Maisha Ya Akhera Ep 12 | Sh Jamaludin Osman na Muhammad Shakombo | HorizonTV

  Рет қаралды 2,315

HorizonTV Kenya

HorizonTV Kenya

Күн бұрын

Maisha Ya Akhera Ep 12 | Sh Jamaludin Osman na Muhammad Shakombo
Please leave a comment, like and share
Watch live: www.horizontv.co.ke
Follow us on:
FaceBook: / horizontvkenya
Twitter: / horizontvkenya
Instagram: / horizontv.kenya
Horizon TV | Beacon For The Nation

Пікірлер: 15
@rahmaabdul5055
@rahmaabdul5055 4 жыл бұрын
Mashaallah. Alhamdulillah .
@fatumadireyhussein6006
@fatumadireyhussein6006 4 жыл бұрын
Tunakusikiliza kwa tv me na mum na family yetu,usichoke sheikh💙💗💚😍
@nailasaid4918
@nailasaid4918 3 жыл бұрын
JazakumuAllahu.
@husnamuhammad1306
@husnamuhammad1306 2 жыл бұрын
Mashaa Allah nawapenda sana Allah awahifadhi
@zakiaqasim5312
@zakiaqasim5312 3 жыл бұрын
Subhaana Allah Allah atupe husnul khaatima yaarabbi kwa sote yaarabbi na vizazi vyetu amiin nimefuatilia tokea part one Alhamdulillah nimefaidika FROM UK
@faridaikussi
@faridaikussi Жыл бұрын
Nimeipenda yaniongezea imani Allahu awalipe
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 2 жыл бұрын
Allah atujalie mwisho mwema kwa rehema zake pozito mno Amin sheikh
@swalehkhatibu5451
@swalehkhatibu5451 4 жыл бұрын
Shukran
@aminajaber9618
@aminajaber9618 3 жыл бұрын
Allah akulipe kheri
@MrAmissi
@MrAmissi 4 жыл бұрын
Jazzakallah kheir na Allah azidi kuwampe umri mrefu ili tuzidi kufaida zaidi katika elimu iyo aliweza kuwajaliya na awape mwisho mwema . naam natanguliza samahani saaana kwa maswali machache haya : 1. Jinsi ulivyo twambiye jeneza zikiwa tatu kuzipanganmisha ( mwanaume , mwanamke na mtoto ima mwanamke na mwanaume) Je Imam atasimama upande gani? na swali lingine ikiwa mwanamke atasoma kama dua ulivyo tuelekeza ?Je na ikiwa mtoto itasomwa iyo iyo dua inamtosha? na wakiwa zaidi ya wawili dua itasomwa aje? 2. Je ikiwa mwanamke alikufa kisha aliunganisha nywele zenye sio zake (Ex. Meche) ... je watazikata ao watazifumuwa wa funge mafunge mafundo matatu kama ulivyo tuelekeza ? 3. Je Mwaume ao mwanamke akiwa na Tatoo katika mwili wake je atatolewa ima atazikwa nayo? 4. Je inajuzu kuswaliya Kaburi ambalo lilozikwa Salat janaza ikiwa ni mzazi wako ao mtu wa familiya yako kama hukuweza kupata fursa ya kumswali ? wende umekuwa safarini ima zingine sababu za kisheria.... ( dalili kuwa : Hadith ya Mtume swallalahu alayhi wa salam aliwayi kuswali kaburi la maman moja alikuwa msaidizi wa masjid , Mtume swallalahu alayhi wa salam alipo muliza yule mama yupo wapi aliyekuwa akifagiya masjid wakamjibu kuwa alishaga kufa akawambiya kuwa nioneshe kaburi lake walipo muonesha alifa analiswaliya.) je ni kwa Mtume swallalahu alayhi wa salam haswa ao ? 5. Je inajuzu kuswaliwa SALAT YA GHAIBU kwa mwislam yoyote aliyekufa ikiwa ni mzazi wako ao mtu wamu familiya? ( Dalili kuwa : Wakati Mtume swallalahu alayhi wa salam alipata habari kuwa MFALME WA ETHOPIA NAJASHI alifariki ABASHA KULE ETHIOPIA basi Mtume swallalahu alayhi wa salam akamswaliya salat ghaibu , je iyo ni kwa Mtume swallalahu alayhi wa salam haswa ao ? Wallah a'alam na naomba samahani tena kwa maswali yangu wa Assalam alaykum wa rahmatullah wa barakatuh . nawakumbusha tena SEERA YA MTUME SWALLALAHU ALAYHI WA SALAM EPISODE zakuendelea wakati huyu njoo fursa kubwa wangine wanapa elimu
@ahmedalklbani8118
@ahmedalklbani8118 4 жыл бұрын
Alahh atujalie mwesho mwema sote ishaalahh
@leyzworld4024
@leyzworld4024 4 жыл бұрын
Allahumma ameen 🤲
@aftinmohammed8809
@aftinmohammed8809 2 жыл бұрын
Bado maisha ya kaburi haijatokea
@tatukhamis4795
@tatukhamis4795 4 жыл бұрын
Shukran
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 47 МЛН
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 5 МЛН
THAMANI YAKO IKO KWENYE AKILI YAKO.
20:20
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 2,4 М.
Lengo  la Ibaada ya Niyah na Aina 2 za Rizq. Sheykh; Hassan Ahmed
59:24
Al-hidayah online tv
Рет қаралды 2,5 М.
🔴 Uhatari Wa Chumo Cha Haramu  | Sheikh Jamaludin Osman | Friday Khutbah
1:19:52
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 47 МЛН