Amani halisi ya pekee ni Yesu Kristo. AMEN 🙏🏻 🙏🏻 🙌🙌
@bonnie...8650 Жыл бұрын
Amin amin ,, nawambia kuweni na amani ya kweli katika Kristo Yesu.
@eunicenyandiko1389 Жыл бұрын
Barikiwa sana pastor kwa somo nzuri, hallelujah Amen
@romanmwaisela Жыл бұрын
Ahsante pastor Kwa kufundisha neno ipasavyo,,Mungu akubariki sana.
@janethfwamba8561 Жыл бұрын
Ee mwenyez mungu naomba uingilie Kati ktk changamoto yangu ya maden
@amjudith Жыл бұрын
Iimeisha hilo
@elizabethnyaki2355 Жыл бұрын
Pole sana,..ipo siku Mungu atatenda,endelea kumuomba Mungu
@user-kx2rs5hb3d10 ай бұрын
Nachukurumungu ameniunganicha namchu ngaji n'aimani mungu atafunguwa mlango wangu amen👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@MahubiriPrMmbaga10 ай бұрын
Ubarikiwe
@ywydhhd7941 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki mtumishi wa Mungu Aki hyo creen ikiletwa hapo mbele ya kanisa hakuna ambye atakaa hapo Maana Mungu atusaidie 😢😢😢😢
@happinessmaregesi253 Жыл бұрын
Amina! Barikiwa sana Pr!
@collinschepkwony4138 Жыл бұрын
Ni kwa njia ya imani. Niko Kenya
@zawadiamuli4186 Жыл бұрын
Hakika pastor umetumwa na Mungu kutusaidiya Mungu akubariki piya aendelee kuwongezea mafuta siku kwa siku
@janethfwamba8561 Жыл бұрын
Mungu aendelee kukutumia pasta maana unatumika vilivyo
@gahetohodari166 Жыл бұрын
❤❤❤ ❤ sana Pastor Mbaaga
@barmedastv Жыл бұрын
IMANI
@derickodeny4064 Жыл бұрын
Eeeh!! Mwenyezi Mungu Nashukuru kwa neema yako.Nabarikiwa sana na Mahubiri haya.
@danielkomu3275 Жыл бұрын
Tunahesabiwa haki Kwa Imani
@severamtungi7036 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana ,Yesu wa kweli yupo ndani yako nabadilika kila siku
@ridanceemmanuel479 Жыл бұрын
Amen
@PendoDorah Жыл бұрын
Barikiwa Sana mchungajii
@wiza2309 Жыл бұрын
Mchungaji nashukuru sana kwa somo zuri. Kweli nimeelewa na kubarikiwa sana. Nina swali moja tu kuhusu siku ya hukumu, maandiko yanasema tunapotubu Mungu anasamehe na hakumbuki tena lkn siku ya mwisho tuna ambiwa kila mmoja dhambi zake zitawekwa hadharani, je dhambi zitawekwa zote hata zile zilizotubiwa au zile tu zilizokutwa baadaye?
@leahwainaina43968 ай бұрын
Imani
@michaelgumbo9044 Жыл бұрын
NASIKILIZA SANA MAHUBIRI TV. LKN NACHANGANYIKIWA JUU YA WANAMATENGENEZO MAFUNDISHO YAKE NA MAFUNDISHO HAYA. CJUI NAPATAJE MSAADA HAPA
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Pole! Shida iko wapi
@AnnShua-lh2yk Жыл бұрын
Pastor nashukuru kwa somo ili lakini Kuna time mtu anaomba na anaomba akiwa anaamini Kabisa je inakuaje ombi alijajibiwa
@JosephinaBoni-ex8nd10 ай бұрын
Mchungaji Nina jirani yangu n mwisilamu mtoto wake anaumwa tumbo,kiuno,miguu na amekata haeindi kama ilivyodesturi ya wanawake tusaidie babayetu