Mkojan kazi imeharbika mganga angekuwa wa kweri ingenoga zaidi
@NourRaphael11 ай бұрын
Hahaha huyu chandim sasa hivi mkojan anashindwa kumvumilia ameshamtesa sana mkojani sasa hivi atazaanae❤
@NordeenGharib11 ай бұрын
kaka allah akufanyiye wepesi katika kazi yako me kura yangu umepata haina mbambamba
@quintrabeiby840411 ай бұрын
❤🎉🎉ila chandimu nmecheka vile ulitaka 😂😂😂mob love kwenu 🎉 🇰🇪
@fadhilbachoo598511 ай бұрын
Ili muvi inoge atoke kweli Binti na Alie muondoa duniani ajulikane
@alhimnamussasaid361911 ай бұрын
Atoke wapi wakati mtu ashakufa na chandimu ni muongo
@paullluhanyapaullluhanya244611 ай бұрын
Chandimu kaharibu Sana hatujapenda Mimi na family yang kwa ujumla umeleta uhuni Sana badilisheni ep ijayo uwe mganga kweri binti apatikane itanoga Sana.
@meshack326611 ай бұрын
KwEnda bhana tunga yako ndo ujipangie sis twainjoi na chandimu wetu😂😂😂😂😂😂😂
@DavidMgaywa-zd5kd11 ай бұрын
😂😂😂😂
@mascutmascut197311 ай бұрын
Huyu jamaa anaecheza na chandimu namuona next episode anakula makofi ya familia nzima 😂😂
@KemmyPrince-m6h11 ай бұрын
Mkojani mweu sana bila yeye movie isingenoga kabsa
@johnmbigi793011 ай бұрын
🎉🎉 nyingi kwake🙏🙏
@aineaelias843011 ай бұрын
Kama umerudia mala tatu sehem ambayo msukule unatoka kichakani gonga like
@fadybeatz11 ай бұрын
Mi stoi dawa hii dawa nimeipenda mkojani miyeyusho sana😂😂
@fetreshazKhamisi11 ай бұрын
Hayahaya wale familia ya mkojani geng🔥🔥🔥🔥🥰
@JOHAREHfilms202311 ай бұрын
Yan kamugisha mwaluvanda na mkono wangemkamata chandimuu wampige makofi kabla awajaenda huko nyumban, yaan ningefurahi kichizi😂
@KhadijahMohammed-bi9ef10 ай бұрын
Sjapenda mwishon uganga ilifaa iwe kwel
@aminakesi594511 ай бұрын
Jini British 😂😂😂😂😂😂vile vanda boy n kamugisha washasinywa n uuyu mganga duuuuu next n motoo mtauponza chandimu😂😂😂😂
@mathayo331111 ай бұрын
Kaz nzuri
@JumaJuma-fu7ji11 ай бұрын
Chandimu ingetakiwa uwe mganga kweli man kifo chenyewe nichaugai Gai
Movie nzuri ila Kuna kitu sijakipenda yaan mwanzo kwel yule maiti alitokea sasa ilitakiwa awe mganga kwl sasa hyu miyeyusho anazingua anapoteza ladha ya movie ingawa inaenda sawa
@KemmyPrince-m6h11 ай бұрын
Tuone kitakachkojil baadae 😅😅 mnaa sio pw
@BeatriceKaizary-jr1kf11 ай бұрын
Pigeni kula acheni vyakusema wa kwanza
@JumaJuma-fu7ji11 ай бұрын
Asema kunawatu kibao nataka niwaone mkojan kiboko et akina maiko jaksoni 🤣🤣🤣😂
@JituLakale11 ай бұрын
Mamaeeeeeeeee 😂😂😂 ata Mimi nisinge kaa
@ibraahally545711 ай бұрын
Wengi naona bado hamjamuelewa chandimu anawavuruga kisaikolojia daah ila chandi🤣🤣
@kakazkanda10 ай бұрын
👁️👁️
@NuratyMkondola11 ай бұрын
Kwahy ata mke wa kamugisha kuonekana kupotea kwenye mbuyu huwenda ilikuwa ni pombe
@ReinaTave-eh3ir11 ай бұрын
Aisee kumbe........🤔🫣🤭😅
@MaryamMoosa-g5s11 ай бұрын
Chandim chandim ❤❤❤❤
@rizikisam648111 ай бұрын
😂😂😂😂 mganga gani huyu
@busaraamina11 ай бұрын
Hii imeanza kuboa sasa, chandimu kazi imemshinda anaongopea sasa. Kumbe ni mpango wao na mrasta
@DJQueenBeeOG11 ай бұрын
Movie inge noga kama uganga ungekuwa wa kweli izi porojo kila siku
@biashamohamed751611 ай бұрын
Ndoman mkojani yupo tofauti na tz comedian actor ,haigizi kitu unacho kitarajia kije kutokea,,congrats kwake ....kula yangu unayo baba
@DJQueenBeeOG11 ай бұрын
@@biashamohamed7516 hata kama bana kwaiyo itatokea miujiza mizimu imuingie kweli au ndo kutupa mda na vipande view vingi
@Gamba8111 ай бұрын
Good good 👍🏾
@wanyambi11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂chandim bwana
@SharifSadiki11 ай бұрын
Nimewayi leo Niko wa 236
@JumaRamadhani-x1s11 ай бұрын
Jikune unapo paweza chandimu 😅😅😅
@alitante427911 ай бұрын
Mkojani eti dawa nimeipndaa hii😅😅
@amriyyahamad394611 ай бұрын
Nice
@SoviaAa-c7j11 ай бұрын
Mganga wakisamba 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@BabaibuKijukuu11 ай бұрын
😂😂😂🎉😂😂😂
@BabaibuKijukuu11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉😅😮😅
@josephmakweta11 ай бұрын
Toeni ushauli
@MbarakaShabani-d5s11 ай бұрын
Tupo teyali kwailo
@FanesKalumbwa11 ай бұрын
Hapo aondoki mtu
@ngoshaog125511 ай бұрын
🔥🔥🔥
@abubakarmpole400011 ай бұрын
Chandimu buana 😂😂😂😂
@salwasuleiman352511 ай бұрын
Jini British tena balaa 😅😅
@MpawenayoRayRodrine11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@Mjamdaa11 ай бұрын
🤣🤣🤣😂😂waah
@Josemlowe11 ай бұрын
Ila Samofi ninoma
@AllyAme-s2w11 ай бұрын
Chandimu unafanya utoto
@hamishatibu100711 ай бұрын
chandimu atayatimba mda c mrefu
@SophiaMgonda11 ай бұрын
Chandimu punguza utoto bwana
@laizerlaizer372311 ай бұрын
😅😅😅😅😊😅
@لبااتتاا11 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤
@PHESTOWAPHESTO11 ай бұрын
MKOJANI PUNGUZA ASILA
@BernardNyakiriga10 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@warlie11 ай бұрын
Hii part ya chandimu inafanya hiki kipindi kiloose ladha😢