Maharage Jesca Tiba Nguvu za Kiume

  Рет қаралды 575

SIMULIZI ZA SAUTI

SIMULIZI ZA SAUTI

2 жыл бұрын

Baadhi ya Mikoa ya Kagera, Bukoba, Dodoma na Ya Kanda ya kaskazini inatajwa kuwa kinara katika matumizi ya maharage aina ya Jesca kwaajili ya kuboresha tendo la Ndoa.
Mtafiti kutoka kituo cha Utafiti cha Tari Selian Bw. Nestory Mahenge, amefafanua kuwa maharage pia yanaweza kusagwa yakawa unga na kupikiwa uji ambao ndiyo hupelekea mtumiaji kupata nguvu ya kutumikia familia pamoja na kukuza kiwango cha vitamini kwenye mwili wake.
"Yaani ubora wa huu unga wa maharage ya Jesca umetokea kupendwa wananchi badala ya kutoka kazini na kwenda kunywa bia, sasa ni wakati wa kutumia uji wa Jesca kwàajili ya afya zaidi" Alisema

Пікірлер: 1
@samwelkingson4441
@samwelkingson4441 2 жыл бұрын
Safi sana
DKT MPOKI: MBEGU BORA ZA MAHARAGE HUTOA MAVUNO BORA.
5:21
Radio Mbiu
Рет қаралды 1,4 М.
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,4 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 15 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
‘Maharage haya huongeza nguvu za kiume’ - Mtafiti
4:42
BBC News Swahili
Рет қаралды 6 М.
JUICE 5 ZA TENDE NDANI YA DAKIKA 2 TU
2:47
keki plus
Рет қаралды 71 М.
NEW MV VICTORIA ilivyopagawisha wakazi wa Bukoba
0:47
Azam TV
Рет қаралды 7 М.
FAIDA 10 ZA MAJANI YA MGOMBA KWA KUKU
7:17
AGALUS TV
Рет қаралды 28 М.
Matumiza ya Mboleya ya maji aina ya #Booster #keen.feeders.ltd
4:14
Mkulima Market
Рет қаралды 10 М.
FUTA NAMBA YANGU SEHEMU YA 5
18:11
SIMULIZI ZA SAUTI
Рет қаралды 578
Usiyoyajua Kuhusu Parachichi
5:39
SIMULIZI ZA SAUTI
Рет қаралды 327