Hii ni injili hai, kwa ajili ya uhai. Atukuzwe Mungu milele.
@anuaritemndeme Жыл бұрын
Umehubiri vizuri mno Baba mpakwa mafuta wa Mungu, ubarikiwe sana, Mwenyezi Mungu ajalie Injili hii iyafikie masikio yote yenye kusikia na hata ya viziwi. Hii ndiyo Injili ya uzima wa ki Mungu. Barikiwa mno Baba
@Amatha_K Жыл бұрын
Asante sanaa baba, sitakata tamaa wala kuvunjika moyo
@ndeluleandrea6007 Жыл бұрын
Roho mtakatifu aendelee kukuongoza kuchunga kondoo WA Mungu amina
@msamariapunduka3028 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe,Viongozi wetu simameni imara kusimamia haki na ukweli.
@audifansisafari5587 Жыл бұрын
Ndiyo maana naipenda kanisa KATOLIKI MWENYEZI MUNGU atujalie mwisho mwema katika kanisa letu
@MaitonEzekiel-ng1cw Жыл бұрын
Mungu ni mwema ukweli siku zote hauna komenti nyingi
@malifezajrdealf8982 Жыл бұрын
Ubarikiwe baba askofu.
@noted5965 Жыл бұрын
KRISTO amekuja duniani kwa ajili ya wakosefu, ushoga ni mao u ya wakati huu, tuwapokee wakosefu, tuwasaidie, tusiwanyanyapae, kuwa bariki, SI kuwafu gisha ndoa. Papa anafindisha tuwapokee kwani nao ni watoto WA Mungu. Ee Mungu ukihesabu maovu yetu nani atasimama. .Kila mtu ni mkosefu mbele ya Mungu.
@edwardmizambwa237 Жыл бұрын
Haitakua umetimiza malengo ya uokovu. Busara, ni kumpokea kumlisha neno hai la Mwenyezi Mungu ili ajue kua kumbe yuko kinyume na amri ya Mungu. Na hii itapelekea kuungama na kutubu zambi zake. Ile ya kubariki halafu anaenda zake ni kuunga mkono anachokifanya.
@MiriamAbdallah Жыл бұрын
Kwanini MUNGU hakuwapa hiyo baraka kipindi cha luthu nakuangamiza kabisa wanyama wote, wadudu wote,ndege wote, kwasababu yao sodoma na gomora iliteketea,au MUNGU alisahau,?????
@MiriamAbdallah Жыл бұрын
@@edwardmizambwa237kwa mwenendo huo tamlaumu MUNGU kwa Yale aliyowafanyia kule sodoma na gomora,kweli wamepatikana wakumsahihisha MUNGU nyakati hizi,ama kweli matango yanaliwa ipasavyo
@MiriamAbdallah Жыл бұрын
Kumbe MUNGU nae anakosea kama sisi bindamu,duuu MUNGU kwanini, xaxa ulikosea hivyo ukaangamiza kazi ya mikona yako mwenyewe jamani , sodoma na gomora ukavimaliza!!!💔🔥🔥🔥
@MiriamAbdallah Жыл бұрын
Eee we MUUMBA wangu inusuru nafsi yangu na huu ushetani,na juu yaarabi hujawahi dahihishwa na kiumbe chochote mbinguni na duniani, mimi sio mkamilifu nakuomba niweke mbali na hii dhimbi, maandiko yatuonya afirwae na kufirwa hawatauona UFALME wa MBINGUNI