Kila chombo lazima changamoto ipo. Mwanzo mgumu tufika Tu ,Ila watu wasianze kutuhujumu kama mwendo Kasi. Mama Samia Ongera sana❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🙏🙏🌹🌹👆👆👆
@kekiplus1andonlyАй бұрын
Changamoto lazima zitakuepo,ni mipango na mikakati tu kudhibiti changamoto izo. Its not a big deal,
@rasheedabby2871Ай бұрын
BASICALY WANAKIRI TEKNOLOJIA NI MPYA AND THERE INCOMPETENT TO RUN IT SMOOTHLY
@ernestsinje9700Ай бұрын
Hata Mnajitahidi sana
@exaverysimon1064Ай бұрын
M NMEKUELEWA HATA HIVYO MMEJITAHID HONGEREN SANA
@JustinMwakalukilaАй бұрын
Kwa pamoja tutafka salama❤❤❤
@AliBakar-sx7luАй бұрын
Mwanzo mgumu tutafika tu.watanzania acheni lawama hii ni mitambo pia ina changamoto zake
@starjay3052Ай бұрын
alafu mtumba sasa 😂😂 kwani usitusumbue tutulie tumeze dawa
@temuemanuel4671Ай бұрын
Changamoto ni kawaida, watanzania tuache lawama. Tujifunze kufuatilia pia mataifa mengine Huko duniani. Mimi juzi nilikuwa kwenye treni katika nchi moja iliyoendelea… ilisimama kwa lisaa na nusu kisha ikaendea. Tuliambiwa imesimama kwa dharura lkn hawakutuambia ni dharura gani. Mara nyingi wanapoona viashiria vya hatari … lazima wanasimamisha mpaka wajiridhishe kuna usalama. Na ndio maana reli ni usafiri wa pili duniani kwa usalama baada ya ndege. Tatizo watanzania tunapenda sana majungu: nilikuwa namcheki yule jamaa aliyekuwa anajirekodi treni ilivyokwama… nikaona elimu yake ni ya kuirudisha shuleni
@josephjohn2114Ай бұрын
Usafiri salama namba 1 duniani ni meli bwana sio ndege mi
@KingstonbagamoyoАй бұрын
Shuktani Tanzania
@AdamSabugo-t2pАй бұрын
Mnamuhujumu mama
@kambamazig02024Ай бұрын
Haya siyo maelezo ya kisayansi, bundi na ngedere kwani hamkujua kuwa wapo? Hakukuwa na EIA kabla ya mradi?
@edisonpeter3894Ай бұрын
Hitilafu ni kawaida sana. Jpm daima
@bellam.vyampi5528Ай бұрын
Tunaelewa Sanaa mwanzo Huwa ni mgumu hasa kwa vifaa vinavyotumia system mpya kwaiyo tunaaminii tutafikaa.
@zobakazizi7637Ай бұрын
Hakikisheni waovu hawaweki mkono. Wasisababishe matatizo ili wananchi wachukie usafiri wa treni.
@JaneyChiggaАй бұрын
Yaani mm kichwa cha habari tu hoi😂😂😂. Et ngedere, nyani kudhibtiwa. Tz yangu.
@barrynzeyimana6270Ай бұрын
Ubaya Wa watu ni kwamba hata wao wanaugua. Lakini Hawataki kukubari kua vyuma ambavyo viumeunganishwa haviwezi kua na matatizo. Ni mwanzo, hata Hapa Marekani ambapo wana uzoefu wanakua na baadhi ya hitirafu
@rajaburajabu3963Ай бұрын
Iv wafanyakazi wa reli SGR kazi zilitangazwa lini
@rajabually869Ай бұрын
Watu siowaelewa tu kwani changamoto huwa zipo tu
@FatmaHamad-g6sАй бұрын
Mi niliuliza hiyo tren ya umeme itatumia umeme huu wa Tanesco watu walinicheka sana maana km huku mitaani hali hivi kuhusu umeme vipi hiyo teni
@omarybakunda2554Ай бұрын
Naomba mfike haraka sana Mwanza
@SangaadamАй бұрын
Hii Elimu ilitakiwa iwe inatolewa mara kwa mara ili watu waelewe maana inaonekana Mnakua ni watu wa kujitokeza Wakati wa matatizo......
@fidelfidel-jz4iwАй бұрын
Kweli kabisa matatizo ya train ya umeme huwa ipo salaama sana na huwa kuna changamoto za usimamizi
@MussaBakar-p2pАй бұрын
Msiba huu
@h.alshidhani8971Ай бұрын
Lakini pia
@mwadinikheir7850Ай бұрын
Inatakiwa tutumie muda mfupi kupata tiketi, napendekeza kuwe na vikadi vya kufanyia malipo
@kasseboАй бұрын
waweke . Jenerator ikitokea imergency
@FahadAbubakariАй бұрын
Unadhani watakua hawana
@mgogileyfivawo7158Ай бұрын
Tanzania oyeeee....big up.
@melanialeonard4031Ай бұрын
Ccm mbele kwa mbele 😂😂
@bashirbaruan3969Ай бұрын
We dada acha kudanganya kuweni wakweli ipo siku mtadhalilika, train inafanyiwa hujuma acheni kudanganya Raia
@mayassahmtumweniАй бұрын
nani anahujumu
@uwembatvonlineАй бұрын
Mwanzo mgumu ndugu zangu
@sameeraidd2109Ай бұрын
Kuna mtu juzi alipost video akilaumu yaan anashindwa kuwaza kua kila chombbo kinapataga itlafu
@mgogileyfivawo7158Ай бұрын
Nilimshikia bashe kadogosa kwenye akijinasibu kwny tv juzi.!😮
@mgogileyfivawo7158Ай бұрын
Nyie sgr mmefanya majaribio na mafunzo naikitokea hitilafu ombeni radhi na msitoe kejeli na dharau kwa wananchi. Fanyeni maboresho ya mawasiiano kwa biashara ya abiria ina mengi zaidi.
@kakagift8356Ай бұрын
Tatizo ni hujuma.
@timothmatiku6115Ай бұрын
Wabongo ni wabongo hawaachi nakorokocho yao, hawapendi hawapendi mabadiliko. Bado Wana evolute.
@DesertTearsАй бұрын
Kama ni kuteka na kuua wapinzani hapo serikali haiwezi kufeli ila kwa mambo kama haya ya SGR😂😂😂 that's the redline😂😂😂😂
@section8ight174Ай бұрын
Verbal diarrhoea
@LeonardJohn-j9iАй бұрын
Mbn kama wanashindwa kutumia hizo ngazi 😂😂
@mayassahmtumweniАй бұрын
tutafika mdogo mdogo ndio mwendo
@LUCASKUSENTAАй бұрын
Ohooooooooo! Kumbee, hatuna hofu ila tunachelewa kufika bungeni.
@maase2023Ай бұрын
Kwa visababu tu hamjambo
@valentinemtei3588Ай бұрын
Kawaida ni mazoea, hatujazoea au
@edwinkinyamagoha1228Ай бұрын
Naona anatulisha matango pori tu hapa
@skitumwemsi4138Ай бұрын
0:18 0:19
@barakarobert1029Ай бұрын
Ngedere
@bestman3651Ай бұрын
Kama mabasi ya mwendo kasi tu. Wabongo kila kitu hatuwezi labda kubeti na kushabikia soka😢
@section8ight174Ай бұрын
Nyamaza weweee! Mbona unabwabwaja tu ka akili finyu
@GodfreyMeshack-gy2ytАй бұрын
Mwanzo mgumu, tutafika tu
@dullybrown7841Ай бұрын
Nchi inanuka damu ndio maana kila linalofanywa linabuma
@section8ight174Ай бұрын
Uhuru wa kuongea! Kila mtu anao bongo!
@listerkongola6872Ай бұрын
Angeanza kueleza kilichotokea,na hatua zilizochukuliwa. Ndipo hayo maelezo mengine ili abiria warudishe imani. Stori nyingi za nini,tulishaimbiwa mara nyingi!! Wote mnakuwa Wanasiasa???
@deograsiassteven9262Ай бұрын
😂😂😂labda wewe ndo haujaelewa mzee
@valentineevaristАй бұрын
Sawa tuna wasamehe leo ila msi rudie tena😂
@section8ight174Ай бұрын
Safiri nchi za watu ujionee, mbona hilo la kawaida tu! Mbona ndege sometimes zinachelewa kupaa lakini watu hawachongi namna hii?
@Kabwela776Ай бұрын
Huyu mwanamke itakuwa ni kazi za kupeana upeo wake ni mdogo kilaza hawezi kujieleza na maelezo mengi msikilizaji anachoka kumsikiliza, halafu anaongea kama anabana pua au anaongea na mpenzi wake chumbani !
@eaglecrown1101Ай бұрын
Angekuwa mke wako au dada yako ungeliona Hilo 😂😂😂
@Kabwela776Ай бұрын
@@eaglecrown1101ningeliona hilo kabisa definitely ukweli ni kitu bora kabisa , huyu mwanamke ni kilaza kwa kazi hii !
@danielkullwa1613Ай бұрын
@@Kabwela776 ni shida ya upangiliaji wa majibu ingawa namwelewa ila ku hit point na kujibu swali husika likaisha ndio shida. beating around the bush..yani hakuwa na haja ya kutoa maelezo mengiiii.
@maase2023Ай бұрын
Nyi nanyi mjiangalie eti bundi kweli bundi azuie treni??? Salalaaaaaa
@section8ight174Ай бұрын
Rudi shuleni
@maase2023Ай бұрын
@@section8ight174 bundi kweli??? Mmmhhhh mbn kazi
@maase2023Ай бұрын
@@section8ight174 kwa visababu tu hamjambo
@maase2023Ай бұрын
@@section8ight174 kwa visababu tu hamjambo
@egdldm4981Ай бұрын
Hivi hawa watumishi wa Serikali vipi? Hawajiamini kabisa, kazi zao tena za kitaalamu wanaishukuru Serikali na Samia Suluhu 😮
@EmanueliWildausoniАй бұрын
Wapi nyie tangu enzi za mwalim tren zilikuwepo mmeshindwa kuziendesha ok niulize swali dogo ile iliyoa zishwa na magufuli wakapanda kina pole pole na dayamond iko wap? Ilifia wap? Mshaidampo hata hiyo nina mashaka sababu zimekuwa nyingi sana kwwnye hiyo sgr
@mkutamajuto1549Ай бұрын
Pc kali
@kibbysaidi7813Ай бұрын
Mbona ni ninyi mliotoa kisa cha ngedere na bundi!? Semeni ukweli na sio kutoa sababu za kitoto au mifano kwamba hata ulaya kuna changamoto. Ingekuwa mnaona kila kitu njiani basi mngetoa sababu za kuzima treni njiani siku au muda huo huo. Mnakaa kwanza kusuka vijisababu.
@KingCza-kb2bvАй бұрын
Huyu anaongea Nini?utumbo kabisa usilete siasa kwenye uhai wa watu kama haijakaa sawa mnadafirisha watu kwa Nini?Iko siku treni itaua watu !!??
@josephjohn2114Ай бұрын
Usafiri salama namba 1 duniani ni meli bwana sio ndege mi