Hongera sana Mh Msukuma,msema kweli Mpenzi wa Mungu,big Mb
@neemabright36358 ай бұрын
Safi sana Dr. Mm ni mwanafunzi wa SUA umenena vyema .... Wanaotufundisha wengi hawapractice n hawafahamu vizuri kinachoendelea mjini well..... Research is everything in a developing country well said....
@kituamichael3792Ай бұрын
Akili ni kuamua kubadili mtindo wa maisha na kuishi kanuni za kibiblia maana neno la Mungu lipo wazi juu ya vinywaji vinavyolalamikiwa kuua watu Kadri siku zinavyoenda yaliyonenwa yanatimia NB Hongera sana Dr kwa kupaza sauti
@MwandazaBangala16 күн бұрын
Wewe mweshimiya Mungu akubariki
@Felix-e6t4mАй бұрын
Asante sana msukuma wachane wavumbuke izo biashara ni zao na waarabu wamalize vizazi vitu watanzania vijana walindwe kama migodi ya tanzanaiti ongera sana Tena sana wenu ni simba sauti ya wanyonge vijana wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na wageni
@MakukaOmary-e2b28 күн бұрын
Unajitoa akili waarab na ushog wapi na wapi mashoga wanajulikan
@DanielJohn-f1r15 күн бұрын
💪💥💯makin sanaaa
@MohamedChilloАй бұрын
Hujamuelewa Professor Janabi , ulaji unategemea na physical activities level
@Tellaaxis7 ай бұрын
Noma sana❤ #tellaaxistz
@bless5758Ай бұрын
Mh. uko vizuri saana. Mawazo yako yafanyiwe kazi.
@faustinombilinyi98098 ай бұрын
Hongera mh msukuma na Esther Leo mmeonggeea. Kitu chamaa maana sn kweli kunnatatizo mahala kweny vinywaji. Hivi vipo vvya ovyo vingi. Viina itwa. Smart gynni vinyywajji. Gani hivvii. Ni. Ovyo kwa kkweli
@masoudabdi60768 ай бұрын
Mungu akupe maisha Msukkuma... Hawa viongozi ni shidaa sanaaa....hatuna kiongozi anaetetea Maisha ya Mtanzania
@MaishaWilliamjohn10 күн бұрын
Msukuma big up sana
@yasluhumilemohammed7461Ай бұрын
Msukuma umetisha
@saidcontractor3315Ай бұрын
Hongera sana msukuma
@hemedallyabdallah1338 ай бұрын
Kaka uko juu Mi nakuelewa hongera sana
@LatwifSued8 ай бұрын
Kwakweli msukuma uko vizuri, sana sana, ninatamani nikuone nikae na wewe angalau wiki moja, .kwakweli mungu akulipe.
@mutabazijustin-x2v8 ай бұрын
Afathari na Nyinyi Watanzania mnavyakura vyakutosha kupambana nahizo pombe feck hapa kwetu Rwanda Kigali unakuta vijyana miaka kumu na Tano wanajikojorea sababu ya hizo pembe akinywa hata asipo kunywa Asante sana Msukuma
@MufdatAbdallahАй бұрын
Upo Kigali sehem gani
@b1vevo8 ай бұрын
The leader he know how to protect the citizens, thanks Dr. msukuma
@geofreykayombo4018 ай бұрын
Musukuma yupo vizuri sana,kweli bhana south africa hawana hata haya machanjo,mama akitoka hospitali imetoka hiyo,ukirudi ni checking za kawaida
@f.a6043Ай бұрын
Mambo yamekua ya hovyo sana siku hizi ujinga mtu sijui ni laana gani imejaa hebu waambie hao ukweli Hongera sana Mh. Msukuma Waambie ukweli hao wanajifanya wanaabunu hela kuliko ubinadam yaani mambo ya hovyo kweli laaana tupu
@hadijajuma3773Ай бұрын
Acha baba😢😢😢😢
@IbrahimLyotch4 ай бұрын
Brilliant idea
@AbdillahiNdashwa118 ай бұрын
Allah akujalie inshallah
@patricksebastian35938 ай бұрын
Doctor Msukuma nakubari sana kazi yako
@aairraahseif56488 ай бұрын
Kazi gani ameifanya ikaonekana na kusifiwa? tuambie nasi tumsifie
@rosehaule67658 ай бұрын
Ee yesu yasn msukuma umeongea mnoo mpaka nimelia uwiii😢😢safi.mnoo sijui itafatiliwa jamani
@StephenMelkizedeki-pn3us8 ай бұрын
Dh
@PaulLaizer-vz9vw2 ай бұрын
Dr safii sanaaa
@alexdukes55478 ай бұрын
Msukuma hajuwi kumbe hii nchi inaongozwa Kwa wahisani,mmoja tu aliekataa huu upuuzi wa kufanyiwa majaribio,laeo hii hayupo tumebaki kama mbayu mbayu,janabi anatufundisha vizuri,ukitaka kuchagua tunza hela uje uzitumie kwenye matibabu au tunza Afya uje utumie afya yako vizuri...chagua we mwenyewe.
@MOHAMEDIRAMADHANIJUMANNEАй бұрын
Msukuma ni wa moto hongera yako
@KasiliSubuyaАй бұрын
Nakukubali sana
@SimbaM2kufu8 ай бұрын
This guy is very much on point. We need to be self-reliant. We can't just sit and wait for westerners to bring us their misleading research.
@ChoroTesla8 ай бұрын
wao ndo wanaogoza research kubwa kuubwa zpte duniani research ni investment do we invest au porojo? hakuna research za kukalili lazima uingie field na uinvest wenzetu wana invest
@Soon8158 ай бұрын
Well said
@SimbaM2kufu8 ай бұрын
@@ChoroTesla Rukia kusoma comment yangu. I didn't say we have invested in research, I said we need to.
@ChoroTesla8 ай бұрын
@@SimbaM2kufu i got you sasa msukuma anataka vitu vijiiibue ajue wenzetu wanashinda maaabara sie tunashinda tiktok na instagram mama anaupiga mwingi
@tolisso42878 ай бұрын
😂😂 we jamaa
@shabanramadhan76328 ай бұрын
Jamaa Yuko vizuri sana
@jukiboy70128 ай бұрын
Iki ni kichwa dah 🙏🙏
@MudiChange4 ай бұрын
Hongera sana mkuu
@MsafilymsafilyChaless8 ай бұрын
Sema kiongoz wetu tuko pamoja,
@erastonyoka50218 ай бұрын
Mweshimiwa msukuma hanaga mambo ya kupinfisha maneno yuko sahihi sana
@DanielMangasa-hs4hxАй бұрын
Upo vizuri mh Msukuma unaongea ukweli
@DansonMtambi-fq2ff8 ай бұрын
Hongera sanaa musukuma
@PascalPascal-r8r23 күн бұрын
Naacha kunywa Energy 😢😢😢
@JoshuaYeremia-z5kАй бұрын
Sema baba mtetezi 🎉😂
@TheresiaAndrea-hv9dg8 ай бұрын
Msukuma anachosema yuko sawa kwa kiasi furani. matikiti maji yanayodungwa sindano na kuku wa wiki tatu ukila vinaadhiri mwili kwa kiasi gani?? I love you Msukuma you are so geneous.
@ClementDominickoАй бұрын
Duu mi niko mbali kwer na matikiti yanadungwa sindano.
@BenjaNetanyahu8 ай бұрын
Mbona professor janabi anasaidia watu wengi sana, kupitia mitandao,, naomba mwacheni mzee wetu afanye kazi kuelimisha, na kuboresha afya za watanzania. Msimtengenezee kinyongo,,, serikali inapaswa kuwapa kipaumbele watu kama professor janabi. Na sio kwenda tofauti nao.
@samsonhamery38098 ай бұрын
Hujamwelewa mbunge msukuma je wewe unakula kijiko kimoja kama mlo wako wa siku?
@BenjaNetanyahu8 ай бұрын
@@samsonhamery3809 kwani dr alisema watu wale kijiko kimoja.
@ramadhanijuma41308 ай бұрын
Ukiwa hujaelewa ni vema ukanyamaza au ukaomba kueleweshwa.
@fatmaallyabdul17328 ай бұрын
Tatizo letu huwa tunapenda kuleta negativity kwenye ukweli,ni kwa vile tumetofautiana miili yetu mwingine hata ale vipi hanenepi ,mbunge hapo aametoa mfano wa mtu anayefanya kazi ngumu what about Mimi ninaeshinda ofisini??Mimi Niko pamoja na professor Janabi katika hili kwa mustakbari wa afya yangu,sina muda/nafasi ya kufanya mazoezi basi acha nifuate kanuni za ulaji bora
@fcbora73888 ай бұрын
Ila ni kweli ukipungua wakati wa ujana, utateseka uzeeni. Mtu akifika miaka 50 anapungua muscle na mwili unalegea. Unabaki mifupa.
@danielndilili75258 ай бұрын
Au bass msukuma njoo nikupe ng'ombe make unanigusaga kwakwel
@GibsonNtamamilo8 ай бұрын
Professor Janabi kaeleza vizuri, shule yake ni kwa wale wasiofanya mazoezi au wasiokuwa na kazi nzito wasile hovyo.
@ChoroTesla8 ай бұрын
ndo wabunge wetu hao... anakuja bila tafiti chanjo hiizi hua zinakuja kutokana na idadi ya ugonjwa kwenye records za hospitali zilivyo haziiibuki kuhusu bajeti punguzeni matumizi ya serikali uanzishe maaabara na nyie mlioko bungeni mnawashambulia wataaalamu.
@reynaaalrawahi41378 ай бұрын
Dokta yupo vizuri alichosema. 🎉🎉🎉
@dominickmahela15818 ай бұрын
Huyu jamaa leo ndo kaongea pumba tu pengine anaangaliaga meme kuhusu Janabi na hajawahi kumsikiliza😂
@phakundigervas13608 ай бұрын
Kwa Mbunge huyo kila asichokipenda YEYE ni Suomi fake lakini ni mjinga wa bangi believe it.
@jumasenjulu892926 күн бұрын
Mama amteeu kuwa waziri
@ElizabethFumbuka3 ай бұрын
Ukitoka bungeni kunywa soda baridi❤
@kassimkassimngatomela96603 ай бұрын
Huyu mbunge anaongea vitu vya muhimu sana kwenye maisha ya watu.
@aidanmaganga70514 ай бұрын
Msukuma 😂😂😂😂😂😂
@YonaMollel-y7k4 ай бұрын
🎉😂❤😂 congratulations msukuma
@JosephMpangala-wd5mp8 ай бұрын
Professors yupo sahihi kabisa kulingana na mzingila na kazi ya mtu anayofanya, Mimi nimojawapo ninayemfuatilia sana, msukuma nendapole.
@munirazenji9819Ай бұрын
kweli msukuma labda hajamfahamu na hataki kujipima kutumia akili yake
@dorothyannan81842 ай бұрын
Umeongea point sana
@Fundnlly4 ай бұрын
Safi sana bila hivi tutaisha
@NyandaEndeleaАй бұрын
Wambie hao 😂😂😂😂
@Azizmwatika-n9b5 ай бұрын
Mh msukuma ni Nuru ya taifa anasimama sanaa Kwa wananchi
@KitilaMndeme8 ай бұрын
Namuelewa sana my msukuma anasema anaeishi korogwe ni kweli kabisa amewahi kuniuzia viatu,naomba Bunge limlinde na kumtunza ana maoni ya mbali atatufikisha pazuri speed nafasi zaidi
@mohamedimiraji54958 ай бұрын
Excellent argument
@LilyMwalugaja5 ай бұрын
Msukuma. Kwakwer. 😮😮😮😮
@kisandodida81146 ай бұрын
Anajua Sana uyu mwamba
@abudulingasa64138 ай бұрын
Mungu akupe miaka ming dunian uwatumikie wana nchi
@ladislausmoris96388 ай бұрын
Swala la chanjo hapo mr pm mungu akubariki sana endelea kuwa muwaz na kusema bila kigugumiz maana hali n mby saanaaaa tunaumia
@GerrardLaizzer27 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣musukumaaa daa
@ladislausmoris96385 ай бұрын
Yaan msukum cjui kwann hupew nafas ya juu katk uongoz wa SERIKALI au ndo ile tanzania hatupend wasema ukweli???? Mungu akubarike saaaaan nakupenda unanifrahisha
@vickykapama83868 ай бұрын
Huyu mbunge mie namkubali sanaa huwa ANAONGEA UKWELI MTUPU💯 . Mungu atupe SIKIO LA KUSIKILIZA UMUHIMU WA KUFANYA UTAFITI WA VITU VINAVYOTUMIWA NA WANANCHI WA TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🤲🤲
@MussaMasolwa4 ай бұрын
Kweliii
@adamkilembwe.8 ай бұрын
Kweli
@DevotaJulius-lp1mqАй бұрын
Umeongea ukweli msukuma
@FatnaAlly-go7yt8 ай бұрын
Allah jaalia kila mwenye majungu allah amtie nguvu
@michaelmoro48018 ай бұрын
Niko pamoja na wewe mkuu wangu umesema kweli kabisa Mungu Akubariki
@MarwanBakhamisАй бұрын
Uyu jamaa anajua sana ni kati ya watu adimu ana kipaji alichopewa na mungu si elimu
@moviccreativestudioАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 Wasukuma oyeeee wako field shamabani
@pascaldomel15518 ай бұрын
Mzee unasema kweli,nani kasema msukuma siyo msomi.Mimi naona msukuma anasema ukweli wote ambao sasahivi Tz tumekuwa kama pango la kuletewa chanjo za kila aina.Kama nchi tusipoangali tunaweza kumalizwa na hawa wenzetu kutoka magharib,kwani kumekuwa na magonjwa ya kila aina,mengine hayana majina kumbe ni kwa sababu ya vyakula na chanjo zisizo thibitishwa na wataalamu wetu.
@apostlelukumay18568 ай бұрын
Msukuma ameongea point, japo hoja zake zinakosa mashiko kwa sababu wanaopaswa kuwajibika wamekaa kimya.
@alphamenson37848 ай бұрын
Jamaa wanashindwa kuelewa Professor Janabi anachozungumzia ni issue ya mlo mmoja kwa siku, mlo unakuwa na aina zote za virutubisho yani ni mlo kamili. Hii ni moja ya tiba nzuri. Najua kuna watu wanajua zaidi yangu wanaweza kunisahihisha
@shukranisibale17398 ай бұрын
Uwezo watu wanao wa virutubisho
@ChoroTesla8 ай бұрын
uko sawaa kabisa msukuma hajaenda shule yani anakuja kulalamika wakati hata usikute hali mlo kamili
@MichaelmotikaLaiser-dl6wmАй бұрын
Mwongo sana angalia afya yake
@rwehumbizathadeo2559Ай бұрын
Daima nitaendelea kukubali MSUKUMA
@EliabuShima8 ай бұрын
Msukuma umetsha baba😂😂 hongera
@JoshuaEssau-f2eАй бұрын
Joshua
@Majambo_Duniani_Tv27 күн бұрын
Sauti kama ya Magufuli..
@JacksonKimath-i5nАй бұрын
Mbn m,bunge wetu ndakidemi Yuko kimya kwamba mosh vijijini amna changamoto
@DianaMwakibinga25 күн бұрын
Makofi mengi mengi kwako Mh
@RechoMasunga-rp9dr8 ай бұрын
Msukuma wewe ni jembe nakuombea mungu akubariki Sana
@GeorgeNyalulu8 ай бұрын
Akılı kubwa sana
@SamwelBalya4 ай бұрын
Kwan kua mbunge unatakaiwa uwe na nn maana naona nikikaa na mm mtambo unawaka😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@TeddyMakassyАй бұрын
Msukuma namkubali sana
@fatmasherallysherally537Ай бұрын
Kweli hawafanyi utafiti wa chanjo na vyakula
@DevotaJulius-lp1mq7 ай бұрын
Msukuma nakukubali Sana. Ninakufutia tu
@saidcontractor3315Ай бұрын
Msukuma umetuheshimisha sana
@johnmworia1062Ай бұрын
Saafi musukuma
@hamicfrancis736321 күн бұрын
Mimi janabi kanisaidia sana
@TimotheoPeter-pr3ve8 ай бұрын
Nice speach
@JoacquimNgilishoАй бұрын
Sawasawa
@abdillahchikota43038 ай бұрын
Dah Tanzania yangu
@MinskBelarus-il2tl8 ай бұрын
MSKUMA.......achana na Professor wetu mjomba. Pitia tena UFAFANUZI wake kurwa mara Tatu,labda utamuelewa. Kama umemtaja kwa kwa KUSHEREHESHA wabunge wenzio.....hapo sawa,ila Muheshimu sana msomi wa miaka 1970,1980 ,huko nchi za kikoministi......hicho kijiko kimoja ulichokitaja kilikuwa adimu. Hongera Professor JANABI. Kizazi kijacho kitakuelewa.
@aairraahseif56488 ай бұрын
Ndugu umenisaidia sana kujibu ahsante 🙏🙌huyu msukuma amejikuta nani sijui kuingilia taaluma za watu!ana katabia kadharau toka apewe udaktari wa funza chooni
@samwa9496Ай бұрын
anakurupuka
@FrankMwakalinga-k9y4 ай бұрын
Mh.Msukuma nakwelewa sana kwa unayoyaongea ni hatari kwa afya yetu😢
@KhadijaUssi-cp5is8 ай бұрын
Hujamuelewa profesa
@erastomwakalukwa39468 ай бұрын
He is genius😂😂
@evancegidion91558 ай бұрын
Shida kubwa iko kwenye usumbufu wenu ninyi wanasiasa maana kila utafiti unapofanyika watu wanatumia vyeo vyao na utaalamu hamna kisa kimtu ni kiwaziri basi ni kuamlisha mambo tu ila mtajichumia laana kwa kutuangamiza wananchi kwa kuizinisha na kubariki mambo ya hovyo kuja kwa wananchi na kubishia majibu ya wataalamu mnayopewa na kutumia siasa kwenye mambo yanayohitaji utaalam kutumika
@jemaidamdengede96978 ай бұрын
Well said
@KuruthumBilaliАй бұрын
❤❤❤
@valentinokimwaga45452 сағат бұрын
Kwakweli tunapotea Sana Tanzania
@eliamgohachi40622 ай бұрын
Msukuma upo vzr sana mm nafuatilia sana mazungumzo yako kwani upo sahihi kabisa.