Mungu anisaidiye kuweza kuweka siri na sante kwaushahuri
@getrudaleonard8323Ай бұрын
Sisi binadamu kwa sasa hatuna utulivu kabisa Ahsante Sana mchungaji wetu Mungu mwema Sana.
@florashauri9228Ай бұрын
Amen Mchungaji Asante kwa somo zuri,naomba Mungu baba wa Mbinguni atuhirumie kwa hili la kutunza siri
@mankawerema330729 күн бұрын
Ee Mungu nisaidie kulinda kinywa changu,nijue lipi la kusema na lipi la kunyamaza🙏
@HappinessAhia-ey1lqАй бұрын
Oh God, help me. Hili somo mchungaji ni langu. Nimetoka Siri yangu moja sasa inanikost. Ee Mungu nisaidie.
@TusekileLacksiman-m7yАй бұрын
Yesu nisaidie maana katika hili nimekwama
@saysophyfarm1780Ай бұрын
Mungu akutunze sana mtu wa Mungu
@NoelaTembeАй бұрын
Nimebarikiwa na somo la leo Mungu nibariki niishi sawasawa na mapenzi yako🙏🙏🙏
@FlocinaKalingaАй бұрын
Mungu nisaidie niweze kutuza siri Ee Mungu nisaidie 🙏
@sofialinus8241Ай бұрын
Mungu utuongezee Imani, kunamapepo ukikutananayo unafunguka Hadi yakiondoka unajiuliza hv kwanini nilifunguka hv?
@YAMUNGUDANIELАй бұрын
Amina, barikiwa na BWANA.
@chumamsemakweli8877Ай бұрын
Amina mchungaji
@JulianaRakatiaАй бұрын
Neno la leo ni nzuri limenibarik mno ubarikiwe mno mtumishi wa mungu❤
@neemalaurent9836Ай бұрын
Kiukweli Ibrahim angemuaga Sara eti anatenda kumchinja isaka,ingetokea sintofahamu, much kimaro unaongea uhalisia kabisa wa maisha yetu ya leo, mungu akubariki sana 🙏
@glorykirenga4550Ай бұрын
Asante baba mchungaji.
@luckwisengowi3353Ай бұрын
Nimejifunza jambo kubwa sana. Mungu akubariki baba.