Huu usulubu mnaoendanao billahi alaykum nawaambien atabaki kila dai na wanafunzi wake, lakin pia inaonesha kuna mambo binafsi mbali na hicho kinachozungumzwa
@allywaziry64192 ай бұрын
Shekhe wangu akidu, tulia tulia yape udhuru haya mambo..
@BilaliIloko2 ай бұрын
Kwani hata msinasiiane kwa njia nzuri, haya mnayoyafanya mnawapa nguvu sana watu wa bidaa na
@adamjutto58492 ай бұрын
Man-haj iko mbali na hii mifumo,vp ahlu sunnah kwa sunnah mwachapana utasema kma ni munharifuun,kaeni mjue allah anajua nini makusudio yaliyomo ndani ya nafsi zenu,ikiwa mwataka ukubwa na kujitia kiburi kujiona kua mnaelimu basi mtalipwa kwa elimu zenu,lkn ikiwa ni kwa ajili ya allah,basi mtapata ujira
@AbusufyaanKhalfaan2 ай бұрын
Nan kasema kumchapa mtu wa sunna sio manhaj salaf ؟؟؟؟ Tupe mtanguliz wako kwenyehilo
@adamjutto58492 ай бұрын
@@AbusufyaanKhalfaan huna akili wewee,wala hujui unachokizungumza,embu soma kitabu au risala ya sheikh abdul razzaqil badri رفقا يا أهل السنة Sio unakurupuka tu,nyie ndo kuutwa mnashindaga mitandaoni lkni لا تميزون بين الحال والتمييز
@@NuryaMusa😁😁😁yani kwamba akidu ni sheikh fauzaan labdaa,au huyo shafii ni suleimanu rruhaylii?!! Acha ujinga
@swalehemusakiluwa94052 ай бұрын
@@adamjutto5849 abdul razzaaqil Badr au abdul muhsin halafu mbona we pia umetumia lugha mbaya
@MujarabuMashallah2 ай бұрын
16:56
@MujarabuMashallah2 ай бұрын
16:13
@BilaliIloko2 ай бұрын
Dah subhana hii ni fitna kunamda naona kama muhammad bacho alikuwa huko sahihi ,kama ni hivi bc kilamtu atabaki na daawa yake ,hata hassan albaswir alikosea na mwanafunzi wake akamrejebisha baada ya halaqa,ila njia mnayopitanayo sio waliyopitanayo wanachuoni na pia sivyowalivyo andika wanachuoni katika vitabu
@MasterOil-qm6vw2 ай бұрын
Jamani akudu nae kaanzisha genge lake hivi ni virus vilikua ndani ya daawa salaf
@DossaAbuzufaila2 ай бұрын
rudini mashekh wap mnafeli ? ukubwa/ubwana si lolote
@masoudabdallah98782 ай бұрын
muasis wa vurugu hizi ni mufti wa pongwe
@AbusufyaanKhalfaan2 ай бұрын
Wakikosea wasikosolewe kisa mtaonekana mnataka ukubwa Wamekosea waludi nyuma kwenye Hilo siwanusuru Tunampenda haqq kuliko wao Nani aliesema ukiwamtu wa sunna hukosei hukosolew. Au ndio kunusur watu badara ya haqq Kisa kajanayo ambae hamkutarajia
@adamjutto58492 ай бұрын
@@AbusufyaanKhalfaan acha upumbavu narudia tena,namna wanavyo aamiliana ahlu sunnah wao kwa wao ni tofauti na wanavyo aamiliana na watu wa bidaa,sheikh akidu tunamjua ni mtu wa mijazba jazba jambo dogo analikalia majlis mia 3,nani atapoteza mda kusikiliza upuuz kma ule,qadhwiya ya jai inajulikana,angewapa udh-ru masheikh,walidhikika walikua hawana namna,msiwe wadogo ktk masaaiil ya kiusuul
@YaziduIddy-u7p2 ай бұрын
Mwenye kumsingizia mtu kwa jambo ambalo hana kwajili ya kutaka kumuaibisha atajatiwe jela ya mto wa jahannamu mpk ayalete maneno hayo
@YaziduIddy-u7p2 ай бұрын
Na atakaye msitiri muislamu atasitiriwa siku ya kiyama na Allah
@MARKAZUL-2 ай бұрын
HILO SUALI LA KWAMBA MAN'HAJI SALAFI IKO MBALI NA HAYA VIPI? WANASUNNA MNACHAPANA SWALI KAMA HILI WENGE MUULIZA KHAMIS IMAMU ALLAH AMUONGOZE KATIKA HAQQ
@swalehemusakiluwa94052 ай бұрын
Kwahiyo khamis imamu yupo katika baatwil?
@jumanneissa82262 ай бұрын
wewe akidu weee tuliza munkar
@HassanHamad-rf9tq2 ай бұрын
Hahaaaa dah mahizbu Salafy mwatiana adabuu
@NuryaMusa2 ай бұрын
😅😅😅 kwahiyo. Huyo duktur khamis. Amekua. Nani. Mpaka. Asiambiwe. Ukweli. Akikosea ???punguza. Ukikundi. Na bado.hizbi Muhammad mafuta mwanachama wa. CCM kada muhimu. ALLAH mtukufu awaongoze. Huyu. Akidu. Na. Ashaafi. Abu Abdrrahman. Hawa ndiyo. Viboko wenu. Qasimu mafuta na kigenge. Chake. . na akina humeid. Hawa. So. Ni. Ma Abuu rududy na watu wa hqq. Mbona. Duktur.khamis. Na Muhammad mafuta hizbi mwana chama wa CCM kada. Mumewalinda na ni. Mahzibi. Tayari ..