Simba SC ilivyoichapa Nkana FC goli 3-1

  Рет қаралды 10,688,130

Azam TV

Azam TV

5 жыл бұрын

Simba SC imefuzu kuingia hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) baada ya leo kuichapa Nkana FC ya Zambia magoli 3-1 katika mchezo wa marudiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Matokeo hayo yameifanya Simba ifuzu hatua hiyo kwa jumla ya mabao 4-3 kufuatia kufungwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Zambia wiki moja iliyopita.
Katika mchezo wa leo Nkana ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 17 kupitia kwa Walter Bwalya akimalizia kwa mpira ambao mabeki wa Simba waliuzembea kwa kufanya mchezo wa kuotea.
Simba walitulia na kupata bao la kusawazisha kupitia kwa Jonas Mkude dakika ya 29, kabla ya Meddie Kagere kupachika bao la pili kwa kichwa dakika ya 45 na baadaye dakika ya 88, Clatous Chama kuipa Simba bao la ushindi.
Simba SC beats Zambia giants Nkana FC 3-1 in Dar Es Salaam to qualify for CAF Champions League group stage. 23/12/2018.
#simbankana #simbascnkanafc #simba3-nkana1
Tazama LIVE mechi za Vodacom Premier League na vipindi vingine kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App.
Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► play.google.com/store/apps/de...
Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 2 400
@robbyalfred5563
@robbyalfred5563 4 жыл бұрын
This clip make me always happy like here who still watching like me frequently 💪💪💪simbaaa
@zenamaganga2335
@zenamaganga2335 6 ай бұрын
Nipo Tena hapa 2024 ama kweli simba tumetoka mbali❤❤❤
@davieswaryoba3342
@davieswaryoba3342 Жыл бұрын
Mechi bora sana ,what game what goal.. MUNGU naomba anipe maisha marefu sana niwaadisie kuhusu mguu ya chama,uimara wa manula
@user-fx5gu6xs5o
@user-fx5gu6xs5o 10 ай бұрын
Kama unaicheki hii video 2023 gonga like taujuane mapema
@juliusisack4090
@juliusisack4090 11 ай бұрын
Our Best Simba SC game of All Times 💥 kipind Iko Yanga walikua wapokeaji wageni leo wanaongea sana Sana wanajisahau... BUT I promise Simba will be the First Team from Tz to get CAF CUP
@fredrickanathesarakikya1890
@fredrickanathesarakikya1890 3 ай бұрын
Aliye Rudia kuitazama hii video Leo tare 5 mwez wa 4 mwaka 2024 gonga like apa
@lulukibanga8152
@lulukibanga8152 3 жыл бұрын
Nan anapenda kuangalia mara kwa mara hii mechi ajawai kunichosha 😍😍
@aksaks9563
@aksaks9563 2 жыл бұрын
Mm pia sichok kuangalia hii ilikua t.game kali mnoo
@neemaduma4126
@neemaduma4126 2 жыл бұрын
Mimi apaa😂😂
@denicsimbo7352
@denicsimbo7352 Жыл бұрын
September 2022 still watching this fantastic event, unforgettable memory for simba fans......gonga like tusonge......I love Simba
@teddyrobby7620
@teddyrobby7620 5 жыл бұрын
Eti mzee wa masaptasapta,, mpenja mbavu zangu huku,, hongera sana simba
@mariaalfred4156
@mariaalfred4156 3 жыл бұрын
Mambo
@yasinsalih592
@yasinsalih592 2 жыл бұрын
Simba have added a flavour to our African football. Love from Sudan.
@willsonshadrack543
@willsonshadrack543 2 жыл бұрын
E
@mrutu
@mrutu Жыл бұрын
Aloo haha inaxiximua xana
@salumkassim2096
@salumkassim2096 Жыл бұрын
​@@willsonshadrack543simba
@HamisiSalimu-oj9oi
@HamisiSalimu-oj9oi 5 ай бұрын
2024
@nyandaelias5052
@nyandaelias5052 Жыл бұрын
Was a great and unbelievable match simba nguvu moja 🇹🇿🇹🇿💪💪💪
@jumamwamba5618
@jumamwamba5618 Жыл бұрын
kV BV v
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
SIMBA hii noma sanaaa 👊
@ferouzmasoud4870
@ferouzmasoud4870 2 жыл бұрын
Simba sports club big time Africa 👊🇹🇿❤️🦁
@kiluwasalum5002
@kiluwasalum5002 5 жыл бұрын
Mimi ni jilani yenu simba fc shabiki ninaejierewa leo. Mmefanya kazi nzuri sana safi sana simba
@isaacphilemon5599
@isaacphilemon5599 5 жыл бұрын
Tunakupenda sana Mo wetu,endelea kutupa hamasa wana SIMBA
@sportszonetanzania2012
@sportszonetanzania2012 Жыл бұрын
I will never forget this day it was unbelievable comeback nice moment for simba fans
@danielmafara7168
@danielmafara7168 3 жыл бұрын
Nani mwingine hachoki kutazana video hii, like hapa tujuane
@andreajonas4531
@andreajonas4531 5 жыл бұрын
Chama chama chama mwamba wa rusaka ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥kwa wana simba fc,sema nguvu moja kwa wana simba.
@kiizaantony9221
@kiizaantony9221 5 жыл бұрын
Chama ni kitu kingine
@omarythabit
@omarythabit 5 жыл бұрын
ANOTHER MAFISANGO
@andreajonas4531
@andreajonas4531 5 жыл бұрын
Mk14 je,mwamba huyu wataria Pole.
@eliapasiamalisa4911
@eliapasiamalisa4911 5 жыл бұрын
Simba wamefanya wonders
@abasimchimbi5082
@abasimchimbi5082 4 жыл бұрын
daimond
@jaxpaul7724
@jaxpaul7724 5 жыл бұрын
Simbaa what the come back !!! What the chamaa goal THIS IS SIMBA
@japhetkayange8152
@japhetkayange8152 5 жыл бұрын
Jax Paul
@jacksonbaranda8165
@jacksonbaranda8165 Жыл бұрын
18/12/2022 and I'm still not tired to watch this clip simba is unstoppable
@kelsonkenedy6473
@kelsonkenedy6473 3 жыл бұрын
Kama kuna mtu amesikia kelele ya shabiki kabla ya goli la mkude weka like
@benmwasakujonga3575
@benmwasakujonga3575 5 жыл бұрын
Nan hachoki kuchek hii video Kama mie like tujuane
@keyakeya8911
@keyakeya8911 5 жыл бұрын
Mm hapa yani mwezi Hu Wi-Fi lazima bili ipande
@salimhaji1901
@salimhaji1901 5 жыл бұрын
Jujom
@mwajaburamadhani3763
@mwajaburamadhani3763 5 жыл бұрын
hunishind mm
@rajabuyasini33
@rajabuyasini33 5 жыл бұрын
@@keyakeya8911 muziki wakenya simba mundu
@oscarmasamaki4023
@oscarmasamaki4023 5 жыл бұрын
Dah hii game ni hitoria
@brahimelbouhli9989
@brahimelbouhli9989 5 жыл бұрын
je suis un supporteur de wydad mais je pense que cette equipe simba la plus populaire au tanzania
@kingmtetezi6670
@kingmtetezi6670 2 жыл бұрын
Exactement
@Lionheartkarate
@Lionheartkarate 9 ай бұрын
Not only from Tanzania but also east and central africa
@Barfumu
@Barfumu 2 жыл бұрын
Still watching this game 2022 what performance by simba✊
@wakembetajaphary3648
@wakembetajaphary3648 2 жыл бұрын
Is good
@dornaldbantura5978
@dornaldbantura5978 2 жыл бұрын
@@wakembetajaphary3648 Ba ba
@dornaldbantura5978
@dornaldbantura5978 2 жыл бұрын
@@wakembetajaphary3648qqq
@wakembetajaphary3648
@wakembetajaphary3648 2 жыл бұрын
@@dornaldbantura5978 😂😂😂
@maximiliansongalimi8535
@maximiliansongalimi8535 2 жыл бұрын
Oya 😂😂😂ladha haiishi
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Asantee sanaaa chama langu la SIMBA 🙏 Mw/MUNGU awajalie afya njema wachezaji wote
@ferouzmasoud4870
@ferouzmasoud4870 2 жыл бұрын
Simba sports club big time Africa 👊🇹🇿❤️🦁❤️
@muddydamdeok5098
@muddydamdeok5098 5 жыл бұрын
Chama Chama More 🔥🔥🔥 Tanks Your Jah Kwa Uxhindi This is Simba brother the great Team Of Tanzania Best Like Kama Wew Mwana Simba Damu😍😍😍
@cleverphd7158
@cleverphd7158 5 жыл бұрын
Chama JR,made in Lusaka deliverd in Dar-es-salaam for SIMBA SC,this is Simba 🦁💪 nguvu moja
@anthoniamagese9877
@anthoniamagese9877 2 жыл бұрын
Naipenda San simba
@footballlife9810
@footballlife9810 3 жыл бұрын
I'll never forget this moment it was so amazing
@gramiebiser4685
@gramiebiser4685 2 жыл бұрын
Vp
@jamalimohammedi3228
@jamalimohammedi3228 2 жыл бұрын
Jamali
@erickcharles1605
@erickcharles1605 2 жыл бұрын
Bado nafurahia hii gem
@ferrilmwirigi249
@ferrilmwirigi249 2 жыл бұрын
This remains the greatest game in African football i have watched
@wisekington7759
@wisekington7759 Жыл бұрын
Exactly
@denolofty3481
@denolofty3481 5 жыл бұрын
Hapa Kenya tunasema kongole kwa team simba wakilisha Africa mashariki.... Pamoja twaweza. Mkude, Kagere n Chama goals 💪💪💪🙌🙌🙌👏👏👏
@germannzota8625
@germannzota8625 5 жыл бұрын
yeah we are together brother
@hildaamosi6411
@hildaamosi6411 Жыл бұрын
All the best
@frenklubago5748
@frenklubago5748 5 жыл бұрын
Sichoki kuiangalia kama nawewe huchoki gonga👍
@sophiakadege1318
@sophiakadege1318 2 жыл бұрын
🙄🙄🙄✌️
@kurubonecompanylimited3835
@kurubonecompanylimited3835 Жыл бұрын
Haichoshii kuitazamaa
@selemanmpanduji331
@selemanmpanduji331 4 ай бұрын
Timu KUBWAAA muumwaaa utachoka kweli kutazama?.
@user-fu6im4tt3q
@user-fu6im4tt3q 4 ай бұрын
Mimi.hapa❤
@wilhelmibaganisa5493
@wilhelmibaganisa5493 2 жыл бұрын
Dec 22 , 2018 nikiwa kazini na karedio kangu Mbulyanhulu gold mine ( barrick) maeneo ya kakola kahama , nilishangilia nusura kuvunja mguu !! Unforgettable match in my life carriah!! Now 02 Dec 2021 in Dar watching it again
@rachelelias1251
@rachelelias1251 2 жыл бұрын
I Love Simba SC ♥️ from top of my heart
@emmamashinyaye3115
@emmamashinyaye3115 2 жыл бұрын
Simba nkana
@mikemnyamwezi7856
@mikemnyamwezi7856 4 жыл бұрын
Amazing Unforgettable ....! Uchebe tutakukumbuka sana tu (Patrick Ausems) Binafsi nakukubali kinoma noma
@futureblessings6
@futureblessings6 5 жыл бұрын
Da mimi kama mkenya naipenda simba sana..
@boscomngoya4065
@boscomngoya4065 4 жыл бұрын
Simba
@ysy3458
@ysy3458 4 жыл бұрын
Ieo mnakazi
@kenedymgema1012
@kenedymgema1012 4 жыл бұрын
Uko sawa, mshikaji,wangu
@kenedymgema1012
@kenedymgema1012 4 жыл бұрын
@@ysy3458 simba oyee
@kenedymgema1012
@kenedymgema1012 4 жыл бұрын
@@ysy3458 kazi,imesha,Ha2na,Presha
@fredsonamosmujuni
@fredsonamosmujuni Жыл бұрын
August 2023 still watching this clip! Simba Nguvumoja
@benimagaya7966
@benimagaya7966 5 жыл бұрын
Nakula Christmas 🎄🌲🎅Vizuri Sana Baada Ya Simba 🦁🦁 Kushinda Kwa Kishindo
@ashashabani4210
@ashashabani4210 5 жыл бұрын
mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥chama langu forever ❤❤❤❤❤❤ walllahi raha mpk basi
@saidothuman3329
@saidothuman3329 2 жыл бұрын
Hii mechi haijawahi kunichosha kuitazama,💪 gonga like kama upo na mimi
@user-mu4fg7vj6s
@user-mu4fg7vj6s 10 ай бұрын
Kwel kabila broo
@user-mz4kr8ue8f
@user-mz4kr8ue8f 2 ай бұрын
Ainichoshi
@HusnaKilwanda-rt6se
@HusnaKilwanda-rt6se 24 күн бұрын
Me chama tyu
@benmagaya6610
@benmagaya6610 3 жыл бұрын
Tunaangalia Januari Mwaka 2021 Like Hapa Za Upendo ❤️❤️❤️
@walterkyara3656
@walterkyara3656 3 жыл бұрын
March 2021
@hajinemshi1919
@hajinemshi1919 3 жыл бұрын
Thanks y y
@mwanahamisihassani1943
@mwanahamisihassani1943 5 жыл бұрын
Nimefurai mpaka nimelia jamani Asante kaka zetu kwakujituma nimefurai sana kama mnahamini simba nguvu moja lake zenu apa
@josephmzungu1338
@josephmzungu1338 5 жыл бұрын
xn 2
@officialmsap676
@officialmsap676 5 жыл бұрын
ivi chama unaruhusiwa kufunga magori kama hayaaaa?
@husenimustafa2721
@husenimustafa2721 5 жыл бұрын
Mwanahamisi Hassani sxc
@ezekieljaphet8112
@ezekieljaphet8112 5 жыл бұрын
Mwanahamisi Hassani mamb
@delphinusboniphace1428
@delphinusboniphace1428 5 жыл бұрын
Saf simb
@dhakomodherooherokoko6037
@dhakomodherooherokoko6037 4 жыл бұрын
The third goal killed me, I love Simba from Nairobi
@hemedbacco4719
@hemedbacco4719 Жыл бұрын
20th October 2022 still watching this match.. Unforgettable day
@ReshanMukbir-sc1ro
@ReshanMukbir-sc1ro 2 ай бұрын
Hiii Simba ilikuwa yamoto jamani sichoki kuiangalia 2024♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@judithpaul9013
@judithpaul9013 5 жыл бұрын
*Naipenda simba kufa*
@halfanitambu525
@halfanitambu525 5 жыл бұрын
judith paul aaaah jmn usikufe jama
@judithpaul9013
@judithpaul9013 5 жыл бұрын
Halfan Itambu hahah nna raha mpk bhc
@halfanitambu525
@halfanitambu525 5 жыл бұрын
hahah kmb na we ulikuA unateseka wkt tnlitft goli LA 3 pole bana
@judithpaul9013
@judithpaul9013 5 жыл бұрын
Halfan Itambu acha kbs, shukran... chezea goli la kisigino
@halfanitambu525
@halfanitambu525 5 жыл бұрын
huyu chama atamaliza mb zangu ujue....aache misifa yake
@onesmokidava3383
@onesmokidava3383 4 жыл бұрын
2020 Nani yupo hapa wadau wangu wa Nguvu wekundu msimbazi gonga like twende pamoja Kama hutoisahau hii mechi!!
@renathaalois2499
@renathaalois2499 3 жыл бұрын
Hi mechi inanipa matain Sana ndan ya kikosi changu Cha msimbazi
@marimusysaidy4331
@marimusysaidy4331 3 жыл бұрын
Lllii
@jacoborafaeli6776
@jacoborafaeli6776 3 жыл бұрын
Yanga vs tp mazembe
@tumainiwilisoni4394
@tumainiwilisoni4394 3 жыл бұрын
Og
@tumainiwilisoni4394
@tumainiwilisoni4394 3 жыл бұрын
@@renathaalois2499 v6
@boazyephrahim8991
@boazyephrahim8991 2 жыл бұрын
Unforgettable match.. i'm so proud to a simba fan....💪🏽💪🏽💪🏽2022 stiil watching this one...
@VIDEOS-iq2cg
@VIDEOS-iq2cg 2 жыл бұрын
This game still on 🔥🔥 till now Simba 🦁
@laurentchimbirani5990
@laurentchimbirani5990 4 жыл бұрын
One among my favourite match #Simba 🔥🔥🔥🔥 #NGUVUMOJA 😍😍😍😍😍
@Mariaclala536
@Mariaclala536 5 жыл бұрын
Mashabiki wa simba wote gonga like twende sawa
@peterpaulo2588
@peterpaulo2588 5 жыл бұрын
Budagala 2019
@jofleysilivei7187
@jofleysilivei7187 5 жыл бұрын
a online *
@punzihussen7607
@punzihussen7607 4 жыл бұрын
isma company no
@wilsonkimaro6375
@wilsonkimaro6375 3 жыл бұрын
KAMA BADO UNAANGALIA HII 2020 DECEMBER 18 KUITAKIA SIMBA MEMA HUKO HARARE GONGA LIKE SIMBA IZIDI KUSONGA MBELE
@benjambesseltdltdt.v.shiny9457
@benjambesseltdltdt.v.shiny9457 3 жыл бұрын
*😅☺☺Kama umelud kuchek hii bada ya pulatnamu ngonga leke*
@edwardngoso680
@edwardngoso680 3 жыл бұрын
Xx .
@elizabethzachariah9054
@elizabethzachariah9054 3 жыл бұрын
Tupo mnoo🥰❤️❤️
@kefasamson6176
@kefasamson6176 3 жыл бұрын
Wee acha banaa
@christopherjonasi1140
@christopherjonasi1140 3 жыл бұрын
@@elizabethzachariah9054 X
@walterkyara3656
@walterkyara3656 3 жыл бұрын
2021 march
@emmanuelskmtanzania24
@emmanuelskmtanzania24 5 жыл бұрын
Huyu sports analyst wa Azam nimemkubalii asee. Kama nawe umemkubali gonga likes twende sawa... kwani kuna mtu anateseka 😂😂😂#SimbaSc #NguvuMoja #afcon 🔥🔥🔥⭐⭐⭐
@agneskabate6906
@agneskabate6906 5 жыл бұрын
Haaaaaa nalia pole nalia pole Sana. Haaaaaaa hii ndio simba bhaana
@emmanuelskmtanzania24
@emmanuelskmtanzania24 5 жыл бұрын
Agnes Kabate Hahahahah ni noma sana
@sophiajoseph9133
@sophiajoseph9133 5 жыл бұрын
Zitizenrediokenu
@shebydemedia1885
@shebydemedia1885 5 жыл бұрын
Emmanuel Sakafu konki💪
@ummyabubakary9641
@ummyabubakary9641 5 жыл бұрын
@@emmanuelskmtanzania24 mmanimn i
@kennedymwangala8385
@kennedymwangala8385 5 жыл бұрын
Nashukuru Sana Watanzania wenzangu kwa mi nipo Zambia kwa game ya kwanza niliumia Sana na nilichekwa Sana ila saiz ni zamu yao kuwacheka, Gonga like Kama unaamini mi Shabiki wa kweli wa 🦁.
@jacksonpaulo8920
@jacksonpaulo8920 5 жыл бұрын
Ww c mtanzania lazma uwe simba lu
@dottotv8499
@dottotv8499 5 жыл бұрын
Pamoja sana
@teklamahenge5212
@teklamahenge5212 5 жыл бұрын
Future Ken waambie kuimba kupokezana Leo zam yako
@charlesmasero5450
@charlesmasero5450 5 жыл бұрын
pamoja na watani wetu kushangilia Sana bao la wageni ngoja wakome, hiyo ndiyo Simba ya MO
@daudsessa9957
@daudsessa9957 5 жыл бұрын
Watakoma
@ImmaSimon
@ImmaSimon 11 ай бұрын
26.08.2023 Still watching this unforgetable memory for SIMBA SC🔥
@harrymorgan4387
@harrymorgan4387 Жыл бұрын
9.1m viewers Amna wakuvunja hii record
@khalidmtelemko2284
@khalidmtelemko2284 5 жыл бұрын
It was marvelous...Naona mkodisho FC walirukia gari kwa mbele wanarudi nyumbani wakiwa na michubuko ya kuburuzwa This is Simba bandugu
@alexjackobombwira674
@alexjackobombwira674 5 жыл бұрын
Khalid Mtelemko not
@Lionheartkarate
@Lionheartkarate 9 ай бұрын
Of coz,,, we call them vinyesiiiii fc
@dionisjoseph5604
@dionisjoseph5604 4 жыл бұрын
Here we go Octobre!!.. 19!!! Sichokiii aiseee daaaaaa hii Simba ilikuwa ya Moto sanaa
@mwashiuyayoshuatv9829
@mwashiuyayoshuatv9829 2 жыл бұрын
Karibu 9m viewers ... Simba is another level ...
@SGS-ts1eb
@SGS-ts1eb Жыл бұрын
After watching the flavor of Simba Sc against Horoya AC played yesterday 18/3/2023 I came again to watch the clip of this match then I realize Simba's flavor remains at high.
@mastarjay2635
@mastarjay2635 5 жыл бұрын
#+254Congrats neighbors....commentator uko juu napenda
@konyakisinza5629
@konyakisinza5629 5 жыл бұрын
Kama umeskia goli la kigaid gonga like hapa ( mkude)
@mahmoudhamisi673
@mahmoudhamisi673 2 жыл бұрын
Yani hii ni mara yangu ya 8 naingalia hii mechi it was so fantastic 🔥🔥🔥
@samwelyndaki5612
@samwelyndaki5612 2 жыл бұрын
Good sana chama lagu simba
@emanuelmtui1373
@emanuelmtui1373 4 жыл бұрын
2019/13/11 meche bora ya muda wote kwangu Hata like moja ina tosha
@jameskombe5203
@jameskombe5203 3 жыл бұрын
Zßàz
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 3 жыл бұрын
Mech ya kihistoria Tena mechi mhim zaid
@erickjacobo1194
@erickjacobo1194 5 жыл бұрын
bao la chama lina dhamana ya kukopa pesa bank yoyote dunian this simbaaaaaaaaaaaaaa
@msanii362
@msanii362 3 жыл бұрын
tar 29_03_2021 km bado unarudiarudia kuchek km mm gonga lyk
@jacksonkisheri6382
@jacksonkisheri6382 3 жыл бұрын
Kama bado unaangalia kama mimi gonga like
@khajiabduly7962
@khajiabduly7962 5 жыл бұрын
Jaman simba ni simba tu 🦁🦁🦁 ata umpeleke poli ngan bado tu ni simbaaaaaaaaaaaaaa🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 жыл бұрын
Daaah!!! 😆 Hii ilkuwa historia na sito hisahau kwel SIMBA sports club chama kubwa I Love you 😍🥰 😍 SIMBA kwetu soka kwao majungu 😄 😄
@josboy5384
@josboy5384 4 жыл бұрын
Kweli kabisa timu yetu ya simba ijipange sana hadi tuje kuvunja hiki tulichokifanyaga aise
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 жыл бұрын
@@josboy5384 na cjuw kama tutaweza kufka tena robo fainal,,,, Ila kkubwa kumuomba MUNGU🙏Nina iman tutafka tuuuy
@AcksunBonifas-mj2sw
@AcksunBonifas-mj2sw 4 ай бұрын
jameni ee hii game i 'll never forgate ..simba nguvu moja❤❤❤🎉🎉
@andrewshustle1331
@andrewshustle1331 4 жыл бұрын
THIS HISTORY FOR THE ALL FANS OF SIMBA IT NEVER FORGET FOREVER...OOOVER!!!! 🦁🦁🦁
@mussarobert7281
@mussarobert7281 2 жыл бұрын
...
@ernestkalulu7749
@ernestkalulu7749 8 ай бұрын
Th8s his to for the all fans of Simba it never forger
@elpatron5664
@elpatron5664 5 жыл бұрын
Engineer soma ngapi hukoooo. Angalia wasisome wa matopeni
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
hehehe wana zengo mna maneno dooh, co kwa dongo gizani kiasi hicho!
@paschalsamwel5921
@paschalsamwel5921 5 жыл бұрын
hahahahaha, 3 1
@joackimmbonde4125
@joackimmbonde4125 5 жыл бұрын
Like kwa mtangazajj baraka mpenja
@nathaliapeter9085
@nathaliapeter9085 Жыл бұрын
Unbelievable love u simbaaaa
@machundecharles6008
@machundecharles6008 4 ай бұрын
Hii mechi itaishi mioyoni mwetu wanasimba wote. It was a trademark performance for Simba.
@brainsngaugula6075
@brainsngaugula6075 5 жыл бұрын
This is Simba in Manara's voice
@ngaraboykobelo5133
@ngaraboykobelo5133 5 жыл бұрын
Chama mungu akupe uhai mrefu sana
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 5 жыл бұрын
anaitwa chamaaaaaaaaaaaaaaaaaaa +mkudeeeeeeeeeee +kagereeeeeeeeeeee this is simba brother nani anateseka nani Alisema simba hawaendi kwenye makundi 😀😁😀vyura mtapata tabu sana
@ephrahimrashid8165
@ephrahimrashid8165 2 жыл бұрын
Hebu wale tunao endelea kujikumbusha 2022 gonga light
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 ай бұрын
Hii mechi hata utazame mar elfu huwez kuchok. This is simbaaa 🔥🎉🎉
@rashidshia1594
@rashidshia1594 5 жыл бұрын
Sijui kiingereza ila leo ntajaribu This is simba
@ubwabwa1790
@ubwabwa1790 5 жыл бұрын
leo nimefurah sana this is SIMBA
@peterbandah5560
@peterbandah5560 3 жыл бұрын
My favorite video in KZbin ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@paulmgoli4853
@paulmgoli4853 2 жыл бұрын
It was a classic 🔥🔥 wow wow cwez sahau Maisha yng yote ❤
@rubentaashishi8712
@rubentaashishi8712 2 жыл бұрын
shokali
@keyakeya8911
@keyakeya8911 5 жыл бұрын
Haki a mungu Leo imekua jumapili njema kwangu kwa kuona couch ausemus ana shangilia
@rahmaramadhani3993
@rahmaramadhani3993 5 жыл бұрын
Yaani mindokwanza namuona anashangilia adi raha
@keyakeya8911
@keyakeya8911 5 жыл бұрын
@@rahmaramadhani3993 umeonae ehe alafu simba raha
@hamarowilliam3218
@hamarowilliam3218 4 жыл бұрын
👟
@ramadhankibwana6425
@ramadhankibwana6425 5 жыл бұрын
Yani Leo laha ilioje simba imeshinda na tumeipokea ndege mpya kama unaikubali simba na mzee magu gonga like
@ramadhanichoneke3089
@ramadhanichoneke3089 4 жыл бұрын
Kutombana
@user-yt1ne1ju7r
@user-yt1ne1ju7r 4 ай бұрын
Yeesss ! Yeessss! Oooh Yesssss!!! Daah Mpenja ur da Best!
@bongotowntv5943
@bongotowntv5943 3 жыл бұрын
Simba leo fanyeni kweli tujikumbushe ndugu zangu
@Kenya-dv7ls
@Kenya-dv7ls 5 жыл бұрын
We are happy for you majirani +254
@kuchapafaraji2841
@kuchapafaraji2841 4 жыл бұрын
Kenya 12345
@ubwabwa1790
@ubwabwa1790 5 жыл бұрын
chama chama chama nimekuita mara 3 kwa heshima yako bro ni kweli leo umeuwa tembo wew ni baba nawaza tungeaibika vp mbele ya mashabako elfu 45 wa Simba tuliokuwa wanjani
@shunguhezron9305
@shunguhezron9305 5 жыл бұрын
Huyu mtangazaji anatakiwa kupongezwa sana hajawa mnafiki kajiachia kwenye kazi mpaka raha maana amenipa raha jinsi alivyoyatangaza haya magoli du
@muamshowoozy7524
@muamshowoozy7524 3 жыл бұрын
Kama unaangalia mechi hii mwaka2020 gonga like
@justingodfrey8282
@justingodfrey8282 Жыл бұрын
simba sc forever
@sultanikawambwa4118
@sultanikawambwa4118 5 жыл бұрын
Hongera zenu wana Msimbazi, hii ni nafasi kwa Yangaa kupambana na TPL.
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
kw kweli, wakt simba wakienda kufika ile hatua ambayo msimu ujao hana haja ya kuanza mtoano huhuhu
@ramadhanimussa882
@ramadhanimussa882 5 жыл бұрын
Kama Wewe ni Shabiki Wa Simba Mnyama Gonga Like Hapa
@kelemenschappa2828
@kelemenschappa2828 5 жыл бұрын
Ramadhani Mussa chamaaaaa na mkude ni noma wameshuka na mashetani wekundu jumla jumla ,
@andrewraphael3098
@andrewraphael3098 10 ай бұрын
Nani alisema 🦁🦁haendi group stage 🎉🎉❤
@kalamuyangu1
@kalamuyangu1 Жыл бұрын
Kila nikiitizama hii mechi mara zote machozi ya furaha hunitoka. #NguvuMoja
@emmaalloyce5163
@emmaalloyce5163 5 жыл бұрын
This is simba braza this is mwendo wa kimataifa✈️
@happyben6200
@happyben6200 5 жыл бұрын
noma sana mnyama anatisha mwityuni jamani naombeni ĹÌĶƏŘ
@lydiamunishi1180
@lydiamunishi1180 11 ай бұрын
Hii game itabaki kuwa my best match...leo tar 31 Aug 2023 naangalia tena jinsi ya kuwatoa power dynamos ya zambia
@chacha_tz
@chacha_tz 7 күн бұрын
hii ndio ilikua mechi kali mno haijawahi kutokea hapa tz ❤❤
@youngassaidy7845
@youngassaidy7845 5 жыл бұрын
Chamaaa soma kwenye ramaniiii. Engeneer soma mkudeeee.ngapiiiiiiiii ukooooo kagereeeeeeee
@asiajuma5784
@asiajuma5784 5 жыл бұрын
Engineer soma hiyoooo😂😂😂😂
@reyjosee9390
@reyjosee9390 5 жыл бұрын
young assaidy soma kwenye ramaniiiii
@youngassaidy7845
@youngassaidy7845 5 жыл бұрын
@@asiajuma5784 hhhhhhhh somaaaaa iyoooo
@youngassaidy7845
@youngassaidy7845 5 жыл бұрын
@@reyjosee9390 engeneer somaaaa
@ismailhamis6051
@ismailhamis6051 5 жыл бұрын
hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh soma kwenye raman
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 83 МЛН
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
Mweusi Family
Рет қаралды 5 МЛН
Simba 2-0 Yanga | Highlights | NBC Premier League 16/04/2023
21:27
🤯ОН ЖДАЛ 4 ГОДА ЧТОБЫ ОТОМСТИТЬ…
1:00
Дерек
Рет қаралды 1,7 МЛН
Куинтон Джексон о Фёдоре #mma
0:38
Эффект MMA
Рет қаралды 2,9 МЛН
Фанат выбежал на поле😱
0:25
FilmBytes
Рет қаралды 627 М.
Messi or Ronaldo ? 🤔🤯 #football #talent #wonderkid
0:18
Alex and Deme
Рет қаралды 15 МЛН