Hakuna mpenda haki anayependwa na wahalifu wasiopenda haki.
@ramadhanmahongole9293Ай бұрын
@@dorothmsuya1686kwani wewe humupendi 😂😂😂 basi una roho ya kutu sana
@harounmaarufu3241Ай бұрын
Uko vizuri kiongozi
@rubenimpete1772Ай бұрын
tupo pamoja kiongozi
@MagdalenaBeenadАй бұрын
Mungu akulimde akutunze kila anaekuombea ufe afew years tunakupenda sans sans baba ulimwaga damu yako kwa ajiri yetu uliteseka lakini hujatuchoka watanzania umejitowa dhabihu mwili wako na uhai wako mungu akubariki sana baba
@CharlesAndrea-z4uАй бұрын
Pambana lissu
@ChekibobuАй бұрын
My President 🔥🔥
@FadhilEmanuelАй бұрын
😊😊😊😊
@TumainiErro-c7oАй бұрын
My roal model
@phillipmasungwa7365Ай бұрын
SAHIHI KABISA USEMAYO TUNDU LISSU.
@fredrickmwakalinga6390Ай бұрын
Sasa Lisu hili tatizo nini kifanyike maana umekuwa ni mchezo wa ccm kuogoza bila ridhaa ya wtzni
@PidasonNestory-tx6flАй бұрын
Ukweli ni kwamba haya hayawezi kuisha kama watanzania wenyewe hatutaungana wote kuyakataa
@monicamwita7865Ай бұрын
Tuzidi kumwomba Mungu Baba Mkono wake utende haki, kwa nguvu zetu hatuwezi
@TimotheoSimtoweАй бұрын
Kwani nyie Watanzania mmechukua hatua gani baada ya kuona na kujua haya yote?
@erickjastine1439Ай бұрын
i beg to differ, TUNAWEZA!@@monicamwita7865
@SimulizitulivuuАй бұрын
Professor J
@EvaMosha-v6mАй бұрын
Komando wetu Lisu tumekumisi sana, karibu nyumbani.wewe ndio Raisi wetu 2025. Pipoooz power
@MfunjoWabaBoydaysАй бұрын
Power 🎉🎉🎉🎉 FOREVER
@TomasOlodi-k1eАй бұрын
MUNGU AKUSADIE MWAMBA WETU LISU
@MathewNathan-yb2bzАй бұрын
Mungu azidi kukulinda zaidi,kukubariki na kukupa maisha marefu zaidi.
@SAULMSIGWA-sv9zjАй бұрын
Majibu mazur lisu uposaw
@braystuskibassa3842Ай бұрын
Duuuh kwahiyo yupo Kenya eee
@hancedatch974Ай бұрын
Hili Jamaa liongo
@ewaldassengaАй бұрын
kaka Paul nabiswa ulipo tupo
@tobiaspaul9203Ай бұрын
Rais wa mioyo yetu
@josephmbeya5973Ай бұрын
CHUMA HICHOOOO
@michaelnsangano2229Ай бұрын
Red ce the unessary😊 adds
@h456-m1lАй бұрын
Kongole mheshimiwa. Wana CCM wanapiga mayowe kwenye comments. Katiba lazima iwe katiba kamilifu Wala sio matamanio ya ccm
@mwamistv2296Ай бұрын
They is no country in african that is free. What changes do you want or expect as a leader to make?
@MorandiKaroli-y1uАй бұрын
1sana mheshimiwa
@PhilipoMwita-b2xАй бұрын
Aisee lissu nimekumis mzee wahi urud jaman
@IssaAlly-lp4ufАй бұрын
Tupendane uku mkononi ameshika upanga
@BakariJuma-v1oАй бұрын
Kila laher mh lissu nakutakia kazi njema ktk izi harakati za kulijenga taifa la Tanzania
@Fundi12345Ай бұрын
Tabu ya lisu ni mahari alipo jishikiza tu uuu
@hassankidilikia5566Ай бұрын
Tundu raisi utawapa ukimbizi Palestinian katikati mwakilima Kilimanjaro wajiliwaze 😂
@angelsulle7177Ай бұрын
Sasa wewe mtani wangu Msingida inasaidia nini kumweleza huyo Mkenya??? Hakuna mahali pa uhakika pakuelezea hayo hao CCM wakathibitiwa??? Kama hakuna kuliko kupata madhara mwombeni Mungu kwa mioyo yote ataleta mwafaka
@EMMANUELALFRED-q1vАй бұрын
Aibu yao milele, wanachama wa ccm ambao wamepata uongozi ndani ya chama chao, hawatawahi kuionja mbingu hata siku moja kwani mipango yao yote ni hujuma, dhuluma, wizi wa kura na mipango yote ya ufisadi.
@benjaminbabere1883Ай бұрын
Tumahitaji tujue kweli Kuna bonadamu aliagiza uuwawe? Mahakama itemde haki
@mussasaid284Ай бұрын
Mambo anayozungumza Lisu ni ya ukweli,nimekuwa nawashangaa sana viongozi wa Afrika,kwa nn wakosoaji wao wanawafanya km maadui zao?kwa nn km kweli wanadhani wanapendwa na wananchi linapokuja swara la uchaguzi mbona wanaanza kuweka vikwazo vya kipuuzi? ukweli ni kwamba ccm haipo kbs ila tu mifumo iliyopo na katiba inayowalinda ndio siraha yao pekee
@kenedyrocky4641Ай бұрын
Matangazo ni mengi na marefu, hadi yanatuondolea mada kichwani. Tafadhali studio punguza matangazo. Weka kiasi usiharibu mada.
@Amo-b7gАй бұрын
Ukisikiliza kwa umakini mazungumo haya utagundua incongruity na abracadabra nyingi sana toka kwa Lisu.Hii ni political failure.
@mohamedturanardan8871Ай бұрын
Asiejua maana haambiwi maana. Boya
@shafee9128Ай бұрын
Are you even serious, it’s time to pay for what they did to innocent man
@SimulizitulivuuАй бұрын
Mbona kama riziwani kikwete?
@Imrani-g9oАй бұрын
Mtangazaji hiyo dingi unamzalikisha na maswali Yako ana leta shombo CCM wamechafua ni CHADEMA SI CHAMA HURU JE KITATOA MGOMBEA au vipi i mbona jibu rahisi una jing'hata ng'ata nini
@davidsilwamba2465Ай бұрын
Nikweli kabisa Mh raisi ujae,hawa ccm hawapo Tanzania,Tanzania tuna police vs chadema ndo wanasumbuaga,ccm ilikufaga mwisho kuingia awamu yapili yakikwete mwaka 2010 ndo walianza kutangazwa ushindi kwa kubebwa na polisi mpaka leo wapinzani wakuu wa chadema nijeshi la police,kwahiyo upinzani tanzania unatakiwa kutafuta namna yakukabiliana nampinzani wao mkuu ambae nijeshi lapolisi kwenye chaguzi siyo ccm tena maana hawapo kabisa hawachaguliki bali hupachikwa najeshi lapolisi.
@victorishengoma5724Ай бұрын
Hivi gari lilinunuliwa??
@mohamoudhussein4570Ай бұрын
SHIDA NI MWENYEKITI WENU MBOWE NDIO ANASALITI MABADILIKO NA WEWE LISSU NA WENZIO KWENYE CHAMA CHENU MUNAOGOPA KUMKABILI NA KUMWELEZA UKWELI
@MfunjoWabaBoydaysАй бұрын
Naweza kukubaliana nawe Mbowe ni tatizo .Nilipogunduwa ulikuwa wakati bwa UKUTA, Asante kwa kuelewa hilo🎉🎉🎉🎉
@Fundi12345Ай бұрын
Tunamusubili akifungua cham kingine kimuunge mkuno siyo huko
@egdldm4981Ай бұрын
Aliyetakiwa kuuawa kwa risasi huko marekani ndiye anakuja kuwa Rais wa 47 wa USA. Aliyenusurika kuuawa kwa risasi huko Tanzania ndiye atakaye kuja kuwa Rais wa 6 wa JMT.... Tunza hii taarifa kwa kumbukumbu.
@monicamwita7865Ай бұрын
Tuonane MunguBaba Asimame wenyewe. Binafsi naona kuna kitu ambacho Mungu Amemuwekea. Ila ikumbukwe KUSUDI LA MUNGU BABA AMBALO MUNGU AMEMWEKEA MTU, HAKUNA ATAKAYE ZUIA.
@charleskingimwakasagule5752Ай бұрын
Watz ni mambumbu ndomana sisiemu inaendelea kutamba sikuizi hata vyuo vikuu sisiemu imetawala wanafunzi ambao tunawategemea akitoka chuoni analudi na usisiemu kichwani
@RaphaelMbughi-n1gАй бұрын
Mwasaghule Yupi Huyu
@miltonjohn9779Ай бұрын
Analudi na uccm Au anarudi na uccm
@nyamwalevenance5994Ай бұрын
Utakapokua utaacha kulialia na utanyamaza tu
@WansolaLuther-tq8qmАй бұрын
Jinga wewe
@giovannir.restone182Ай бұрын
Huyu Jamaa ni mwanasiasa wa ulwei na mpinzani Hakika! hakuna longo longo
@monicamwita7865Ай бұрын
Hana tamaa na ni mkweli
@hancedatch974Ай бұрын
Hana ukweli wowote ni snitch tu muongo kisenge
@MACHAGGECHACHAАй бұрын
Haitakusaidia lolote. Unafiki na ubinafsi mtupu. Utaletea taifa faida gani??? Sera yako ni manung’uniko na kutafuta huruma. Huna faida nchini.
@mussasaid284Ай бұрын
Hivi wewe jamaa una afya ya akili kweli?
@MohamedRashid-py7roАй бұрын
Wakenua mnamsikiliza huyo mpuzi Zelensky wa Tanzania. Mza wauza nchi Chadema
@mussasaid284Ай бұрын
😂hauna afya ya akili 🐕
@maulidmtowi3937Ай бұрын
Wakati mimi nauli ya kunipeleka singida nyumbani kuwaona wazazi wangu inatakiwa nipige kazi kweli full kujinyima lakini hawa wenzetu wanaranda duniani sijui hela wanatoaga wapi..huyu mwamba namkabali sana ni library inayo tembea na ni mwalimu wa mambo mengi sana kwa yale tusiyo yafahamu
@fredrickmwakalinga6390Ай бұрын
Unaonekana wewe ni mpumbavu wa kitupwa lazima ujuwe vidole havifanani pia sio wote .mko sawa kipato na njia za utafutaji shida unafikiri kwa kutumia makalio hta mtoto wa chekechea anaweza kujuwa hili
@OmmyJames-xn7jiАй бұрын
FANYA kazi hakuna MIUJIZA 😢😢😢😢😢
@1961nungwiАй бұрын
Elimu, Elimu, Elimu! Lissu ana Degree ya Kwanza UDSM, ya Pili Uingereza, Post Grad Research Marekani. Makamu Mwenyekiti Chadema, mbunge Miaka mingi, Wakili wa Mahakama Kuu, bado unataka mlingane?😂
@gangan4618Ай бұрын
@@1961nungwi Waambie matahila hayo"Ma-kenge wa kijani hao".
@monicamwita7865Ай бұрын
Hakima ninajifunza mengi toka kwake
@godfreymbwambo4460Ай бұрын
Puppet Lissu at his best!
@mpangalalastephen4606Ай бұрын
Lisu mmekataa katiba sasa mnataka nini?
@Imrani-g9oАй бұрын
Ona tatizo MAREKANI kuto unga vitainakuhusu nini mashariki yakati wepayuka utoke povu. Umepoteza haiba umechoka sana MUNYAHATEE HEHE NENE MUNYAHATEE UYOU
@mussasaid284Ай бұрын
😂nyie wapuuzi someni alama za nyakati
@danielmakubowatzАй бұрын
UKIMSIKILIZA LISU VIZURI UTAGUNDUA KUWA TANZANIA NI BANANA REPUBLIC
@monicamwita7865Ай бұрын
Why?
@hemedjackson2261Ай бұрын
Mbwa huyu halafu hana mkia
@WansolaLuther-tq8qmАй бұрын
Mbwa wewe, baba na mama ako
@radaonlinetv1922Ай бұрын
Kwaiyo umekwenda kushtaki kwa Wakoloni wenzako
@AyubuChacha-u6uАй бұрын
Tanzanian ndio hiyo kweli ndugu haki na kweli ni ya muhimu sana bila Amani na Uhuru ni shida sana.
@karyori69Ай бұрын
Lisu umekuwa mnafki waandamanaji 29 wamepotea!
@vinenswilliam3534Ай бұрын
Tanzania haiteketei, tujifunze kusema vitu vizuri kuhusu nchi zetu wa Africa!
@lgf7297Ай бұрын
Huyu ni Msaliti ni Jasusi anaitukana Nchi akiwa Nchi za Nje. All blatant lies proven in Court.
@WilsonMawala-rd1rwАй бұрын
Matako wewe hebu sema hayo matusi aliyotukana lissu
@MathayoSaid-d4tАй бұрын
@@lgf7297 Sasa kama hamna akili hamna, mkiambiwa mnakimbilia kuteka watu, hizo ni akili kweli? Hata mkichanganya wanaccm wote, bado hamuwezi kuwa na akili, poleni.
@mussasaid284Ай бұрын
Wewe ni kichaaa
@WilsonMawala-rd1rwАй бұрын
@@mussasaid284 wenye matusi nyie Sasa ona kichwa imeingiaje hapa
@Imrani-g9oАй бұрын
Ukamshitaki MAGUFULI we bwege kazi Yako kutuka wanzania na TANZANIA yetu
@oddoluambano2211Ай бұрын
Yaani tundu Lisu uongo umekuzidi mno,huko ni kuchoka sasa na unaelekea mwisho
@mosesg.pendael8381Ай бұрын
Kadanganya nini?
@TM-zs3rmАй бұрын
Kusonga huko. Miaka yote kumelala na hakuna mwamko kama mikoa mingine. Ni akina kawawa kawawa. Akina ndiondio. Na kulewa pombe tu. Baadaye ni kuimba na kucheza ngoma tu. Ni Kambona pekee alijielewa na akatiwa hatiani na Nyerere.
😂🎉😂😂Sasa huku ni kuhojiwa au kuhutubia? Mwamba hatoi nafasi ya kuhojiwa. Hii ni moja ishara ya mtu dictator. 😂😂😂😂
@MzeewaslowHusseinAndrewАй бұрын
Wewe mjinga mmoja nyamaza unataka ajibu vipi?.
@mohamedturanardan8871Ай бұрын
Kuna watu wanawashwawashwa. Hayakuhusu
@MathayoSaid-d4tАй бұрын
Mkituambia watekaji ni akina nani, tutajua kwamba ninyi sio madkteta.
@1961nungwiАй бұрын
Ni kwasababu huyo Mkenya ni mtaalamu wa mawasiliano na hasa eneo la interviewing. Anajua kwamba kitaalamu, akiuliza swali hatakiwi kumkatisha mzungumzaji, anasubiri mpaka amalize jibu lake.
@mwitanyahiri4586Ай бұрын
Ndivyo interview inakuwaga,ukishauliza mtu swali anatqkiwa kukujibu Kwa namna anavyoweza,siyo kukatishwa
@jobayubu8893Ай бұрын
Kwenye hili napingana na Lissu labda hajui yerusalemu ni mji mkuu wa israeli hakuna namna daudi alikuwa ni myahudi unaitwa mji wa daudi