MAGUFULI Amlipua HALIMA MDEE Jimboni KWAKE - "MTOENI HUYO MBUNGE, NILETEENI GWAJIMA"

  Рет қаралды 68,332

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MAGUFULI Amlipua HALIMA MDEE Jimboni KWAKE - "MTOENI HUYO MBUNGE, NILETEENI GWAJIMA"
MGOMBEA URAIS (CCM) Dkt John Magufuli, ameendelea na kampeni zake katika jiji la Dar es Salaam, ambapo leo Oktoba 14, amefanya mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Tanganyika Pakers vilivyopo wilaya ya Kinondoni...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 214
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 жыл бұрын
Gwajima Hoyeeeee sana Baba askofu anatufaaaa sana sisi . Hatuna udini Tanzania sisi.
@mariamnimbo8394
@mariamnimbo8394 4 жыл бұрын
Asante Mh Rais wetu. Mungu akubariki kwa busara na hekima zako. Ninamshukuru Mungu kwa uongozi wako wa hekima na busara. Wewe kweli ni baba lao. Tusiwaangalie hao, waache waseme mchana usiku watalala. Kura nyingi kwako na kwa Gwajima na madiwani wote wa CCM Mheshimiwa Rais wetu mpendwa. "Hapa Kazi Tu." Slogan hii inatenda kazi!!!!
@gilbertmichael9130
@gilbertmichael9130 4 жыл бұрын
Kumuweka Gwajima kawe hapo ccm mlifanya maamuzi sahihi... Maana gwajiboy ndie awezae kumng'oa Bi kidude, Ila mngejichanganya kumuweka mwingine msingemuweza Halima... RIP msagaji Gwajima tano kwanza Magufuli tano tena
@mwambamwamba8235
@mwambamwamba8235 4 жыл бұрын
Hongera President J.P.Makufuli Wewe kiongozi wa mfano Tanzania miaka 10. Kwetu wewe ni kidogo mno,sana ila najua wenye moyo na mfano wako wapo ndani ya chama tawala tuandalie kabla kumaliza. Hutuba yako ya kawe tamu na ya ukweli mimi niliwahi kusimamia uchaguzi kawe wa kati wa Mhe. Kikwete kutoka chuo cha Magogoni kumsaidia rafikiyetu Wanura Maranda wa CCM tulipata taabu kwa matusi ya Chadema,wakatihuo tupo usiku shule waktaka kuleta fujo Mungu akanipa ujasiri na kunielewa wakatulia, Onospholio Ngogo wa Iringa mwanachu mwenzangu ndie alieniomba nitulize dadazangu wanalia usikuhuo na shangaa huyo dada kawapa nini wana kawe. Ukweli Mhe. Huyodada hatufurahishwi na staili za siasa zake bungeni, si za maendeleo Bungeni ,kila mwaka ugomvitu na Serekali, wanasiasa waainahii wanatupeleka wapi? Hutuba yako Mhe. J .P .M Ni dira na wale wana CCM wabaishaji kwenye majimbo washughulikiwe, kwani wanaharibia chama wasionewehaya, sawa na wasaliti watu waainahiyo.
@husnashabani7495
@husnashabani7495 4 жыл бұрын
Kikubwa uzima tunachoomba mungu atupe afya njema apite ccm maisha ni yaleyale apite Wa upinzani maisha ni Yale Yale
@bonystar503
@bonystar503 4 жыл бұрын
Hongela Sana kumbe wewe umekua
@hajiissa9200
@hajiissa9200 4 жыл бұрын
Huyu mzee mungu amuweke sana Mungu MBARIKI rais wetu MPENDWA amin
@mercyjesus6637
@mercyjesus6637 4 жыл бұрын
Baba angu Gwajima jamani YESU akutangulie babaaaa
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 жыл бұрын
Gwajimaaaaa anafaa kabisa sana kwanza Gwajima hana njaaa anajiweza atafanya kazi nzuri . Hao kazi yao ni kufanya fujo bungeni hawana lolote.
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 4 жыл бұрын
Kelele nyingi, muongoooo!
@policejamiimkumbwa9405
@policejamiimkumbwa9405 4 жыл бұрын
Sahihi amirijeshi mkuu
@nicodemusngwala2079
@nicodemusngwala2079 4 жыл бұрын
Muongo humuogopi Mungu ....wanaomugopa Mungu hawalazimushi Wananchi lazima wamchague mtu Fulani ...
@mathewkimaro8781
@mathewkimaro8781 4 жыл бұрын
Chapa kazi Baba tupo pamoja kwenye sanduku la kura kichinjio ninacho
@erickwanjarajr5707
@erickwanjarajr5707 4 жыл бұрын
Sijawai sikia halima akijenga hoja za kuhusu miladi ya jimbo lake
@jpthe_clerk5521
@jpthe_clerk5521 4 жыл бұрын
unajua kazi za mbunge kweli,?
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 4 жыл бұрын
@@jpthe_clerk5521 huyo unaemkosoa ndio kaziongea kazi za mbunge ssa kwani wwe kazi za mbunge unajua ni zip
@jpthe_clerk5521
@jpthe_clerk5521 4 жыл бұрын
@@harrisonsamwel3112 mwenyewe anajua anachowaambia na uhalisia ni tofauti anapiga propaganda tuu apate kura, kama nlikuwa sijui ningewezaje kumchallenge?
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 4 жыл бұрын
Kabisa
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 4 жыл бұрын
@@jpthe_clerk5521 sjakuelwa
@kelembukelembu2528
@kelembukelembu2528 4 жыл бұрын
Maendeleo hayana chama ilihali unawaambia Watanzania wakikuletea wapinzani hutawapa maendeleo?
@onesmominga844
@onesmominga844 4 жыл бұрын
Huyu mtu mtu mbn hatumwelewi anachokiongea.
@charlesking8252
@charlesking8252 4 жыл бұрын
Safi sana my dear and beloved President JPM
@subiraabeid588
@subiraabeid588 4 жыл бұрын
Magufuli safi gwajima oyeeee
@rajabumilambo1761
@rajabumilambo1761 4 жыл бұрын
kwajima 5 yako mdeee kwisha kazi
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 4 жыл бұрын
Nakukubali Sana JPM kura zote CCM ushind mapema 28 asubuh
@maalickbintarish6658
@maalickbintarish6658 4 жыл бұрын
Alima mdee afai kabisa ashakula pesa sana
@piojorojick3066
@piojorojick3066 4 жыл бұрын
Tujenge hoja za kutusaidia kimaslahi kama nchi. Na viongozi wetu tufikiria mbali kiasi
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 4 жыл бұрын
@@ayubumigembe1002 ananchomaanisha ni kwamba mbunge wa jimbo hilo hapeleki hoja au kero za jimbo lake na wakati mwingine anakataa mpaka miswada ssa utapelekaje maendeleo wakati hujui changamoto zinazowakabili hao watu wa jimbo hilo
@wemamtafya1831
@wemamtafya1831 4 жыл бұрын
Mi najiuliza tu, hivi bunge la awamu hii sijui litakuwaje, kwani ccm imepanga kuchukua majimbo yote makubwa, kama vile mbeya sugu, iringa - msigwa, arusha - lema, hai - mbowe, kawe - mdee, na kule kwa esta bulaya. Sasa bunge litakuwa la ccm tu, kila mswaada watakuwa wanapiga makofi.
@gilbertmichael9130
@gilbertmichael9130 4 жыл бұрын
Hii awamu inatekeleza kwa kishindo ..haihitaji watu wakupinga, ila wakupitisha bajeti... Acha chadema wapumzike wanampigia tu kelele rais, Tumwache afanye kazi
@ladslausjulius3533
@ladslausjulius3533 4 жыл бұрын
Usitudanganye bwanaa sisi sio mapoyoyoo , mdeee anafaa, harma mdeeee , pipoooooziiiiiii
@kambamazig02024
@kambamazig02024 4 жыл бұрын
Anafaa sana kwa matusi na kujifanya kupiga makelele ndiyo siasa. Kawe kashindwa kuisaidia, akajifunze kwa akina mama wanasiasa vijana ambao wanatekeleza kazi zao.
@evelynejohn710
@evelynejohn710 4 жыл бұрын
@@kambamazig02024 anachojua ni ujike dume tu sikapendi ka bi kidude
@ayubuibrahim5401
@ayubuibrahim5401 4 жыл бұрын
Kamdee kakalee familia uko jimbo katuachie vidume
@theleo3899
@theleo3899 4 жыл бұрын
Hutaamn kitakachowatokea we sema peoples peoples power
@abdisalamjamal2128
@abdisalamjamal2128 4 жыл бұрын
Pole Mheshimiwa Rais mambo ya Kawe waachie wanakawe wenyewe huyu Askofu uchwara anaye tukana dini zingine hafai kuwa.mwanasiasa anatuharibiya Chama chetu CCM. Kweli hapo Kawe CCM imekosea. Hata kama mtoto wa Dada yako ni chaguo la Wana CCM damu wa Kawe.
@fatimahamisi9235
@fatimahamisi9235 4 жыл бұрын
Wanakawe ndio tutaamua tar 28
@mjerusikipago299
@mjerusikipago299 4 жыл бұрын
Anakuja Gwajima kuleta hoja zetu
@edithamsaky7440
@edithamsaky7440 4 жыл бұрын
Achaneni.na.sauti.ya zege chagrin.wagima
@elishakahumbi8719
@elishakahumbi8719 4 жыл бұрын
Kweli
@marcokasela96
@marcokasela96 4 жыл бұрын
Ivi Kuna mbunge machachali bungeni Kama Halima Mdee? Kawe hoyeeeeeee!
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 4 жыл бұрын
atabaki kua machchari lakini haendi kutatua kero za wananchi wao ni bora hizo amsha amsha akaamshe kwa bwana wake
@marcokasela96
@marcokasela96 4 жыл бұрын
@@harrisonsamwel3112 Acha kuchekesha walionuna wewe. Acha watz wakapige kura ushabiki mwingine Sio Poa.
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 4 жыл бұрын
@@marcokasela96 ndio wakapigie kura mtu atakae leta maendeleo sio maneno bungeni
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 4 жыл бұрын
Kwa hiyo unataka kuabudiwa!
@mwambietv7614
@mwambietv7614 4 жыл бұрын
Gwajima hafai kwa hili ata kanisani kwake watu wamehama washamjua mapemaa hapo kawe ni Halima tu
@bonystar503
@bonystar503 4 жыл бұрын
Oyeeeeeeeeeee mzee maguuu
@bakarisadala1639
@bakarisadala1639 4 жыл бұрын
Tarehe 28 sio mbali
@amigodossantos4129
@amigodossantos4129 4 жыл бұрын
Magufuli the winner
@mwambietv7614
@mwambietv7614 4 жыл бұрын
Halima mitano tena mwanzo mwisho
@honehubaliwei7291
@honehubaliwei7291 4 жыл бұрын
Deceiving will never last you forever
@hussainally2781
@hussainally2781 4 жыл бұрын
Pricisely
@officialmkama4592
@officialmkama4592 4 жыл бұрын
Siasa bwana!!!!
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 4 жыл бұрын
Vita ya Magufuli kwa Halina Mdee ni hoja zake na ujasiri wa kuikosao serikali . Madai ya kutokuleta maendeleo ni ya hovyo sana. Kazi ya kuleta maendeleo ni ya serikali ambayo ina jukumu la kukusanya kodi na kutekeleza mipango ya maendeleo. Magufuli atuambie ni lini serikali ilileta bahetu ya maendeleo ya kawe alafu Mdee akaipinga. Kila anayefuatilia bunge anajua mziki wa Halima Mdee ktk kujenga na kutetea hoja zake. Ccm mjipange na ujinga wa ndiooooo kwa kila kitu.
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 4 жыл бұрын
ssa kama kero za jimbo husika hazipelekwi hiyo serikali jtajuaje hizo changamoto za jimbo hilo husika???
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
Hata kama Anaziwakilisha.lakini Mzee Anasema Ana Mausiano Mazuri na Viongozi Wenzie...Ajirekebishe hata kama Wakimchaguwa tena.
@shijamakenzi3051
@shijamakenzi3051 4 жыл бұрын
Mnatumia madaraka yenu kutuhadaa wapiga kura kwa hoja ambazo ni za kitoto kabisa heti nitoleeni aliyopo mniletee fulani kashindwa halima ni mbunge wa watanzania siyo kawe peke yake nani asiye juwa mziki wa halima katika kuchangia hoja zenye mashiko?sema mnataka wabunge mbumbumbu kila kitu ndiyo umeshiba ndiyo unajaa ndiyo pelekeni pesa za maendeleo kwenye majimbo yote kwani hata majimbo yenye mbunge wa upinzani hata ccm tupo tuliokuchaguwa rais na kodi sote tunalipa shida iko wapi?
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 4 жыл бұрын
@@husseinshabani9522 hawawez kurudi tena bungeni ssa iv mdee maana wapiga kura wengi wametulia hawana maneno mengi kero walizo nazo zinatosha kupeleka mtubatakae waletea mabadiliko mtu amekaa miaka 15 maji yanajaa mitoni sibora wachague hata mbao waone angalau kama mabadiliko yatakuwepo
@mbajawagome5212
@mbajawagome5212 4 жыл бұрын
Jamani , eee sisi ni wacha mungu lakini uongo tunajua hats kuliko shetani baba wa uongo
@georgemkandara2046
@georgemkandara2046 4 жыл бұрын
Huyu mzee ni muongo tena siyo kidogo
@salumkinono4729
@salumkinono4729 4 жыл бұрын
Kula yangu kwa halima nampenda kwasababu ana jitambuwa
@bizonkasian4891
@bizonkasian4891 4 жыл бұрын
anajitambuwa, au sio
@sekuludevid6313
@sekuludevid6313 4 жыл бұрын
Yaan wabunge weng wenye mbwembwe nying bungen kwenye majimbo yao hatar tup cjui kwann wanajifichia kuwa wao wabunge wa Tanzania nzima
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 жыл бұрын
Huyu Halima mdee Hafai kabisa kuwa mbunge amechuja hana jipya hata kidogo .hajielewi zaidi ya makelele na hana jipya
@mwalimumbukuzi7273
@mwalimumbukuzi7273 4 жыл бұрын
Hotuba nzuri iliyojaa uungwana.
@halimamaulid1893
@halimamaulid1893 4 жыл бұрын
Kuna majimbo yapo kibao tangu enzi na enzi ccm ndo wanatawala lakin hakuna maendeleo yeyote,wale waliathirika na chama tawala ndio wanaokataa kutawaliwa na ccm
@gimongeraimos3328
@gimongeraimos3328 4 жыл бұрын
huwezi kutumikia mabwana wawili
@eliudjackson8843
@eliudjackson8843 4 жыл бұрын
Gwajima ni tamaa ya hela tu hawezi kuwatumikia wana kawe
@florachogo5537
@florachogo5537 4 жыл бұрын
gwajima oyeeee mtoe huyo mchafuzi
@othumanmrua5996
@othumanmrua5996 4 жыл бұрын
Huyu Halima Atumtaki tena
@jpthe_clerk5521
@jpthe_clerk5521 4 жыл бұрын
sema simtaki ...
@shijamakenzi3051
@shijamakenzi3051 4 жыл бұрын
Sema humtaki pumbavu
@babramakungu4016
@babramakungu4016 4 жыл бұрын
Hapo umeongopa mzeee huku kwetu mbunge bona karuwa wa CCM mbona hajafanya kitu segerea?sidanganyiki
@onesmominga844
@onesmominga844 4 жыл бұрын
Naomba tu upinzan usiwepo ijulikane moja!mana hii ndio itakuja kuleta matatizo mana chuki zinazid kujengeka ktk nch yetu ya Tanzania.msajili afute ijulikane moja.
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 4 жыл бұрын
Atakusumbuaje wakati hupendi kufanya kazi na UPINZANI huo ni USANII
@sungula100
@sungula100 4 жыл бұрын
Kama kupata miradi mpaka kujenga mahusiano na waziri, yaani hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa? Hii ndo roho ya uombaomba. Mdee kapiga keleke barabara ya Makongo juu mara 16,lakini hakuna kitu kimefanyika.
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 4 жыл бұрын
ssa wwe kila siku unatukana huna mahusiano mazuri na wale unaoenda kuwaomba mambo ya jimbo lako utasaidikaje??? mtu huongei nao watakuskiaje ??
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@nicodemusngwala2079
@nicodemusngwala2079 4 жыл бұрын
Mmmmmh gwajima ....ataleta ujima ....
@kelembukelembu2528
@kelembukelembu2528 4 жыл бұрын
ANGEWASUMBUAJE WAKATI KILA SIKU MNAPELEKA MAHAKAMANI???
@rosetreffert6727
@rosetreffert6727 4 жыл бұрын
Mdomo wake mchafu hana kauli makelele tu akalee familia
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
Apunguze Vurugu
@tariqmussa8099
@tariqmussa8099 4 жыл бұрын
Alima akasagane uko
@evelynejohn710
@evelynejohn710 4 жыл бұрын
Ndio anachokojua tu
@shijamakenzi3051
@shijamakenzi3051 4 жыл бұрын
Mama yako atakuwa anasagwa mbulula wew
@hassanmashambo1327
@hassanmashambo1327 4 жыл бұрын
Halima mdee lala ucngz utulie jimbo bdo lako
@berthamahangila4462
@berthamahangila4462 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@hussainally2781
@hussainally2781 4 жыл бұрын
Ebu tuache kidogo
@stephenmbukilo3276
@stephenmbukilo3276 4 жыл бұрын
Hakuna shehe aliyegombea siasa
@eliudjackson8843
@eliudjackson8843 4 жыл бұрын
Gwajima hawezi leta maendeleo ni tamaa ya hela tu
@mathiasmavanza605
@mathiasmavanza605 4 жыл бұрын
Wewe mzee acha uongo. Unasema uongo halafu unamdhihaki Mungu. Kumbuka Mungu anakuona na kukusikia. Chochote mtu apandacho ndicho atakachovuna.
@husnashabani7495
@husnashabani7495 4 жыл бұрын
Mhhhh 28 ndiyo majibu tusidanganyike mwenye macho haambiwi ona ccm wametuchosha
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
Umejichosha Mwenyewe...fanya kazi vyabure Akuna tena.
@amigodossantos4129
@amigodossantos4129 4 жыл бұрын
Magufuli anapenda barabara :))
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 4 жыл бұрын
Ndio mpango mzima
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
Ulitaka tupite kwenye Tope?Umeona Barabara tu?vingine Ujaona?
@lucypatrick7506
@lucypatrick7506 4 жыл бұрын
@@husseinshabani9522 wambie hao wanajitoa akili
@jumambaga6105
@jumambaga6105 4 жыл бұрын
Mzee kwetu kigamboni bado kubovu yuko ccm
@evelynemgonja3822
@evelynemgonja3822 4 жыл бұрын
😏😏 ngwajima ni pepo lililoshindikana mpk kwa waumini wake wamemkimbia ndo aweze watu wa kawe? mtuache🙌
@amosmathias641
@amosmathias641 4 жыл бұрын
Kwani palipo na wabunge wa ccm kuna maendeleo kupita majimbo ya wapizani??????
@neemaamanzi1118
@neemaamanzi1118 4 жыл бұрын
Kama wewe unavyomponda Mdee
@davythomas3550
@davythomas3550 4 жыл бұрын
Sisi nyang'hwale mbona umetutenga mh magufuli why?
@hanifailomo2764
@hanifailomo2764 4 жыл бұрын
Kawe mchaguen Halima anatosha sana askofu aendelee kuchunga kondoo wa BWANA maana Gwajima hawezi tumikia mabwana wawili
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 4 жыл бұрын
KAWE MCHAGUENI GWAJIMA ACHENI MTU MWENYE KELELETU HUYO HALIMA MDEE NI MFANYA FUJO BUNGENI HANA JIPYA ! HAFAI KABISA KUWA MBUNGE TENA NI KITUKO HAFAI KABISA.
@jumaabdalla5487
@jumaabdalla5487 4 жыл бұрын
Halima mdee asikilizwe na nani wakati kwenye bunge anaikataa miswada kuweni na akili mipumbavu nyie
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
Unaweza kupanga Hoja Vizuri.shida kuimalizia.hapo Mwisho Umealibu kutukana.
@shijamakenzi3051
@shijamakenzi3051 4 жыл бұрын
Ww ndiye mpumbavu kwa kukosa elimu
@chandofficialtzy2108
@chandofficialtzy2108 4 жыл бұрын
Mbona mbeya ulisema wakikuchanganyia hawata pata maji me sishangai kumkosa kwa sababu tu eti ni mpinzani gwajima hapiti ng'oooooo
@rajabumilambo1761
@rajabumilambo1761 4 жыл бұрын
Unapiga kula ww peke yako au gwajima anapita 5
@rajabumilambo1761
@rajabumilambo1761 4 жыл бұрын
Unapiga kula ww peke yako au gwajima anapita 5
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
Kila kitu nikupinga tu..vingine Muwe Mnakubali kama vimefanyika.
@neemaamanzi1118
@neemaamanzi1118 4 жыл бұрын
Acha siasa wewe mzee
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
Ulitaka Afanye nini?
@hamismabula5813
@hamismabula5813 4 жыл бұрын
Sasa aache siasa wakati yuko kwenye kampeni za kisiasa!
@malachisemwenda480
@malachisemwenda480 4 жыл бұрын
Uongooo
@hamismuhile3667
@hamismuhile3667 4 жыл бұрын
Mzee waeleze ukweli wakijichanganya tena shauri yao
@chanyarimanyonyi8199
@chanyarimanyonyi8199 4 жыл бұрын
The Rock man is magufuri
@bonifacekalima5273
@bonifacekalima5273 4 жыл бұрын
Usiwadanganye watu,,hakuna msikiti unaweza kujengwa week moja hiyo uijuayo ww ni ndoto
@dtherockguy9003
@dtherockguy9003 4 жыл бұрын
hahahaa kaka ujaelewa
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 4 жыл бұрын
Usiseme kero hazipelekwi . Msikilize halima Mdee akiwa bungeni anasema nini. Na umsikilize Magufuli anasema wazi kila alikopita hakupeleka maendeleo kwa sababu walichagua wapinzani hapo utamlaumu nani? Mbunge ka,i yake ni kupeleka bungeni kero za jimbo na wote wamefanya hivyo.
@godfreykashuli3859
@godfreykashuli3859 4 жыл бұрын
Halima Mdee ni mwanamke shujaa, huwezi kumlinganisha na Gwajima, ki ukweli Halima Mdee alale usingizi jumbo bado ni lako.
@hamismuhile3667
@hamismuhile3667 4 жыл бұрын
Halima mdee ni mzuri kuoa sio kuwakilisha wananchi aje tumuone
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 4 жыл бұрын
mpaka ssa kuna maendeleo gani mpaka uone anafaa we mpuuzi
@youmemeyou2976
@youmemeyou2976 4 жыл бұрын
🤣 eti barabara wangapi wameajiriwa kujipatia kipato kumudu maisha. 2020 unaongelea barabara ajira ziko wapi . Mambo ya kizamani ongelea Ajira .Afya bure na elimu nzuri .na makazi bora ya wananchi.
@jumaabdalla5487
@jumaabdalla5487 4 жыл бұрын
Na apotee uko msagaji huyu na huyo shoga mwenzake mbelgiji
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 4 жыл бұрын
Juma abdallah,, kwa din yako inakuelekwza kuongea maneno machaf hivo halaf unaenda msikitini kwa siku x zaid ya 2
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 4 жыл бұрын
Hawafungi midomo Bali nyie ndo mnawatishiaga
@selinaalbert8993
@selinaalbert8993 4 жыл бұрын
Halima hatokiiiiiiiiiiii
@magecosta4449
@magecosta4449 4 жыл бұрын
Atatoka, kwani yy nani asitoke?
@fredreckmwakalinga3475
@fredreckmwakalinga3475 4 жыл бұрын
Hivi Halima na magu anauwezo ?
@MohamedHassan-hr6cb
@MohamedHassan-hr6cb 4 жыл бұрын
Leo tena umepeleka kwa nguvu na kila cku unasema kwa wapinzani hupeleki chochote mpk wakupe wa ccm?? Mmmh jmn siasa hizi?? Haya mkuu tutajitahidi kukuelewa...
@deodatusdeogratius4910
@deodatusdeogratius4910 4 жыл бұрын
Mbona majimbo yanayo ongozwa na Wabunge wa CCM bado changamoto umeona jimbo la Dada Halima tu mtakoma na Gwajima wenu huyo aende tu Akalime
@reginamanyangu6682
@reginamanyangu6682 4 жыл бұрын
Huyu mzee kigeu geu kah ramadi alisema mkichagulia wapinzani silent maendeleo Leo maendeleo hayana chama😳 halima yupo juu Sana, haraf huyo unaye mnad ni ndumila kuwili Alisha sema uchungaji ndio cheo cha mwisho, achen izo
@shekhenasiri1302
@shekhenasiri1302 4 жыл бұрын
We muongo mbinafsi wakat umesema maendeleo Hayana chama
@bennyteve3871
@bennyteve3871 4 жыл бұрын
Magu analeta ubaguzi na hatumpii kura mpuuzi huyo?
@bennyteve3871
@bennyteve3871 4 жыл бұрын
Magu analeta ubaguzi na hatumpii kura mpuuzi huyo?
@mirajizuberi4157
@mirajizuberi4157 4 жыл бұрын
@@bennyteve3871 humupi wewe usituchanganye nasisi
@bennyteve3871
@bennyteve3871 4 жыл бұрын
Sijajua ccm inawapa nini kwani hadi sasa hamjui hatma yenu?
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 4 жыл бұрын
@@bennyteve3871 Magu 5 tena. Hakuna kama Magu tusidanganyane hapa. Mnamshabikia mtu anaetaka kukopa kwa kuweka ardhi rehani akishindwa kulipa mtaishi angani? Maana Tz kila mahali kuna madini kuweka rehani ni sawa na kuuza nchi halafu mtaishi wapi sasa !?? 😏
@godlizenmoses2142
@godlizenmoses2142 4 жыл бұрын
Jiwe una sera mwaka safar ya chato inakuhusu nenda ukalee wajukuu
@fizzofinest
@fizzofinest 4 жыл бұрын
We unaferi
@elieneapalangyo6938
@elieneapalangyo6938 4 жыл бұрын
Kwa maana hiyo sehemu ambazo ni za upinzani hakuna maendeleo ambao serikali hawezi kutoa hela
@bonabonala42
@bonabonala42 4 жыл бұрын
Kawesio. Cjatokawe. Wajanja. Sio. CCM
@marymallya9018
@marymallya9018 4 жыл бұрын
Wapi. Wewe. Hakuna. Fara. Tunamtaka. Halima. Tuu. Gwajima. Njaa. Inamsumbua. Mara mchungaji. Mara. Askofu. Sadaka. Imekuwa. Ndogo. Sasa. Kwetu. Hakuna. Fara. Wapi. Wewe. Eti. Mungu. Atakupokea. Israeli. Ndio. Atakupokea.
@kajoromaganyiro3342
@kajoromaganyiro3342 4 жыл бұрын
Mmmmmmm
@annamushiaminaaa4367
@annamushiaminaaa4367 4 жыл бұрын
Na huyo ngwajima ni mkamilifu sanaa?mnsdanganya Uma ssaa nyoka ni nyoka hakosi kutamaa na tumbo kwani alilaaniwa.
@geofreyburchard432
@geofreyburchard432 4 жыл бұрын
Alma oyeeee
@cornelfaya3746
@cornelfaya3746 4 жыл бұрын
Baba askofu vp safar ya kutupeleka mbinguni imeishia wap, na ya mungu mengi Mara paap gwajima kapita lakin Rais lisu apo sipat picha na ndy maana magu asijiamin na wala lisu asijiamin mpira unadunda na watakaomwondoa magu ni sisiem yenyewe sio upinzan
@tolutolu2970
@tolutolu2970 4 жыл бұрын
We mzee muongo. Alima kasema ila asikilizwi
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 4 жыл бұрын
ssa kama haskilizwi aki haguliwa tena ataenda kuskilizwa nanani?? si bora aende atakae skilizwa
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
Shida ni Mausiano.
@asiamuhamed7394
@asiamuhamed7394 4 жыл бұрын
Muogope mungu tunakufa ss utaongea na mungu kweli maneno hayo haki haki itendeke mungu anakuona lakin
@andronicomanasemkuyu5333
@andronicomanasemkuyu5333 4 жыл бұрын
Karne ya 21 unatuletea ukabila?
@ibrahinmollel544
@ibrahinmollel544 4 жыл бұрын
Acha kupostosha wananchi ulisema mwwnyeww kua ukiletewa mpinzani huleti maendeleo utakua unafki sasa kwasabaabu maendeleo hayana chma
@husseinsalimu73
@husseinsalimu73 4 жыл бұрын
Yani kweli waking hawaishi hivi hamumjui mtu mkweli na mwongo,Wilaya haina maendeleo bado tu mmeshikilia mtu ulio kauka,Halima made Ni MJINGA tu
@clemenceclemence7926
@clemenceclemence7926 4 жыл бұрын
Je? Hukutuliochangua ccm madiwani wote na mbunge hakuna hatabalabala za mataa hamna kwanini hukutuleteya hivo unavosema
@rehemamsangi5756
@rehemamsangi5756 4 жыл бұрын
Hivi bunge likimkosa Mdee bunge litakuaje na ufufuo na uzima imkose askofu Ngwajima itakuaje?
@shanelisessoa6319
@shanelisessoa6319 4 жыл бұрын
WEWE HOVYO MDEE NDIE MBUNGE ALIE LIA ZAIDI BUNGENI KUHUSU KAWE
@abdalahfarida2074
@abdalahfarida2074 4 жыл бұрын
Halima Mdee amewasumbua sana bungeni mkamnyima miradi ya maendeleo. Leo ndio unasema maendeleo hayana chama dakika mbili unasahau ulichosema jana. Watu wa Kawe nawapa siri iliyovuja anataka Ngwajima awe mbunge apate sehemu ya kuficha mali zake. Rais Mkabila, Rais Mbaguzi sijawahi ona. Anakuja na wagombea wake kwenye kampeni. Tutaona Mwaka huu kama Kawe ni Mafala au wana akili timamu. CHADEMA ndio mti wenye matunda mazuri. CCM mumekaa miaka 60 madarakani bado mnaongelea maji na umeme. "TUMEWACHOKA" Msikiti haujengi wewe ni kodi za Watanzania acha kuomba kura kijinga. Silimishwa upate mtoto mweupe wa Kiislamu ukiwa kwako sio Ikulu. Safari tunawataka CHADEMA na Lissu. Mwisho kazime to Kilimanjaro.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 4 жыл бұрын
Kawe ni tajiri lakini Hakuna huduma.
@jacklinelucas3021
@jacklinelucas3021 4 жыл бұрын
Mungu anawaona bungen bila upizan haiwezekan kwajima akafanye kaz ya Mungu ya Kuchunga kondoo kaz kupeleka wapizan mahakaman nakuwapiga kuwavunja kweli viungo mnajua garama zao Mungu alichukua masaa mangapi kuwaumba bila kupumzika ww nan? Unampiga
@jimmyjammasmunuo5125
@jimmyjammasmunuo5125 4 жыл бұрын
Mzee apo unatuingiza chaka nguv ip wakati watu wana lipa kod unasema maendeleo hayana chama ww upinzan tena utoi inakaaje io
@shekhenasiri1302
@shekhenasiri1302 4 жыл бұрын
Rais hakuna kitu hapo we mnafik tu
@alfredsangura6080
@alfredsangura6080 4 жыл бұрын
VIP kuhusu kilosa nako utaleta maendeleo au kwasababu Hamna upinzani hamleti maendeleo sio, nasikia amepelekwa kabudi Why?
"KAMA NIMEKUUDHI NISAMEHE" CHEYO AMFUNGUKIA RAIS MAGUFULI
9:25
Global TV Online
Рет қаралды 33 М.
Impeached DP Gachagua speaks after leaving Hospital
14:16
KTN News Kenya
Рет қаралды 243 М.
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 341 М.
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 8 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 120 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 34 МЛН
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,9 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 341 М.