"MAHOTELI YA WATALII NUNGWI YANAWATESA WANANCHI ZNZ"- `wananchi

  Рет қаралды 10,271

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 56
@Muba3304
@Muba3304 5 жыл бұрын
Asanteni sana wana ktv ..hakika hii ni yetu sote ...... Naleo mnenigusa wallahi gonga like kama naww umeguswa na hili..
@zaibonge7867
@zaibonge7867 5 жыл бұрын
Muba Lee tz 😂😂😂😂😂
@hadiahamis8570
@hadiahamis8570 5 жыл бұрын
I love my home village NUNGWI BANDAKUU. Poleni mama na Dada zangu iko siku shida itakwisha
@bindawood978
@bindawood978 5 жыл бұрын
Utalii umeleta hasara kubwa kuliko faida kwa wananchi,sio maji tu maadili hasa yameshuka kwa kiwango kikubwa sana,Allah atuhifadhi.
@masoudzanzibarali9994
@masoudzanzibarali9994 5 жыл бұрын
Bin Dawood Kweli kabisa
@fatmaaly9686
@fatmaaly9686 5 жыл бұрын
Kweli kabisa kila kitu kimekua mtihani zanzibar chanzo ya yote mahoteli
@khamiskhatib5232
@khamiskhatib5232 5 жыл бұрын
Exactly brother
@awadhimbarak2349
@awadhimbarak2349 5 жыл бұрын
Bana ndugu mtangazaji chakushangaza ayo maji ni nguvuzetu wananchi tulichimba mitaro tukachimbisha kisima tukanunua mabomba ila hatimae sasa masheha wameyauza mahotelini na vijijini hayatufikiii
@ahmedpenjula6422
@ahmedpenjula6422 5 жыл бұрын
Ccm oyee.. Jecha oyee watu wamemtuma Jecha kwa maslahi yao sisi tuendelee kuumia wanyonge ...
@makamealimussa634
@makamealimussa634 5 жыл бұрын
Mtangazaji hujaijuwa Nungwi na tatizo sio hoteli tatizo uongozi wa haimashauri kilasiku ina kufanya pesa kwa wana nchi na wageni ila maji tuna kosa fanyeni tena utabiri siomaji tuuu mengi yana kosekana Nungwi.
@fatmahamed3285
@fatmahamed3285 5 жыл бұрын
Love u zanzibar ata kue jaan lkn ndo nyumban
@Quilant749
@Quilant749 5 жыл бұрын
Naomba nikaribishe zanzimbari shoga yangu
@fatmahamed3285
@fatmahamed3285 5 жыл бұрын
@@Quilant749 karib ila uje kwa nia njema
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
HONGERA KAKA MASOUD MAGANGA KWA JUHUDI ZAKO HONGERA KOO ZIMA YA KTV TZ ONLINE KIDOTI
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
SHUKRAN KTV TZ ONLINE KIDOTI HAKIKA HII NI FAHARI YETU
@ktvtzonline
@ktvtzonline 5 жыл бұрын
Zayyati Mdau ni Ktv tz Online. ahsante sana kwa kua mdau wetu number moja
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
@@ktvtzonline TUKO PAJA HAKIKA HII NI FAHARI YETU
@nureyna629
@nureyna629 5 жыл бұрын
Kwakweli inaskitisha, kisiwa kidogo km hiki kilichozungukwa na Bahari kuikosa maji mtihani sana, mi nahisi tungefanya utaratibu wa kuyageuza maji ya bahari tukayatumia kwa shughuli za kawaida na maji ya kisima kwa kunywa na kupikia, project hii ipelekwe vyuoni wanafunzi wafikirie jinsi ya kuyatoa chumvi maji bahari yaweze kutumika, mi nahisi ni jambo la msingi hata km litakuja kufanikiwa baadae sana lkn litasaidia kwa watakaokuwepo, instead ya kufanya project tusizoweza kutumia, serikali lazima itilie msisitizo kwenye jambo hili, mgeni yeyote akitoka nje akifika zanzibar anashangaa akiskia Kuna tatizo la maji, ni serikali kuamua tu kila kitu kinawezekana, tuache kujenga maskuli na maofisi ya kifahari tuhakikishe kwanza maji yanapatikana majumbani, yangu ni hayo tu.
@azontozonto8855
@azontozonto8855 5 жыл бұрын
Wafrika watabaki nyuma kila siku wanathamini ngozi nyeupe na pesa
@Najizilmuhsinina
@Najizilmuhsinina 5 жыл бұрын
Hahahaha..kwetu huko ni kweli huu mtihani tuko nao sio WA MWAKA mmoja tuko nizaliwe ni miaaka thalathini saiv lakin tatizo hili halijatatuka
@awadhimbarak2349
@awadhimbarak2349 5 жыл бұрын
Safffiiiii sasa kinachosikitisha vile visima vyetu tushafukia na vile vipanga vyetu tushafukia tulijisahau wanungw kwamba vyakale zahabu
@masoudzanzibarali9994
@masoudzanzibarali9994 5 жыл бұрын
Ndani ya miaka 50 Hakuna Maendeleo yoyote Barabara mbovu Maji shida Umeme unazimwa kila dakika ata sababu hatuijui, inafika time unajiuliza ni kweli tuna Serikali
@omaryothman2091
@omaryothman2091 5 жыл бұрын
Dah inauma sana
@awadhimbarak2349
@awadhimbarak2349 5 жыл бұрын
Mtangazaji kama ulivo ona mwenyewe tatizo la masheha wetu yani bila ya kuwambiwa umejionea wenyewe sio wewe tu bali hata wananchi wao pia kuwapata kwashida yaaani kama unashida nae hadi upige magoti tena napesa mkononi
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 5 жыл бұрын
Yasikitisha wallah na ss kina mama ndio twaumia bwana hamkut ayo eee mungu tusaidie waja wako hain faid ya kuwekwa serikali
@eddimalon6051
@eddimalon6051 5 жыл бұрын
2019 leo, maji tu mashaka kuyapata, jee hiyo kula?
@Muba3304
@Muba3304 5 жыл бұрын
Hao masheha wote roho mbaya tupu ......kwa huku kwetu shida tuu hao wzee wetu ata hawakosei hayo wanayoyasema
@hassanturky7511
@hassanturky7511 5 жыл бұрын
Ndo maendeleo hayo ya miaka 50. Hayo yako wazi kabisa. Duniani serikali inashughulikia wananchi na wageni kwa pamoja.lakini hapa kwetu ndo wazungu weupe,na wanapesa,. Na pesa ndo Kila kitu.
@saidomar4866
@saidomar4866 5 жыл бұрын
Hiyo Ni sahihi kwa sababb watalii Ni makufari
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 5 жыл бұрын
MSHEHA NA ALIEWACHAGUA WOTE WANAHARAMU. WAMEEKA MASLAHI MBELE KULIKO UBINAADAM!
@nassormohammed9742
@nassormohammed9742 5 жыл бұрын
Mapinduzi daima
@eddimalon6051
@eddimalon6051 5 жыл бұрын
Watu wanakwenda mbele sie tunarudi nyuma.
@hassanally9468
@hassanally9468 5 жыл бұрын
sababu yote ni masheha kua wanapewa rushwa me wazo langui kama ataendlea na mtindo uo bas achukuliwe hatua sheha na hawajibiki ipasavyo katka jukumu lake
@alidingongo443
@alidingongo443 5 жыл бұрын
Kuzuri Maa Shaa Allah, niwe mgeni wa naniiii
@abdullasalim279
@abdullasalim279 5 жыл бұрын
Hotel hazina makosa nyinyi ilaumuni serikali kwa kuwachagua wakurugenzi na watendaji wasio fahamu kazi zao.. kwani mwwnye mamlaka ya kutoa maji ni zawa ...
@alikhamis6033
@alikhamis6033 5 жыл бұрын
Hao wa mahoteli wako na matanki ila wanatesa wananchi sio poa
@masoudzanzibarali9994
@masoudzanzibarali9994 5 жыл бұрын
Miaka 50 ya Mapinduzi, inauma kweli tena kweli Serikali ya CCM na viongozi wake wanajua Umuimu wa wananchi mwezi moja tu ndani ya Miaka 4 na miezi 11. nao ni mwezi wa Campaign tu, watakua watiiufu na wataaidi mambo mingi sana. Tuseme Ukweli Serikali ya CCM imeshashindwa upande wa Zanzibar
@najimahrupiahgomo2109
@najimahrupiahgomo2109 5 жыл бұрын
Kabisa umeonaeeee Yani nishida
@nasraathumanathuman6235
@nasraathumanathuman6235 5 жыл бұрын
watuachile watoto wapate watumile
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 5 жыл бұрын
mpeni magufuli nchi ainyooshe kidogo
@alidingongo443
@alidingongo443 5 жыл бұрын
Mambo haya kila mahali yapo utaskia maji hayana presha kutoka Sehemu moja kwenda nyengine lkn maji hayo hayo yana uwezo wa kupandishwa hoteli ya gorofa kumi na zaidi yakiwa na presha
@iddibama6819
@iddibama6819 5 жыл бұрын
Suala la watu kukosa maji sio la Sheha tu pekee yake ,hata kama yeye anahusika katika kufikisha mahitaji ya wananchi kwa viongozi wanaohusika. . cha ajabu na cha kushangaza kuna baadhi ya viongozi wa Serikali wanapotaka kuomba nyadhifa huwa wanajitia kuahidi wananchi kutekeleza mahitaji yao kuwa nao bega kwa bega katika maendeleo ya Taifa... hatima yake mpaka awamu inakwisha unakuta kiongozi uliemchagua hakuna alilolifanya na utakuta viongozi hao wanapewa pesa nyingi kutoka katika serikali kuu kwa ajili ya maendeleo ya kwenye majimbo yao ... kwa mfano kuna baadhi ya viongozi hupokea pesa za jimbo takriban milioni 20 kwa mwezi.. na leo wananchi wakifikisha shida zao huwa wanawakimbia wala hawafanyii kazi.. tuambizane ukweli kwenye hili na ipo haja ya kuwaweka chini viongozi tuliowateuwa na kuwauliza kwenye kila fungu la pesa wanalopokea..? na ni haki ya kila mwananchi kujua kuwa Fedha Maendeleo zimeingia kiasi gani na zimetumika kwa ajili ya nini na zimebaki kiasi gani?.. na hata katika mpango wa matumizi wa fedha za serikali wananchi wanayo haki ya kujuwa mpango uliojiwekea.. Tuanze kuitisha vikao na Viongozi tuliowateuwa kwa Ajili ya Maslahi ya ZANZIBAR yetu.. wananchi wanahaki ya kuuliza ama kuhoji juu Fedha zao?
@awadhimbarak2349
@awadhimbarak2349 5 жыл бұрын
Laaanatullah viongoz mahabis maluuuni wanungwi
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 жыл бұрын
,Hela siye tumampinduya muarabuu kinokinoo
@shehaabbas8294
@shehaabbas8294 5 жыл бұрын
Tupani izo contact za mikopo ya nyumba tunataka na tukonnje ya nchi kwasasa kwaiyo tufanyieni msaada wa namba
@awadhimbarak2349
@awadhimbarak2349 5 жыл бұрын
Utarud nawe huko
@raudhaally4659
@raudhaally4659 5 жыл бұрын
Cdhani mana km kuna hoteli bc tajiri atachimba kisima cha kuendesha hotel zao .sasa serikali ijitahd ichimbe visima kwa ajil ya wananchi huenda ttz likapungua
@awadhimbarak2349
@awadhimbarak2349 5 жыл бұрын
Kijana serekali gani ichimbe kisima wewe ichokilichokuwepo nichetu tumechimba wenyewe ila wanakharamu wana tunyanyasa kwakuwa wana nguvu serekalini
@raudhaally4659
@raudhaally4659 5 жыл бұрын
@@awadhimbarak2349 nd iv lkn wasiseme hoteli inachukua maji mana wenye mahoteli ni matajiri na wana visima na c maji ya serekali
@nasraathumanathuman6235
@nasraathumanathuman6235 5 жыл бұрын
tuumile huku chanyumbn hchoooopppppoooooaaa
@abuudharishahidy3074
@abuudharishahidy3074 5 жыл бұрын
wacha tu mfe serekali hii na chama chake mmechagua wenyewe,mivao ya kanga na vitenge na 10.000 wacha vikunyonyeni sasa.
@mwanaidiramadhan3919
@mwanaidiramadhan3919 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@hamishamis9905
@hamishamis9905 5 жыл бұрын
Robo inopano.....hahaha kinungwi nomaaaa
@imulule9424
@imulule9424 5 жыл бұрын
Sasa tunakumbuka uwepo wa Haji Mwadini
Who Built These Ancient Skyscrapers?
13:42
The Present Past
Рет қаралды 1,2 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Turkey's Power in Egypt: Leaders Stood as Turkish President Entered
7:57
The Persian Language:  A Quick Dive into the History and Evolution
19:04
Similarities Between Arabic and Sicilian
14:11
Bahador Alast
Рет қаралды 1,5 МЛН
Who Are The Uyghurs? History Of China's Unwanted Muslims (552-1884)
12:21
ngoma ya mkwajuni na alkasus
4:48
Alkasus mnungwi
Рет қаралды 7 М.
DUNIA (EP 33)
21:00
ASMA FILMS
Рет қаралды 280 М.
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.