Maashallah Dadaangu Allah akutangulie ktk maisha yako inshaallah usivunjwe moyo na wajinga toa elimu kadrri uwezavyo kabla Allah hajachukua roho yako naona unakitu chakuiachia jamii yakiislamu kabla ya mauti yako Allah akulinde nahusda Dada yangu kipenzi
@MwinsheikhSamata4 ай бұрын
ALLAHUMMA AAAMIIN
@Tamthilia2644 ай бұрын
Huyo sheikh samir ni mjinga kutia udhu ni sunna Mtume hajasema asheherekewe siku ya jambo la udhu ni sunna kila wakati hizo ni shubuhati za watu wa bidaa
@Official_ulipo_tupo4 ай бұрын
Kumbe huyu dada nae hafai sasa wee ukisema sheikh mohammed bachu kakosa adabu kwa sheikh samir na wewe unaemwita sheikh bachu tarumbeta la mawahabi una adabu 😂😂😂😂 لقد صدق من قال تأدبوا ثم تعلموا
@TRIPLE.3Rs3 ай бұрын
Wewe mama mpuuzi sana kondooo jistirii utulie.
@Bakarmaziwa3 ай бұрын
Sio wenyeakili bali wenye elimu ndio walio fahamu dada toa dozi had wakuelewe kwini huyo bachu yeye hatoi mada bali n mwenye kupinga mashehe wajuzi wa elimu
@abdulkarimsalum3564 ай бұрын
Hongera kazi nzuri mwanzo mzuri
@swamymiraji39874 ай бұрын
Acheni kupotosha SHEIKH SAMIR TUMEMUELEWA NA SHEIKH BACHU PIA TUMEMUELEWA. mwanamke sauti yako ni nzuri sanaaa iweke kwaajili ya mumeo huko chumbani.
@AthumaniBakari-o6r4 ай бұрын
DADA WATUMIKA VIBAYA DINI HAITAKI HIVYO ULIVYO FANYA
@abdikadirshariif53114 ай бұрын
Hey tuliya a aibishwe huyo bachu weenu. Haki ni ya woote hakuna cha mwanamke au kiume. Tume pokea hadisi ngapi kutoka kwa Aisha? Kwahio tuliya huyu mara akojooe mara manakwe amjiibu. Hiyo ni fedheha kutoka kwa Mungu. Atafakari.
@IbraFareed4 ай бұрын
@@AthumaniBakari-o6r inataka nini 😂😂
@Akhysayid4 ай бұрын
ww unasem km anapotosh hebu rudi kwa allah umuombe msamaha
@mubariekabrahams26504 ай бұрын
Tumekuelewa dada lakini jiheshimu walimu wapo na wanafundisha vizuri tuu kama hujaelewa huu si ugomvi hili ni somo. Tulia kwako umuangalie huyo mume mwenzio. Mungu yupo acha choko choko usije ukapazwa. Na jina ni: Sheikh Nassor Bachu. Allah amaze mahala pema 🤲................ TENA.
@alhilaltvonline4 ай бұрын
Shida ni kuwa sheikh awe wao tu, asiyekuwa wao huyo wamkosee adabu. Na wanamradi. Ahsante dada. Ufahamu pia ni rizki.
@BigirimanaAbdulshakurАй бұрын
Samahan kk Nini maana ya kumradi mtu?
@iddimutua4204 ай бұрын
Assalam aleikum Kindly Nauliza kwa upole tu huyu ummi Aisha ana mume au ameolewa kama bado InshaAllah uku kwetu kwa sunna bado tuna nafasi ya kumsitiri na mambo kama haya InshaAllah.
@mussaissa67965 күн бұрын
DADA ANAJENGA HOJA HADI HILI BUNGU BUNGU HALIWEZI KUJIBU HATA SWALI MOJA.❤❤😂😂😂 AUSEE BUNGU BUNGU LIMEADHIRIKA VIBAYA SANA❤❤❤😂😂😂
@AbdallahHussein-v2l3 ай бұрын
Leo mungu amuonesha bachu kua ww sasa unafaa kujibizana na wanawake, mashaallah mungu akupe majaza mema ewe hurul ayn mjibu vizuri huyo tarumbeta
Wapumbavu mpo wengi kapotea bachu wewe unamwona mtu mwingine shida kweli
@binfarhan8794 ай бұрын
Dada yangu hayamambo hauyawezi achana nayo na waache wanaume wafanye hivyo ww nenda kumuhudumie muumeo acha kueka sauti yako hadharani kwan pia inachangia Iblis maana sauti yako MASHAALLAH
@swamymiraji39874 ай бұрын
Ana sauti nzuri sanaa , hajui sauti yake ni ni utupu kutusikilizisha
@ABBASDOLOLO3 ай бұрын
Nana Aisha alikuwa akifundisha nyakati za maswahaba, je alikuwa hatumii sauti? Ama sauti yake ulikuwa mbovu?
@IbnuumarAlubeidy18 күн бұрын
@@ABBASDOLOLOni ilmu ama mizozo
@AdamuMkwizu2 ай бұрын
Maashaa llah ukhti mungu akuhifadhi
@ahmadshaame13324 ай бұрын
Dah yaani kwa mtazamo wangu mdogo inaonesha kwamba huyu Sheikh Mohammad Bachu yeye anajua kila kitu yaani mambo yote anayajua katika dini kila Sheikh au Mwalimu akiongea katika jambo katika dini basi lazima amradi. Ila naomba Sheikh Muhammad naomba ufahamu kuwa hakuna anaejua kila kitu na binadamu aote Wallah Billah Tallah hatuwezi kuwa na ufahamu mmoja akili sawa. Dah masheikh kuweni makini katika daawah zenu. Allah akubarikini kwa daawah zenu.
@rogertuga0074 ай бұрын
Yeye anapoona sehemu haijakawa sawa anaweka sawa nae akikosea anawekwa sawa na mara kadhaa anaseme na yeye ni mwanaadamu kwahiyo makosa yapo. Na mara kadhaa ameshaomba radhi pindi anapoona anakosea
@IsmailSanga4 ай бұрын
MAWAHABI kazi Mnayo.
@bakarisahede95324 ай бұрын
Inamana yeye anaelimu kubwa kuliko masheghe wote huyujamaa anamihemko sana yadini hekma hana adabu hana kanatafuta umaarufu kupitia dini ngoja apambambane nahuyo mtoto mwenzie
@PrinceSindayigaya4 ай бұрын
Yani allah atunusuru kwa kweli dada acha kutenguwa watu udhu iyo sawuti yako ina tamanisha na kama una muamini allah tafadhali usirudi kujitangaza
@mabwege22 күн бұрын
Wewe mwanake kaa nyumbani hii si KAZI yako ila hata huna la kuambia watu na ufahamu wako ni batil kabisa Shukran saana ustadh Bachu umefahamika vizuri saana
@IbrahimSuleyman-j8n3 ай бұрын
Bachu upo sawa, una ongea vitu Kwa dalili ila wewe dada nakuonea huruma sana! Pole sana Allah akuongoze wewe na waliokutuma insha Allah
@chinammasai99673 ай бұрын
Bachoo ni padri
@mohamedbadru80053 ай бұрын
Dalili zipi ameonesha Bachu kuliko huyo dada
@fakihkhsaid93534 ай бұрын
Wewe Dada nenda kampige raddi muumeo dayuthi ataikosa harufu ya pepo kwa kisauti chako naona ujinga umekuzidi hujui hata waongea nini Samiri kakaa kimya ati aja Dada (fitna) Allah akuongoze wakujibu hoja miongoni mwa masufi wapo hatukueliwiii.
@IbraFareed4 ай бұрын
KUJIBU HOJA HAJIBU ANAANZA KUONGEA MAMBO MENGINE KABISA! Jibu HOJA ZA DADA YETU? acha kulalamika
@abdulkarimsalum3564 ай бұрын
iyo maana yake bachu hajafkria levle y kujibzana na shekh samir kapewa demu tu amgaragze nd lavle zake hahahahahha
@MohammedMorsi-qp5qp4 ай бұрын
Maa shaa Allah ukhiy allah akulinde na kila shari hasad na fitna Allah akuzidishie elimu zaidia hio Na akujaalie pepeo ya firdaus
@AishahMuigu3 ай бұрын
Hebu usimdanganye,,, muusie kwanza ajitunze kama mwanamke… na fitna zote kajiweka mtandaoni…. Kama wampenda kama muislamu ungemuusia aitoe hii sauti mtandaoni…
@salimdiabyonlinetv48734 ай бұрын
Dada Ana Hoja Tena Nzito, (IMAMU NNAWAWIY R.A) Hakua Swahaba kabisa, Suala ni kua Mawahabi tupeni hio Hadith, Kwa Alicho Kifanya Imamu Malik, Kutia Udhu Kabla hajasoma Hadith Ya Mtume (S.A.W) Mbona Dada yetu ana Hoja. !!!
@SAIDIYABUSHINGEDJUMA4 ай бұрын
Wewe labda hujasoma unaunga mkono mwanamke kupaza sauti yake mbele ya jamii
@ibbu-tz4 ай бұрын
Hajasema anaunga mkono kupaza sauti usigeuza maneno. KASEMA ALICHOKISEMA KINA HOJA, HIVYO MAWAHABI WAJIBU HOJA.
@MwinsheikhSamata4 ай бұрын
Naam huyu mwana dada yupo sahihi kabisa sana Ila tatzo lilokuwepo panawatu hushika yale wasemayo masheikh zao hatakama ni makosa
@IbraFareed4 ай бұрын
@@SAIDIYABUSHINGEDJUMA wewe ndo hujasoma
@AishahMuigu3 ай бұрын
@@ibbu-tzhakina hoja,,, mimi swali langu nauliza… mtume amesema tuchukue elimu wapi??? Na imam maalik ni nani??? Ukielewa hili swali utajua hakusema haki chochote… na ufahamu wake ni mchache
@hassanbinhassan-bn3rk3 ай бұрын
Ukthy manchallah allah kuifadhi piya akuelimishe
@ShaibMussa4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 DAH UYO DADA ANAMASHAKA SAAN TENA ANACHEKESHA SAAN DAH
@FahadMasoud-io4mb4 ай бұрын
Maashaallah Allah akulipeni dada yangu na sh sameer,huyo kijukuu cha kiyahuri,poti la kikristo bila ya kujijua,
@NasirJussa4 ай бұрын
Shekh bachu huyu ummu Aisha inaonekana anakutaka mm Nakushauri muoee tu. Anataka kuolewa na ww huyuuu SI Bure hii halafu inaonekana atakuwa mzuri pengine..
@OmarSalum-y9c4 ай бұрын
Picha yake ipo apo juu mwanzo
@nassor63334 ай бұрын
Aowe Sufi !!! Bora Aowe mnaswara kuliko sufi
@OmarSalum-y9c4 ай бұрын
Bora uoe sufi ndugu yangu kuliko mnaswara kwa 7bu sufi ni muislam ndugu zangu vipenzi
@OmarSalum-y9c4 ай бұрын
Mimi nimeoa sufi ila mbona kabadilika
@nassor63334 ай бұрын
@@OmarSalum-y9c Bora mnaswara kuliko sufi ,
@samirrubeya237927 күн бұрын
Mama pioneer imani sauti yako pia ni tupu..
@abouwaraqa64084 ай бұрын
Ukhty Maa Shaa Allah kwa ufafanuzi mzuri na naona nikweli kabisa bachu una ufahamu finyu katika dini na Wewe Ukhtiyetu ndie unae mfaa kumfafanulia
@bagalucha3 ай бұрын
Ummy Aisha,mwanamke jisitiri,maulidi si Ibada,usiitie bei sauti yako,mtume kawatabiria moto wanaotengeneza ibada mpya.
@NGWALISHAAME-d4dАй бұрын
mche allah wedada hujajua matumizi ya saut yako nadhambi unazo beba kwenye audio hii
@mazruqmohammed41084 ай бұрын
We mwanamke akili zako sio mzuri
@abdirahmanshawkani17 күн бұрын
Wa Allahu mustaan,,, mwanamke anapata wapi nguvu ya kuongea hapa
@jumajuma13244 ай бұрын
Wee dada Allah anasema ولا تنابزوا بالألقاب hapo siku ya Qiyama utapunguziwa thawabu zako apewe bachu mana umemdhulumu heshima yake kumuita tarumbeta si umuite tu bachu jifikirie pole sana kwa kutojielewa
Ewe dada yangu mche Mungu acha kumsema vibaya Sheikh Mohammad bachu mche Mungu...elmu yako ni finyu sana mdada...ivyo bc soma na pia utoke kwenye upotevu na kutetea mambo ya maulidhi...maana maulidhi ni bidaa
@chinammasai99673 ай бұрын
Muhammad bachoo ni sawa na padiri tu sio muislam kwa sababu yeye ni wahabi na mawahabi sio waislamu
@AishahMuigu3 ай бұрын
Kweli💯
@chinammasai99673 ай бұрын
@@RumeisarajabMkungoma ... Muhammad bachoo hata adabu Hana kwa iyo Wacha asemwe vibaya vyenginovo na aende kwa wakristo wenzake huko atuachie uislam wetu yenye sio muislam
@RumeisarajabMkungoma3 ай бұрын
@@chinammasai9967 hivi kaka yangu umejiona kweli ulicho ongea mche Mungu wacheni wawatuhumu wanazuoni tuwapeni eshma zao
@mohamedbadru80053 ай бұрын
Mbona huyo dada anaelimu kubwa kuliko huyo Bachu mwenyewe?
@Bombwejr184 ай бұрын
Mwanamke unadhihirisha sauti yako kabisa halfu unajibizana na mwanamke unaleta Shubha dada yetu katika Iman halfu watu wanachekea hilo swala allah atuongoze 🙌🙌
@abuunuaymiaffasiyassalafiy10894 ай бұрын
Uyuu. Bintii kwanzaa kaolewaa. Kama kaolewaa mumewe. Bas. Ata kua. Dayuth. Ana tulegezea saut tu
@IsmailSanga4 ай бұрын
@@Bombwejr18 Dada amekosea, Ila kinachotakiwa hapo ni hadith.
@Bombwejr184 ай бұрын
@@IsmailSanga anachofanya sio katika taratibu zilizoachwa na mtume pia hawana dalili ya wazi ya kutetea maulidi bali wanachofanya ni kumu attack mtu binafsi hapo ndo wanapoleta mtihani katika dini ila yote kwa yote Allah atuongoze na atupe mwisho mwema
@Bombwejr184 ай бұрын
@@abuunuaymiaffasiyassalafiy1089 kama kaolewa huo ni mtihani mkubwa na lazima atakuwa kaolewa na mtu wa maulidi mwanamke anaeijua sunnah vizuri hawezi kuja kubishana na wanaume mitandaoni
@gizabombo81664 ай бұрын
Abu nuaayimi,hayo maneno ni sadaqat kabisa hakuna mushikila.
@Aminakajanja3 ай бұрын
Shekhe Bacho huyu ni Hindu wa zama hizi bar Hindu wa zama za mtume alibadilika sijui huyu Hindu wa maulidi atabadilika lini Allah amoongoze bakllah hii imondokee huyu , kiumbe dhaifu , ameshindwa kulea familia najumhendi mume wake , wewe dada huna aibu kwanza nakujua harahayaya huna Allah akusiri dah subhanallah .
@IssaKabelwa-zs2ct4 ай бұрын
Assalaamu alaykum warahmatu llaah, ndugu zangu waislaam tupunguze matus dini yatu nidini ya ustaarabu huyu dada yetu anatumika vibaya kwanza dini sio biashara wanawake hutumika katika biashara kwaupande wa matangazo nikivutio kimoja wapo, lakini sheria hairuhusu kudhihirishwa sauti ya mwana mke mbele ya wanaume kosakubwa dada yetu anatakiwa alete istghfaari kwa mola wake kwa kosa hilo napi napenda kumkumbusha kua neno dhikri ni utajo wa Allaah kwa hiyo ndani ya salaamu kuna utajo wa Allaah asitofautishe dhikri na salamu kwa sababu mtume kama ange itikiya nilazima angemtaja Allaah. Ndio akasema mm nachukia kumtaja Allaah nikiwa sina UDHU, Na usimuite mtu tarumbeta la wahabi kwanza unamkosea Allaah Allaah amemuumna kiumbe wake na akajisifu we unamfananisha na tarumbeta dini inatutaka tuitane majina mazuri ww unawaita watu majina mabaya katika suuratl ahzaab Allaah anasema waiteni kwa majina ya baba zao ikiwa hamuyajui nindugu zenu kaatika dini kwahiyo huyo nindugu yako katika dini je na ww uki itwa tarumbeta la makhurafi itakua umeonewa? fahamu yakua kila unacho kisema na unacho kifanya kina dhibitiwa kwa kuandikwa na siku ya qiyama utakwenda kukikuta tahadhari sana na ulimi wako usije ukaja kujuta sasa hivi una watu watakusapot ujinga lakini adhabu uta adhibiwa pekeyako wala hito waona hao.
@darajanida4 ай бұрын
wailaikum salam tumekuelewa nduguyangu ila maneno hayo wambiye mawhabi kwasababu ndo walio.anza kutukana mashekh zetu nakuhusu sauti ya mwanamke mbele zaunaume unakusidia wanawake wa kisufi tu au unakusudiya wanawake wote
@mobilespecialschool42164 ай бұрын
@@darajanidamnamkandamiza motoni uyo dada haifai, akamtii mumewe awe na haya sio ivi anakua kama hayawani
@SirmaSirma-p8p4 ай бұрын
Kwa hyo MTU anapoikosea dini ya mwenzingu mwanamke hapasw kukemea na kama ataongealea chumban ss tuliokua hatuna uelewa tutajua WAP?
@mobilespecialschool42164 ай бұрын
@@SirmaSirma-p8p we mwehu unajua sheria ya Allah kwa mwanamke kwenye uislam au unaropokwa, we unaona yupo sawa uyo dada acheni kuwaita watu motoni kwa ujinga
@azamomar99204 ай бұрын
@@SirmaSirma-p8pKasome ndugu yangu, kusoma dini yako ni lazima kwa muislaam sidhani kama Allah utakuja kumjibu hukuwa na elim ndo maana ibada nyengine hukufanya kwa usahihi. Unakosaje uwelewa kwenye dini ya Allah lakini uwelewa wamambo mengine unao?
@aishaothman33262 ай бұрын
Huyu Bachu kweli mwanaharamu mungu amlani
@MuhamedChabaga2 ай бұрын
Chunga neno lako la kumwita muislam mwenzio mwana haramu ujue halitaachwa Bure Dai lako hilo
@KasimuKiduba4 ай бұрын
Mwanamke hata Aibu huoni Hata kisasi mke kwa mume hakuna umepata wapi huo ujasiri alafu umeandikiwa subhanallah Mwenye mke amnasihiiii mke wake ,,,,Mama kapike hivi vitu vina wenyewe
@abdulkarimsalum3564 ай бұрын
kapata uo ujasiri kw sbb kasoma sio km ww kapuku mafta ya kuku
@JeilaniAbdulkadir3 ай бұрын
Nani kakuambia mwanamke kazi yake nikupika?
@fakijecha4 ай бұрын
Mtume aliyasema haya itafika wakati watu watajifaharisha na kujiona na elimu kupotea leo kubishana kutana majina yasio faa ndo tumekuwa wa mbele cha ajabu waislam kwa waislmu ndo wanagombna uwislmu umekuja kuleta kitu kimmoja leo watu wanaishi kwa matabaka km timu za mpira tutafika kwa Allah na tutaulizwa tuliupigania au tuliugawa uwislamu Allah atupe hatima njema inshaallah
@abdulazizimakogesho4 ай бұрын
We bint haujasimama vizur kwenye dini Allah akuongoze
@mohamedumri41764 ай бұрын
MUACHE AJIBIWE, KWANI SIKIO LA KUFA HALINA DAWA.
@saadaAbdalla13714 ай бұрын
Na km hali hii ilikua ni kwa Sahaba wa Mtume vp atakua Mtume mwenyewe vp watakua maswahaba ambao kila mmoja alitaman yeye atajwe vzur na Mtume SAW, maswahaba ambao wakiskia mtu anafanya kheri wanataka wao wazidishe zaid wakishindana kukimbilia kheri. Allah atuongoze ktk hili giza zito mbele yetu 🤲
@muntaxdelacream31954 ай бұрын
Kwani mwanamke hapaswi kuwa mwalimu?....leta vitu mama❤
@JumaawazirWazir3 ай бұрын
Kwanza mwanamke mwenyewe anaonekana hata adabu Hana
@HamisiMwalimu-pp9ci2 ай бұрын
Au huyu mwanamke hana mume subhana Allah Leo hiii mwanamke anasubutu kunyanyau sauti amche Allah uyu dada
@MasoudChoum-pp1ob4 ай бұрын
SAS ww dada hiyo ni radi au taarifa ya habar kaaa mpikie mumeo huku achia wengine
@mmmnstudio93444 ай бұрын
Mwambie
@IsmailSanga4 ай бұрын
@@MasoudChoum-pp1ob Kinachotakiwa ni hadith inayodhibitisha hayo.
@abuunuaymiaffasiyassalafiy10894 ай бұрын
HahahahahahahahahhH
@salimdiabyonlinetv48734 ай бұрын
Tusaidie Majibu kwa Ajili ya Bachu basi? Tupatie hio Hadith kwa Ajili yake.
@salimdiabyonlinetv48734 ай бұрын
Tusaidie Majibu kwa Ajili ya Bachu basi? Tupatie hio Hadith kwa Ajili yake.
@jazilimohamed66064 ай бұрын
Namaana Bachu hajui tofauti ya tohara na udhu!!!!
@SHARIFF1004 ай бұрын
Assalaam alaykum, wewe ndio hujui maana ya tuhur, we unatafsir tuhur ni kuoga janaba tuu? Au heidh? Mtume swala llah wasallama anasema: Laa swalat lighair tuhur (hii hadithi ipo katika milango ya udhu na si heidh) Baaraka llah fiyka. Na'aam
@Ismailishatri4 ай бұрын
unatangaza sauti ili utongonzwe hao vip???
@IssaJuma-jj6jx4 ай бұрын
sio lengo lake
@Official_ulipo_tupo4 ай бұрын
Ndy lengo hilo😂😂😂
@YusuphJuma-x7k4 ай бұрын
A alaykum kweli nimeamini wallahi sio vizuri kuakashfu wanaoni naona wazi madhara yake kudhalilika kwa shekh bachu
@NasirJussa4 ай бұрын
Huyu dada ana sauti ya kupika vyakula tu sio kazi yenu hii mama. Na video pia ungetoa basi tukuone
Kuna baadhi ya mambo wakiyasema wana wa zuon wanakubali Na ukishaelewa kama mtume haongei ila wahay kutoka kwa Allah hutaumiza fuvu lako
@ThabitiRashidi-z1b4 ай бұрын
Wanaokemea sauti ya mwanamke kwa sababu ya haqqi anayoifikisha ni chukitu umari ibnu khattwaab alikosolewa na mwanamke kuusu kuweka kiwango cha mahari na akakubali kua amekosea amiirulmuuminiin hiyo ndo haqqi
@KilamiMussa3 ай бұрын
Uongo. Toa ushahidi katika hadith sahihi siyo porojo
@AishahMuigu3 ай бұрын
Sio kuwa sauti ya mwanamke,,, kila kinachoelekeza kwenye dhambi ni dhambi… nishaona comment ikisema sauti yake nzuri… wal iyaadhu billah. Pampja na kuwa hana haki alioisema. Ila hakuelewa na kakimbia kurecord ati kuraddd… wah… nimepata aibu kwa niaba yaka
@idriskinye11902 ай бұрын
Kwan alimkosowa kwa njia ipi na ukija nahoja ile ilikuwa Zaman kumbuka uislam haupo mpya ama wazaman
@KilamiMussa2 ай бұрын
Toa riwaya sahihi inayothibitisha hilo unalosema
@saidabeid93104 ай бұрын
Dada nenda kapike hio sio kazi yako mume wako ana njaa
@abubakaromar61014 ай бұрын
MashaAllaha maalim Mmaa Ummu Aisha Mwenye Ezi Mungu akuzidishie Elimu tumekuelewa kama mama mlezi
@mwalimulossilamsuya19444 ай бұрын
Acha UPUMBAVU..TUMIENI MUDA WENU KUWAUNGANISHA WAISLAM SIO KULETA MAMBO YA MATHEHEBU..MADHEHEBU YATATUPELEKA WAPI?..
@abubakaromar61014 ай бұрын
@@mwalimulossilamsuya1944 kaka mwanzo nini maana ya Madhehebu?kwa sababu kuijuwa Dini bila kupitia Madhehebu huwezi kuijuwa Dini
@abubakaromar61014 ай бұрын
@@mwalimulossilamsuya1944 wewe kusema watu wawache upumbavu kuleta Madhehebu sasa tuambie kwa uwelewa wako Madhehebu ni kina nani na ni yapi Madhehebu unayo juwa wewe?
@abubakaromar61014 ай бұрын
@@mwalimulossilamsuya1944 na kama hujui Madhehebu ni kina nani TUBIA OMBA KWA MWENYE EZI MUNGU
@RajabuTimbwa2 ай бұрын
we muongo
@hajisimaikhatib90024 ай бұрын
Dada mashallah Allah akuhifadhi kwa rehma zake
@SalimuMaganji-ts1fn4 ай бұрын
Unapongeza ushuzi wa dada yako jiulize wewe ndo umemuoa alafu anaropokea watu huku bila hoja za kielimu
@MuhammadiMbwana4 ай бұрын
masufi wamechemka kwa bacho hadi mnaleta wanawake?
@omarmwaiga4 ай бұрын
Subhana ALLAH wewe dada Allah akuongize kwakuiachilia sautiyako namna hiyo lkn hayo ni maneno ya wanawake
@wamiujizacholo74134 ай бұрын
Naomba sheikh bachu asimjibu huyu dada maana kaja kutatuta waume huku 😂😢😂
@rayisadesigns26464 ай бұрын
Sindano imepenya
@FuadHamed58044 ай бұрын
@@rayisadesigns2646 sindano gani na ameongea uzushi n uongo mtupu Sasa ajibiwe nini hapo na ujahil wake ....
@FuadHamed58044 ай бұрын
@@rayisadesigns2646 mwenyewe amejidhalilisha maana Bachu amekubali katika kutawadha kabla ya kusoma hadithi Sasa maulidini hua watu wanaenda kusoma hadithi ama wanaenda kusoma barzanji .. mwambieni huyo mama atafute watoto alee asijiingize katika fani ambazo Allah amemkataza anatafuta moto kwa lazima...
@jamilahjamilah41574 ай бұрын
Wee nabachu wote hamja soma someni acheni kudanganywa bachu hajaui na ww unaye sema kafata waume kasome
@FuadHamed58044 ай бұрын
@@jamilahjamilah4157 wewe ndio umesoma ??? Waliosoma wanafwata yanayowahusu na ukweli katika dini. Ww uliskia wp mwanamke amepewa ruhusa ya kupaza sauti yake mbele ya hadhira iliyojaa wanaume ama na wewe ni wale wale munaoongea musioyafanya
@bakarimpita85153 ай бұрын
Mashaallah bidada wenye akiri watakuelewa
@AwessAbbass4 ай бұрын
Mwenye akili anaona bachu yupo sahihi lkn huyo dada anaongelea chuki tu kwa nasoro bachu.
@abuushekhaliynkusa69124 ай бұрын
We mshabiki sio msimi ndo mana ukasema hivyo Lkn ukisikiliza kwa makini na ukawa unataka kufahamu basi utafahamu tu
@HemedSerious4 ай бұрын
Kwa kweli mawahabi wanachopinga ni maulidi tu bidaa za kwao km kawaida, mazuzu hawa😊
@IsmailSanga4 ай бұрын
Leteni Aya au Hadith inayosema ukiadithia hadith za Mtume uchukue udhu!!.
@bukharymohd9774 ай бұрын
Huyo mgonjwa wa kike anaelimisha nini hapo naona sijaona akisoma hadithi yyte hapo yaani kama anatangaza mpira tu au movie
Wewe tarumbeta la mawahabi unaadhilika Sasa unajibiwa na wadada
@OmarSalum-y9c4 ай бұрын
Hebu fanya usawa katika kuskiliza acha ushabiki yuko sawa bachu
@pandungozi10724 ай бұрын
Wewe bint haifai sauti yako kuchomoza mbele ya hadhara za wanaume mitandaoni huo ni utomvu wa adabuu! Jiheshimu uheshimiwe🙏
@abdulazizmsonde9854 ай бұрын
Mbona anasoma nani kamuandikia?
@sinyooo65834 ай бұрын
Mashekh wake😂
@RajabuMsumari-dh5jb2 ай бұрын
Bachu huyu Mama ana Elimu kwa kiasi kinachofaa kuzingatiwa.Sasa narudia kuku nasihi kasome kwanza ili ufahamu vizuri unachotaka kuzungumza kielimu
@MohdAliHaji4 ай бұрын
Ummu Aisha hili ulilo fanya Leo nikosa kutoka nje nakubishana na wanaume
@musakibwana45964 ай бұрын
Omar (RA) ale bora kuliko bachu alikosolewa na mwanamke mbona hakumtolea jeuri
@hilalkhalfan14524 ай бұрын
@@musakibwana4596 mtaumia sana, BACHU yafaa wanawake ndio wasutane NAE MAANA akiona wanaume anajikojolea🤣
@HadijaAli-d2l4 ай бұрын
Unamtaka bachu sikiliza vzuri ndio ujibu kwanza sauti yako haifai kusikika Kisha leo umepata ujasiri kusimama kumjibu mwanaume
@saidjuma45474 ай бұрын
ukhty Aisha bachu Yuko sahihi ila kilichokukera ww ni kuambiwa maulidi yameletwa na makafiri na ndio sahihi
@hassanWanjiku4 ай бұрын
Na wataudhika sana sababu hawana jipwa masufi
@darajanida4 ай бұрын
@@hassanWanjiku mawahabi ndo kabisa
@saidali92554 ай бұрын
Swadakta!..
@karimuHamisi-z5h4 ай бұрын
Mashekhe wanawachanganya watu na baadhi ya watu hata wanaacha dini kabisa. Kazi kwenu, endeleeni!
@RidhwanIdrissa4 ай бұрын
Mwanamke lake jiko huku anatafuta nn??
@jimjam-xg7rv4 ай бұрын
Towa hadithi isemayo kazi ya mwana mke ni jiko tu?
@Humud-in6qk4 ай бұрын
Watafuta hatar ya Mola wake huyo bibie
@jimjam-xg7rv4 ай бұрын
@@Humud-in6qk wacha ushabiki na kutowa hukumu bila ya elimu
@ImanSaid-q4i4 ай бұрын
Anatafuta bwana huyu
@MaalimMuhunzi4 ай бұрын
Kila jambo unataka hadithi ww mwanamke lake jiko ndio haitakikani kuanika sauti yake@@jimjam-xg7rv
@yasinikanole51843 ай бұрын
We demu nenda kakate vitunguu tu uwanja ulio uingia hauna ubavu nao kaa chini usome maelezo ya bachu yapo wazi qatada,imamu maalik na aamash walikuwa ktk quruunu mufadhala na mtume amesema watu Bora qarne yake Kisha wanao fuata,Kisha wanao fuata lkn jambo la maulid limezuka baadae sana ktk daula ya abasiya wameanzisha mashia makafiri
@RachidaIacine4 ай бұрын
Huyu dada majibu anaeyatoa si yeye anaepekua vitabu anahada , kaadikiwa karatasi ili ajibu msikilizeni vizuri, tena hata hishima hana afai hata, kama hivi alie muoa kazi anayo
@IsmailSanga4 ай бұрын
Mwambie bachu atoe hadhi au Aya!
@jimjam-xg7rv4 ай бұрын
Punguzo ushabiki na utuliye mfunzwe elimu ni kama bahatlrie na haki aichaguwi ama kumpendelea mtu yeyote
@IsmailSanga4 ай бұрын
@@jimjam-xg7rv Elim IPI!!? Mnaleta uhuni kwenye dini.
@hilalkhalfan14524 ай бұрын
Unataka HAQQI AU unataka majibu katoa Nani!. Bachu anajikanyaga TU. JAMBO sio AMRI ya Allah sw wala Mtume saw HALAFU anasingizia ATI Ni wahyi HUO. 😂 Wahyi kapewa tabiina 😂, HII Kali ya mawahabi
@ALIALI-ob5vb4 ай бұрын
Asante data ila usitumie maneno ya kejeli 17:56 katika kujibu au kuonesha chuki.
@JumaMbarouk-s2q4 ай бұрын
Huyu Dada majibu yake yako wapi mbona hajielewi
@allymwinkyambi96894 ай бұрын
Msikilize kwa lengo la kumuelewa
@HarunaKhamisi4 ай бұрын
Ww mwanamke kazi yako ni kukata vitunguu nakutandika kitanda ukamsubiri mumeo hapa biidaa hainyamaziwi
@sinyooo65834 ай бұрын
😅😅
@rashidmohamed19494 ай бұрын
Mwanamke unatangaza sauti yako dunia nzima? Inna lillahi wa inna ilaihi rajiuun.
@Abdulrazaki924 ай бұрын
shubuhat
@omaryjumas63274 ай бұрын
Sauti tu unawaza uroda, wacheni matamanio ya Nafsi.
@IbraFareed4 ай бұрын
KUJIBU HOJA HAJIBU ANAANZA KUONGEA MAMBO MENGINE KABISA!
@HamisiAlly-ms8ei4 ай бұрын
Acheni kumshambulia huyo bint kwasab anahaki ya kumuongoza yule alie potea kam nyinyi amuezi acheni bachu afunzwe na mwanamke maan😂akili zake ziko kwenye ndevu😂
@mmmnstudio93444 ай бұрын
Kasome kwanza dada,acha kuongea kiswahili kingi bila aya wala hadithi
@hilalkhalfan14524 ай бұрын
@@mmmnstudio9344 KWANI wewe mwarabu? Au ndio nyie likisomwa Shairi la KIARABU kumsifu bosi huwa mnafkiria Ni quran?. KWANI bachu kasoma Aya GANI iliosema SHURUTI Ni kutia udhu KABLA KUSOMA HADITHI?!
@HamzaMbumi4 ай бұрын
Anasoma alicho andikiwa huyu mama .ushauri amche Allah.
@AbasiShariff4 ай бұрын
Bora Sasa huyu achiwe wanawake ajbizane nao sababu ndio size yake wanafana nao Kwa maneno Na vtendo
@KhamisSaleh-gg7ov4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@OmarSalum-y9c4 ай бұрын
Msie na mihemko bachu yuko vizuri sana hata kama mtasema hana elimu na hajasoma hata sehemu 1 ila kijana anajua sannnnnna
@IssaHamisi-z2v4 ай бұрын
Kiukweli ajibiwe na wanawake tu huwenda atapata akili
@OmarSalum-y9c4 ай бұрын
Acha ujinga soma kwanza hii elimu ya huyu mwanamke umeona kua huyu ana elimu ya kumshinda bachu ndugu yangu mzuri tuachu ushabiki
@IssaHamisi-z2v4 ай бұрын
@@OmarSalum-y9c kama una akili zilizo fika na mwaka kama bachu anavyo kosa adabu kwenye kilpu zake kwa kutukana na kukashifu wanachuoni na masheikh ni bora ajibiwe na mwanamke, kiukweli amekuwa kevo kwa jamii ya kiislam pasina ya kutizama analokataza ni maslahi yapi yanapatikana mbele ya umm wa kiislamu.
@Upanga8334 ай бұрын
Musiyapambe maulid hiyo ni bid'aaa
@JamalAbdallah-t1y4 ай бұрын
Acha mawahabi wafundishwe na kina Dada Sasa, maana tukiwafundisha siye vidume itabidi tuwapige bakora😂😂😂
@azamomar99204 ай бұрын
Allah atuongoze na atujalie ufaham. Wallahi hakuna muislaam anae jitambua namwenye hof ya Allah kisawasawa anaeweza kuendelea kuwaskiliza na nakuwatii hawa mashekh wanao sapoti maulidi nashindwa kuelewa maana ya elimu ni nini kwasababu Shekh bachu anakosoa majambo wanayo yafanya kwania ya kuzindu umma wakiislaam. Lakin hawa ndugu zetu hawajawahi kujibu kwakunufaisha umma bali utafuta uchochoro tu wakujificha ili waendelee kuwapoteza waislaam wewe ni shekh na elimu ulio nayo ili uwe bora kwa Allah uwe mwenye kuwanufaisha watu tayar umekosolea kuusu maulidi tuchotaka kujua nakuskia sisi wanafunzi utuambie nani ameturuhusu sisi waislaam kusherehekea mazazi ya mtume? Kwadalili ya Qur aan na sunna tunacho kiitaji Shekh Samir ni elimu yako itunufahishe sio kuwatuma vibaraka wenye miemko naushabiki ktk dini ya Allah naleo mmeenda mbali mmekuja nahuyu Dada maskin ajitambui mpaka sasa Mola wake anamtaka awe vp kwanza kaonyesha kabisa hana sifa yakuwa mke wamtu kwasababu kama ameweza kumchamba shekh Bachu Allah amuhifadhi nahali yakuwa anamuona tu kwe mitandao uhalisia wake amfaham, itakuwaje kwamumewe wakikosana chumbani? Allah akuongoze Kwenye njia ya sawasawa dada angu.
@MohamefMullah3 ай бұрын
Mawahabi ni kazazi cha kufru hata katika comet zao utawajua ni watu wa porojo uwelewa kwao ni zirooo
@JumaSwalehIdd-nt9gv4 ай бұрын
Wallah nyinyi makhulafi jitahidini mnavyojitahidi hamtopata njia kukimbilia mpaka mnashindwa mpaka hamuezi kujibu wanawakoe ndio waji kupambana.Haka kajimwanamke hakana hata elimu kisha kaone waume zake wamefumuliwa haka kajinga ummu Aisha ndio kapambane😂😂😂
@DohaQatar-w4t3 ай бұрын
Icho kidada hakina mume kama Una Imani hamna haja ya sauti yako kuxkika
@farijalakhalid55584 ай бұрын
Kumbe bachu ni muongo kiasi hicho 😊😂😂😂
@hilalkhalfan14524 ай бұрын
😂😂😂 BACHU ASEMA KUTIA UDHU KABLA YA KUSOMA HADITHI NI WAHYI ( YAANI QURAN) IMETEREMSHWA KWA IMAMU 😂😂😂😂😂
@an-noormedia28814 ай бұрын
Dada anamaarifa maashallah
@MudathirOmar-hh5ow4 ай бұрын
ما شاء الله
@OmarSalum-y9c4 ай бұрын
Kwani mtume hajaeleza kuhusu uzao wake kua watu wafunge jumatatu sasa watu wanahangaika na nini kama kweli asa wanataka radhi za ALLAH anakutia hao wanaotetea maulid hawatumii jitihada kuwafahamisha watu wafunge iyo j3
@IbraFareed4 ай бұрын
KUJIBU HOJA HAJIBU ANAANZA KUONGEA MAMBO MENGINE KABISA! Jibu HOJA ZA DADA YETU? acha kulalamika
@OmarSalum-y9c4 ай бұрын
Kuzungumza mambo vengine kivipi
@binismail20293 ай бұрын
SASA hiyo ndio HOJA ya shekhe. Udhu na Manukato Ni Sunna. Kuna Ubaya gani
@ابنمحمد-ط6ع4 ай бұрын
Kuna uzao bora zaid wakusherehekea kuliko huu wa bwana Mtume صلى الله عليه و سلم mpenzi wetu.
@AbdulkadirKivaya-f1c3 ай бұрын
Ukweli kabisa dada akija kenya tutamumaliza asije
@jumasalum11714 ай бұрын
Mashallah mama ilimu umetupa nakukunalisana
@oissa12844 ай бұрын
Allah akuongoze uijue sunnah na uache uzushi
@OthmanSharif-t7s4 ай бұрын
Dalili za qiama
@AdamMchana4 ай бұрын
Acha kusoma kazet dada
@abdulkarimsalum3564 ай бұрын
mimi nmefahamu kitu ambcho weng hamjakiona. maana ya huyu dada kumjibu bachu ni kuwa bachu hajafkia levle ya kujibizana na mwana chuoni sameer levle ya bachu nd kwnz ipoo sw na wanawke ata kw wanaume bado hajafika nd maana yake iyo hahahahah😂
@yussuflali61104 ай бұрын
Kwanza ulisikia lini mwamke kutowa sauti kila mtu kusikia hiyo nikukosa haya huna Adabu na dini ungefanya makala ndiyo inafa lakini sauti haifai na kama umeolewa basi mume Wako niduyuthi Atakuwata vp utowe sauti kila mtu kukusikia
@HassanJuma-xy9jk4 ай бұрын
hv ww mwanamke humuogop mungu hujui km saut yako nifitina hvy kwel wew ndio mwenye elim mpumbavu mkubwa
@AishahMuigu3 ай бұрын
Hutu alikua anatafuta umahiri. Wala uelewaji wake ndio mdoooooogo. kama kawaida ahlul bidaa. Huyu hata ni aibu kwake maanake hata mtoto wa miaka kumi kaelewa… subhanallah. Mtake msitake,,, bidaa ya maulidi haiwi dini mpaka kiama kisimame walillahi lhamd
@NasmaJohn-o6i27 күн бұрын
Nyinyi jambo kubwa la kufanya kuwaringania wario katika upotevu wakiristo na wapagani waione aki katika uislam