Wewe ni msanii ambaye unajielewa sana na mwenye nyimbo nzuri kuliko wote hapa Tanzania. Big respect
@thebestsadiki300210 ай бұрын
Drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩tunamkubali sana Nasso
@user-lm4ox8zp3o5 ай бұрын
Mimi natoka kenya but napenda nyimbo zake
@anthonygenge436611 ай бұрын
nakukubali sana Homeboy, tuendelee kuiwakilisha Bunda yetu
@LhopaWokolo3 ай бұрын
Mimi natoka Congo province kalemie na mpenda sana Best nasso n'a nyimbo zake
@HalimaOmar-zp9ip10 ай бұрын
❤️❤️❤️ nkpndaaaaa best nas
@JudithChepkorir-vl1lu3 ай бұрын
Good job nasso lady judii from Kenya i really love your songs
@user-zu5pe3pk8f3 ай бұрын
Nakupendaka sana KAKA MUNGU akuzogeze mbele zaidi
@mohamedmwinjuma11 ай бұрын
Best nasso hakuna asiye mjua Tanzania iih best nasso nimsanii mkubwa Sana
@CapitalBInvestee-lr9vl4 ай бұрын
Kenya we love you bro.❤
@NestoryKabuche11 ай бұрын
💪💪💪 nakubali ngoma zako kaka
@GraceBboy11 ай бұрын
Très cool vraiment mon idole
@edwardnelison748511 ай бұрын
Toka enz za tuma,,mamu ,narudi kijijin,,maisha ni utata dahh best nasso apewe maua yake mziki wake mzuri na hauna mambo ya kiki
@YusuphRashidi-tl2wd4 ай бұрын
Nyimbo zake nyingi nazikubali zikovizuri
@isackmachiyanshoka67549 ай бұрын
Naso yuko vzr sana ananikumbusha mbali mno❤
@rogerslwitiko391511 ай бұрын
Nyimbo zangu bora kutoka kwa Best Naso ni Mamu wa Dar, Narudi Kijijini,Umedata,Khadija,Edgar na Maisha ni Utata
@user-tm6tc7ss7i10 ай бұрын
Brother yupo vizuri Sana hapa Tz
@monikamasasi758211 ай бұрын
Nampenda sana huyu kaka jamani nyimbo zake zinanikosha
@AmeldaKavishe-ry9ow11 ай бұрын
Nilikua nakibanda chmchicha naipenda
@cixworldwide674511 ай бұрын
BIGGEST RESPECT BRO ❤
@OSWARD9510 ай бұрын
Much love
@nassormusimbi10911 ай бұрын
Top 4 naisubiri kwa hamu sana kaka, nakukubali
@anthonygenge436611 ай бұрын
Nimemkmbuka sana Chief Maker na kibao chake cha "kiunooo"😊😊 umemuacha wap kaka?....
@neematuyambaze42688 ай бұрын
Namupenda❤❤❤
@taucgodfrey978511 ай бұрын
Best naso Yuko vzr sana
@FarhatMohd-dr9lu11 ай бұрын
Love you best naso
@user-zu5pe3pk8f3 ай бұрын
Tuna taka upige colabo na msani wetu NELSON NTARE J
@jameschipande109011 ай бұрын
Yaani wimbo wa Ediga apewe award
@lilchampion196011 ай бұрын
Ediga n ngoma kubwa sanaa
@sosomokobiasharamgaya302011 ай бұрын
#maisha ni utata itaishi daima
@user-ob5nq6im3j11 ай бұрын
Nakupend san kaka
@AmosiTv11 ай бұрын
Nice best naso😮
@Jackielfamily9 ай бұрын
Uko vizuri kaka
@BertinMercikabanziko-lf2hv11 ай бұрын
Cool
@BeynesMahega-si4tf11 ай бұрын
sitakuchoka best naso bro
@Aishamo-cd7ck3 ай бұрын
Napenda mziki yake kwakwel❤❤
@faridadumasalhathoseni3 ай бұрын
Yani huyu kaka nyimbo zake siachi kuzipenda kiufupi ziko kwenye damu yangu
@user-zf4nz3bt4s11 ай бұрын
Besti naso nimkali toka zamani na kama kanyimbo ka wanawake niwabaya ulirusha na ka mwanao
@monikamasasi758211 ай бұрын
💕💕💕💕💕
@nikkimbishiunju240211 ай бұрын
Maswali ya KISENGE,eti msanii wa Zamani....Sipendi huo ufala Sasa huyu ana uzamani gani?
@MsafiriRashidi-sd8lc8 ай бұрын
Hahahahahhaa unju na ww ni wazamani
@gyavirakaijage137011 ай бұрын
Top 4 story tunaisbilia
@spiderelexander997711 ай бұрын
Ediga na kibanda cha mchicha nilikuwa nakunywa pombe enzi hizo zikipigwa hizo ngoma machozi yalikuwa yananitoka
@pierresalumu8433 ай бұрын
best nassor namupongeza
@eliuskamchapejrkamchapejr68349 ай бұрын
MSANII WANGU PENDWA HAPA NCHINI
@gyavirakaijage137011 ай бұрын
Msanii wangu Bora mda woooteee
@evabbyjasmin978911 ай бұрын
Unaakili xana kaka umejib vzr xana
@fernandinyopogbafmj11 ай бұрын
🙏🙏🙏
@bboytv586110 ай бұрын
uko vizur sana
@majaliwajohnson290011 ай бұрын
Mzee unaga mbaya na mtu.
@giftladis11 ай бұрын
best Nassor ni msani wa popote hata huku Drc tunamkubal mnoo🙏
@heliudjulias774811 ай бұрын
Besti is best naso jamaa mkari wakati wote anajua anacho kifanya no skendo ngoma kari zina iti tauni hadi wilaya zote tanzania
@best_gan10 ай бұрын
🎉
@angelakivuyo24822 ай бұрын
Hakika uwa unanibariki mno
@simonmihona-hh1cz4 ай бұрын
Hâta huku DRC tuna mukubali musanii huyu. Nasso ni bingwa
@elishakimariyo498311 ай бұрын
Jaman naso mwacheni2 buroo wangu hanaga mambo meusi
@rizikiabdalla250111 ай бұрын
Unaudogooo gani kama hapo mdogo Wala huwi mkubwaaa tena onyooooo sura imeshaaa komaaaa hiyoo
@limymasele2111 ай бұрын
Kwani amezaliwa kuanzia miaka ya 2004 au?
@user-uh9hp9qp9d11 ай бұрын
Huyu na nay ndoo nawaelewa
@MoiseLubataEtienne2 ай бұрын
kweli wewe ni nabii ,zuchu âme hiti kabisa
@user-nx9kc1gc2s6 ай бұрын
Yaaan
@YusuphRashidi-tl2wd4 ай бұрын
Besti naso kwangu nizote
@kurumwagodfrey705211 ай бұрын
best naso
@saimonmizingo748511 ай бұрын
Wa kwetu tunamuelewa sisi kuliko hao mnaowajua nyiny
@Sacreesacram-it4ju9 ай бұрын
Fréchet Brown
@Ayolanda_Tz-ve1xt10 ай бұрын
Mmh!
@user-iy9pb4nk1v11 ай бұрын
Nikwel best nasso
@tuntufyehenry133111 ай бұрын
Sasa zuchu asapotiwe mara ngapi??,. Yuko lebol kubwa
@neemamzande854711 ай бұрын
Eti NGoja nikuekue ukuwe mara ngapi ss kma ulipotoka unapajua usiku kucha unacheza napo ss wataka ukue mara ngapi muowe uyo unaeishi nae acha izo broo ndoa ni jambo muhimu xna
@davicentertainment66356 ай бұрын
Hyo jamaa n shoga hata anaonekana tu mwonekano
@issamatola203111 ай бұрын
huyo hana kila kitu mnamsifia bure tu
@AmeldaKavishe-ry9ow11 ай бұрын
Kufuru kwa lipi
@malkavoice257011 ай бұрын
Naso kichwa jamaa
@jumanassoro155211 ай бұрын
Urembo huu kwa wakiume mmm inatisha sio kwa mishanga iyo mabega mikono inaonesha viashiria tata sio kwa kubwagika ivyo
@mpundempunde172211 ай бұрын
Acha ushamba Kum* wewe Sawa kazivaa ila kakuzidi kila kitu hata Muungano ukoo wenu hamuwezi kumfikia acha wivu wa kijinga