M'mungu amekubariki elimu Masha'Allah,akuzidishie na akupe mwisho mwema
@maulidimuhani5 ай бұрын
mmmmh!!! MAASHALLAH shekh BACHU Nimfasaha saaaana, MAASHALLAH yaani nakuelewa vizuri mnoo, hao majadida wanaweza wasibadilike, ila watatumika kama UBAO WA kufundishia ili sisi tuzidi kuelewa, na kutudhihirishia UJINGA wao😢😢😢😢
@zahranahmed13915 ай бұрын
Umetak nitoa machozi leo wallahy Allah akuhifadh n akupe ujira n afya n pepo
@YahyaYahya-vp2pp5 ай бұрын
MashAllah muhammad bachu Allah akuhifadh
@babatidaawa65505 ай бұрын
Kumbe kimya hicho kulikuwa na kheir sana Nikaanza kupata wasiwasi ila nakuombea kwa Allah tawfiq na thabat Allah akupe siha na Afya Allahumma amiin
@abbaspaziaog21885 ай бұрын
Aamiyn
@sakinasakku83405 ай бұрын
ALLAH akuhifadhi sheikh uzidikutupa elm AMAASHAA ALLAH
@huseninchasi5 ай бұрын
Allah akujaalie mkutane peponi wote ukiowasema na hao majadida
@Muharram-c5n5 ай бұрын
Nakuelewa sana sheikh Bachu,baaraka llahu fik
@NaduuAbdilah-uj5vj5 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu tuzidii kunufaika na wewe ..una tupa elimu nzurii sana Allah ndie atakae kulipa sisii tuna kuombea duaa tu.
@AbuuBakar15 ай бұрын
Hivi bachu anapo uliza kwanini abuu Muawiyah katolewa kwenye usalafy kakhaalif nini? Mbona yeye amtoa sheikh Qasim mafuta kwenye usalafy kakhaalif nini?
@NaduuAbdilah-uj5vj5 ай бұрын
@@AbuuBakar1 bachu haku mtoa kassim mafuta kwenye usalafii ana itakidii shekh kassim mafuta ni mtu wa sunna tena amesha wahii kusema kuwa ni nguzo tegemezii katika sunna..ancho kisema bachu ni kuwa wao kina kassim mafuta na genge Lao wame mtoa shekh Abuu muawiya rahimahullah kwenye sunnah pasipo kua na hoja madhubutii za kumtoa mtu kwenye sunnah
@abiabi93535 ай бұрын
@@AbuuBakar1siyo kweli Bachu hajamtoa mafuta kwenye usalafi, Bali kasima ni masalafi jadida
@tujially13615 ай бұрын
Mohammad bachu na kaasimu mafuta Allah awahifadhi ni watu mafaswaha sana,Namuomba Allah awakutanishe na wafanye da'awah pamoja.Aamiin
@AlexanderLacazet5 ай бұрын
Asiwakutanishe milele na huyu Kasim mafua uyu
@mfalmenajjash21285 ай бұрын
Wallah mimefrahi kuskiya kama upo nyumban zanzibar Allah akufanishe ulichokifata huku biidhini llah Allah akurudishe rasmi ktk chini yako
@IbrahimuMgeni-gz5vx5 ай бұрын
Kila wakikujibu majadida sisi tunapata faida kupitia wewe ALLAH akuzidishie elimu Shekh Muhammad Bachu
@ibrahimjumaa5385 ай бұрын
*Allah azidi kukufunulia Ufahamu, na atuongoze sote katika Haqq*
@swalehmohamed48495 ай бұрын
Masaallah ya subha wanazuoni wengi wamelikubali akhi kama sheikhul Islaam, Ibn uthaemeen ,Ibn Baaz, Imaamu Nawawy wasema si Bidaa ispokuwa Albaany
@Hamis-ks1sy5 ай бұрын
Siku1 Allah atajaalia kheri na mtafanya kazi pa1 kwa kuondoa tofauti zenu kwa hoja za kielimu tunawaomba hebu tumieni mda basi kaeni mezani kielimu mfanye kazi pa1.Yawezekana mmojawapo anaijua hakki lakini hataki kuchutama badala yake anazungumza2 ili asionekane kashindwa lakini kma kweli kuna mmoja ana makosa amuogope Allah kwa kukubali makosa kazi iendelee.
@KhalfanMassoud5 ай бұрын
Absolutely correct.
@Hamis-ks1sy5 ай бұрын
@@KhalfanMassoud akhy
@KhalfanMassoud5 ай бұрын
@@Hamis-ks1sy naam.
@abiabi93535 ай бұрын
Tatizo ni mafuta kazidi katika ujadida
@OmayAlly5 ай бұрын
Allah akuhifadhi
@ismailmakame71835 ай бұрын
Allah tuongoze ktk usalafi wasawa usiokua naghuluu amin
@abdukhan47185 ай бұрын
*NYIE MUMENISHINDA MUNAWASEMA HADI WALIOKUA WASHATANGULIA MBELE YA ALLAH* KWELI MTIHANI....SANA MUNAO ALLAH AKUONGOZENI
@Hamis-ks1sy5 ай бұрын
Wallah kuna wakati inauma sana watu kama hawa Sheikh Qassim Mafuta na Muhammad Bachu wanakuwa tofauti wakati kama kuna waalimu ambao huwa nawaelewa sana wakizungumza na kufundisha basi ni hawa.Allah atajaalia kheri kabla ya kufa hawa watu wawili watafanya kazi pa1 baada ya tofauti zao zitaondoka kwa hoja za kielimu na tutafaidika sana na sana kupitia ndimi zao.
@ShamsudeenOmary5 ай бұрын
Ndugu angu umenipokonya maneno kinywani na moyoni mwangu kikweli si hawa tu, bali ahlsunnah wote nawapenda kwa ajili ya Allah na sioni haja ya kutengana ..nakusudia wanaojiita salafiy na wanaoitwa kuwa ni mahizbi ..wallah mpaka leo sijaona utofauti ktk manhaji😢😢 inaumiza sana...
@Hamis-ks1sy5 ай бұрын
@@ShamsudeenOmary mtihani Wallah inauma sana.
@saidsalum5235 ай бұрын
Assallamu alaykum,,akhi nakupenda sana kwa ajili ya Allah,,ulivyo wewe ndivyo nlivyo mimi,,hawa mashekh wote wawili mimi nawafahamu sana. na tena nawakubali sana,lakin shaytwani kaingia kati apo.
@Hamis-ks1sy5 ай бұрын
@@saidsalum523 Wa’alaykum salaam warahmatullah,akupende yule ambae umenipenda kwa ajili yake akhy,Wallah kuna unawahi kujiuliza hawa wa2 wakikutana wanaweza hata kusalimiana kweli? Mtihani lakini Allah ataleta kheri ipo siku watafanya kazi pa1
Leo nimezidi kukupenda kwa ajili ya Allah sijawah koment ila Allah akuhifadh yaan kitendo cha kuweka wazi hii stofaham ya kutenga watu na kuhimiza umoja na kujua wepi w kutengwa n wepi wakua nao ! Allah akuhifadh uunganishe huu uislam kama hv
@mbjunior1665 ай бұрын
Sheikh wetu Kassim mafuta(Allah amuhifadh) akae chini na kuitathmini upya daawa yake na kuona jinsi ilivyoleta tatizo kubwa sana kwa wanafunzi wa elimu ktk ukanda huu kwa kweli ni tatizo kubwa sana! Allah atuongoze na atuunganishe wote watu wa sunna. Weka wazi al akhy Bachu pengine wataelewa japo baadhi
@zahranahmed13915 ай бұрын
C rahisi binadaam hua anapenda fahari n pengine io kukamdmza nd inampa kula ataanza wapi kuacha? Ila nmesema t sina maan hio kwake Allah atupe sote hidaya
@ismailmakame71835 ай бұрын
Allah akupethabati nagheera ktk kuumizakichwa kwa ajili yakuhurumia waislam,dah nahisihasa mwalim wangu jamaa ukweli wanaujua lakini huangalia kazungumza nani.
@RehemaAmour5 ай бұрын
Kiama kipo karibu uislam unapingwa vita duniani baada ya kupambana na makfiri wanaotupiga vita mnatupiana lawama Allah atuongoze inshaAllah acheni tofaut wapalestina wanauwawa tu kule na mayahudi ayo ndo mambo ya kuongelea saiv sio kuitana vibaraka sote ni vibaraka wa mungu
@mohamedimiraji54955 ай бұрын
Heri yako mwenye kuona mbali
@omadal15 ай бұрын
Umeongea ukweli kabisa , kuna mengi ya kujadili zidii ya kulaumiana na kutaka ubabe. It shows how back wards we are as East Africa muslims
@SaadDumila5 ай бұрын
Bora uwaambie wallah, waislam wenzetu wamalizwa, wao hawa ni kutugawanya tuh waislam
@OmarAlly-iz8ot5 ай бұрын
Inshaa Allaah nita coment kesho, ninacho kiona, ila leo naonja tu. Kiukweli khasa tusifichane ndugu zetu masalafy wamepoteza dira mazima yani, na matokeo yake sasa wamekua kama wazushi wa maulidi, wanalazimisha hoja isiokua hoja😂😂😂😂😂😂. Muhammad Bachu huyuhuyu munae mtukana masufi na masalafy ndie anae wakosesha usingizi, na baada ya kukosa usingizi kwa kutafuta angalau sehemu ya kuegemea, ukija kwa lengo la kutoa majibu, ndio unakuja kujianika zaidi. Naskitika sana ndugu zangu masalafy munavyo teswa na Shekh Muhammad Bachu. Kaeni mutafakari, lkn haya mambo masalafi nyote hakuna alie na uwezo wa kupambana nayo, na ikawa kaja na mambo yenye kueleweka, bali munajidhalilisha tu. Makala ya Abul-abbaas imetolewa majibu yenye kukinaisha, lkn majibu yenu masalafy kwa Shekh Muhammad Bachu, hayajuilikani kichwa wala miguu. Poleni ndugu zangu kama mmechagua kushikilia makosa yenu na kubaki nayo
@izmamuizmamu65215 ай бұрын
بارك الله فيك
@kassimali94135 ай бұрын
Mashallah
@ashekhajabir24695 ай бұрын
Mashaallah
@hasaanislamiccenter62835 ай бұрын
وعليكم السلام
@alisalum70365 ай бұрын
Inaonyesha wazi kuwa huyu Bachu hajuwi kutofautisha baina ya mahajuri na masalafy.
@luqmanomary35585 ай бұрын
Kwan n nan mahajury
@khamisjuma76165 ай бұрын
muhammad wacha haya mambo hayana tija kwa uislam wewe ni mtu mwengine jitathmini shekhe wetu ishallah
@Aakhar-z3c5 ай бұрын
Kasome.
@abbaspaziaog21885 ай бұрын
Sijui. Unaongea pumba gani
@pavillioncry52415 ай бұрын
Haya mambo yote kayaletq mafuta
@abdiazizmohamed4445 ай бұрын
@@pavillioncry5241 huu ndio usalafi Malumbano
@rajabumbendenga54805 ай бұрын
Huyu sio Sheikh msimpe daraja lisilomuhusu
@babatchi91695 ай бұрын
Jamaa nji9a sana sana sana😊😊
@وزيرهالوزير-ذ8س5 ай бұрын
Kiukweli hawamasalafijadida wamejiwashia motokwelikweli nakuuzima watasumbuka hatambele ya allah itakuangumukwao hatasis binadam wakawaida tunavowasikiliza hawawatu imetupelekea kuwafaham hatahukunilipo hatamisikitiyao watu wamejikata kuisalia kulingana naukwiwakobachu
@shabanbisaki5 ай бұрын
Naomba na yako ninahitaji ushauli nakuelewa sana
@AbunaufalSalim-di6dn5 ай бұрын
Assalamu alaykum vipi hali
@babatchi91695 ай бұрын
7albiss 7albiss 7albiss KUNA M7U ANAMUONA KUWA SHEK ANAPO7E NA ANAWAPO73ZA
@Abuunuwayra5 ай бұрын
Niwape Cri Huyo Alie Jibu Hayo majibu ni mwanafunzi wa Majadida Na Hayo Maneno Hakuandika yeye Hayo Yameandikwa Na Bunge Zima La majadida Lengo lao Kubwa Ulikua ushindwe Kujibu Kisha waseme... Lakini Hapo wanikapata Chamoto Na Sahi wanajijua kua Niwabovu Kufahamu Ibara Za ulamaaa Shukran
@ABUUJAAFAR925 ай бұрын
@@Abuunuwayra ulishuhudia wakiandika ama waongea kwa hawaa zako tu ,,,? Ikiwa hukushuhudia wakiandka bali wajisemea wewe utakuwa umzushi na una alama za uhizbiy,,,
@nahlaaasidee18485 ай бұрын
Usiongee mambo kiushabiki, ipo siku utasimamishwa mbele ya Allah ujibu hayo unayoyasema. Mche Allah.
@Abuunuwayra5 ай бұрын
@@nahlaaasidee1848 Hakuna Ambae Haisimamishwa mumezidi Kukufurisha Watu Bora nikasimamishwe kwakufwata Sunnah Kuliko Ujadida Ni uvundo Elewa hilo
@abbaspaziaog21885 ай бұрын
@@nahlaaasidee1848naww pia ipoh siku utasimamishwa mbele ya ALLAH na ukaulizwa .kwanini ulikua na ishabiki .?? Wakuushabikia. Mlengo wakitia watu wasunna kwenye. Upotevu na kinyume cha upotevu ni motoring. Intakinllah ya Akhy ..ooo
@rajabumbendenga54805 ай бұрын
Ukishiba Pumzika bando lako lisikufanye kutengeneza chumo la kujichotea madhambi
jamani jambo la muhimu ni kutafuta elimu ya kisheria toka kwa wanazuoni wetu
@Naasisvs-xd2yl5 ай бұрын
Alkh hasan wazir kakupa hoja mzito na qauli za ulamaa, wew hapa hakuna unalo ongea lamaana
@abdurashidinasorodini5 ай бұрын
ongoa weye cb
@abrahmanhamad32535 ай бұрын
Waoaneshea Hauna akilil Wala elimu
@yushamhamad83135 ай бұрын
Assalamualaikum... Nawausia Ndugu Zangu Katika Imaan, Hii Mijadala (Raddi) ya Kielimu Usiifuatilie kama hauna Muangaza na Ufahamu wa Misingi Juu ya Da'waa hii na Kwa Wale wenye kuielewa Misingi ya Da'waa basi Uache Ushabiki Wako Kando, Kwani Kuna Shubha Nyingi Sana Ndani yake.
@abuushakiraddausiy86665 ай бұрын
Wao ndio watu wa bidaaa mtume kakataza kutaja manaya ya mayti wakislam........
@HanifaOman-oo4pl5 ай бұрын
Nitasikiliza mawaiza mengine unauotoa ilasihaya unayowakashifu wenzio malamajadida mala vibaraka basi Allah atakulipa kwahayoyote. Allah awaongoze woote pamoja peponi. Inshaallah
@hafidhwajina67185 ай бұрын
Anapoitwa yeye mtafuta umaarufu ,hizb au kasuku pia husikizagi?
@IbnuAlly-wm8il5 ай бұрын
Km huelewi kinachoendelea Kaa pembeni ww jifunze kuswali na kufunga kwanza
@maulidimuhani5 ай бұрын
Na usi sikilize yoote, BAKI na Uchawa wako Kwa kassim mafuta wako, ila sisi alhamdulillah tunapata elimu.
@HanifaOman-oo4pl5 ай бұрын
@@maulidimuhani Namipia napate elemu sipokiuchawa ila nafata ya maana yakipuuzi kwaajiliya sifa sisikilizi. Allhamdulillah. Kwayeyoteyule. Nipokwaajiliya elimu iliinisaidie sipo kiuchawa kwani hautonisaidia kitumbele ya Allah
@HanifaOman-oo4pl5 ай бұрын
@@IbnuAlly-wm8il Nawepia uwelewikitu
@mussakhamis-g8c5 ай бұрын
MAWAHABI MTIHANI MBONA HIVYO VITABU VINAWAZUNGUMZA NYINYI MAWAHABI WA KIJADIDE NA HIZBIA KILA UNACHOKISEMA NDIO MNACHOKIFANYA NYIE MAWAHABI MNAOJINASIBISHA NA USALAFI
@RehemaAmour5 ай бұрын
Na kama mnataka kutupiana lawama bc kutaneni uso kwa macho mutupiane izo lawama sio uku kwenye mitandao mnatutia aibu waislam sote acheni ayo mambo tunawategemea
@sleimaanbuda79965 ай бұрын
Sheikh kassim Mafuta aache muda wake akujibu wew ignorance Unaulizwa nini maana ya hadithi gharibu huijui nenda kabishane na akina Saidi ukoo
@YusufDaudi-v5f5 ай бұрын
Kassim mafuta ana elimu
@abiabi93535 ай бұрын
Mimi ni shia pamoja nakuwa bachu anatuita makafiri lkn kwa kweli nimeanza kuwa na matumaini na mohamed bachu. Kilasiku anazidi kuimprove katika busara na uwelewa wake.yani ameanza kuwa na misimamo ya wastani tofauti na kassim mafuta kila siku anzidi katika ujadida na kufarakanisha watu.
@yahyarashid80385 ай бұрын
Akujaalie akuzinduwe uingie kwenye sunna
@yahyarashid80385 ай бұрын
Allah akujaalie akuzinduwe uingia kwenye sunna
@abiabi93535 ай бұрын
@@yahyarashid8038 mimi tayari nimfuasi wa Quran na sunna za mtume lkn kutokana na uelewa wa Ahlulbayt (as)
@SalamaKhamis-un8vn5 ай бұрын
Kila nikiendelea kuishi ndio nazidi kuawaelewa Mawahabi na Malengo yao mabaya juu ya waislamu wenzao
@jumanneissa82265 ай бұрын
Huyu hizbi bakora zimeaanza kumuingia Wallahi hivi ndivyo kazungumzia hoja huzii duuh 😮yaani Leo ndo kaxua aibu dawa haijui kabisaa
@abdurashidinasorodini5 ай бұрын
naweye jadida vipi tena mbona kama umepoteza dila inaonekana kwa husda ulionayo ungelikuwa mchawi ungeltulogea sheikhe wetu nahisi niutoto tyu ndio unao kusumbua lakini ukikuwa uta acha kwa sasa utoto wakusumbua sana ebu kakojoe ukalale
@mussasalafiy5 ай бұрын
Tambua wanao mbidiisha Sheikh Abul Fadhwil Qasimu Mafuta حفظه الله Ao ni mahajawira si katika sisi masalafiy ivyo swali lako ni upepo mdhaifu
@abbaspaziaog21885 ай бұрын
Ww juha acha pupa sikiliza mpaka mwisho
@Kzm-c9u5 ай бұрын
Ujinga wa mabaraamika ni kutokuangalia masalafi wamesimama kwenye misingi gani ya kumbidiisha Qasim Mafuta. Hawa mabaraamika ni mtihani sana Allaah awaongoe😂😂😂
@HassanHamad-rf9tq5 ай бұрын
Tuliaa wewe kibaraka wa qassimu mafuta hizbu salaf
@WakaliFashionTz5 ай бұрын
Mafuta ni nabii wako?? Mbona hutaki kukubali km anakosea
@SugowFarah-up3db5 ай бұрын
@@Kzm-c9uHebu tueleze wewe hiyo misingi
@BakariOmari-tr8cy5 ай бұрын
Kaka hatutokwelewa lud katika njia ya sawa
@ibrahimjumaa5385 ай бұрын
kwisha
@mohamedrashid78645 ай бұрын
Ubovu upo kwa mawahabi woooote ktk kufahamu maneno ya wana wa vyuoni
@daarusalafiya5 ай бұрын
Nyama za wanazuoni ni zenye sumu ewe Ibnu bachu, Ipo siku utakuja kuanguka kwa kuzila nyama za wanazuoni. Watizame qaumu zilopita baada y kuwasema vibaya wanazuoni ambao ummah uliushuhudilia ilmu yao, Hivyo chunga na kuwasema vibaya wanazuoni kama kina sheikh rabie n.k...ukiendelea na mwenendo wako huo huo wa kula nyama za wanazuoni yatakufika yale yalowafika huko nyuma walokuwa na mwenendo kama wako
@Hamis-ks1sy5 ай бұрын
Yaani tunaweza kukatazwa fulani usimsikilze lakini katika pitapita wasikia qur an ikisomwa mtu unaganda kusikilza mtihani sana!
Dah unajua hapa sio watu wanatetea dini hapana hapa nimapungufu ya shekhe hyu na yule ndio maana natija inaondoka kwasasa mambo nisawa tu hakuna sufi wala answar wala sarafy wote wanashindwa kuvumiliana kwa mapungufu ya baadhi yao
@ibrahimabdul82575 ай бұрын
Uhzibi wa abuu Haatim na Ame ni kwasababu ya kuendelea kung’ang’anq na yahya Hajuriy hata baada ya kutahadharishwa na kubiidiishwa na wanaachuoni…sasa sheykh Qasim mafuta yeye anapata wapi uhizibiya? Sheykh hawezi kukujibu BACHU kwasababu unamengi hujui
@masoudmohammed42585 ай бұрын
Umeskiza audio za sheikh Hassan waziri??
@abbaspaziaog21885 ай бұрын
Kaongea pumba tupu.
@swalehmohamed48495 ай бұрын
Maadamu akhi imethubutu za Rasuul na ina dalili si katika bada'a
@AbouMaryam-gg7dz5 ай бұрын
Assalam aleikum wa rahmatuLLAHI wa barakatuh Nauliza ivi je kweli sheikh bachu ulimtuhum sheikh rabee ? Je barahiyan aliwatuhumu ma ulamaa wakubwa kama rabii al albaan na wenginewo kuwa wameleta usalafia jadida!? Je wewe bachu walijua hilo?
@hafidhwajina67185 ай бұрын
Tupe audio kama wewe si copper and pster
@ExcitedCricketHelmet-wr4sq5 ай бұрын
Hawa hawana lolote hizb ila tu viswahili vingi kuchanganya maawam tu ujuaji ulimpelekea yy kufedheheshwa na masufi huko Mombasa unakaa mjadala na yeye cie mwanachuoni tafuta ilmu kwanza
@abbaspaziaog21885 ай бұрын
@@ExcitedCricketHelmet-wr4sqww umetafuta. Au unaruka ruka tu mitandaoni
@twaibumikidadi73775 ай бұрын
Salafiyu wa Tz ( Jadiida) hawatatanuka kielimu kwa sababu moja tu • Wao wamefungwa kielimu na Qassim mafuta , yaani Qassim mafuta yy hakosei kwa hiyo kila mtu kabla hajasems kitu n kwanza lazma apitishwe na Qasim mafuta , huu ndio utumwa wa kiielimu•
@hassanhamid43595 ай бұрын
Sheikh barahian asiwaite watu madakhila au jaamia Allah atuongoze katika dawah salafia kwasote
@mohamedimiraji54955 ай бұрын
Yaani nyie masheikh vijana mna kazi sana dini mnaifanya kama chama au kampuni flani utadhani mna lease ya moto na pepo
@MwanahamisKiloke5 ай бұрын
Unahangalia umrii sio vitabu Tena ?
@mohamedimiraji54955 ай бұрын
@@MwanahamisKiloke Kujua kusoma vitabu ndio usheikh?Je vitabu bila hekima si sawa na mzigo juu ya mgongo wa punda.
@Athumaniomari-ge2gs5 ай бұрын
Majadida hamtakaaa muwe na hoja yenye nguvu kabsa
@AnaSalafi-f9d5 ай бұрын
Sheikh Mohammed Lakini Al Akh Hassan Waziri Ashakujibu vizuri sana Hio Habari Unayo wewe ? Yaani ashamaliza hoja zenu zote Hujakuja na jipya warudia rudia kazi ishakwisha
@WakaliFashionTz5 ай бұрын
Yule hata haeleweki anaongea Nini ivi wewe umelewa huyu bachu anazumgumzia nn?? Sasa km hujamuelewa utaelewa Hawa wengine ishu hp hata madai wanaohusia watu washikamane na Sunna waitwa wazushi hoja niulete dalili siyo kejel
@hafidhwajina67185 ай бұрын
Hata ahlulbidaa ukiwapa nafasi wanatoa majibu na hushereheka kuwa tumejibu,so sikushangai shekh kannena
@swalehmohamed48495 ай бұрын
Ibn baaz Aliulizwa kutumia Sub-ha kwa ajili ya kuleta dhikr ni bidaa akasema si bidaa limethubutu zama za mtume na mtume Alilikubali vilevole Qaul ya Ibn Tamiyyah. utheimeen na wengineo
@bacteria51845 ай бұрын
Hii daawa ya salafiya ni ugonjwa zaidi utaskia sheikh fulani kasema yaani ugomvi wao ni kuhusu masheikh.utadhani hao masheikh ni miungu yao.
@ABUUJAAFAR925 ай бұрын
@bacteria5184 masheikh ni wanazuoni na wanazuoni ndio warithi wa mitume ,,,,kwahio lazima watu watumie masheikh
@bacteria51845 ай бұрын
@@ABUUJAAFAR92 masheikh wanakosea na wanapatia lkn kusema kuwa huyu sheikh hafai kusikizwa kisa sheikh mwingine kasema au hufai kuzika muislamu mwenzako kisa sio salafy huu ni ujinga.
@ABUUJAAFAR925 ай бұрын
@bacteria5184 sio ujinga akhy ikiwa kuna hoja za msingi ,,,,lkn ikiwa hamna hoja ndio ni ujinga
@bacteria51845 ай бұрын
@@ABUUJAAFAR92 masheikh wawili wamtofautiana ktk mambo tofauti tangu enzi za imam malik ra,ziwe za msingi au sio lkn ndo ijtihad zao,hata ma imamu walitofautiana lkn hukuwahi sikia imam mwingine au wanafunzi wao wakikosa kumzika au kumsema vibaya sheikh huyo bali wakimsifia kwa wema.
@AdamJuma-ov9eb5 ай бұрын
Bachu wewekweli Kama unamuogopa Allah kwanini umtajesheikhe abulfadhwil na Kati Hana mpango wa kujibishana na wewe? Wewe siyo mkweli unauthibitisho gani sheekh anawatuma? Muogope allah
@Hamis-ks1sy5 ай бұрын
Hivi ni kweli anayoyasema kwamba namna ya kuwachukia wa2 wa bida’a kunatofauti? Kama ipo Salafy wasasa wanachukiaje?
@rajabumbendenga54805 ай бұрын
Hii ni kanuni ya mahizb wote ni watu wakutaka Kiki kwa kuwataja masheikh wakubwa
@abbaspaziaog21885 ай бұрын
@@rajabumbendenga5480 hhhhh eti mashekh wakubwa. Nyie mahadady maswaaafika mnataaab
@SimbaHaji-jm7md5 ай бұрын
Dini sikuhizi ni kama timu za mpira
@jumanneissa82265 ай бұрын
Yaaani dalili unatoa kwa hajawiraa😂😂😂😂 subhanaallah wewe mwehu umesahau maneno Yako kwa kassimu mafuta ukisema kwamba kassimu mafuta yupo sahihi na ninguzo ktk sawa sarafiya na hajawiraa hawako sahihi umesahau eeeeh
@abdurashidinasorodini5 ай бұрын
Al akhe hai itwi sawa salafiya ni daawatu salafiya kabla yakumkosoa mtu jiangalie weye Kwanza eti sawa salafiya ndo nn
@sadru57105 ай бұрын
wew hujui kam kuna typing error?@@abdurashidinasorodini
@sadru57105 ай бұрын
hhhh huy anaongea kwa matashi yke han msingi anaoufuata ndio maan naona maneno ya ibn taymiyah pale aliposema وعلیه ان یتناقض ویبقی علی الجهل المرکب او البسیط sasa huyu ndo maneno yanamgonga asa kichwni piy hizo dalil anazotoa znamgonga mwenyewe naona...hhhhh labda uwe kichaa kama yeyee..
@twaibumikidadi73775 ай бұрын
Halafu jiulize swali hili -- kwanini wajibu swali kwa makala?? Hiii kwa mtu msomi utagundua kuwa huyu aliyemtumua Ibnu Bachu kwa Makala badala ya kutoa video au voice? utaona kuwa wanaogopa Kukosea tutawajua uwezo wao wa kusoma ibara za kiarabu hawawez hawa! Na ukiangalia Makala hiii , utagundua kuwa amekopy na kupaste , maaana yake wanaangalia mitandaon wala hawasomi vitab mwanzo mwshoo, sijui hawaelewi wakisoma vitabu!!! matokeo yao ndio kutuletea makala imeandikws nyuma mbele mbele nyuma, Lakn Ibnu Bachu n mwalimu, anafundsha anarekebsha, anaelimisha anaevaluate , ukimsikiliza unagundua kuwa hapa elim inetuliaa,. Tuache ushabiki binfsi:.
@seifsalum30184 ай бұрын
Skuwai sikilizag hiz video leo ndo nimeamin kuwa uyu bwana hafamu vitabu vya wanawachuon anaelewa kwa akil zake tu pasina kufuata kile ambach wanawachuon walichokimaanisha
@AdamJuma-ov9eb5 ай бұрын
Huyu bachu haina haja hata yakujibiwa pengine akasome ndo aongee masala ya din
@omadal15 ай бұрын
Infact umeongea ukweli kabisa, Bachu haitaji kujibiwa He is becoming useless sababu analeta vurugu instead ya kuilimisha kama kweli ana elimu for community benefit.
@maulidimuhani5 ай бұрын
😂😂 tumesha zifahamu hizo mbinu zenu, 😂 Ni unafiki TU, ukweli ni kuwa hakuna jadi yeyote mwenye uwezo WA kuijibu UFAFANUZI MZURI na fasaha alio utoa shekh BACHU, ila izo ni mbinu zenu munazo zitumia Kwa Kila HOJA mutakayo shindwa kuijibu Huwa munasema hivyo hivyo, Wala sio hii ni mara ya kwanza😂😂😂
@maulidimuhani5 ай бұрын
😂😂 tumesha zifahamu hizo mbinu zenu, 😂 Ni unafiki TU, ukweli ni kuwa hakuna jadida yeyote mwenye uwezo WA kuijibu UFAFANUZI MZURI na fasaha alio utoa shekh BACHU, ila izo ni mbinu zenu munazo zitumia Kwa Kila HOJA mutakayo shindwa kuijibu Huwa munasema hivyo hivyo, Wala sio hii ni mara ya kwanza😂😂😂
@jumanneissa82265 ай бұрын
Yaaani hoja dhaaaifu masikin kijana 😂😂😂
@seniornyungu97185 ай бұрын
BACHO UNAUMWA SANA KWENYE UFAHAMU WAKO NA WEWE NI MTU WA FITNA,HAKUNA SALAFI YEYOTE ANAESEMA MWENYE BIDAA YA KUSOMA DUA YA PAMOJA AU TASBIH ASISEMESHWE,NANI KAFUNDISHA HAYO KATIKA HAO UNAOWAITA MAJADIDA? USIEGEMEZE MANENO SAHIHI KWA WATU WASIO SAHIHI.
@mussakhamis-g8c5 ай бұрын
SASA MAWAHABI MUMEANZA KUFARIKIANA WENYEWE KWA WENYEWE MNAOJINASIBISHA NA USALAFI
@HamkingCompanyLimited20235 ай бұрын
Mimi nilikuwa nasikia kwa walimu zetu kuwa wewe bachu. Hujui kima cha maarifa uliuonayo na wewe unayapalamia mambo usiyoyajua' Leo nmepata yaqin zaid kuwa wewe n mjinga halafu hujui kama wewe n mtu mjinga' Wallahi wewe hujui manen ya wanachuoni na hujui kina chako cha maarfa' Bali unajua kuyasoma tu'
@HassanHamad-rf9tq5 ай бұрын
Tuliaa kijana acha kuleta maneno ya mipasho na porojo hapa
@WakaliFashionTz5 ай бұрын
We ni mtu wa bidaa kwasbb unachukia kukatazwa unayoyafanya
@UmarSaid-c8k5 ай бұрын
Kama wewe unaelimu ingia kwa mtandao utuelishe maana unatoa matusi pasipo na haki .kama huna lakusema usitus mtu ambae haja kutusi haifai ..tunaelekea wap sasa
Mwambieni aanze kumtetea Muhammad Imaam kwanza ndipo tuwajue pia vibaraka wake
@jumanneissa82265 ай бұрын
Hapo ndio unazidi kudhihil ujinga wako loooh wewe sawa sarafiya hujui kabisaaaa😂😂
@abdurashidinasorodini5 ай бұрын
weye mbona mgumu kuelewa jina unalo andika weye c sahihi sahihi na daawatu salafiya nawala c sawa salafiya andika hivi daawatu salafiya usiandike sawa salafiya kumbe wewe mwenyewe ni mtupu
@MariamUmande5 ай бұрын
Hawa masalafiya jadidah wamekoseya sana Kuwatowa masheikh wa sunaa kwenye sunaa Kama Doctor Islam sio mtu wa bidah hizbi na sheikh salimu barahiyani wanamzulumu kumuita ni hizbi Masalafiya jadidah ni mahawariji walikuja kubomowa swafu za watu wa sunaa
@babatchi91695 ай бұрын
Lakini kuna siku u7aju7a kwa uu ujin9a wako na 7albiss zako shek qassim a7akun7oosha
@yussufhamad37215 ай бұрын
Aha heee abakweli huyunimropokaji na maneno haya nakumbuka alishawahi kusema kuwa yy NI mropokaji jee Othman maaliim kinamziwanda na Yule DJ side jee NI watu WA bidaa kwa saikolojia yako
@TalibHaji-ep5xo5 ай бұрын
Dawa yaki ipokwamasalafi siowatuwashangwe
@AbuuRayyan-j8x5 ай бұрын
Kassim Mafuta ee Kassim Mafuta ee unanini kwani mbona Na akina Mujahid wametajwa lkn wee umeshika Kassim Mafuta ee Kassim Mafuta ee unanini wee lkn . ? Hem zaa jiwe.
@hafidhwajina67185 ай бұрын
Ndio anayeulizwa yeye si ndo msomi kwahyo vibaya kuulizwa msomi?
@jumanneissa82265 ай бұрын
Jahili hizbi unatete uhizbi jahili murakab
@HassanHamad-rf9tq5 ай бұрын
Kijana mbona waruka ruka tuu acha mipasho na Matusi ni mwendo wa bakora tuuuu mpaka muelewe Mahizbu salaf
@idrisamara65105 ай бұрын
Bachu umefungwa 100% kwa 0%... You are following your own desires. Your desires have misguided you.
@Aakhar-z3c5 ай бұрын
Majadida ni taabu tupu.
@Athumaniomari-ge2gs5 ай бұрын
Nikwel Hawa jamaaa wanashida saaaan
@allymbarouk53625 ай бұрын
Yan inachekesha munavyo jipangia pangia sheria za dini na kukufurishana Eti vibidaa vidogo vidogo havina shida sana kwa vile mfanyaji anajinasibisha na salafi Haya nayo muna itaqid na mafundisho
@abdiazizmohamed4445 ай бұрын
Mkiambiwa usalafi ni fitna muelewe
@Naasisvs-xd2yl5 ай бұрын
HAMNA KITU HAPA WALLAH SASA,ANAPATA KICHWA2 ANAPO SIFIWA NA WAJINGA WENZIE, KINACHO ANGALIWA KTK KUBIDAISHWA MTU NI HOJA SIO MANENO2 HAO HAJAAWIRA HAWANA HOJA ZA KUMBIDAISHA SHEKH ABUL FADHIL, BALI WAO WANALIPIZA KWA KUBIDAISHA SHEKH WAO MKUU WA YAMAN.
@uledihassan60655 ай бұрын
Majadida ni wajinga
@ttyyyyuuuuuu5 ай бұрын
Nauliza nipate kujua kuwa Mohammed bin Salman Al Saudi Tumuweke katika kundi gani ?
@pavillioncry52415 ай бұрын
Kasim mafuta kauharibu usalafi sana Kaleta mataaasisi yake kwenye daawa Kuna mali ya wakfu haijulikani imeenda wapi
@nasirdinmohammed87415 ай бұрын
Muhammad bachu wewe naona ndio mjinga tena jahilu murakab maana unjifanya unafahamu kumbe maskini huna unachofahamu masalaf wanjuwa kutofautisha kati ya mtu wa bidaa mwenye kulingani kwenye bidaa na mtu wa bidaa ambae halinganii sasa vipi mtu ambae analeta kunut umfananishe na abuu muawiyya ambae ametumia uhai wake kuntetea Muhammad imam ambae bidaa yake imzihiri kwa kuwafanya mashia dini yao ni sawa na dini ya watu wasunna na inajuulikana mashia dini yao ni kuwatukana maswahaba jee kumtetea mtu kama huyu ambae ukakubali kuwa ni adui wa watu wa suuna kwasababu yake ni bidaa ndogo ya jahili vipi umfananishe na mtu analeta kunut huyu analingania kwenye bidaa yake anaitetea anpenda na kuchukia kwsababu ya kuntetea shekh wake afu unatunukia ety sikila mtu wa bidaa anahamwa afu mfano untupa wa kunut wakati kadhia ya mtu mzushi analingania na kufanya uwdui kwsababu ya bidaa yake
@mohagurey22145 ай бұрын
Allah yahdiika
@WakaliFashionTz5 ай бұрын
Umeambiwa utaje bidaa za Dr Islam unaanza kukejeli ndo mana hamuelewi ibara za wanachuoni kwahyo we mafuta ni nabii wako??? Unamuamin hakosei km anapewa wahyi tulieni doz ziingie
@WakaliFashionTz5 ай бұрын
Mnatuma wajinga hawajui kusimamisha hoja ndo tatizo,, hoja hapa nikwamba kuchupa mipaka ktk kubidiisha siyo kukataa kuwataja wazushi elewa kwanza wewe ndo upinge alaf bidaa zimegawanyika km walivyoelezea wanachuoni wa ahlul Sunna waljamaa sasa we na ujinga wako kutokujua daraja za bidaa basi Kila mtu ni mzushi wa kuchukiwa na kutengwa sasa huyo Dr Islam ni ipi bidaa aliyozusha na akasema hii ni dini??
@nasirdinmohammed87415 ай бұрын
@@WakaliFashionTz na wewe tunakujibu ivo ivo hapa tunjadili abuu Muawiya kaingiaje kassim mafuta kama siyo chuki na wewe Muhammad bacho ni nabii wako hakosei au Acha ujinga na uhizbiyya nimekwambia buu Muawiya bidaa yake ni kuwatetea watu wabidaa na kumaliza uhai wake wote kwenye hilo tena akafanya alwalaa Wal baraa Kwa ndugu zake kwsababu ya sheikh wake wewe jibu kwenye hili Acha kutaja maskhe ambao wanajitahad kweny dini Allah awahifadh wewe ukiulizwa hata nguzo za swala pengine usizijuwe afu utaelewa maneno ya mwana chuoni shekh wenu akiwaita watu wajinga hajakejeli ila akitwa yeye mjinga hizbi siyo salaf vibaraka wake mnatokwa na mabovu Acha uzuzu kaeni msomi ndio ntajuwa kima cha ujinga WA sheikh wenu
@nasirdinmohammed87415 ай бұрын
@@mohagurey2214 amen
@Abubakarhaji-cq2cq5 ай бұрын
Mjinga sana Bin Bachu kaa kitako usome
@therealmchizisniper5 ай бұрын
😂🤣🤣🤣wewe waongea porojo,wewe pia ni mushrik….huna jambo lolote la maana unaongea…hizo sunnah zenu za bukhari si Islam na Mungu hakutuambrisha tufate “hearsay”…😂🤣🤣🤣 hearsay ni tetesi,na nyie mamushrik kama wewe unazidi kueneza urongo ufisadi kwenye jamii zetu…..tubia kwa Mungu na wacha kudanganya watu