Kaka umesema kweli zote.ila pia nimependa ambavyo unaweza kufanya presentation remarkable
@JaphariMsabaha8 күн бұрын
Jamani wanyamwezi na msukuma mtani wao mkubwa mzalam uyu ni mtani wetu tusi mchukie
@BarakaMsukuma-g1q8 күн бұрын
Hili lizee nilikuwa nalipenda naliheshimu Kumbe lipumbavu.Unawafaliji huku unawatukania jina la ukoo.Unataka kutuambia Mangungu ndiyo jina la kimujini.WAsukuma tun😮gekuwa washamba tusingetoa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Magufuli..Jiheshimu utaheshimiwa baba.
@titusmwele68858 күн бұрын
Hata mm nimemushangaa et ndugulile halikuwa jina lakishamba et lawasukuma washamba et hakuwa wa kijijini!, inamaaana watu wa kijijini ni washamba?, hovyo saanaa huyu dingi
@DavidMarcobushini8 күн бұрын
M msukuma huo utani tuu
@KulwaMabula-e8s7 күн бұрын
Sisi ni washamba sana wasukuma et!!!!!! Tengua maneno mzee
@T1Mtz7 күн бұрын
Hawa wanaosemaga mbele za halaiki kwamba tutakua pamoja ni wanafiki sana. Amini baada ya miezi 3 - 5 ijayo tukiwauliza familia ya F. Ndugulile watatuambia hawaoni ushirikiano wowote
@richardnganya23118 күн бұрын
Ayo sasa umekuwa na dosari.. Kichwa cha habari na maudhui ni tofauti kabisa !!
@elishagregory15958 күн бұрын
Hamna kila kitu hapa
@safarilibuyi7 күн бұрын
Ww ktk kuona jina kishamba umeona wasukuma tu fala nn jiga kabisa
@valenakomba76868 күн бұрын
KILA MTU ANAONGEA HILOHILO. AKIONGEA MMOJA SI INATOSHAA JAMAANI. UTANZANIA NI MGUMUUUU. MBONA HAMKUMWAMBIA AKIWA MZIMAA?.
@RajabuLanda-t2e8 күн бұрын
Munaoneje niseme ccm hoye kw kuuwa
@DavidBisse8 күн бұрын
Mzee tafadhari tuombe radhi wasukuma sisi si washamba hata kidogo.
@Marjeby8 күн бұрын
Kumbe huyu Mangungu msenge kwa hiyo wasukuma washamba?!
@robertphilip3858 күн бұрын
Kwani ulikua hujui?
@rosemaryrutale76938 күн бұрын
@@robertphilip385 ni washamba alafu wajuaje sana wakati hawajui
@Kabwela7768 күн бұрын
Mnaongea mazuri ya watu Hadi wafe na sikuwahi kusikia marehemu akisemwa vibaya, na mbona sikuwahi kusikia kiongozi wakisema alifariki kwa ukimwi ?