MAMAAAAAAA...Lissu ALETA FUJOOOO Tenaaa, KIMENUKAAAA..Amjibu Samia Bila uogaa!!!!

  Рет қаралды 61,517

SUPER TAMUTAMU

SUPER TAMUTAMU

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@KaimuUlongo-p6c
@KaimuUlongo-p6c 4 күн бұрын
Iki kichwa San lisu blessing Mr lissu point tupu 😊
@joyjackson258
@joyjackson258 4 күн бұрын
Mungu yupo upande wako Lisu mfano wa shujaa mwenye kutisha , vita yako ni ya Mungu Atakupigania
@ReginaManyangu-u4j
@ReginaManyangu-u4j 4 күн бұрын
Mi Lisu namwelewa sana Mungu amtunze inshallah.
@SengalaRajabu
@SengalaRajabu 3 күн бұрын
@@ReginaManyangu-u4j wewe ni lazima umuelewe Lisu kwa Sababu Akili zinafanana.
@geofreymwanshuli4344
@geofreymwanshuli4344 4 күн бұрын
Lisu wachezeshe ukosawa. Tanzania kwanza🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@WinifridaEvarist-oc9tb
@WinifridaEvarist-oc9tb Күн бұрын
Tunakuombea lisu uwe raisi uwakomeshe mafisad wa ccm🎉
@OmarAweis-of7ru
@OmarAweis-of7ru 5 күн бұрын
Kwa hiyo kweli ulikimbia au ulikimbizwa Sasa usikatae. Sisi tunakuelewa na tupopamoja
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie 2 күн бұрын
Wewe mwandishi ni mpumbavu sana unauliza maswali ya kisenge tu
@matanokitwana3249
@matanokitwana3249 4 күн бұрын
Saizi ndio muda wa siasa za comedian zinatawala
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 4 күн бұрын
Wapo wenye akili na hekima, halafu wapo wenye akili tu.
@MaulidHimidi
@MaulidHimidi 3 күн бұрын
Wewe tunduuuu jina linakuzuru
@jamilbillo5944
@jamilbillo5944 4 күн бұрын
Lisu hao Maaskofu ni watu tu, kama watu wa kawaida sio Miungu , ni haki Yao kutoa maoni kama raia wengine,
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 4 күн бұрын
Huna akili
@JeremiaMagaka
@JeremiaMagaka 4 күн бұрын
Anayesema. Lisu alikimbia mlitaka lisu.afe mbadillshe luga
@MzeewaslowHusseinAndrew
@MzeewaslowHusseinAndrew 4 күн бұрын
Hii media kamanda lisu isikuhoji tena hawa niwachochezi na wachonganishi kwako na serikali yetu
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 5 күн бұрын
HERI KUFA KATIKA HAKI KULIKO KUFA. KATIKA. DHULUMA.
@SengalaRajabu
@SengalaRajabu 3 күн бұрын
Tundu Lisu ni mhuni mmoja msema ooVoo sijui anategemeya Nini hata Aibu Hana ,l Leo amepewa Uhuru wa kunadi sera za chama chake anazungumza mambo yasiyo na mashiko,Lisu kusema sana hakutakusaidiya zungumza sera siyo ovyo ovyo
@JudithWTarimo
@JudithWTarimo 3 күн бұрын
Kila mtanzania yupo huru
@MariamJeremia-u7e
@MariamJeremia-u7e 3 күн бұрын
We mjings tuu ata kuandika hujui
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 9 сағат бұрын
Sasa wewe ukisema lisu nimjinga mwenye akili ninani nisamia au
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 4 күн бұрын
WABELGIJI NDIO WAFADHILI WENU CHADEMA
@NyangoboNyangobos
@NyangoboNyangobos 5 күн бұрын
Hi media ni msitufanye wapumbavu mnachokiandika na tunachokiona nitofaut
@JeremiaMagaka
@JeremiaMagaka 4 күн бұрын
Mama anaelewa kabisa.waandishi ni wachonganishi2
@mutabebwa1713
@mutabebwa1713 4 күн бұрын
Ni wachonganishi sana
@MohamedSleyim
@MohamedSleyim 4 күн бұрын
Drama za mwandishi na Tundu Lissu kutafuta mfarakano.
@Nedjadist
@Nedjadist 4 күн бұрын
Bilioni 7.5 kwa miaka 20? Hela kidogo sana. Tajiri mmoja tu aweza kuzitoa hizo kwa miaka 2. Acheni kudhalilika kwa kutegemea misaada ya kijinga. Mwanunua magari ya wakuu kwa bilioni 190 , halafu muombe msaada? Mwafrika apenda utumwa sana. Kweli: 'L'escalavage c'est que l'esclave veux' Anasema Napoleon Bornaparte, Empera wa Ufaransa: 'Utumwa ndiyo kitu hasa akipendacho mtumwa'!
@christopherpaulo9490
@christopherpaulo9490 4 күн бұрын
Hi chanel feki, mi na jitoa pumbavu sana
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 4 күн бұрын
Mtangazaji mtu mzima hawezi kutamka rais anamuita " lais" tunamsikiza wa nini? Tunahama!!!!
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 4 күн бұрын
Mbona urirudi na mbona uligombea urais
@zablonmuterian3620
@zablonmuterian3620 4 күн бұрын
Ukiwa mstaarabu wastaarabu niwengi wataangalia CLP zako
@NurdinOmari
@NurdinOmari 4 күн бұрын
Kwani makatoliki ni nani kwenye nchii hii
@mutabebwa1713
@mutabebwa1713 4 күн бұрын
Ni viongozi wa kiriho na wana maadili yanayokubalika dunia nzima
@OmarAweis-of7ru
@OmarAweis-of7ru 5 күн бұрын
Lisu ulikimbizwa na ubalozi wa ujerumani. Usitubabaishe
@mariamanafi22
@mariamanafi22 4 күн бұрын
Sasa ulitaka akae afe au
@MzeewaslowHusseinAndrew
@MzeewaslowHusseinAndrew 4 күн бұрын
Mbona unamkosoa Kati ya Lisu na wewe nani anaujua ukweli?
@eliasmakoye3939
@eliasmakoye3939 4 күн бұрын
Tundu usipambane na marehem
@AbdullahAhmed-t7p6l
@AbdullahAhmed-t7p6l 5 күн бұрын
Kwanza huyu muandishi wa habari muangalieni sana km ni mini huyu muandishi wa habari ni mtuu wa kumfukuza ktk mikutano yenu mm simuonj km ni wakujenga ni wa kubomoa tuu special anatafuta uchonganishi tuu kt ya chana tawala na upinzani anasahau nchi ni yetu sote anachoangalia yete kuuza umbetea tuu hajali km lnaharibu taifa letu mpuuzi sana
@furahachuma9039
@furahachuma9039 4 күн бұрын
Ni mfitini na mgombanishi.
@mutabebwa1713
@mutabebwa1713 4 күн бұрын
Ni mnafiki na mchonganishi. Chadema mfukuzeni kwenye mikutano yenu na hata mnapokuwa na less conference mfukuzeni media hii si rafiki kwa Chadema.
@ShabaniKivuma
@ShabaniKivuma 4 күн бұрын
hivi nyinyi waandishi hamna kazi mnamhoji chizi
@johnchrisbrown-b5g
@johnchrisbrown-b5g 4 күн бұрын
Wewe ndiye chizi shaban, heshimu maoni ya mtu
@PhillyAmbilikile
@PhillyAmbilikile 4 күн бұрын
Weee ndo chizi
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 9 сағат бұрын
Chizi niwewe na nduguzako usiye jielewa wewe
@mwili_wa_ndoto_yangu
@mwili_wa_ndoto_yangu 5 күн бұрын
Tittle zenu ni ushenzi tu, kichwa cha habari unachoandika upuuzi tu
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 4 күн бұрын
Hio mídia haina mpya,unafk
@mutabebwa1713
@mutabebwa1713 4 күн бұрын
Nimefatilia media hii na nikagundua ni ya uchonganishi na inamsukumo wa chama cha siasa fulani.
@WadhifHajji
@WadhifHajji 4 күн бұрын
Baadaya uchaguzi ulitoroka hunaakili,
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 4 күн бұрын
Ametoa sababu
@Nedjadist
@Nedjadist 4 күн бұрын
Wawili wasio hekima!
KIMEUMANAAAAAAA!!!!!..Lissu ALETA Fujo TENAAAA....!!!
1:07:01
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 46 М.
ВЛОГ ДИАНА В ТУРЦИИ
1:31:22
Lady Diana VLOG
Рет қаралды 1,2 МЛН
УНО Реверс в Амонг Ас : игра на выбывание
0:19
Фани Хани
Рет қаралды 1,3 МЛН
Jaidarman TOP / Жоғары лига-2023 / Жекпе-жек 1-ТУР / 1-топ
1:30:54
KIMENUKAAAAAA.....Lissu AFANYA VURUGUUUUU!!!!!
13:38
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 108 М.
YESU WANGUUU!!!...Lissu AMEVUTA BANGI?????MUONEEE!!
10:50
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 59 М.
MBOWE KUISUSIA CHADEMA KUMEMFANYA LEMA KUONGEA MAZITO MIPANGO YA CCM
1:20:39