Always great in speaking out your minds Shangazi Fatma✅🙏👍👏
@OS-pf6op3 күн бұрын
Fatma uko vizuri sana!👏🏾
@thobiasjosephat79533 күн бұрын
Advocate Karume huwa nakuelewa sana dada!!! You are very intellectual elite!!! Umejaaliwa uwezo wa pekee sana. Ama kweli Mungu ana upendeleo. Ubarikiwe sana. Unatulisha vitu vizuri sana.
@amurimafimbo24493 күн бұрын
Huwa najiskia faraja sana kufuatilia mahojiano ya Shangazi Fatma...Tunu ya Taifa letu.😊
@ZaidAKissinza3 күн бұрын
Shangazi umenenepa MaashAllah, Mungu akujaalie maisha marefu.
@MichaelEliyahu3 күн бұрын
Fatuma uko sahihi Mungu akulinde
@iFly-t9b2 күн бұрын
Ni Fatma, sio Fatuma😅
@amourmtungo6233 күн бұрын
🤔Tanzania uwazi na uwajibikaji bado ni mtihani. Vitisho na woga pia havina uwiano kiasi kwamba watu wengi wana hofu, wasi wasi na woga wa kusema kwasababu ya aidha vitisho au matokeo mabaya zaidi ya vitisho. Haya mambo bado yanaifanya nchi yetu kuwa katika njia ya zigzag, sio njia iliyonyooka. Tuzidi kuelimishana kama hivi mara kwa mara huweza kusaidia msukumo katika sekta, nyanja na idara zote za umma kwa maslahi yetu sote. Asanteni kwa mchango wenu kama kawaida ni mzuri sana 🤝
@stephenmadembwe47843 күн бұрын
Tujifunze kitu.Mtoto wa Rais hana shida za njaa kama sisi lakini anasemea mema kuhusu nchi yake.Sisi hatuna kitu lakini ndio kwanza tumegeuka kuwa Chawa.
@BimHamdi3 күн бұрын
Tushaambiwa njaa mbaya
@mathiasgombo23163 күн бұрын
😊
@mathiasgombo23163 күн бұрын
😊
@ProsperReuben-fg6uh3 күн бұрын
Hyu SI mtoto tuu wa rais balipia mjukuu wa rais baba rais Babu rais
@EmmanuelSimion-d3e3 күн бұрын
Yaani kwa watoto wote wa marais wa Tz ISIPOKUWA mwl NYERERE, wengine wote shida tupu, Fatma uko vzr sana.!
@gowekogoweko58033 күн бұрын
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻FATMA KARUME
@adelinelyaruu30363 күн бұрын
Na mwanasheria mkuu wa sasa?
@MiriamAziz-z5t3 күн бұрын
BRAVO DADA FATMA KARUME NA ULIMWENGU....MATATIZO YOTE HAYO MNAYOZUNGUMZIA YANAMHUSU RAIS WA NCHI YETU...UKIMUONDOA MWALIMU NYERERE MARAIS WOTE WALIOFUATA WAMEKUWA WANAFUNJA KATIBA NA SHERIA ZA NCHI AIDHA KWA MAKUSUDI AU BILA UELEWA (KWA KUDANGANYWA NA WATU WAO WA KARIBU).
@BashirAbdallah-yk9me3 күн бұрын
Wa mwanzo kuvunja nadhani alikuwa ni Baba tu some historia.
@rommellyaruu14623 күн бұрын
Rais hana makosa sana maana hawezi kuwa mbobezi wa kila sakta. Mwanasheria mkuu na washauri wake wamwelekeze kikatiba bila woga nini cha kufanya. Shangazi hapa angefaa sana. Watanzania tumekuwa waoga hadi tunawaridhisha watoto wetu. Taifa linatumbukia Shimano. We Wait to see the repercussions.
@MiriamAziz-z5t2 күн бұрын
HUMJUI MWALIM NYERERE!
@HafidhAli-b6e2 күн бұрын
Nyerere alikuwa dictator no 1
@MiriamAziz-z5t2 күн бұрын
KAMA NYERERE ALIKUWA DIKTETA BASI ALIKUWA DIKTETA MZURI WA KUPIGANI HAKI ZA MASIKINI NA HAKI ZA RASILIMALI ZA NCHI YETU!
@amanimasue32062 күн бұрын
They are all Smart 🎉
@TeklaNkwaju3 күн бұрын
Dada Fatma Mungu akulinde, unaitendea haki taaluma yako
@feddymwanga54623 күн бұрын
Tusikilize content ni nzuri ssna
@MikaMichael-o4v3 күн бұрын
Jenerali kama unasoma comment zetu basi, hoja ilikuwa Fatma kuondolewa na kutorudishiwa hadhi ya taaluma yake Sasa umeongea vingi umemuondoa Fatma kwenye reli, tulikuwa tunapenda sana wengi kufahamu
@SilveryMasalu3 күн бұрын
Generali hukuitaka tu PhD. mimi leo kama mwana jamii nakutunukia PhD kutoka kwa Mungu wa mbinguni
@fahadfaraj64743 күн бұрын
Ndugu phd ni heshma tu ya utaratibu wa kitaaluma au kiheshma wala si kitu cha maana hivyo ingekua na maana hivyo Nigeria kuna phd kuliko china fananinisha ,
@DavidKagulu3 күн бұрын
Kabisaa brooo Yani hii nchi watu wa hovyoo hovyooo,ndio wanaopewa kipaumbele ,mtu muhimu kama huyu msema ukweli anapuuzwa
@JohnShileMunisi2 күн бұрын
Fatuma uko vizuri sana
@thabit57753 күн бұрын
Huyu dada namuolewa sana sema watu wanaleta u ccm
@Kwelihukuwekahuru3 күн бұрын
This woman is intelligent kwa kweli nami nasimama naye it's disgusting kwa wabunge kujigaragaza juzi kuna DC mmoja kapiga magiti eti mume wake awape fedha ya serikali ya kuleta maji
@baghabaghaingwengwe17503 күн бұрын
The Chanzo Mrudisheni shangazi tena kwenye interview ili atuambie juu chanzo kufutiwa uwakili na jinsi kesi yake ilivyoenda hadi sasa, Jenerali nawe umesahau swali la msingi ulilo muuliza
@mshanguzontulwe1068Күн бұрын
Imeanza kusikiliza kuanzia wapi?
@shabanponera28953 күн бұрын
Mwenzetu huyu, tuko pamoja😂😂😂😂
@ZaidAKissinza3 күн бұрын
Mwijaku na Mhagama mliogalagala mnasikia hiyo? Haya kazi kwenu
@baghabaghaingwengwe17503 күн бұрын
Shangazi jielekeze tujue uwakili hujarudishiwa kwanini mazungumzo yamekuwa mengi bila kujikita kwenye hoja halisi
@cosmaskamugisha59183 күн бұрын
Napenda makara za Jenerali Ulimwengu, I could like to know more about you Mr. Jenerali. Kuna fununu kwamba uliwahi kuwa Padri?
@moseslimota31442 күн бұрын
Alikuwa jeshini, mkurugenzi, mkuu wa mkoa au wilaya kama sikosei na baadaye mwandishi wa makala na mtangazaji chanel 10
@MichaelEliyahu3 күн бұрын
General Yuko vizuri
@bahiyalumelezy301613 сағат бұрын
Glass ya maji
@simonlangson50493 күн бұрын
Very true
@matiredms9173 күн бұрын
Uchawa na upumbavu wa watekelezaji wa Sheria na Kanuni za kuendesha shughuli za Serikali umejenga dhana kuwa fedha za umma ni mali ya Rais. Hali ya namna imeharibu kabisa mfumo wa matumizi ya Serikali jambo ambalo limeathiri kabisa maendeleo ya nchi. Ni sharti kuendeleza majadiliano kama haya ya Jenerali Ulimwengu na Bi. Fatma Karume. Hali ni mbaya sana. Tumejenga miungu watu ktk nchi yetu.
@rahabnkya82762 күн бұрын
Napenda jinsi mnavyotufundisha. Tamaduni, uchief, usultani, political legitimacy daa maelezo yanayo gusa mahali mahali , ujishike wapi, lkn una msimamo upi na katiba ya Nchi. 😢😊
@rahabnkya82762 күн бұрын
Republic , ilikotoka 1987) jamhuri( Egypt abdull nasser na ufaransa)
@mathewkilapilo45992 күн бұрын
Suala la kugalagala lipo lakini kwa mambo binafsi sio kwa masuala ya kitaifa/ hao wabunge anaofanya hivyo ni kuteka ufahamu wa watu / suala la kujipendekeza limeota mizizi hasa kt awamu hizi mbili/ badala ya kutoa hoja mtu anamsifia Rais kwa jina / ni aibu tukiwa kt miaka 62 ya uhuru
@gaudenceanthony19003 күн бұрын
General mwache shangazi aongee alikuwa anaelezea alivyofungia uakili ukampeleka kwingine mwache aflow
@Kwelihukuwekahuru3 күн бұрын
Kwa kweli hapa nami nimeshangaa Jenerali sijui kama atapata muda wa kumhoji tena kwa nini leseni yake imezuiwa
@evaristcm27343 күн бұрын
Amekwisha jibu 2:50 alimpeleka mwanasheria mkuu kilangi pamoja na jpm mahakamani.
@HuseniMsumba3 күн бұрын
YAANI BI FATMA WEWE MUNGU AENDELEE KUKUPA MAISHA MAZURI YA FURAHA TUENDELEE KUWAPIGANIA WANYONGE WA NCHI HII,
@seleshaban482 күн бұрын
Mzee wangu, unahoji na kabla ya jibu we unamuekea maneno mdomi anafuata sasa tutapate kukifunza anachotaka kusema tunakosa elim kwenye majibu yake.... Ila hongeleni wote nyie ni wakongwe
@saidsuleiman17533 күн бұрын
Generali Ulimwengu kuna wakati anauliza swali kisha anajibu mwenyewe
@farhatfatma123 күн бұрын
Haya no mazungumzo si mahojiano kwahiyo General yuko sawa sioni kakosea wapi
@DavidKagulu3 күн бұрын
Jeneral ni mwanasheria nguli anajua vitu vingi
@tanzanite99443 күн бұрын
Huyu Mzee asituchezee wakati ana Chifu Nyumbani kwake na ameukumbatia. Huyu Nzee Babake Mkwe ni Chifu Marriale na Yupo mpaka leo kama Chifu ila hamwambii ila anakuja kutukemulia mitandaoni, Bure Kabisa hana maana.
@bobyona9212Күн бұрын
Kabisa ampe nafasi, mpaka muhojiwa anashindwa kumaliza hoja
@cosmaskamugisha59182 күн бұрын
Bado Kuna utata, Jenerali Ulimwengu! Yeye mwenyewe atusaidie yeye hasa ninani?
@musarashid78733 күн бұрын
Tufanyeni Kazi Wandugu Rais anaweza akaamua chochote hakuna wa kumzuia
@aairraahseif56482 күн бұрын
Tujikite kupigia kelele katiba ibadilishwe, na wao wanajua ndo maana kila anayekuja hataki kurekebisha katiba anajua hawezi faidika na wenzake, Nchi ni viongozi Sio wananchi,kazi ya wananchi nikuwapa kura ili waendelee kutumia wao sio wananchi
@TheQaled3 күн бұрын
Taifa stars juzi wamepewa 700M...kwahy ndo tusemeje
@ELISHAMHINA3 күн бұрын
Budget ya taifa stars na timu nyengine za michezo iko wapi , anaipang nani , inatosha ku kikidhi mahitaji ya maadlizi ya timu?? Hyo waliyopewa ni kutoka kwenye mfuko gani na kwa ajili ya nini? Note: tujifunze kuwaulizia viongozi maswali magumu vinginevyo tutaendelea kuwa wahanga wa hiki chama na namna wanavyoendesha mambo
@HumphreySwai-u8f13 сағат бұрын
Jenerali naomba umrudishe tena na mahojiano ya endelee kwa mada nyingine tena huyu dada huwa sichoki kumsikiliza
@yaronaWilliam3 күн бұрын
Jenerali na Fatima safina, lakini mbona hamguzii kwanini wabunge wanalipwa mishahara mikubwa wakati uchumi wetu bado mdogo?,shule hazina waalimu, hospitali hazina madktari, kwanini sehemu ya mishahara zao zitumike kuwaajiri waganga na waalimu?.
@DavidKagulu3 күн бұрын
Ndo maana ya ccm mbele kwa mbele,ponda mali kifo kinakuja
@aairraahseif56482 күн бұрын
@@DavidKagulu👏👏👏
@aairraahseif56482 күн бұрын
👏👏👏
@hemedjackson2261Күн бұрын
Muhoji watu wa maana basi sio hao
@egdldm49813 күн бұрын
Mambo ya ukabila yalisitishwa na sheria ya Nyarubanda ya mwaka 1965. Ilipoundwa Tanganyika huru hizo mila na desturi zilisitishwa ikiwa ni pamoja na uchifu.
@fredlugome79523 күн бұрын
Kwan nani ana hojiwa hapo 😂😂😂jeneral acha kuongea xn
@hajimnubi45813 күн бұрын
Fred Labda mgeni kwenye hizi.program za jenerali exclusive on the chanzo....hivyo ndio anavyofanya yani sio mahojiano kama yaliyozoeleka anataka akileta mtu wanakua wanashea stories
@1961nungwi3 күн бұрын
Haya ni mazungumzo Kaka. Unatakiwa kusikiliza na kujifunza
@aairraahseif56482 күн бұрын
😂😂😂😂
@ZaidAKissinza3 күн бұрын
Shangazi Fatuma mbona hujaeleza sawasawa kwa nini hujareshewa leseni yako?
@knight67573 күн бұрын
Nadhani mtafute alie mnyaganya leseni yake !!!
@baghabaghaingwengwe17503 күн бұрын
Shangazi ni mtu imara mno hapa nchini kwa misimamo ya misingi kabisa ya haki
@JohnShileMunisi2 күн бұрын
Jenerali waeleze hawa suala la mungano unavyotakiwa ukae.
@cosmaskamugisha59183 күн бұрын
Nimemsikia huyu mama kwenye vyombo mbalimbali akipambana ktk mambo mbalimbali but I don't know her who is Fatima Kalume?
@evaristcm27343 күн бұрын
Fatima Karume is daughter of former president Karume
@Kwelihukuwekahuru3 күн бұрын
Mzee Jenerali hukumruhusu amalizie jinsi alivyoondolewa kwenye uwakili
@Kwelihukuwekahuru3 күн бұрын
Nafikiri Fatma asikae kimya uma mkubwa tunampenda tupige kelele arejeshewe leseni yake
@Kwelihukuwekahuru3 күн бұрын
Nilitaka kujua jinsi Feleshi alivyokosea kumzuia huyu shangazi yetu
@Kwelihukuwekahuru3 күн бұрын
Wanyakyusa wana tabia hiyo ni kwa wanawake LAKINI kwenye mambo ya kitaifa hizo tabia hazina nafasi
@odoieriasmonga65913 күн бұрын
kiukweli hua najisikia vibaya ninapoona kiongozi anasimama na kusema tunamshukuru raisi kwa kutupa hela za kujenga barabara hua nasikia kutapika kwa kua naelewa raisi hana hela bali itakua ametoa kwenye wizara ya miundombinu
@Kwelihukuwekahuru3 күн бұрын
Mimi siyo kujisikia vibaya huwa najiuliza tuna viongozi wasiojua taratibu za fedha za serikali zinapatikana
@Kwelihukuwekahuru3 күн бұрын
Kuweka machifu ni kuwa na marais wengi katika nchi moja
@aairraahseif56482 күн бұрын
🎉🎉👏👏👊👊👍👍💐💐
@MikaMichael-o4v3 күн бұрын
Jenerali wewe muachie Fatma nafasi ya kuongea wewe ni host wa kipindi and not speaker
@ramadhanimwendapole82653 күн бұрын
Jenerali muda wote unataka kuongea wewe kama ndio umekuja kuhojiwa unakera
@BoBo-kg1me3 күн бұрын
😅
@1961nungwi3 күн бұрын
Haya ni maongezi kati ya mgeni anayejua na mwenyeji anayejua. Mahojiano mengi hapa Bongo Mwenyeji hana weledi, kwa hiyo anauliza maswali ya hovyo na pia hana la kuongeza kwasababu hawana ujuzi. Wenzetu waandishi wa habari ni wajuzi kweli kweli😂! Fikiria kina John Simpson, kina Steven Sucker, kina Richard Quest, n.k wengine wataalamu hasa!
@jeremiahcharles60273 күн бұрын
,😂😂
@JustineWangi-j2t3 күн бұрын
Mastor ya town.😂
@LoitushulYamat3 күн бұрын
Kinghuri maana yake ni falme huru au nchi huru
@egdldm49813 күн бұрын
Jenerali Ulimwengu, wewe ndio unamhoji Fatuma au kinyume chake ? Kwa nini humpi mwanya aeleze kwa kina?
@evaristcm27343 күн бұрын
Haya ni mazungumzo: uwajibikaji katika siasa. Rejea kichwa cha Habari.
@egdldm49813 күн бұрын
@evaristcm2734 Sawa,kwa hiyo ndio hao mafahari wawili wasipeane nafasi ya kuongea?Fatuma anaelezea kitu mara Ulimwengu anadakia kuelezea kile kile, mazungumzo gani hayo kama siyo yale ya kijiweni?
@LutenganoCharles-d7t3 күн бұрын
Kushwahili hajui huyu dada au huwa anaish wapi ?
@MrKhatibu3 күн бұрын
Ndugu yangu weee huyu dada tokea darasa la pili yupo Tanganyika International School, secondary hapo hapo, chuo UK, kazi ya wakili UK kubwa zaidi kachelewa kujichanganya na wa swahili, nategemea nini?
@MrKhatibu3 күн бұрын
Mbona wahindi wamezaliwa na kijukuu ila hawajui kiswahili 😅
@farhatfatma123 күн бұрын
@@MrKhatibu, inatosha kaka nadhani atakuelewa. Watu wengine tunawaona tu tukiwa watu wazima Lakini hajui historia zao Lakini ukweli ni watu adhimu na wenye maisha tofauti na yetu. Wamekula Bata toka wako matumboni mwa mama zao.
@DiwaniMwafongo3 күн бұрын
Kiswahili kitamu Cha mwambao, Cha pwani sio kiswahili cha kwetu Mwakaleli😂😂
@DiwaniMwafongo3 күн бұрын
Yupi bora , yule alosoma hapa na kujua lugha yako lkn si mtetezi wako au yule alosoma nchi ya nje na atetea wanyonge?