Mahakama Kuu Yaruhusu TAMISEMI Ipingwe Kusimamia Uchaguzi

  Рет қаралды 1,556

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Mahakama Kuu ya Tanzania imekubaliana na hoja zilizowasilishwa na wananchi watatu, Bob Chacha Wangwe, Bubelwa Kaiza na Dk Ananilea Nkya ambapo imetoa ruhusa kwa wananchi hao kuendelea na hatua nyingine za kufungua shauri kupinga Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kusimamia uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 5
@rithaurassa
@rithaurassa 6 күн бұрын
Mungu ingilia ngati hili.bila wew Mungu tukisema ni akili zetu tunajidanganya.. Mungu tuepushie na Tamsemi Watanzania wengi wanamaumivu.Mama Mungu akuepuepushie na hila za maadui.
@user-hd6il8ni2f
@user-hd6il8ni2f Күн бұрын
Mungu anajidhihilisha na awe mbele yenu maana mnawakilisha jeshikubwa hatua hii ni njia pekee ya ushindi wa MUNGU. vipofu na viziwi niwenzetu nanyi ndio mnawawakilisha mbarikiwe
@LazaroMwakasege
@LazaroMwakasege 7 күн бұрын
Tamisemi haiaminiki hatakidogo
@malackedson7706
@malackedson7706 6 күн бұрын
Atutaki tamisemi
@AshrafLema-n5r
@AshrafLema-n5r 7 күн бұрын
Tamisemi haiwezi kuaminika hata kidogo kusimamia uchaguzi.
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
МАИНКРАФТ В РЕАЛЬНОЙ ЖИЗНИ!🌍
00:31
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 35 МЛН
BAKWATA Watoa Tamko Sakata la Utekaji, Kuelekea Uchaguzi
4:20
The Chanzo
Рет қаралды 3,2 М.
#ZANZIBAR NA VIP LOUNGE YA KWANZA BARANI AFRIKA NA DUNIA
12:25
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44