#MAANDALIZI

  Рет қаралды 13,936

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@RachelManyanda
@RachelManyanda 4 ай бұрын
Pastor na shauri mahubiri tv iwepo kwenye tv ili internet isitukoseshe mafunzo kama haya
@daudnyore4696
@daudnyore4696 3 ай бұрын
Tuliombee Swala Hilo na Tulikabidhi Mikononi mwa Mungu, ili Yeye Mwenyewe alifanikishe Kwa Utukufu wa Jina lake
@jdhbaziyakadamascene6888
@jdhbaziyakadamascene6888 4 ай бұрын
Hamjambo Pasta. Ninayofuraha ya kukusalimu na kukujulisha ya kwamba mimi ni Mzee wa Kanisa la wasabato la huku DRC, Nord-Kivu, Rutshuru, Bugara. Nafuata hubiri zako ambazo zimeimarisha imani yangu. Nahitaji namba Yako ya watsp.
@maseaJoe8676
@maseaJoe8676 4 ай бұрын
Pastor kwa kweli acha Mungu akubariki tu saaaana kwa kuwa unafariji roho zetu zilizojawa vidonda sugu😢...may He bless you and use you more and more na neema Yake ikutoshe in Jesus Name Amen Amen 🙌
@shadrackamos3331
@shadrackamos3331 4 ай бұрын
Pastor nabalikiwa na mahubili Yako Ila naomba uniombee uchumi wangu hauko vizuri ili nikawe mibaraka kwa wengine
@makindyakenani9339
@makindyakenani9339 Ай бұрын
MUNGU awe nawe kama dhamiri yako ndiyo hiyo ndani UMEPATA TAYARI katika jina la YESU KRISTO AMEN.
@PendoJoseph-jv8cm
@PendoJoseph-jv8cm 4 ай бұрын
Aliye juu akutunze poster kwa ajiri ya watu kama sisi tuliyo kuwa tumekata tamaa lakini kupitia masomo haya tunaamka upya, CK moja tuje kushuhudia hapa ukuu wa MUNGU
@Joycependopendo-dv2tb
@Joycependopendo-dv2tb 4 ай бұрын
Amen Glory to God happy Sabbath day to everyone
@Gaudencia-md6cc
@Gaudencia-md6cc 4 ай бұрын
Poster mungo akubaliki Nike jini kimaombi,nakuna motor wangu anakunywa pombe 21yrs plz naitaji maombi paster ubalikiwe.
@weahfeint3406
@weahfeint3406 4 ай бұрын
naomba wimbo wa mwanzoni tumesikia mbiu, naamini wengi wanaupenda, asante
@tulikifrimbagga722
@tulikifrimbagga722 4 ай бұрын
PR MMBAGA UNANIBARIKI MNO ,MUNGU AKUBARIKI ZAIDI UNAPOPONYA MIOYO ILIYOPONOKA
@roselineombati670
@roselineombati670 4 ай бұрын
Mungu nisaidie kupitia roho wako nijifunze kuisikia sauti yako
@jonacemanyama4858
@jonacemanyama4858 4 ай бұрын
Pastor umesema kweli kabisa,mm naishi mbali sana na mama yangu mzazi,lakini kunasiku nilimuwaza sana hadi nikatamka jina lake, lakini sikumpigia simu,jioni ya siku hiyoyo MAMA YANGU alinipigia Simu.Nilishangaa sana.
@MariamBusele
@MariamBusele 4 ай бұрын
Kabisa mchungaj
@user-vm8sb7sr1d
@user-vm8sb7sr1d 3 ай бұрын
Asante mchungaji niko Kenya miriamkageha
@farajamumangi2809
@farajamumangi2809 4 ай бұрын
Mbeba agano ni mshindi, na jina tu la mbeba agano ni ishara ya ushindi. Barikiwa sana Pr. 🙏🙏
@gelardjames2595
@gelardjames2595 3 ай бұрын
Barikiwa Pastor Nabarikiw san na mafundisho yako 🙏
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 2 ай бұрын
Amina nimetuma maombi ya ajira serikalini naomba Mungu anibariki nipate hiyo ajira nikawe baraka kwa taifa langu. Ee Mungu nisaidie nisiwe mbinafsi nina uhakika nitarudi mahubiri TV kushuhudia SMS yangu hii maana naenda kuajiriwa sasa Mungu anisamehe
@RozaNicole-me9zm
@RozaNicole-me9zm 4 ай бұрын
Ninase asante kwakuwa nilikuwa na uvivu wakusikili neno la mungu kwasasa sisikiye uvivi tena asante mungu❤
@JanetMtuveta
@JanetMtuveta 12 күн бұрын
Pastor mbaya some time utajage namba yako
@rahimajuma5306
@rahimajuma5306 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@RahimaShujaa
@RahimaShujaa 4 ай бұрын
AMEN
@mireillemwenze5970
@mireillemwenze5970 4 ай бұрын
Happy sabbath
@roselineombati670
@roselineombati670 4 ай бұрын
Happy Sabbath,
@ElizaBeth-fc8bu
@ElizaBeth-fc8bu 4 ай бұрын
Amen
@LinetOngadi
@LinetOngadi 4 ай бұрын
Amen
@yakobofumbuka-ry4mh
@yakobofumbuka-ry4mh 4 ай бұрын
Amina pastor
@faustermtavangu8212
@faustermtavangu8212 4 ай бұрын
Amina sana
@JosephMpangala-wd5mp
@JosephMpangala-wd5mp 4 ай бұрын
Àmina, Mungu akubariki sana.
@maureenmgeni
@maureenmgeni 4 ай бұрын
Amina na Amina
@josephrubanda282
@josephrubanda282 4 ай бұрын
Amen
@shaniachanceline2751
@shaniachanceline2751 4 ай бұрын
Amen!❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MariamBusele
@MariamBusele 4 ай бұрын
Aminaaa
#MUNGU DHIDI YA MIUNGU |PR.DAVID MMBAGA| SIRI ZA AJABU
1:10:33
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 23 М.
AINA NNE ZA UTOAJI WENYE BARAKA TELE SEHEMU YA KWANZA
48:35
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 53 М.
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Untitled Joker
Рет қаралды 30 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 48 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
SIRI HII YA YUSUFU IKUSAIDIE KUFANIKIWA KILA SIKU
33:24
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 37 М.
2. MAMBO YA KUFANYA UNAPOKATALIWA KIMFUMO  || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || TABORA
1:41:08
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 22 М.
#mahubiri SIRI YA YESU BANDIA NA MANABI WAKE  - PR DAVID MMBAGA
1:02:11
NCHI YA AJABU MWANAMUME MMOJA TU | PR. DAVID MMBAGA
1:04:47
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 3,2 М.
JINSI YA KULITUMIA NENO LA MUNGU ILI LIKUPE MATOKEO PART 2 || PASTOR GEORGE MUKABWA || 18/04/2024
1:45:10
MUNGU ANAKUANDAA KWA KILE ALICHOKUANDALIA || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
10:53
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 59 М.
NGUVU YA MSALABA WA KRISTO MAISHANI || PR. DAVID MBAGA
51:52
Pizzo Online TV
Рет қаралды 22 М.
MUNGU ANAPO HITAJI KUKUTUMIA PR  DAVID MMBAGA  (OFFICIAL VIDEO)
54:34
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Untitled Joker
Рет қаралды 30 МЛН