Hongera Sana muongeaji nimekupata wafundishe maana ya siasa na demokrasia,watanzania wanataka maendeleo, amani, utulivu, watu wale raha
@ChalesLukumai7 күн бұрын
Muongeaji hujui lolote kuhusu katiba inasemaje juu ya vyama vya siasa. Unaendekeza uchawa.
@MuradAbdul-u2c7 күн бұрын
Kibla ndio muelekeo mkuu, ama kweli huyo jamaa anaongea kitu ambacho hakijui😂😂
@benderakashindi38348 күн бұрын
Who is this one against Chadema. Why CCM is on the strong deal of dictatorship. This year we have 100% of chadema success for Governing Tanzania. We are so tired of the current Government of old leaders. We need youth generation to Govern. Lissu Bravo don't scare, don't use force during election you are going nowhere if you do this, but there is simple technique to overcome CCM which does not demand even 100 sailing to waste during campaign to win but time still even one day before election is to many to win. We are behind chadema in everything, CCM has already failed for very long, only still using dictatorship to lead but all tanzanians even other members in the Government don't want it.
@JacobMbosalee7 күн бұрын
KABISA
@johnsinyinza74508 күн бұрын
Huyo ninani wanacho sema. Huna lolote hata katilba. Hujuwi. Chawa wanani . Watu waliyo kufa,mbona hasemi watu waliyo tekwa wapo watu, njo ukiponye
@samsonrusagira51687 күн бұрын
Huyu Jamaa kichwani kutupu.
@JacobMbosalee7 күн бұрын
Kweli kabisa
@AmisiLulacha8 күн бұрын
Nyinyi watu wa ccm mulisha zoeya kutesa chadema naona dawa Yana waingia
@ramadhanchenga46068 күн бұрын
Unajipendekeza unapoteza akili
@frankminga93078 күн бұрын
Mwangoka kumbe ni mpumbavu tu
@JacobMbosalee7 күн бұрын
SANAAAA
@johnmlangi68908 күн бұрын
Huyo Bwana Ana mawazo ya kutaka Demokrasia ikandamizwe, Kwa Kutumia Ofisi ya Msajili. Tunapokwenda Kwenye “Uchaguzi”. Wagonmbea Wote Wanatakiwa kuwa Treated Equally, Sio Mwingine kujiona ni Superior Kuliko Wengine.
@SubiranTimo7 күн бұрын
Jaman lisuu anaogopa uchagui kwsbbu wanauwa wagurugezi wnaib kur 4ara wmepote kin soka myoooo
@CLEMENTNDOLE7 күн бұрын
Nawaomba viongozi wetu wa vyama vya siasa wanapomzungumzia Rais wetu wawe wanampa heshima yakumuita Rais Samia badala ya kumuita Samia.
@frankminga93078 күн бұрын
Uelewa wa huyu ndugu ni mdogo mno mnapoteza muda tu
@xaixaiobrigado48467 күн бұрын
Komredi nani? Kwa Nini ni komredi,ili ..! TL,alimkabiri Jiwe.Na alimwita dikteta uchwara, ww huku wapo? sembuse Samia! Kwani adabu ni mali ya nani? Sio anakuja,alianza kuwakabiri tangia awali. Adabu ni mtu kumwita mwenzio ;ameanza kuita njia!!!
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct7 күн бұрын
Ccm wanaiogopa katiba mpya na tume huru kwa sababu wanajua hawatoboi wamebaki kujisifia maendeleo waliyotakiwa kuyafanya miaka 20 iliyopita nchi ina rasilimali nyingi ambazo zingeweza kufanya maendeleo miaka mingi iliyopita
@celestinekimaro89967 күн бұрын
Mtangazaji hebu achana na huyo taahira anapoteza muda
@ulimbagakipole39718 күн бұрын
Acha uoga Samia ni M/kiti wa ccm na Lisu ni M/kiti wa CHADEMA. Kukabiri maana yake kujibizana. Mmezoea lelemama. Mbona kuna kauli mbovu, mbaya za ccm zimewahi kutolewa hujawahi kumshauri msajili akiangalie vizuri kwa kauli mbaya za wanasisiemu?
@godwinshoo50327 күн бұрын
Taja hizo kauli tuzipime
@maryali21227 күн бұрын
21:15keli lisu anaadabu llikebisha luga ujuikabisa nduo lunga hiyo aifa ukua kama kiongozi.lazima ppunaali ج
@ignasmahundi47348 күн бұрын
Kwani katiba mpya na tume huru ya uchaguzi vinatatizo gani?
@danielngogo82858 күн бұрын
Huyo anaongea nini? Mbona kama hajitambui,tutatumia makundi ya uma,na tutatumia kila njia kupata haki yetu, Na tunapo tutamjibu samia,kama kiongozi wa ccm na siyo raisi.
@habibumpa61507 күн бұрын
Hivi msajili wa vyama siasa hayaoni haya anayozungumza lusi
@johnsinyinza74508 күн бұрын
Anaomba uteuzi huna hoja
@greysondavid64458 күн бұрын
Kukabiriana kidiasa najambo la kawaida Huu ni mwaka wa uchaguzi na ukixingatia kwamba huyo atakae mkabiri ni mgombea wa uchaguzi wa urais inchini. Tuache kuwatia au kuwapa watanzania wiga usiokuwa wa msingi.Kukabiliana kidiasa kwa hoja za kimdingi na si vinginevyo.
@StoneLiyanga8 күн бұрын
Wewe huna jimpya kama kweli katiba mpya chadema walitaka wapendelewe wao pekeyao kwanini ccm hawakuwashilikisha vyama vingine kama kweli walikuwa na nia njema acha kutete ugali wako watanzania wana teseka chawa mjinga
@davidpallangyo1148 күн бұрын
Ndugu Mwangoka,tafadhali nakuomba kasome zile Ahadi za Mwana TANU.TANU ya Mwalimu Nyerere ambayo ndiyo iliyozaa CCM. Mimi nakutajia moja:- NITASEMA KWELI DAIMA,FITINA KWANGU NI MWIKO.
@baluhiphilipbudika76128 күн бұрын
Kuhuisha katiba ya zamani ni kuendeleza ubabe wa CCM, kunatatizo gani kurekebisha tume ya Uchaguzi badala ya Tamisemi kusimamia Uchaguzi ambayo ni CCM bila shaka yoyote, leo tangu kuanzishwa kwa vyama vingi tunaendelea kutumia katiba iliyopitwa na wakati, kuna maswala ya muungano yaliyovunjwa na katiba ya Zanzibar, Je tunatembeaje na katiba mbili isoyolinda muungano wetu. CCM wamejitoa ufahamu na wamegeuka kuwa wapiga debe kwa hisani za uteuzi.
@musa-v3f8 күн бұрын
wezi wa kura, watekaji na wanaokamatwa na maboksi ya kura na hata kufanya mauaji dhidi ya wagombea wa upinzani ndio wana adabu?? Lissu anatoa kauli za kisiasa nyie mnaua raia wema
@MukamaKili8 күн бұрын
Mchakatp gani zaidi ya ule wa kaji Warioba?
@thadeusmateru13567 күн бұрын
Upeo mdogo wafikra. Lisu mhirimu wake kama mwenyekiti niSamia na si Wasira.mhirimu wa Wasira ni Heche. Huyu haelewi nini katika hyrach
@DiegoSelemani7 күн бұрын
Watanzania sio wao maana tumewachoka nyie national watanzania kama mburura
@MukamaKili8 күн бұрын
Ichaguzi serilsli za mitaa ulikuwaje?
@MosesSiwiti7 күн бұрын
Wewe hujasoma bibili mwanamke hana mamlaka ya kuongoza nchii ujue
@clarencelazaro96007 күн бұрын
Chadema sio lissu na Heche hawa ni viongozi tuuu chadema ni zaidi yamamililion ya watanzania
@ShedrackSomanda7 күн бұрын
Hujui kuongea wewe nyamaza
@emmanuelmziray10738 күн бұрын
Pimbi wewe. Wanasiasa wanakabiliana. Wewe umesoma kweli?? Samia ni Mwenyekiti wa CCM.
Mbona Chadema wanapoporwa uchaguzi hamshtuki? Wanapouawa wanachama wao Wala hamuoni shida?
@clarencelazaro96007 күн бұрын
Nchi hii ni ya ajabu mgombea ndie anayeteuwa tume ya uchaguzi .
@xaixaiobrigado48467 күн бұрын
Hakuna komredi hata mmoja hapa tZ. Komredi ni sifa ya Kichina,kama Sisi ilivio mheshimiwa. Kuitana komredi kwenye nchi yenye ufisadi wa kibepari ni kufanya watu wazubae -narudia ;hakuna komredi hapa tZ,bali huyo ni machawa tu!
@njanjimlwale7 күн бұрын
Tunashuhudia kila uchaguz watu wanauwawa sababu ya sheria mbovu kwann CCM hawataki kubadilisha katiba kila siku visingizio tuu mara muda hautoshi kwani tatizo la katiba lineanza leo?
@godwineliya46867 күн бұрын
Hao wote ni wenye viti Wala hapo Lisu hajakosea chochote Sasa Asipo mkabili Samia Amkabii nani
@msafirimbangule15316 күн бұрын
Kweli ukiwa chawa mateso mbona unatumia nguvu kuongea kitu ambacho hata ww huelewi pole welewa wako ndo ulipo ishia
@emmanuelmziray10738 күн бұрын
CCM wauaji wakubwa. Wezi wa kura. Majambazi wakubwa ninyi
@temesjames88677 күн бұрын
Msema ukweki huwa sio mwenye adabu
@DaudaBilikesi8 күн бұрын
Kwako neno kukubili lina maana gani? Wewe ndo unaleta dhana mpya tofauti na kilichosemwa.Badala ya kujibu hoja unakimbilia polisi;Msajili anahusikaje hapo? Mambo ya ndani ya CDM hayakuhusu.Wee ndo unawapangia namna ya kufanya siasa? Huna hoja kijana!
@ChristopherLazaro-yy3fb8 күн бұрын
Ujua kiswaili
@MakanyangaNyamboto8 күн бұрын
Uchawa wakijinga
@njanjimlwale7 күн бұрын
Katiba mpya ilishadaiwa miaka mingi Tume kubwa tatu ziliundwa na zikatowa mapendekezo ya kuunda kativa mpya mbona hamzifuati kwa nn mnaajenda hani na hili taifa
@MukamaKili8 күн бұрын
Kwani katiba ikoje?
@celestinekimaro89967 күн бұрын
Huyu bwana haelewi maana ya siasa. Anaelewa uchawa tu
@NgendandumweAlouise8 күн бұрын
Naombeni niwaulize kama wewe nichama cha upinzani unaweza kwenda kwenye uchaguzi na tamisemi na wakurungezi kweli nikupoteza mda
@JacobMbosalee7 күн бұрын
Siyo MBOWE huyo,ni TUNDU LISU kaka
@clarencelazaro96007 күн бұрын
Huyu jamaa hajui hata Kiswahili
@AminaJofrey-u8m8 күн бұрын
Wewe bwege wewe,,kukabiliana kisiasa ndio demokrasia.
@habibumpa61507 күн бұрын
Kwanza ujue samia ni raising wa jamuhuri ya muungano sio tu mwenyekiti Ana hadhi yake
@ZaidAKissinza6 күн бұрын
Kuna kauli mbovu mbovu kupindukia zinazo tolewa na makada wa CCM mbona hakuna lolote linalotokea? Mmoja wa Bukoba alisema akiwaambia Polisi, hawa wapinzani tukiwapoteza msiwatafute, na kuna mwingine wa Zanzibar aliwatukana wapinzani kwenye mkutano na Rais yupo na hakuna lolote lilitokea, je kwa nini Chadema tu? Msumeno hukata kila upende au msemo huu haufai?
Maridhiano ni YAKO WEWE, ACHA ujinga,maridhiano yapi?? Akae medhani na Nani!!!?? Katiba mbovu hiyo,badirisha katiba
@charlesmgory31317 күн бұрын
Rais c mungu mtu aweza kutajwa vyovyote vile kisiasa kukabliana ni lugha ya kawida san tunachotaka wananchi ni katiba mpya ambaya hamwitaki kwasababu ya kuficha maovu yenu ccm na katiba tanznia haiwezkuptikana kwa kjadiliana ilishashindkana.
@mpeligwamoyo42548 күн бұрын
Hawa watu wajinga mnawapata wapi?hivi kukabiliana na mambo yanayokusumbua Kuna shida Gani?
@maggiehiza58847 күн бұрын
Huelewi kuwa demokrasia ni mashindano ya hoja. Huelewo unachoongea.
Nyinyi pigeni kelele tu twawasubiri 2025 ccm I huku ushindi
@FaustineMangula8 күн бұрын
Katiba mpya imeanza kudaiwa miaka mingi siyo jana, CCM haiwezi kuleta katiba kwa hali milele na milele, kwa sababu katiba iliyopo inawalinda, kwa kutoa ulinzi ni kuingia ktk matatizo, CCM haiwezi kukubali kwa hiyali kuruhusu katiba mpya.
@EzekielChalomhola8 күн бұрын
Huna hoja wewe.
@gabrielsanya32787 күн бұрын
Wewe unashindwa kusema ukweli nini kilichoʻtokea? Majibu yako na maelekezo yako ni ya CHOONI. Nadhani unahitaji kwenda shule, na hata alive kutuma kujibu mahojiano na mwandishi basi note mna mawazo ya mwaka arobaini na saba. Unamsifu Samia kwa sababu umepewa posho na kwa ability yako ndogo hujui usemalo. Kupata Katiba mpya ni lazima sio ombi
@noelmakere13817 күн бұрын
Huyu mzee anatisha Nini 4R zenyewe Toka raisi alisema je ccm wamekubali? Na si dhambi raisi kukosolewa. Suala la katiba ni suala la muhimu sana Kwa Sasa. Huyu mzee anaogopa Kwa kujishika Kwa msimamizi wa vyama Kwa hoja za kijinga sana. Aaache ujinga wake.. Lisu yupo sahihi kabisa...asimfundishe lisu Nini Cha kusema
@JeremiaMagaka6 күн бұрын
Lisu anamueshimu sana mama nyinyi wandishi baadhi ni wachonganishi2
@mpeligwamoyo42548 күн бұрын
Kwahiyo Kila mtu awe anasema Asante mama Samia et?Hata wapinzani wake kisiasa wawe wanasema Asante mama Samia eeee?
@celestinekimaro89967 күн бұрын
Mnampaje audience mtu mwenye uelewa finyu kama huyu? Haelewi yuko kwenye Karne ya mapinduzi ya kisiasa?
@MosesSiwiti7 күн бұрын
Soma komedi zote utapata majibu usizungumuze saana watu wanaakili kuliko wewe ongea ukweli kwanza Shelia unaifaham? Acha ujinga
@beinafuu62197 күн бұрын
Unajua fika amemanisha nini lakin kisa chawa ndo unasema hivyo.mambo ya kisiasa hayo.yeye ni mwenyekut wa chama.na lisu mwenyekit.heche makam na mzee ni makam wewe unaenda kwenye nchi.peleka huko ukachwa.hakumanisha unavyowaza wewe unajichanganya mwenyewe boss.ccm kitakaa milele sasa mbona wewe ukipewa uwongoz ndo nyinyi mna leta fujo.