Kweli kabsa shuka lilirusha cheche mpaka nkalitupa chini
@fatemajohn3195 Жыл бұрын
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
@janetwambuchi83010 ай бұрын
May God bless you pr.... I'm so blessed by your preaching.
@NaftaliZaphania-ql9wk3 ай бұрын
Pastor, you are really really encouraging the hopeless,,,Mungu akutie nguvu,Mimi nmekuw nikiskia mahubiri yako kila siku Hadi Sasa naona mkono wa Mungu,yananiondolea majaribu Sana but naomba uniombee afya yangu Na familia yangu
@user-jg3fn6os1v7 ай бұрын
God bless you pastor..
@sauud2some471 Жыл бұрын
Mung u akubaiki mutumishi Nimebarikiwa Sana kwamafudisho hayo 🙏🙏🙏🙏
@rahimajuma5306 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@isayaogola8733 Жыл бұрын
mungu akubariki mtumishi
@lydiamapenzi2152 Жыл бұрын
Mm muchungaji naomba utufudishe kuhusu Hawa malaika kama wko na mabawa mangapi juu tunasikia 2 wegine wanatufundisha Wana SEMA 4 na wegine 6 so mm sijajua
@jaredmayaka2993 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@richardcastromzena5136 Жыл бұрын
@@jaredmayaka2993 usicheke mtu akiuliza
@jaredmayaka2993 Жыл бұрын
@@richardcastromzena5136 Sina ubaya my brother, she's my sister
@jaredmayaka2993 Жыл бұрын
Thanks my brother for the information but sikuwa na ubaya even me I want to know about it
@richardcastromzena5136 Жыл бұрын
@@jaredmayaka2993 I understand brother she might get it wrong. 😊
@RebbecaAkinyi9 ай бұрын
Amen
@stellakapinga4902 Жыл бұрын
Pr shikamoo.. samahaniii mim ni benson naomba uiombee familia yetu, katika kumjua Mungu pr maan mm pekeyang ndo msabato, na piaa katika maisha haya atutie nguvu katika safari hii pr. Naamin Mungu atafanya hivyoo
@AnthonyJacob-of8xp Жыл бұрын
Pr Mungu akubariki kwa mafundisho yenye kututia Moyo,Amina🙏
@dottoshabanshaban5599 Жыл бұрын
Barikiwa sana Mchungaji kwa ufafanuzi wa chimbuko la mafanikio nimebarikiwa sana
@eustina0 Жыл бұрын
Mungu azidi kukutie nguvu abariki uzao wako kipaji chako nbarikiwa sana🙏🙏🙏🙏
@janethfwamba8561 Жыл бұрын
Niko online ee mungu naomba neema yako juu ya mapito yangu
@CrispinBaraka-kiobe Жыл бұрын
Barikiwa mchungaji
@robardmutisarobard4605 Жыл бұрын
MUNGU Akubariki Sana mchungaji wetu
@janethfwamba8561 Жыл бұрын
Yani mtumishi maden sio dili kbs
@misululujonnyjuma602 Жыл бұрын
Pr. Mungu azidi kukutumia
@rehemaedward9494 Жыл бұрын
Barkiwa mchungaji ,
@apostlezizi Жыл бұрын
Amen pastor
@edibilychaula.3753 Жыл бұрын
Amina pastor 🙏🙏🙏
@davidjohn4239 Жыл бұрын
Mungu akubaliki
@esthernashipai Жыл бұрын
Esaai 🙏🙏🙏Amen
@hillaryngetich271114 күн бұрын
Naomba number ya pastor ningependa kuongea naye sana niko Kenya @david Mmbaga
@arafakidang1084 Жыл бұрын
Ameeeeeeeeeen
@rizikilaunda961 Жыл бұрын
Amen 🙏🏾
@terrenceandrew791 Жыл бұрын
Mbona mmetuzuia kudownload? Hiyo option haipo hapo😭
@adarashidi8178 Жыл бұрын
Ameeeen
@muneemaanzo1853 Жыл бұрын
Kwani kuna kikuyu TZ? Kwani wagikuyu wa Kenya walihamia uko? Mchungaji ubarikiwe sana?