ALLAHU AKBAR ❤SUBHANALLAH ❤MASHAALLAH NIMESOMA SANA NYAKATI ZAJUWA ZA SWALA WAKATI JIBRIL❤ AS❤AKIMFUNDISHA KIPENZI CHETU ❤SAW ❤ 😢ALHAMDHULILLAH INSHAALLAH ALLAH ATUJALIE IMANI NA MWISHO WETU UWE WA KHERI 😢😢😢😢MOLA WETU MLEZI ATUSAMEHE INSHAALLAH SAW ❤❤❤
@BlankaPhilipo10 ай бұрын
Baba me n mkristu lakin hakika umeniguza bbngu Mungu akubariki sana baba yetu kutulisha chakula kisichoisha Amina ❤
@Kwizzykenya9 ай бұрын
Karibu katika dini ya haki kaka
@aminarajab4647 Жыл бұрын
MashaAllah TabarakaAllah Allah atujaalie mwisho mwema na atuepushe na adhabu ya kaburi Ya Allah
@aishadaba7045 Жыл бұрын
Ameen Ameen Ameen
@daud405 Жыл бұрын
Allahu Akbar, nimeguswa sana. nimepata hofu san baadaya swalatul subhi. ya Allah tujalie mwisho mema. ya Allah waongoze umati wa Mohammed ( SAW)
@faizunmohd9839 Жыл бұрын
Aa jitahidi sana swala fajri na kuran utapata faraja na rizki kufunguka
@FatumaMuya Жыл бұрын
Amiin
@ZaidiaIsmahili Жыл бұрын
Ll
@aishadaba7045 Жыл бұрын
Ameen Ameen Ameen
@daud405 Жыл бұрын
Ameen
@mwanakombohamisi8025 Жыл бұрын
Assnte sheikh kwa mawaidha mazuri sana, uliyoyaongea yamenikaa kichwani jambo lakuzingatia zaidi na hili lipo nyumba nyingi tunawapeleka watoto kwenye shule za dini ama madrasa akirudi nyumbani.miziki, game,tamthilia .mwenyezi mungu atujalie tuweze kuachana na dunia, pia ahsante sn sheikh kwa ukumbusho wa kulipa Ramadhan.
@imsimk.khamis574 Жыл бұрын
Mawaidha maxuri sana. Allah ampe umri, afya na kheri funiani na akhera.
@mohasirleam3599 Жыл бұрын
Mashallah Allah akujalie elimu yenye manufaa uzid kuuelimisha ummat Muhamad wote sheikh rusaganya
@mswadicksongoro7973 Жыл бұрын
Alhamdulillah shekhe lusaganya m, m'mungu akupe janatfildaus
@rashidsalim5379 Жыл бұрын
Tunakuomba ya rabbi utujalie mwisho mwema....
@LeylaTwaha-i9m29 күн бұрын
Allah akupe umri mrefu uendelee kutupa mafunzo ya Alla imenigusa sana Alla atujaalie mwisho mwema🙏
@Rahma-pu2iz Жыл бұрын
MashaAllah sh'.Allah akuhifadhi nimejifunza mengi ambayo nilikuwa cyajui Alhamdulillah nitayafanyia kazi biidhiin Allah
@MopherClever25 күн бұрын
ALLAHU AKBARU, Ahsante sana Shekhe wangu kwa mawaidha mazuri. Umenifunza na kujifundisha kitu kizuri sana. Ewe YARABI, Naiusia nafsi yangu pamoja na ya mwenzangu kwa mambo mema.kisha naomba utujalie mwisho mwema ewe YARABI.
@zeynaaly1948 Жыл бұрын
Allah waongoze uwatoe gizan hawa ambao wanakanusha uislam hakika wamepotea tubun murud katika uislam din ya haki na ukweli
@abbashussein-hz4dr Жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu Thuma Ammmyn🤲🤲
@Zainab-u6v5d15 күн бұрын
Assate shekh umetufuza mambo muhimu sana mungu akulinde mahali mlipo
@azzaalhabsi1505 Жыл бұрын
Subhanak allahuma wabihamdika nashhad anllailah illa anta nastaghfiruka wanatub ilayk.allah nijaalie mwisho mwema. Asante shekh kwa ukumbusho huu🙏
@abdillahdhamir8072 ай бұрын
Allah (s.w) atujaalie mwisho mwema yarrabballlah allamiin
@fatumaathman3587 Жыл бұрын
Mashaallah mawaidha yana mafundisho mazuri yarabb atujaalie mwisho mwema
@zainabrashid385 Жыл бұрын
Shukrani shekhe Allah akujalie pepo ktk maisha ya akhera
@MbelwaZubeli-vh2ms9 ай бұрын
Sema,,atujaalie sote pepo yake
@Sam-Podcast8 ай бұрын
اللهم اغفر لنا ذنوبنا و جعلنا حسن الخاتمه 🤲🤲 اللهم آمين
@fatumakibari2 ай бұрын
Allah akujaalie mwisho mwema shekhe wetu
@maimunamselemo8427 Жыл бұрын
Shukran sheikh nimekusikiliza vzr nilikuwa sijui kuhusu kuitumia MashaAllah
@thahiyahussein99446 ай бұрын
Ameen,Allah atusamehe sisi n marehemu waliotangulia
@RehemaNyiraneza-q2n23 күн бұрын
Masha Allah baba mungu akulipe siku yamalipo isha Allah ❤❤
@shabansale4123 Жыл бұрын
Shukuran Sheikh! Kipenzi unanyota kali!🙏🏿
@OmarHassan-rf8qy5 ай бұрын
Allahu akubarikiye Shekhe wetu mawaidha mazuri yamenigusa sana Allah atujaliye mwisho mwema.
@pricesalim1127 Жыл бұрын
Mashaallah...Mola tujaalie miongoni mwa watakao faidika siku ya kiama Inshallah
@happynesbaemuhappynes8813 Жыл бұрын
Amina
@EuniceWai-cq3gi Жыл бұрын
Yaa allah tujaalie kauli thabiti na mwisho mwema yaa rabb🤲🙏
@Staminaalfane Жыл бұрын
Ahsante kwa kutufikishia elimu.
@abasikabaisa Жыл бұрын
Masha Allaha shee dara unayo itowa kwakweli ninzuri sana tuna tamani kuku ona tofauti ya mitandao
@jumaiddi7768 Жыл бұрын
Mungu atujalie mwisho mwema na atuepushe na adhabu za kaburi
@ramasarai78759 ай бұрын
Amiin
@hadijaismail7873 Жыл бұрын
Masha Allah shekh mungu akuongoze na upate maisha mema na pepo inshallah
@nurumohammed13103 ай бұрын
Allha Akubarik sana shekhe wangu nimejifunza kitu kutoka kwako inshaallah mungu Akubariki sana inshaallah
@lisauroble31 Жыл бұрын
Amina mungu akupe maisha marefu kwakutupa elimu maisha baada kufa nakuswali pia tuamrushane
@adnanlukanga4649 Жыл бұрын
Jazakha Allah kheri shekh Allah akujaalie kheri Kwa Darasa hili kubwa la ukumbusho, Allah atujaalie tuweze kupata mwisho mwema, nasi pia tuwe miongoni mwa watakaojaaliwa kuweka kujibu maswali Kwa usahihi, katika kipindi hicho kigumu.
@OmarySile3 ай бұрын
Mungu atujaze Imani kweny mioyo yetu tunashukulu kwa kutukumbusha nafsi zeru
@shanimpenike7568 Жыл бұрын
Allaah akuhifadh shkh wetu
@mwashumkigoda Жыл бұрын
Sheikhe wallah mawaidha ya menigusa ndugu ndugu namuachia allah
@saidaabdalla28542 ай бұрын
JazakAllwahu khairan Sheikh, Shukran kwa kutuelimisha🙏
@ShamimKigame Жыл бұрын
Subhanallah Allah atuepushe na adhabu ya kaburini
@skjjsj1889 Жыл бұрын
Shukran sheikh kwa ukumbusho Allah akuhifadhi
@johnomari8014 Жыл бұрын
Yesu anijalie mwisho mwema
@hgfivcj1832 Жыл бұрын
Wewe Yesu kajaliwa na Mungu. Hivi unaona yesu atakusaidia nini. Kwahiyi humuamini Mungu una muamini yesu😢
@rozafelicianofeliciano Жыл бұрын
Yesu uyu ni mungu acha kukufulu ww
@daud405 Жыл бұрын
@Roza, chukua tahadhari mapema, don't be foolish and brain washed , kwa kweli utajuta kwasababu ya ignorance yako . fanya maamuzi sahihi kabla haujanyanganywa pumzi. utanikumbuka InshaAllah
@nasramohamed3353 Жыл бұрын
Jamani ndugu yangu Kuna ule msemao unasema Bora unyimwe mali kuliko akili .Sasa wewe ndugu yangu nakushangaa unaomba mwisho mwema Kwa binaadamu mwenzako(YESU) badala ya mola wako aliekuumba. (ALLAH) . Hata hiyo biblia yako unayoiamini pia ni shahidi.
Mwenyezimungu atujalie mwisho mwema na tuwe wema innshaalah
@albertvalentino130 Жыл бұрын
Bwana Yesu anasema hivi "... Ile nuru iliyomo ndani yako,ikiwa ni Giza si Giza hilo !" Mathayo 6:23.
@AdamBreez-zf7cz Жыл бұрын
Allah atujalie mwisho mwema inshaallah
@Ukhtyzuhura Жыл бұрын
,Ma Shaa Allah Tabaraqallah,Kwa darsa zuri lenye mazingatio ❤️ Allahu barik Sheikh wetu🙏
@thureyazuheir293 Жыл бұрын
mashaa ĺlah shekh wetu
@jasminmdimi6059 Жыл бұрын
Asante sheikh mawaidhaa mazuri. Nimepata kujua
@simbi-u4k Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie. Mawaidha mazuri sheikh.
@roqayaro9439 Жыл бұрын
SHUKRAN SANA SHEKHE KWA KUTUPA MAWAIDHA MUNGU AKUBALIKI NA SISI PIA ATUPE ELIMU UNAYO SEMA YOTE KWELI
@araphatlwambano8 ай бұрын
Allah tupe mwisho mwema yarabiy
@ZaharaIssa-mj3di Жыл бұрын
ALlah tujalie mwisho mwema
@saadnaim55189 ай бұрын
ما شاء الله معلم هاشم رسغانى حافظك الله يا اخي الغالي
@CharlesMbawala Жыл бұрын
Yallab tujalie wajja wako❤
@HawaJuma-k5v10 ай бұрын
Subahana llah mungu tujalie mwisho mwema na utuzinduwe waja wako
@saidmasika8738 Жыл бұрын
mungu atujalie mwisho mwema 💔😭😭 mauti ya Tisha jamani
@salimakida958 ай бұрын
Amin
@najmayahya214 күн бұрын
Ameen yarabb 🤲🏻
@aristidesvedasto7855 Жыл бұрын
Ujumbe mzuri mzee Rusaganya
@khadijasaid5065 Жыл бұрын
Mashaallah shekhe Mungu akuhifadhi akuzidishiye ilmu zaidi inshaallah tunafaidika sana kukusikiliza mawedha yako Alhmdulilahi ..khadija said Nahdi mld kenya
@shazlya9060 Жыл бұрын
MashaAllah
@alikurran150 Жыл бұрын
Assalam alaikum
@bellasi349 Жыл бұрын
Y pumbavu zako wadanganye wajinga wenzako ivi ile mwanandani mtu anaweza kukaaa vipi yani nyie ni majinga n'a malaika anaadhibu vipi maiti wakati kuko siku ya kiama
@yasirmister2934 Жыл бұрын
@@bellasi349 usiseme sana ndugu utayaona tu
@yasirmister2934 Жыл бұрын
@@bellasi349 usiseme sana ndugu utayaona tu
@hamisiabdallah1405 Жыл бұрын
Mwenyez mngu nijalie mie na 🙏🙏🙏
@daudhabona8897 Жыл бұрын
Alhamdulillah. Allah awalipe Pepo. Kwa elimu mnazotupatia
@mungombaatibu1456 Жыл бұрын
Sheikh Allah akutajarishiye Al Jana. Dua ambae ulitufunza waufaudhu amri ililah inalah baswiru bil inbade inafungula rizki yangu. Naanza kakazi ka bisnes nauzisha sana.
@sakinasakina1286 Жыл бұрын
Alhamndulillah allah akujalie shekh kw elmu yako nzuri ishaallah
@akilisimba8679 Жыл бұрын
Yaa Allah tujaalie matendo na sala zetu ziwe zenye manufaa siku ya malipo
@CharlesMbawala Жыл бұрын
Mashaallah mungu akujali maisha mema ❤
@aishadaba7045 Жыл бұрын
Ameen kwa sote jamian muslimin
@nancykayugumbe Жыл бұрын
Allah tupe mwisho mwema
@saidjuma-li6fb Жыл бұрын
Ewe Mwenyezi Mungu 2pe mwisho mwema
@DottoAzizi11 ай бұрын
🌙🌙🌙🌙🌙🌙 mungu akupe maisha malefu Kwa elim
@IbraBais11 ай бұрын
Tuombeane mwisho mwema kwa muumba ishallah
@ItangishakaMuhammad11 күн бұрын
Shukran sheikh
@Kwizzykenya9 ай бұрын
Ya Allah tujalie mwisho mwema na utuepushe na adhabu ya kaburini
@BlankaPhilipo10 ай бұрын
Barikiwa sana me had nawajukuu cjawai skia padre anahubir hili SoMo ikiwezekana naomba hivyo vifungu nisome naiman utakua umenijenga na utaponya wengi kupitia hili bbngu she barikiwa sana bba
@FridaClaydon3 ай бұрын
😢Yesu Kristo alisema kuwa Yeye ni NJIA, KWELI NA UZIMA. Mtu haji kwa Mungu ila kwa yeye
@fathiakhamis173 Жыл бұрын
Subhana Allah 😭Allah atufanyie wepec
@SemeniOmari-lm9jx3 ай бұрын
Mmmmmh,jamani my mwenxzenu nikiskiza dawa za ukweli kama hizi nasikiya uwoga nakuwa mdogo mwenyewe jamani mungu atujaliee mwisho kwemaa jamani kunatishaa watu wangu nomaaaaaa tunajisahauu tuu wanadamuu tulinyimwa ilimuya kukumbuka daaaaaaah,mungu wangu haya ilaa ni kubayaa watu wangu sio mchezobni mungu mwenyewe tuu atujaliee ila vinginevyo nomaaaaaah.
@KhadijaRashid-hb5dm6 ай бұрын
Ya Allah ya Rasula Allah tuswabehe
@aligmoha9015 Жыл бұрын
Maa sha allah sheikh
@fatmahussein6085 Жыл бұрын
Allah tujaaliee mwisho mwemaa na utuepushe na adhabu za kabur🤲🏾😢
@saudakhamis427Ай бұрын
Mauti ni mawaidha tosha Ya ALLAH tujalie mwisho mwema inshallh
Allah tujaliye mwishomwema tuepushe naazabu zakaburin
@zainaabdalla-fu9ve Жыл бұрын
Nikwer shehe tumekuerewa mungu akufungurie njiya nauri hii uzidi kutuerimiaha turikuwa ngizani kwasasa namka kupitiya dini sante
@deobigirimana459 ай бұрын
Shukran sheikh.
@setiseti52818 ай бұрын
Aminaa yaraab
@ShemsaSeleman-l5x8 ай бұрын
Allah atupe mwisho mwema
@MohamedAllyMohamed-me4bb Жыл бұрын
Iam learning soo much alhamdulillah
@maryammaryamm9548 Жыл бұрын
Nyie msiokuwa waislam Bora mnyamaze kwakuwa mpo ktk Giza Nene Sana Giza Totoro hapo mlipo machoni kwenu kuna pazia limewekwa n huwezi kujijua mpaka utapotoka huko mlipo yaani kusilimu kuwa waislam n hiyo n Taufiq y Allah awaongize
@danielndusilo4723 Жыл бұрын
Kipofu anayeona
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Kipofu wa vipofu ni nyie qpo na makao yenu ni motoni jehanam ya milele heri wafu wafao ktk kristo maana watafufuliwa siku ya mwisho na kuvikwa taji so kaa utqfakali diniyenu hyo ambayo hata malaika hajawah kumtokea miongon mwenu na hata anapomtokea humuondoa huko na kumleta nuluni
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Tena km ww maryam unyamaze kabsa maana wanawake wakiislam hamna dini 😂 sasa ww unashadadia nn Kimbilia kwa YESUKRISTO mnazaleti haraka sana upate hati ya kuulithi uzma wamilele
@manish-fp1fb Жыл бұрын
Usiwaambie watu wakae kimya, jibu hoja unazoulizwa, maana haujibu kinachokuwa questioned..... Those are nonesenses.
@manish-fp1fb Жыл бұрын
Ukifika kipengele cha kuongezewa mke mwenza unapanic...(kuna mambo kibao ya imani yako haujafanyi au kuyafuata) ukute mshenzi wa tabia...
@edinathobias1345 Жыл бұрын
Ee YESU WANGU NIPE NEEMA YAKUMALIZA MWENDO SALAMA NIPE NEEMA YAKUTENDA MEMA HAPA DUNIANI KABLA SIJAFA NIFANYIE WEPESI NITENDE MEMA NIPE KUSHINDA UBAYA NIJALIE NGUVU YA ROHO MTAKATIFU NIUSHINDE ULIMWENGU HUU
@jumaramadhan-e5o9 ай бұрын
Jamani tumuombe allah mwisho wetu uwe mwema tujitahidi tuswari
@saumusanjiama6991 Жыл бұрын
Shukran
@adijarashidswedi6979 Жыл бұрын
Manshallah Bora wewe sheykh wetu una tuzindua kulikoni hao wanatuletea magomvi na kujidharaulisha mitndaoni ) Allah akuhifadhy
@kadeyihawa7873 Жыл бұрын
Jazzakallah Kheira
@mukamasongo6209 Жыл бұрын
Yesu anisaidie na roho mtakatifu anikumbushe kipi natakiwa kukifanya nikiwa hapA duniani
@nasramohamed3353 Жыл бұрын
Ingia katika dini ya haki Kwanza utajua kukifanya katika hii dunia na dini ya haki ni islamu kama huamini mtafute mtu akueleweshe hiyo biblia yenu vizuri mana biblia pia imeongea kweli kuhusu dini ya haki. ISLAMU ( dini yahaki)
@AishaMhamed-o4s4 ай бұрын
Inshallah❤❤❤amiin
@KuluthumuZaidi2 ай бұрын
Alla akuhifadhi kwamawaidha
@halimamuketi673810 ай бұрын
SubhanaAllah
@yussufyussuf.bsh19-zx8jf Жыл бұрын
Allah akujaze kheri na barka Sheikh na atujalie mwisho mwema sote. ALLAHUMA AMIIN