Maji ya Msuka Part 2 March 2023.

  Рет қаралды 14,044

Pemba one

Pemba one

Жыл бұрын

Пікірлер: 22
@ALKHIBRATISLAMICSCHOOLTV
@ALKHIBRATISLAMICSCHOOLTV Жыл бұрын
BADO MTAHANGAIKA TURUDINI KWA ALLAH TUSUBIRI NA MMOJA AJE ASEME KANYWA MAJI YA CHOONI KAPOA PIA TUKAZONGANIANENI HIVYO HIVYO NA VIKOMBE VYA KUSHOTEA MAJI HAYO YA TIBA MIMI USHAURI WANGU MAASI YASHA ZIDI TURUDINI KWA MUNGU ATATUONDOSHE SHIDA ZOTE . HIYO NENDENI KATIKA SURATU NUH . NABII NUHU ALIWAAMBIA WATU WAKE MTAKENI MSMAHA MOLA WENU ATAWAONDOSHEA YOTE HAYA QUR-AN IKAZUNGUMZIA KHERI NYINGI . NAWAPENDA NYOTE KWA AJILI YA ALLAH EWE MOLA WETU TUSAMEHE MADHAMBI YETU AAAAAAMIN🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@HasanAlly22-un2ng
@HasanAlly22-un2ng Жыл бұрын
Allah awanusuru waja wake wasije ingia katika kuyategemea hayo maji badala Yake yeye Allah
@sadraaly3410
@sadraaly3410 Жыл бұрын
Haiwezi kuwa hivo, mana imani ya watumiaji wa hayo maji imejengeka kuwa yameletwa na Allah kwa hivo bdao wapo katika utegemezi wa Allah na sio maji
@farhatomar78
@farhatomar78 Жыл бұрын
Maji kayaleta Allah na sio kiumbe yoyote, tutaachaje kumtegemea???
@alikidungura9419
@alikidungura9419 Жыл бұрын
Mh et maji tiba mashehe tuweni ufafanuzi kuhusu kujidai majitiba
@khadijabaungu
@khadijabaungu Жыл бұрын
الله أكبر الله أكبر الله أكبر اللهم صلي على سيدنا محمد وعلى آله وسلم عليه وصحبه وسلم . تكبير.
@sadakombo-li7yi
@sadakombo-li7yi Жыл бұрын
Mtihan wallah
@alikidungura9419
@alikidungura9419 Жыл бұрын
Yanamwisho tutaonatu mwisho wake
@coyancodavao4004
@coyancodavao4004 Жыл бұрын
Hakuna dawa yoyote hapo, upuuzi mtupu
@aminaalabri4170
@aminaalabri4170 Жыл бұрын
Kwa iyo vsima vpo viwili
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Watu huko wajitolee kuunganisha mpira na Genereta ili maji yaptikane kwa urahisi.
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf Жыл бұрын
Maji ni dawa kubwa kwahiyo mkisema hayatibu huo ni uongo hata maji dafu ni dawa itakuwa maji yaliyopatikana ndani ya fukwe ya bahari yasiyochangaywa na kitu chochote ?.., Hayo ni dawa kwa rehma zake Allah.
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 Жыл бұрын
Niko marekani nduguzagu
@seifsoud266
@seifsoud266 Жыл бұрын
Wafanya nn
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 Жыл бұрын
@@seifsoud266 nili chukua meli Africa I kanitupa marekani brother 🇺🇸
@SaidAli-qb8kd
@SaidAli-qb8kd Жыл бұрын
Tuyatumie maji kwa uangalifu mkubwa katika uchaguzi wangu wa kwanza madini yaliyopo ni makubwa na yanaweza kuharibu figo au kibofu cha mkojo.ushauri wangu isizidi kutumia glasi mbili kwa kunywa ama kuoga haina shida inshaallah
@salummussa1139
@salummussa1139 Жыл бұрын
Madumu hayo sie WA unguja ndo tutapata na hapo msuka hatuna mwenyeji
@jumajumahamisi
@jumajumahamisi Жыл бұрын
Usijali ww njoo mm nipo mwenyeji wako
@salummussa1139
@salummussa1139 Жыл бұрын
@@jumajumahamisi kweli vo stanii
@halimaoman8900
@halimaoman8900 Жыл бұрын
😮
@halimaoman8900
@halimaoman8900 Жыл бұрын
Mimi nataka nipo mbagara
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 8 МЛН
Uvinza; MIGOGORO YA NDOA YAPELEKEA KUCHINJWA KIKATILI NA MUME WAKE
15:58
HEKIMA ZA SAID MJOMBA - 2
4:15
NEW STAR RECORDS - PEMBA
Рет қаралды 7 М.
Visiting the Divorced Women's Market in Mauritania 🇲🇷
9:40
Joe HaTTab
Рет қаралды 19 МЛН
Mafunzo Ya Bi Harusi kwenye Sherehe Ya Sabaa Na Bi Shamim
5:15
Tee Brand254
Рет қаралды 306 М.
JAMAA PEMBA WATOA MACHOZI KWA FURAHA
3:33
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 11 М.
Maji ya Ajabu Kutoka Pemba
6:01
Msuka Tv Online
Рет қаралды 34 М.
KESI YA KOMASAVA Vs HAKUNA MATATA | DIAMOND & MARIOO - USWEGE MURDERER
6:12
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН