1-HEKIMA YA UCHUMI+ WAKATI WA MWISHO SEHEMU YA 1

  Рет қаралды 12,490

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

Күн бұрын

Ili kutazama Sehemu ya pili ya somo hili, bonyeza Link hii
• 2-HEKIMA YA UCHUMI-WAK...

Пікірлер: 48
@dinahmbura1900
@dinahmbura1900 2 жыл бұрын
Mubashara Toka saudia..nakupata vizuri barikiwa..Kila mara nakuomba pastor tukumbukange kwa maombi
@aptv1321
@aptv1321 2 жыл бұрын
siku zote unanibariki na mahubiri mazuri Mungu akubariki mchuga...mtani wangu...hasa hubiri la wiki hii Nguvu ya kutoka.✍👏
@jimmyfaliala5460
@jimmyfaliala5460 2 жыл бұрын
Amen mtumishi kwa mahuburi Tena mafundisho kwa kizazi cha leho. MUNGU azidi kukupa nguvu uzidi kuhelimisha Wana WA MUNGU. Power full message 🙏
@lenahasantemchungajiauko8811
@lenahasantemchungajiauko8811 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mchungaji wangu.Naomba kama ingeliwezekana utuletee na sisi huku Kenya hivyo vitabu tafafhali
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 2 жыл бұрын
Very powerful sermon…. Always
@elizabethgodfreytondo3052
@elizabethgodfreytondo3052 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Pastor kwa masomo mazuri
@rashidielocho4914
@rashidielocho4914 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi, fungua watu masikio,
@neemasaidisaid1791
@neemasaidisaid1791 2 жыл бұрын
Amen. Asante mtumishi umenifungua ufahamu. Mungu akubariki
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 2 жыл бұрын
Amina… Mchungaji Mungu akubariki
@fedelinamahenge6649
@fedelinamahenge6649 2 жыл бұрын
Sifa utukufu kwako mungu hatugusi utukufu asante kwa kutupa huyu mtumishi wako🙏
@mr_zuria5683
@mr_zuria5683 2 жыл бұрын
Nabarikiwa wakati wote
@raelsarange638
@raelsarange638 2 жыл бұрын
Pastor thanks for your encouragement message I'm really blessed 💪💪🙏🙏
@rossarutasha9391
@rossarutasha9391 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji nami nimebarikiwa
@mossesjoseph2202
@mossesjoseph2202 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi, wewe ni mchungaji lakini pia ni mwalimu mzuri.
@askahonchomba8092
@askahonchomba8092 2 жыл бұрын
Mchungaji tafadhali omba Roho Mtakatifu atufundishe sisi sote tuelewe vita vya kiroho, naona wengi hawajaelewa . That's my prayer request. Askah from North Carolina.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 жыл бұрын
Mungu atende hili
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 2 жыл бұрын
Many valuable talking points making lots of sense… love it!! Tough message but very worth it!!! Very true.
@eunicenyandiko1389
@eunicenyandiko1389 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, Aminaa
@pauloropian2367
@pauloropian2367 2 жыл бұрын
GOD bless you a man of GOD.
@ethan20207
@ethan20207 2 жыл бұрын
Amina
@christinaandrealunyilija8420
@christinaandrealunyilija8420 2 жыл бұрын
Amina ,amina amina
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
ni baraka ni baraka....ni baraka... tuonane paradiso....
@phinawatwego5279
@phinawatwego5279 2 жыл бұрын
Aminaaaaaaa
@maureenkemei9254
@maureenkemei9254 2 жыл бұрын
Amen
@elizabethsarange5064
@elizabethsarange5064 2 жыл бұрын
Power indeed
@adonismuganyizi226
@adonismuganyizi226 2 жыл бұрын
Mchungaji nakufatilia nikiwa Mozambique Yesu akubariki kwa mafundisho mazuri
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 жыл бұрын
Amen
@pauloropian2367
@pauloropian2367 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ana akili nyingi
@jacklineemmanuel5239
@jacklineemmanuel5239 2 жыл бұрын
Nawezaje kukipata kitabu hicho
@kelvinrichard7059
@kelvinrichard7059 2 жыл бұрын
Amina🙏
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 2 жыл бұрын
Weeee kuna siku nilikua nikiona watu wa Equity bank nilikua najipa safari yakutembea na miguu ili tu wanikose😹😹😹😹😹niliinua mikono 🙌🙌🙌juu na mambo yakukopa, ubarikiwe sana mchungaji mmi hukusikiliza sana na ninaamini ipo siku mafundisho yako yatanisaidia sana inshallah 🙏
@alicesidi9601
@alicesidi9601 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@elizabethkashindi4784
@elizabethkashindi4784 2 жыл бұрын
Napata je kitabu pastor nipo mbali bara nyingine
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 2 жыл бұрын
Naingiza neno la Mungu akilini
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 2 жыл бұрын
Ehh kila siku maisha yanazidi kuwa magumu
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 2 жыл бұрын
Hahaha..napenda mafundisho yako
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 жыл бұрын
Amen
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 2 жыл бұрын
Lazima ni share hubiri hili na marafiki zangu.
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 2 жыл бұрын
Hicho kitabu nakipataje hapo Dar Es Salamu nimwambie dada anitumie hapa Marekani
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 жыл бұрын
Mpigie msambazaji +255 69 342 8152
@khaldn7409
@khaldn7409 2 жыл бұрын
Amina
@charlesmayungajr1903
@charlesmayungajr1903 2 жыл бұрын
Amen
@aptv1321
@aptv1321 2 жыл бұрын
siku zote unanibariki na mahubiri mazuri Mungu akubariki mchuga...mtani wangu...hasa hubiri la wiki hii Nguvu ya kutoka.✍👏
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 жыл бұрын
Amen
@aptv1321
@aptv1321 2 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga natamani ningepata namba zako pastor mm nikijana naitwa Aman Lucas now nko pemba but nmmoja wa mtoto wa mfalme(Mungu)
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 жыл бұрын
@@aptv1321 +255 755 932 283
@jaredmayaka2993
@jaredmayaka2993 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@melvinnakhungu2504
@melvinnakhungu2504 2 жыл бұрын
Amen
2-HEKIMA YA UCHUMI-WAKATI WA MWISHO SEHEMU YA 2
29:45
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 10 М.
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 22 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Browney
Рет қаралды 67 МЛН
#maombi - MAOMBI YA KUFUNGA ILI KUZUIA BALAA MAISHANI - SEHE YA 1
45:42
JIPIME IKO WAPI HEKIMA YAKO IKO WAPI ( SEHE YA 2) OFFICIAL VIDEO
32:03
1. FAIDA ZA NGUVU ZA UFUFUO KIUTENDAJI NDANI YA MIFUMO  || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || NJOMBE.
3:03:09
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 21 М.
BARAKA YA UCHUMI MZURI KWA FAMILIA- PR. DAVID MMBAGA
56:58
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 13 М.
Siri ni Sehemu ya Maisha | Rev. Dr. Eliona Kimaro
13:35
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 6 М.
Mchungaji mbaga  "SABATO"
34:21
TAFAKARI TV
Рет қаралды 28 М.
JIFUNZE KUKAA KIMYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
12:39
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 510 М.
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 22 МЛН