MAGUFULI SIO WA MCHEZO MCHEZO ONA ALICHOKIFANYA BILA KUHOFIA USALAMA WAKE

  Рет қаралды 343,155

PilipiliTv

PilipiliTv

Күн бұрын

#TunaichekeshaTanzania
#Pilipilishow
#Mcpilipili
#Standupcomedy
#Mcwataifa
#kingkamaking

Пікірлер: 77
@josephshongoi4978
@josephshongoi4978 5 жыл бұрын
Mungu mbariki Rais wangu Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa mambo yake mazuri anayo ya tenda kwenye Taifa hili ni mtu anaye penda kukaa na watu na kuwa saidia pamoja na kuwa sikiliza shida za wananchi wake lengo ni kuleta maendeleo ya Taifa hili la Tanzania ili kizazi kijacho pia kije kinufaike na maendeleo ya Taifa hili. God Bless JOHN JOSEPH MAGYFULI
@twalibalihamza280
@twalibalihamza280 5 жыл бұрын
THE KING IS SAILING WITH HIS PEOPLE WOW
@Jafreez
@Jafreez 7 ай бұрын
He was not a president nor a king actually he was a small prophet 🎉
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 5 жыл бұрын
Haki sitachoka kutizama matendo ya Raisi Jpm niwatofauti kabisa niraha sana kua na mkuu wa chi simple namna hii ishi ishi Maguful
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 5 жыл бұрын
Uchaguzi umekaribia ndio maana anajichanganya. Subiri kesi za Tundu Lisu ICC utanyea ndoo.
@damasiwema4859
@damasiwema4859 5 жыл бұрын
Sex
@davidngutunyi4117
@davidngutunyi4117 5 жыл бұрын
Jamani,huyu ndiye rais tuliyemuhitaji...ubarikiwe mzee magufuli....
@rukiaosman8416
@rukiaosman8416 5 жыл бұрын
Wallahi huyu ni raisi wakweli mashaallah
@elizabethgiven8363
@elizabethgiven8363 5 жыл бұрын
Wanaomchukia JPM wote niwezi skuzote mwizi ampendi Askali
@mrtv9493
@mrtv9493 5 жыл бұрын
Haaaaaaa kabisaaaaa
@michaelmathew8309
@michaelmathew8309 5 жыл бұрын
Magufuli nampenda sana
@frankmnale1900
@frankmnale1900 5 жыл бұрын
Ongera sana mzee wetu unaonesha uzalendo mkubwa.....
@hapakazitu7364
@hapakazitu7364 5 жыл бұрын
Sina cha kukupa ila nakuombea kwa mwenyezi Mungu maana nchi ilikuwa taabani na umeinusuru kwa ujasiri wako sijaona wa kurithi ukitoka mpaka leo
@elizabethgiven8363
@elizabethgiven8363 5 жыл бұрын
Mangufu aunatofauti na yesu Mungu akubariki sana
@meshakikigumbi4459
@meshakikigumbi4459 5 жыл бұрын
Elizabeth Given acha upumbavu wako achana utani na jina la mokozi yesu
@mhinajohn1548
@mhinajohn1548 5 жыл бұрын
Yani mpaka huwa nalia kwa furaha
@frankmnale1900
@frankmnale1900 5 жыл бұрын
Mzee wetu 2020 usiangaike kupiga kampeni ...........kaa na familia yako, mambo unayoyafanya yanaonekana...!!!
@lucasnyahi3281
@lucasnyahi3281 5 жыл бұрын
Mungu,ninaomba kwa Jina la YESU MBARIKI RAIS WETU,MH MAGUFURI.
@romanambelle6356
@romanambelle6356 5 жыл бұрын
Ukinuna eleza sababu za kununa. Nakukubali sana Rais wangu Mhe.JPM wewe ni kiongozi wa watu. 2020 wakichukua fomu watishia kuaibika.
@adillhabib2006
@adillhabib2006 5 жыл бұрын
hzo sifa
@romanambelle6356
@romanambelle6356 5 жыл бұрын
@@adillhabib2006 hahaaaa Adill bhana hutaki au humpendi?
@exhaudyvalentine1767
@exhaudyvalentine1767 5 жыл бұрын
Alikuwa wapi huyu baba mbaka nchi ilichakaaa tumempata wakuipaka rangi Na Mungu akuongezee vyema
@rosemarymsulwa203
@rosemarymsulwa203 5 жыл бұрын
Semeni lingine. 2020 Habari ndiyo hii
@adeckthebodyguardmveme3729
@adeckthebodyguardmveme3729 5 жыл бұрын
tutake nini tena watanzania kwa kiongozi huyu mungu tunasema asante tunaomba maisha marefu kwa president wetu .
@aishaail4455
@aishaail4455 5 жыл бұрын
Kinga nibora ,life jackets muhimu sana kwa abiria pindi wanapo 2mia vyombo vya baharin.
@ndamayapemakanda1338
@ndamayapemakanda1338 5 жыл бұрын
Amevunja sheria,hurusiwi kupga picha
@tzmny4909
@tzmny4909 5 жыл бұрын
chizi
@dr.erickjmazyala8905
@dr.erickjmazyala8905 5 жыл бұрын
Mungu azidi kumuongoza rais wetu mpendwa na serikali yetu! Mungu azidi kuibariki Tz!
@matokeokidatochanneelias4883
@matokeokidatochanneelias4883 5 жыл бұрын
G
@mambompemba7197
@mambompemba7197 5 жыл бұрын
Makubwa,,,, anko magu kwend disko, 2020 kura O
@francischarles498
@francischarles498 5 жыл бұрын
Nchi nisalama ndio unaweza Fanya ivi
@chadogyfrankibrahim2976
@chadogyfrankibrahim2976 5 жыл бұрын
Love you forever dingi ten
@domisiatimasatu9266
@domisiatimasatu9266 5 жыл бұрын
atv
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 5 жыл бұрын
uyu mzee ana atari
@aggreyandrew546
@aggreyandrew546 5 жыл бұрын
ukinuna uwe na sababu!
@tomasmajariw7060
@tomasmajariw7060 5 жыл бұрын
Aggrey Andrew ukinuna
@exhaudyvalentine1767
@exhaudyvalentine1767 5 жыл бұрын
Nmeitazama zaidi ya mara nne hakika ninjema
@elizachota6361
@elizachota6361 7 жыл бұрын
love you my President magufuli
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 7 жыл бұрын
Eliza Chota .
@arthurmwakanyamale7651
@arthurmwakanyamale7651 7 жыл бұрын
nzuri sana
@rashidimpigachai7987
@rashidimpigachai7987 5 жыл бұрын
Shikamoo MZEE nakukubali sana kwa utendaji wako wa kazi,mungu akulinde kwa kila shali
@jumahnassor8471
@jumahnassor8471 5 жыл бұрын
Ferry ina lipishwa Tanzania............!?
@salaamclinicoftraditionalm3641
@salaamclinicoftraditionalm3641 5 жыл бұрын
Kwa maradhi sugu,uzazi na uungaji wa mifupa karibu kituoni kwetu Chanika kwa Dadi
@witnessemmanuel8785
@witnessemmanuel8785 5 жыл бұрын
Mimi sijawahi kuona mtu anaependa kujichang'anya na watu wa hali ya chini,nilijuaga ntaishia kuwaona kwenye TV tu,MUNGU akutunze
@johnmagwila3002
@johnmagwila3002 5 жыл бұрын
Raisi wangu hongera saana mie yangu macho na kila nikigeuka sioni wa namna yako baba tunakupenda hakika wewe ni chaguo kutoka kwa mungu, kiboko cha mafisadi, CCM Oyeee
@hassanaloobaidan25
@hassanaloobaidan25 5 жыл бұрын
Nimeipenda sana hiii
@salaamclinicoftraditionalm3641
@salaamclinicoftraditionalm3641 5 жыл бұрын
Hii ni nzuri sana
@christizarzak1173
@christizarzak1173 5 жыл бұрын
Jamaa mzuri kweli
@petermutuma7970
@petermutuma7970 5 жыл бұрын
Atafuta kura kwa njia ya aina yake
@hassanissa7942
@hassanissa7942 5 жыл бұрын
Huyu mzee sikumpigia kura lakini najutta ila marahii kufakupona
@benlaizer9936
@benlaizer9936 5 жыл бұрын
Hakika Tanzania ilihitaji rais Kama Dr. John atibu taabu no shida zetu, baba Mungu azidi kukuhekimisha na kukupa maarifa zaidi uone mbali wewe ndiwe musa wa leo kwa tz na afrika na ulimwengu wote.
@musahussein3206
@musahussein3206 5 жыл бұрын
Huyo jamaa aliye pewa tano kafurahi kweli daaa
@keyakeya8911
@keyakeya8911 5 жыл бұрын
Anamuiga nyerere nyerere pia alikua simple sana
@abuuashyam8417
@abuuashyam8417 5 жыл бұрын
nanyie asa mnataka sifa yaani mnazani kila sehemu uyo raisi kategwaau
@yonaziyeremia8943
@yonaziyeremia8943 5 жыл бұрын
Kweli inapedeza sana
@selemanajali6336
@selemanajali6336 5 жыл бұрын
Hatariii hiyoo
@abdullmathiasjaji6854
@abdullmathiasjaji6854 5 жыл бұрын
Hapo walinzi wana kazi kubwa sana
@ebenezerfreight3309
@ebenezerfreight3309 5 жыл бұрын
Well organised
@niceone9392
@niceone9392 5 жыл бұрын
Dadeq, uyu ndo msukuma
@gabrieladam491
@gabrieladam491 5 жыл бұрын
Huyu ndiye JPM
@zakaboy1305
@zakaboy1305 5 жыл бұрын
daah hii inavutia sana
@evelyneakimanatanzania9756
@evelyneakimanatanzania9756 5 жыл бұрын
magu.nagupenda.bure.babangu
@novathmosha1119
@novathmosha1119 5 жыл бұрын
asirei nashilole
@barakalazaromollel6291
@barakalazaromollel6291 5 жыл бұрын
uyo kasha pita mbn
@zainabuhmbabazi4928
@zainabuhmbabazi4928 5 жыл бұрын
Hof ya nn y si binadam alaaa
@nassibsaid7356
@nassibsaid7356 5 жыл бұрын
Watu walipata status za kueka hapo
@mgishajafali9904
@mgishajafali9904 5 жыл бұрын
Akili mingi
@hassanaloobaidan25
@hassanaloobaidan25 5 жыл бұрын
Mola akupe umri usimamie yale yalo mema
@mshamhemed6607
@mshamhemed6607 5 жыл бұрын
mmmmmh mungu asante
@atibumdem8098
@atibumdem8098 5 жыл бұрын
Baba piga kazi
@jumaseleman5207
@jumaseleman5207 5 жыл бұрын
mtu wa watu piga kazi tinga tinga
@mourenfrancis6592
@mourenfrancis6592 5 жыл бұрын
Cjutii kiku chagua jpm
@franckfreyzol807
@franckfreyzol807 5 жыл бұрын
Duuuh!rais wa watanzania.
@bahatimuhamedi8481
@bahatimuhamedi8481 5 жыл бұрын
Zur Sana'a
@mjukuuwakaswaga1808
@mjukuuwakaswaga1808 5 жыл бұрын
Duh!
@alikhamis6033
@alikhamis6033 5 жыл бұрын
Hana tofauti na raisi wetu wa mwanzo zanziber ila watanganyika walimuua mzee karume
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 жыл бұрын
JEMBE LIKO SHAMBANI
Shinyanga: Mji unaotumia usafiri wa baiskeli kama daladala
2:19
BBC News Swahili
Рет қаралды 2,5 М.
South Africa-Mandela and Nyerere news conference
2:15
AP Archive
Рет қаралды 1 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 111 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 11 МЛН
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
Simba SC ilivyoichapa Nkana FC goli 3-1
6:24
Azam TV
Рет қаралды 10 МЛН
Mtoto  Omar Mohamed kwenye Gumzo Hapa Ndipo
7:02
K24TV
Рет қаралды 2,5 МЛН
[FULL] Benarkah Rocky Gerung Masuk Kabinet Prabowo? Cek Faktanya
49:46
GWARIDE Lililopigwa Mbele ya Mkuu wa Majeshi, Usipime!
4:39
Global TV Online
Рет қаралды 587 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН