MAJIBU KWA MWL ISAYA BENSONY Kuoa zaidi ya mke mmoja ni mpango wa shetani.

  Рет қаралды 636

PASTOR KYABASHASA

PASTOR KYABASHASA

Күн бұрын

Пікірлер: 26
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu. Ufafanuzi wako ni sahihi kabisa
@ABEDINEGOMBELA
@ABEDINEGOMBELA 2 ай бұрын
Barikiwa sana MUNGU at kuvisha taji ya Kun,gaa kwa kuwaongoza vyema wasafili wa kwenda mbinguni💒💒💒
@AmosiHayule
@AmosiHayule Ай бұрын
Mungu akubariki kunyosha ukweli
@AsheryRabani
@AsheryRabani 2 ай бұрын
Baba nimekuerewa
@Kanyawela
@Kanyawela 6 ай бұрын
Mungu akubariki Sana vipotoshaji wamekuwa wengi Sana hivyo endelea kuandaa kizazi kingine na kingi
@Aggreymbugano
@Aggreymbugano 3 ай бұрын
Amen🙏
@DAVIDMAGHANGA
@DAVIDMAGHANGA 2 ай бұрын
Nakuunga mkono k abisa
@MWALIMUCHAKATV
@MWALIMUCHAKATV 6 ай бұрын
Kazi Njema Mtumishi. Kwa kweli yamkini hatuna budi ila kijibu zile hoja zake dhaifu
@DAVIDMAGHANGA
@DAVIDMAGHANGA 2 ай бұрын
Wewe ni mwalimuzuri
@BARAKA888
@BARAKA888 6 ай бұрын
Ameeeeee
@falamandago6603
@falamandago6603 Ай бұрын
Hongera mtumishi unajua ni ngumu kuongea na mtu asiye na Roho Mt. Kwa MUNGU mtu mmoja aliyeokoka ni Sawa na watu elfu wasiookoka hivyo wakristo hawawezi kuwa wachache mfano mdogo ni ISRAEL ni taifa dogo linaloogopwa mno idadi sio hoja hoja ni nguvu ya MUNGU
@LeonardSinkala-ez8sp
@LeonardSinkala-ez8sp 3 ай бұрын
Acha uongo ww,kama ni mpango washetani ibrahimu Solomon, daudi Hawa walikuwa Watumishi wa mungu nawalikuwa hivo acha kumdhalilisha mungu ww Mnasoma tuvipengele twa hovyo bila kufuatilia bensoni Yuko sawa kuoa duniani mbinguni hakuna hizo pigo.
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Wapumbavu mpo wengi sana na mmejificha kwenye kichaka cha ukristo.Ni andiko gani Mungu aliwaambia watu kuoa wake wengi?Nenda kasome biblia uone asili ya mwanadamu kama alioa wake wengi mf.Adam, Nuhu, Isaka nk
@JeromeBuretta
@JeromeBuretta 24 күн бұрын
Tatizo ni mapokeo na wala siyo elimu. Mapokeo yamefunga akili na myoyo ya watu.
@daudimichael7338
@daudimichael7338 2 ай бұрын
Isaya akishashiba hela ya GeoDavie analopokaga sana
@LadislausKalolo
@LadislausKalolo Ай бұрын
Nikweli huyo nikafili anatetea dhambi kwa kua yeye ni mtenda dhambi
@FellaMbogela
@FellaMbogela 2 ай бұрын
UPO VIZURI MTUMISHI WA MUNGU KIJANA MWAKILEMBE SI MWALIMU BALI NI MWANAHARAKATI NDIO KARAMA ALIYO EWA HII KAZI HAIMUHUSU
@eliakalimluwa3504
@eliakalimluwa3504 Ай бұрын
Mtumishi jitahid usome biblia bila mtazamo wa mapokeo hakika kuowa wake wengi siyo zambi hakuna MTU ataukumiwa kwa Kuowa wake wengi
@FridayMwassa
@FridayMwassa Ай бұрын
Siyo swala la kuhukumiwa angalia madhara ya kuoa wake wengi, lakini kumbuka kwamba hakuna andiko ambalo Mungu aliwaambia watu kuoa wake wengi
@FellaMbogela
@FellaMbogela 2 ай бұрын
G. DEV NDIYE MWALIMU WAKE ,KIPOFU HAWEZI KUMUONGOZA KIPOFU MWENZAKE KAMA DEV ANAFUNDISHA WATU WAKE KUWA BIBLIA IMECHAKACHULIWA UNA TEGEMEA NINI KUTOKA KTK KINYWA CHA ISAYA ATASEMAJE?
@LugomeRisasi
@LugomeRisasi 3 ай бұрын
Mbona yakobo alikua na wake 4 je tusifate agano la kale?
@LadislausKalolo
@LadislausKalolo Ай бұрын
Mfuate yesu yakobo nimwanadamu ambaye alitenda dhambi biblia inasema hakuna mwenye haki wote wamepunukiwa na utukufu wa mungu
@DaudiNzenje
@DaudiNzenje 2 ай бұрын
Wewe ndiyo hujui biblia,Kwa hiyo Ibrahim daudi sulemani na mitume wengine wanazambi?
@LadislausKalolo
@LadislausKalolo Ай бұрын
Ndiyo walikua na dhambi biblia inasema hakuna mwenye haki wote wamepunukiwa na utukufu wa mungu Warumi 3:20-25 sisi wanadamu tunaishi kwa neema tuu
@AsheryRabani
@AsheryRabani 2 ай бұрын
Ameeee
MAJIBU YA UTATU  MTAKATIFU
52:56
PASTOR KYABASHASA
Рет қаралды 615
JE BIBLIA ILIHARIBIWA NA WAZUNGU?  MAJIBU KWA ISAYA BENSONY
25:46
PASTOR KYABASHASA
Рет қаралды 3,4 М.
Mia Boyka х Карен Акопян | ЧТО БЫЛО ДАЛЬШЕ?
1:21:14
Что было дальше?
Рет қаралды 10 МЛН
JE BIBLIA YOTE MWANZO HADI UFUNUO NI MANENO YA MUNGU??!!
30:05
PASTOR KYABASHASA
Рет қаралды 98
POMBE NA UKRISTO
12:11
Servant Ivan Kibiki
Рет қаралды 10 М.
UCHAMBUZI WA KITABU CHA MATENDO YA MITUME
55:06
NLCC CHURCH TV
Рет қаралды 43
Kutimiza Kusudi La Mungu Maishani (III) | Kufanya Mambo kwa Utaratibu |   Pastor Michael Killagane
1:02:33
Mwanza International Community Church - MICC
Рет қаралды 15
KULIWEKA NENO LA MUNGU MOYONI
1:04:40
EAGT mwangaza church
Рет қаралды 80
How to be Fruitful in the Place of Prayer Pt 5
56:54
Oluseyi Banjo
Рет қаралды 10
Spiritual Diciplines conclusion
43:21
GRACEHILL MISSION CHURCH NORTHLANDS
Рет қаралды 5