Mhe Humphrey Polepole, hasante sana kwa kazi unayo ifanya ya kufundisha wa tanzania na wa'Afrika wanao sikia kiswahili. Mimi ni mkongomani, Pan-African, anayeishi marekani, baada yakusikiliza vipindi vyako viwili, nimekuelewa sana na kufurahi. Nitakutafuta tuongee. Hasante saana Mheshimiwa.
@kabhikachambala33923 жыл бұрын
Nzuri sana. PolePole 🔥🔥🔥🔥. Sisi ni waAfrika
@nestor3843 жыл бұрын
Kwa akili pevu na makini kama hii unaweza ilinganisha na ya kina Nape? Utakuwa unamkosea heshima mhe. Polepole. A Mwl. Julius Nyerere speaking texture, Mhe. Polepole Humphrey u are the best Keep it real brother tunakuelewa kuliko mamlaka yoyote hapa nchini. Kama mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo haukuwa incepted bado Je ni upi ambao pia Ndugai alisema hayati Dr Magufuli kwao alikuwa-misled? Je, Rais Kikwete aliweka jiwe la msingi la ujenzi kwenye mradi ambao hata mkataba wake ulikuwa bado? Aliyetoa hoja hii ni mpumbavu. Asante Dr. Magufuli, John kwa ukombozi wa kifikra ulioupanda ndani yetu
Kwa kweli wahuni hawakuisha, wapo wengi tu na wanachofanya wahuni hawa kwasasa ni kutumia njia mbalimbali za kihuni kuondoa legacy ya magufuli, mara hakuruhusu mitambo ifanyiwe matengenezo, mara bandari ya bagamoyo hakukuwa na mkataba kwahiyo wanamaanisha mzee alilidanganya taifa, mara sasa wanafunzi wameruhusiwa kuzaa wakiwa shuleni wakimaanisha magufuli aliwanyima haki ya kuzaa na kuendelea na masomo, sasa waondoe na sheria ya shule inayosema mojawapo ya makosa ya kumfukuza mwanafunzi ni kujihusisha na mapenzi shuleni na sheria ya kumfunga jela atakayempa mimba mwanafunzi waifute, maana wameruhusu azae na kisha arudi shule. Na mengine mengi sana.
@kiliantereba65023 жыл бұрын
Polepole utawaua waliofirisika hoja, wape za uso wanaodai service ilikuwa ya miaka 5
@far_hard13013 жыл бұрын
Nakukubali sanaaaaa pole pole haswa kwenye hio nikel upo juu sasa viongozi wenye upeo mbovu tuingizeni chaka ila mwisho wa siku ujue utadhalilika 100% so akili kichwani USIKURUPUKE TU
@deusdebitkowa96573 жыл бұрын
Nashangaa sana,mpaka sasa hivi huyu Waziri wa uwekezaji,Mwambe;yupo kazini. Hivi Mwambe huoni aibu,kwa nini usijiuzulu?
@deusdebitkowa96573 жыл бұрын
Nape na Januari hawana kitu chochote kwa ajili ya Taifa letu. Nashangaa sana wao kushika hadi nafasi ya uwaziri. Hivi Januari anakuwaje waziri wa nishati hlf tangu alipoingia umeme unakatika kuliko kuwapo?
@abdallahissa79913 жыл бұрын
MH polepole hapo ulipo sema aa wajomba umenifurahisha sana
@fadhilichilumba89463 жыл бұрын
Nakuona mbali Sana kiongozi endelea hivi hivi
@fakihichitanda28643 жыл бұрын
Genius polepolw
@geofreynoah94583 жыл бұрын
MUNGU AKULINDE NA KUKUTUNZA MH.POLEPOLE. MIE NAKUOMBEA TU HIYO HEKIMA ULIYONAUO MUNGU AKUTUNZIE NA KUKUZIDISHIA.... UWASILISHAJI WAKO WA MAMBO NA UFAFANUAJI WAKO HAKIKA UNAFAA KUWA MWALIMU WA SHULE YA UONGOZI.... WAJIFUNZE KWAKO VIONGOZI WOTE VIJANA
@mimisalama74733 жыл бұрын
Hakujibu chochote.
@emmanueldastan84103 жыл бұрын
Kabisa
@King_Of_Everything3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@otienoodera41423 жыл бұрын
Mubashara, safi sana, Lakini wanaohoji ndugu pole pole hawana kina ya utafiti ya maswali.....we expect indebt questions concerning today's Tanzania's geopolitical questions with the current pandemic of COVID-19 mutation.
@kiatu3 жыл бұрын
Polepole hoja zako ni poa sana.
@edwinm.masong17293 жыл бұрын
HIGH IQ 30.11.2021
@pastorlutebukabahinyuye2383 жыл бұрын
Kweli watu walishawishiwa nikiwemo hata Mimi niliahidiwa udiwani polepole Mnafiki nikagoma hivyo huwa Hawa walio kuwa wasaidizi wa Rais wetu hayati KWENYE chama Cha ccm baadhi yao walikuwa wanafiki hawakuwa wakimshauli nimiungoni mwa walio tufikisha hapa tulipo lakini leo wanataka kuwa wapinzani wa Mama yetu Rais wetu katika kauli zao huwa mda mwingine kauli zao zinaukakas
@waralizzy-bio-bale3 жыл бұрын
Miaka 800 hahahaha...
@congoukwelimao48843 жыл бұрын
@ 49min, MHE POLEPOLE IKO NA SHERIA. TONT BLAIR NI MTU MUBAYA SAAAAANA KWA MAENDELEO YA WA'AFRIKA. TONY BLAIR NI KATIKA WATU AMBAO WANAITESA CONGO. TONY BLAIR NA BILL CLINTON NDIO WANAMTUMIKISHA NA KUMSAIDIA KAGAME KUNYONGA WANYARWANDA NA KUWAONEA WAKONGOMANI.