Idaya Karrimu mungu atakujaalieni mema duniani na akhera
@jamalmmoja1277
@jamalmmoja1277 5 жыл бұрын
Waliomuelewa Raisi Mstaafu Mzee Ally Hassan Mwinyi Kuhusu Mh JPM ngongeni Like nyingi sana
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 4 жыл бұрын
Na umependeza sana. Hiyo kanzu na barakashia mashaa allah.
@mnyongeidd8162
@mnyongeidd8162 5 жыл бұрын
Shukrani sana jiranizetu pia tunawaombea sana mungu awaepushe na matatizo ktk Taifa lenu Amiin
@dainescharles3647
@dainescharles3647 5 жыл бұрын
Magufuli wewe mungu akupe pepo ya duniani na kesho akhera baba yarab mwenyewe mungu apokee dua zetu kwako wewe ameen yarab kutoka Oman Muscat
@mamafatuma138
@mamafatuma138 5 жыл бұрын
Mm mkenya lkn nampenda sana Raisi huyu watanzania kwa yuko pamoja na wanaichi wako sio huyu wetu shetani asie penda cc waislam Allah azidi kukuongoza mangufuli in sha Allah
@jaliakamote5485
@jaliakamote5485 5 жыл бұрын
Aaamin Allah atawapa raisi mwenye kuwajali Insha Allah.
@addanovatus1906
@addanovatus1906 5 жыл бұрын
Mungu atawapeni rais wa haja zenu.
@naimaabdallah9491
@naimaabdallah9491 4 жыл бұрын
😄😄😄😄😂njoon kwa wakirto atawapenda
@silassteven2302
@silassteven2302 5 жыл бұрын
Safi sana waislamu na wakristo wa Tanzania ni ndugu Wala haitatokea machafuko yoyote maana tumechanganyikana sana magu mungu akubariki
@shabanimustafa3075
@shabanimustafa3075 5 жыл бұрын
umepata wapi mkiristu na muislam ni ndugu?
@najmagudeh203
@najmagudeh203 5 жыл бұрын
Nampenda sana rais wa tanzania hongereni sana watanzania kumpata rais anae wajali
@linahpallanjo9559
@linahpallanjo9559 4 жыл бұрын
Amina tumemuelewa magu mungu amlinde
@mariamally2649
@mariamally2649 5 жыл бұрын
Mashallah ! Raisi wetu umependeza sana na kanzu yako ...mungu akupe uhai na afya njema ...ameen
@nuratkalinga581
@nuratkalinga581 5 жыл бұрын
Hakika Rais wetu kapendeza mashaalah angeslim ingependeza sana
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 5 жыл бұрын
Dada Mariam Ally hata wewe ninaamini utakuwa umependeza mashaallah.
@saidaabdalla2854
@saidaabdalla2854 5 жыл бұрын
Amin
@tzmoko1510
@tzmoko1510 5 жыл бұрын
Aamina
@Mubarak552
@Mubarak552 5 жыл бұрын
Yaa Hussein
@ZainabuATuli
@ZainabuATuli 5 жыл бұрын
Allaah akuja'alie dk John pombe magufuli, shukra'an Sana m/mung akuangalie kwa macho mawil 🙏🙏
@hawahawa6915
@hawahawa6915 5 жыл бұрын
Mashaa allah. Natamani ningelikuwapo jaman Allah tujalie Afiya zote rais wetu. Allah hakujaze khery mashehe watu Allah hawajalie kilalengehery muzidi kutujuza sote waja wa Allah. Nawapenda sana .. Ramadhani njema kwawote 🙏🙏🙏
@salimufundi8277
@salimufundi8277 5 жыл бұрын
Hawaa Haww amiin
@awadhally1052
@awadhally1052 3 жыл бұрын
Hawa.♥️
@hawahawa6915
@hawahawa6915 3 жыл бұрын
@@salimufundi8277 amin
@hawahawa6915
@hawahawa6915 3 жыл бұрын
@@awadhally1052 ❤❤❤
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 5 жыл бұрын
mungu akujarie kila rakheri baba angu. mie siku ile ile nilipokuona tu niligundua unaweza kuijenga ichi yetu. mungu atakulipa mhe Rais wetu. ubarikiwe Sana Sana
@aidandamian1992
@aidandamian1992 5 жыл бұрын
Rais wetu n mwelewa sana ni zaidi ya wote nahis mana amefika mbali akaona kwamba Mungu n mmoja ila Din ziko tofaut na iman ndo tofaut kuu ila tunayemuomba ni mmoja big up mheshiwa
@fatumakhamis1816
@fatumakhamis1816 5 жыл бұрын
Mungu ampe Imani amalizie iyo Shahada Ili azidi kupata baraka za Mungu
@biramsakh9212
@biramsakh9212 5 жыл бұрын
Allah ibariki Tanzania daima na ailinde na kila shari na Allah atuepushe nahayo ubaguzi wadini au u kabila tuishi sote kua ni taifa moja tu la Tanzania amin Allah ibariki tz
@mahijakapingu395
@mahijakapingu395 5 жыл бұрын
Allah akupe maisha marefu Rais wangu
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 жыл бұрын
🤔🤔Mhhh
@suleimanmakame9454
@suleimanmakame9454 5 жыл бұрын
mh RAIS hongera sana' sana' kazi mzuri unayoifanya hakika tanzania ninchi ya amani mungu ajalie nchiyetu izidi Kua na amani nautulivu chini ya uongozi wa mh RAIS wetu mpendwa
@abuumussa2390
@abuumussa2390 5 жыл бұрын
mungu ibaliki TANZANIA kwa kutupa kiongoz bora na msikivu nasema kwa zat leo sikupoteza kula yangu
@tecomodise7402
@tecomodise7402 5 жыл бұрын
Mashallah anko magu uko vizuri...Mungu akupe moyo huohuo wa imani usiweze kubagua dini wala mtu yeyote...ila ukislimu itakuwa poa anko magu
@twahashabani2511
@twahashabani2511 5 жыл бұрын
tunashukuru kwa kutuletea raid mwenye hekima mungu amlinde ampe maisha marefu amkinge na maadui wrote.
@kisongoelibariki4340
@kisongoelibariki4340 5 жыл бұрын
Mungu ibariki tanzania mungu ibariki africa mungu mbariki rais wetu mungu tubariki woooooooteeeeeee
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 5 жыл бұрын
Masha Allah, magufuli wewe ni rahisi wa kuigwa na maraisi wengine ,mm ni mkenya lkn nakupenda sana raisi Wa jirani
@leonardmagidu8025
@leonardmagidu8025 4 жыл бұрын
Magumagu kwelikweli
@Irene-qt5zq
@Irene-qt5zq 3 жыл бұрын
Baba kweli wewe haukuwa na udini Leo umeeondoka udini umeanza kuonekana😭😭😭😭😭😭😭😭 pumzika kwa amani baba 🙆🙆🙆🏼‍♀️🙆😭😭😭😭 tutakukumbuka sana sana
@e.j.starelia5672
@e.j.starelia5672 5 жыл бұрын
God Bless Tanzania,God bless Magufuli, Mungu wabariki waialamu Kwa Wakristo I love you my president!!!! Mungu akulinde akuongoze daima
@zabibubashiri3034
@zabibubashiri3034 5 жыл бұрын
Alhamdulillah Mungu mmbatiki Rais wangu John Pombe Magufuli Mungu ibaraki Tanzania Mungu wabariki wote walioshiriki Amin Amin Inshaallah
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 5 жыл бұрын
Wewe JPM ni Rais wa Watz wote. Tunakupenda sana
@hamadhassan9348
@hamadhassan9348 4 жыл бұрын
Rama Mtetu
@christianlukenzo1026
@christianlukenzo1026 3 жыл бұрын
Abarikiwe na Mwenyezi Mungu siku zote daima Mtakatifu wa Mungu Joseph Magufuli!
@vumiliyamwinyi1457
@vumiliyamwinyi1457 5 жыл бұрын
MashaaAllah magufuli kanzu nakofia zimekupendeza Allah akujaliye uigiye kunako uislam Amiin Amiin.
@mkovzrmuscat7110
@mkovzrmuscat7110 4 жыл бұрын
Mashaallah raisi wetu mwenyezi Mungu azidi kutenda mema mbele yako na family kwa ujumla na watanzania kwa ujumla
@talent2437
@talent2437 4 жыл бұрын
Mungu ampe Nuru ya kiislamu, ewe Mwenyezi Mungu mjalie awe muislamu Dr. John pombe Magufuli.
@fortunathabarabara8471
@fortunathabarabara8471 3 жыл бұрын
Kama masihara umetuacha BABA😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔
@khalfansharji9790
@khalfansharji9790 5 жыл бұрын
Mashaallaaah magufuli anataka kufanana na mfalme Najash wa uhabesh zama za mtume na masahaba ALLAH amuongoze katika haki na amuwezeshe kuifuata.Ila mzee magu waangalie japo kidogo mashekh walio magerezani.
@orekumadumba6240
@orekumadumba6240 4 жыл бұрын
Hata kama maisha magumu kiupande wangu lakin nampenda raisi wangu mungu akusaidiye uwe na nguvu imara uwe na afya sabiti
@issajabir4270
@issajabir4270 5 жыл бұрын
mungu akubaliki uendelee na moyo huo huo na sisi tuko pamoja na ww tuko bega kwa bega
@solomonsuleiman4977
@solomonsuleiman4977 5 жыл бұрын
Mwaka 2020 huna kipingamizi kabisa umepita mzee baba haina haja ya kuharibu makaratasi
@dinnalawifanuel9864
@dinnalawifanuel9864 5 жыл бұрын
Haaaahaaaaa
@mrchefjr9667
@mrchefjr9667 5 жыл бұрын
Nimependa kua umekubali km qur an ni kitabu cha Allah
@jokhasaid1529
@jokhasaid1529 5 жыл бұрын
Mashaaallh nimependa san rais wet alivyokuwa anaongea mung akupe maisha maref ww ndio rais kuliko wote waliopita makufuli ndio rais ndio mtetezi wetu watanzania
@gundamusa444
@gundamusa444 5 жыл бұрын
My president mungu akubariki sana we love my president nguvu ya mungu iendelee kutembea na wewe 🙌🙌🙌🙌🙌
@ramadhankulunge7345
@ramadhankulunge7345 5 жыл бұрын
respect President
@maisarahndindagi7182
@maisarahndindagi7182 5 жыл бұрын
Mashallah raisi wetu🇹🇿tunakupenda
@charleschoma9555
@charleschoma9555 5 жыл бұрын
Dini ni kuishi pamoja Tanzania nchi yetu ya Amani tupo madhehebu mbalimbali tunaishi pamoja bila ubaguzi wote tunapendana
@mashamwaki6384
@mashamwaki6384 5 жыл бұрын
Ukijiona ww wa pwani gonga like hapa
@mimilenge9548
@mimilenge9548 5 жыл бұрын
Mwehishimiwa umependeza sana kwa vazii iloo inshallah mungu akujaliye Uwe mweslamu
@lenatusnestorykilalika7514
@lenatusnestorykilalika7514 5 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu Magufuli
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
Masikini Magu hana ubaguzi jamani mungu akuweke
@josephinemitamba3399
@josephinemitamba3399 5 жыл бұрын
Mungu akujahalie Magufuli wa Tanzania munahaki yote yakujivunia Rais wenu ni Rais wawote kweli
@jafarikideghesho6509
@jafarikideghesho6509 5 жыл бұрын
RAIS WA WATU, RAIS WA WATANZANIA. MAY ALLAH REWARD YOU ABUNDANTLY!!
@bulolerobert8107
@bulolerobert8107 5 жыл бұрын
amen for him
@allymkaku6188
@allymkaku6188 5 жыл бұрын
Asant Mungu ajalie Tasisi ya alhikma iendelee
@yussufmaxusuleiman4185
@yussufmaxusuleiman4185 5 жыл бұрын
Dr magufuli u are tha best...umenifurahisha from kenya
@yahyantaganzwa3013
@yahyantaganzwa3013 5 жыл бұрын
Burundi tunawapa ongera sana yani muna raisi mwenye hikma nabusara.
@ferryfabulous7250
@ferryfabulous7250 3 жыл бұрын
Hear,👂
@mariamsaidi7625
@mariamsaidi7625 5 жыл бұрын
Mashallah raisi wetu magu umependeza
@muhammadkagombe2858
@muhammadkagombe2858 5 жыл бұрын
Masha Allah
@allyking324
@allyking324 5 жыл бұрын
Najiisikia raha sana kumuona magu hana ubaguzi wa dini
@fatmaaly9686
@fatmaaly9686 5 жыл бұрын
Ana ubanguz mbona mashekhe hawatoi ndani
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 5 жыл бұрын
Mungu amzidshie
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
Allah wakibar
@sadahalfan6307
@sadahalfan6307 5 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah hasbiyallah.... amejitahid ingawa baadhi ya maneno yamempa shida....
@idrissambaga4478
@idrissambaga4478 5 жыл бұрын
huyu ni Raisi wa ukweli wanamchukia mungu atawalaani
@bulolerobert8107
@bulolerobert8107 5 жыл бұрын
Na iwe hivyo kweli walaaniwe kweli wanaomtakia mabaya Rais wetu
@twahirzahor2844
@twahirzahor2844 5 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu na uzidi kuupeinda qur an
@justinetesha6019
@justinetesha6019 5 жыл бұрын
km umesikia km mimi assaram rekum gonga like
@mrs2918
@mrs2918 5 жыл бұрын
nimecheka sana 😀😀😀
@zainabomar5512
@zainabomar5512 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂so mbaya kajitahidi
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 5 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 5 жыл бұрын
Ety asalam lekuu, jaman c utulie tu rais Wetu ,mwisho utie aibu jaman ,Ila nimekupenda huna ubaguz 😂😂😂😂😂
@justinetesha6019
@justinetesha6019 5 жыл бұрын
eeee bhn katisha ileile chini assaram rekum juu takbirii takbrii takbriii nouma sanaaa magu
@khamiskhamis5323
@khamiskhamis5323 5 жыл бұрын
Mashallah Anko Magu Umependeza kwa kweli yan ww,,ndo Raisi ambae tulikuhitaj kwa mda mrefu tuu ila Hichi ndo kipindi ambacho Mungu ameamua kukuleta fanya kaz baba kwa Uwadilifu bila kubagua rangi wala kabila ww ni Rais wa Tanzania 🇹🇿 nzima wala sio wa mazeheb flan Mungu akuongoze na akulinde na akusimamie ktk kaz zako bila matatizo yoyote
@shimuld6721
@shimuld6721 5 жыл бұрын
Hongera Mh Rais JPM kwa maongezi yako Mungu akubariki
@mwanaidimunga9099
@mwanaidimunga9099 5 жыл бұрын
Allah Kareem Mungu akupe umri mrefu Mh. John Pombe Magufuli
@mussakuntu7702
@mussakuntu7702 5 жыл бұрын
umeongea vzr sana mjomba hakika Quran ni kitabu kitukufu
@alqabayusuph8091
@alqabayusuph8091 5 жыл бұрын
dah tz ni pahala lazuli sn pa kuishi asante sn rais
@samirabasiah3357
@samirabasiah3357 5 жыл бұрын
Mashaallah rais wngu..mungu akupe moyo huohuo wa mapenzi...nakupenda sana rais wngu..
@maulidmohamed4494
@maulidmohamed4494 5 жыл бұрын
Bado tafuuti za dini zipo ili zipungue please mashekh kama wana kesi wahukumiwe ikiwa kufungwa au kuachiwa huru kuliko kutuzalilishia mashekhe Na uislamu kwa ujumla
@godfreykate864
@godfreykate864 5 жыл бұрын
Hacha udini Tanzania ni moja tu....Mwl JK Nyerere alituunganisha na tumekuwa kitu kimoja....wasomi wengi wa mwanzo waislamu katika nchi yetu wamesoma katika shule za wamissionary za wakristo akiwemo rais Mwinyi mbona hamkuhoji hilo kuwa wasomi wa zamani waislamu wamesoma shule za wamissionary wakristo
@thamiyuucute7098
@thamiyuucute7098 5 жыл бұрын
Jamani Rahaaaaa....Amani itawaleeeee....tuwache ubinafc Magufuli rais wawote
@isimailmiraji2995
@isimailmiraji2995 4 жыл бұрын
Masha,Allah
@pichenruteye5338
@pichenruteye5338 3 жыл бұрын
Bmw
@pichenruteye5338
@pichenruteye5338 3 жыл бұрын
Bmw
@muhammadalihaji7613
@muhammadalihaji7613 4 жыл бұрын
Kama unaendelea kuangalia hii vedio 2020 gonga like tujuane
@juliemgalula1785
@juliemgalula1785 3 жыл бұрын
RIP MAGU
@allymustafa9674
@allymustafa9674 5 жыл бұрын
Allaah awape Umr mref viongoz wetu wote wa Dini Pamoja na Rais Wetu Kipenz Dr John Joseph Magufuli
@haithamabdallah1699
@haithamabdallah1699 5 жыл бұрын
Masha allah, rais wetu wewe ni wapekee sana allah akuongoze vyema in shaa allah.
@moseskarithi5229
@moseskarithi5229 5 жыл бұрын
Marais Wa Nchi Zingine Wafaa Waige Rais John Maguful Inshaalah
@rishadimuhammad3238
@rishadimuhammad3238 5 жыл бұрын
Magufuli ww ni mfano wa marais wa ulimwengu mzima...pepo yakuhusu silimu upate pepo baba wa taifa
@pakekomwema9686
@pakekomwema9686 5 жыл бұрын
Rishadi Muhammad ww unafikiri pepo nijambo la mchezo chezo watu kukaa nakusoma soma qur an tiali umesha pata pepo
@suleimanally1284
@suleimanally1284 5 жыл бұрын
Kutoka moyoni Nakupenda sana Rais wetu wa Jamhuri furaha yangu inapita kiwango nahisi huna unafki
@rishadimuhammad3238
@rishadimuhammad3238 5 жыл бұрын
Anae hifadhi qu'ran hna hesabu moja kwa moja peponi... Pekeko mwema sijui mwenye kuhifadhi biblia atalekea wapi coz pepo haiwahusu wacristo wote motoni....ila atakae kusilimu ataepuka na moto
@mohammedsaidi6892
@mohammedsaidi6892 5 жыл бұрын
@@rishadimuhammad3238 mtu anaeelewa hawezi kuudhuria hapo huo ni ukafiri uliokithiri
@mecksonjacobo8632
@mecksonjacobo8632 5 жыл бұрын
Rishadi Muhammad sasa akislim akapata pepo satakuwa mwehu
@ommarymgeni1536
@ommarymgeni1536 5 жыл бұрын
maashaaallaah rais wetu munguu akujaliiee umri mtef uzidii kuunganishaa bilaa kubaguaa dinii ya mtuu kwakutupatiaa eneeo LA kujengaa hospital
@zumratibrahim841
@zumratibrahim841 4 жыл бұрын
Hongera rais wetu mungu akuongoze miaka yote duniani na akhera pia kweli wewe ni raisi wawanyonge
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 5 жыл бұрын
Magu anapenda dini zote mashallaa na peponi watakukumbatia wote na dini zote
@muniramasoud6783
@muniramasoud6783 5 жыл бұрын
Hongera mjomba magufuli kwa upendo wa watu wote huchagui dini wala kabila
@rahiimahrihani4936
@rahiimahrihani4936 5 жыл бұрын
I just love your leadership president Mangufuli, Allah choose you to be among the Islam ummah Amiin ya Rabbi
@mwanamisaomar346
@mwanamisaomar346 5 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah hongera rais maguful ww wapekee..lov u from 🇰🇪😗
@dullahdullah4131
@dullahdullah4131 5 жыл бұрын
Mwanamisa Omar p
@hajjshabani9683
@hajjshabani9683 5 жыл бұрын
Huyo ndio kiongozi anayohitajika na mwenyezi mungu kuwa mtawala wa watu ,salsafa yake kubwa amini usiamini anataka watu wake wasipate tabu tu wafurahiye maisha angalae hata kidogo yaliyoopo nahakika Kama inchi ingekuwa Tajiri angefanya Kama gadafi kwa watu wake
@mwanamisaomar346
@mwanamisaomar346 5 жыл бұрын
Muazidi kumuongoza afanye mengi zaidi yanayo pendeza mwenyezi mungu nawananchi pia..swadaqta shaban.
@dawaseif3699
@dawaseif3699 5 жыл бұрын
hongera sana rais mpendwa na mstaaf mwinyi wwe ni kiboko hongera Allah akujaze kheir
@maliethnyoni2847
@maliethnyoni2847 5 жыл бұрын
Ivi kwenye hayo mashindano awapo viongozi wa ulabuni wajifunze jinsi gani watanzania tunapendana atubaguani tunaishi kwa amani ivi awapo jmn ivi awaoni kuwa binadam wote sawa maanahizi inchi za kialabu shida mtu
@qmg40
@qmg40 5 жыл бұрын
Magufuli wewe ningekuwa na uwezo ningekuleta kwetu kenya kama kiongozi
@tumtumkhan3115
@tumtumkhan3115 5 жыл бұрын
MashaaAllah ni raisi wa manufaa hana ubaguzi
@mohamedadan7160
@mohamedadan7160 4 жыл бұрын
Hongera rais magafuli, wewe indio the only prrsident in this world, mungu akulinda na akupe maisha mema fidunia walakhira, kwa kujali dunia kiislamu...shukran sana tena shukri sana...
@hamisally2163
@hamisally2163 5 жыл бұрын
Jazakallah kheir Mr. President,Allah akuepushe na Shari za watu Wabaya na masheitwain wote
@qmg40
@qmg40 5 жыл бұрын
Pole bbngu magufuli mmi nitaenda nnje yamada kwani kauli zako niwazi wewe nimuumini sana. Niombi tu naomba mtafute mbinu mwafaka yakubadili mavazi ya nduguzetu wacristo.sibagui hiyo dini japo mmi muislamu lakini rais angalia wanawake walivyojistiri hapo alafu ujiulize ingekuwa shughuli ya dini yakislamu wanawake wangekuwa uchi. Magufuli unasifa zote ukitimiza hili, Wallah Mungu atakuenua zaidi. Mkenya am watching from Bahrain
@deomchili7341
@deomchili7341 2 жыл бұрын
paka we
@saudatatizonyota2101
@saudatatizonyota2101 5 жыл бұрын
Wow magufuli njoo kenya pia uchukue uraisi
@veesessy3318
@veesessy3318 5 жыл бұрын
😂😂hii kali sasa
@amnemkubwa7353
@amnemkubwa7353 5 жыл бұрын
😀😀
@zubeydaseif1714
@zubeydaseif1714 5 жыл бұрын
Hahhahaha
@japhetsasi3614
@japhetsasi3614 5 жыл бұрын
Akaa,si bado tunamuitaji labda tuwakodishie tu
@juliusntandu4302
@juliusntandu4302 5 жыл бұрын
Nani kama mfalme anayeomba rehema kwa nchi yake kwa Mwenyezi MUNGU hakika wewe ni unamuogopa MUNGU. MUNGU auinue ufalme wako hakika
@salimufundi8277
@salimufundi8277 5 жыл бұрын
Julius Ntandu amii
@fredmsemwa9671
@fredmsemwa9671 5 жыл бұрын
Mungu akutuze akupiganie nakila baya upate ushindi mwingine tenaa kwaawamyapili
@hassankurwa464
@hassankurwa464 5 жыл бұрын
There is no One like you Magufuli. Yaani sina chakusema umepitiliza
@michaelmpanduji7952
@michaelmpanduji7952 5 жыл бұрын
Hongera sana rais wawanyonge
@ferryfabulous7250
@ferryfabulous7250 3 жыл бұрын
Totally agree 👍
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 5 жыл бұрын
Rais wetu ni mtu mwenye hekima na mfano wa kuigwa.ubarikiwe baba.
@tanzaniat7151
@tanzaniat7151 3 жыл бұрын
😭😭😭Allah akuhifadhi mahala pema peponi MUGUFULI.
@ibrahimwario3177
@ibrahimwario3177 5 жыл бұрын
Takbir! Masha Allah rais Dr.Pombe Magufuli naomba uwe muislamu
@zalinaseif4430
@zalinaseif4430 5 жыл бұрын
Hebu badiliken jama udini tuweke pemben
@swahililifestyle_tanzania2140
@swahililifestyle_tanzania2140 5 жыл бұрын
Nakupenda raisi wetu usiyekua na ubaguzi
@womenmuungano881
@womenmuungano881 4 жыл бұрын
Wewe rais nikuombee dua gan hata inzi asikuguse?mashaallah mungu mlinde rais wetu tukutane akhera mcha mungu huyu namba hii comment hii ikufikie nakuombea Sana'a mpaka kiama
@smonmbamba1528
@smonmbamba1528 3 жыл бұрын
Mchungaji ujitoa uhai wake kwa ajili ya kondoo wake
@jumannesadiki768
@jumannesadiki768 5 жыл бұрын
Mzee umenikuna sana hasa ulipoongea kuyaishi maneno ya Nwebyezi Mungu ktk maisha yetu badala ya kubakiza vifuani vifuani mwetu tu
@hamidajuma7804
@hamidajuma7804 5 жыл бұрын
Mashaallah Rais wetu.
@SalmaSawaqw
@SalmaSawaqw 5 жыл бұрын
Silimu raisi makufuli uende peponi madam upo na waislam hongela saaaaaana😙
@shaibumwegero5085
@shaibumwegero5085 5 жыл бұрын
Jazakallaheri Mungu ibariki Tanzania
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 5 жыл бұрын
Inshaallah
БУ, ИСПУГАЛСЯ?? #shorts
00:22
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,3 МЛН
PIZZA or CHICKEN // Left or Right Challenge
00:18
Hungry FAM
Рет қаралды 14 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 697 М.
The Day Ronaldinho Became a Brazilian Legend
12:50
VSP7 FOOTBALL
Рет қаралды 3,4 МЛН
محاكمة صدام حسين - الجزء الثالث
44:47
العربية برامج
Рет қаралды 1,2 МЛН
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 77 МЛН
БУ, ИСПУГАЛСЯ?? #shorts
00:22
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,3 МЛН