No video

MAJIRA YA MWANADAMU - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 25,840

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@MCmakore
@MCmakore Жыл бұрын
Tunazidi kuwa Imara katika Maisha Kira tunapoona Mungu anazidi kukupa maarifa ya kutufundisha ❤
@wazirihealthcare
@wazirihealthcare 3 ай бұрын
Binafsi nipo majira ya Asubh na ndooo WAKATI wa risks 🙏🙏
@magrethjohn4929
@magrethjohn4929 Жыл бұрын
Hi uncle joel, npo kwenye majira ya mchana na nashukuru Mungu nipo vizur na nazid kuomba muongozo wake 28 years. Mungu azid kukupa uhai mrefu wa afya ya mwili na roho Amina 🙏🙏🙏
@HusseinHaule-pr5ov
@HusseinHaule-pr5ov 8 ай бұрын
Mm nipo majira ya mchana kaka tokea nimeanza kukufatilia makosa yangu yote naona yanapungua kila siku hiitwayo leo Mungu akubariki na azid kukuongezea ujuz zaidi bro
@emanuelmathias202
@emanuelmathias202 Жыл бұрын
Aisee ili somo limenielimisha sana na limekuwa kama sylabus kwenye maishayangu Nina 27 yrs. Mungu akutie nguvu uzidi kutufungua akilizetu.🙏
@AdelaKauki
@AdelaKauki 8 ай бұрын
Niko kwenye majira ya Mchana.
@yassirstanslaus5222
@yassirstanslaus5222 Жыл бұрын
kiukweli joeli we ni unstopable thinker,,,nna umri wa miaka 25 na umenifungua macho katika somo la leo
@mohamedngota8535
@mohamedngota8535 Жыл бұрын
Waiting
@mohamedkudura8114
@mohamedkudura8114 Жыл бұрын
Majira ya mchana inabidi nijitahidi Sana, hongera somo zuri mno
@IsraelKisaila
@IsraelKisaila Жыл бұрын
Na utoke Kwa wazazi wako jitegemee 😂😂
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
Safi kaka tuandalie mada kama izi tutambue wapi tulipo na wapi tunapo elekea hongera sana kaka
@letionnews310
@letionnews310 Жыл бұрын
Amen
@livinimassawe1083
@livinimassawe1083 10 ай бұрын
Nimekubaliana nawazo lako moja juu ya majira haya ya mwanadamu kweli ukichukulia kijana mwenye umri wa miaka 18 uwezi kumlinganisha na kijana mwenye umri wa miaka 35 mpaka 40 Kwasababu mawazo yao yanatofautiana na nguvu pia
@emanuelchanya5182
@emanuelchanya5182 Жыл бұрын
Majira ya kupoteza majani inauma kweli kweli maana watu wanahisi umepotea mazima yaani kumbe tutachanua tena.
@EdsonKashaija
@EdsonKashaija Жыл бұрын
Kaka uko vzr Kwa masomo yako Kuna kitu kikubwa na gain.mung azid kukuweka tjifunze meng ktoka kwako
@joramnunu1449
@joramnunu1449 Жыл бұрын
Ahsante
@tarsisiamwalongo6819
@tarsisiamwalongo6819 Жыл бұрын
Niko majira ya asubuhi ubarikiwe najifunza mengi
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
Safi kwakujua Hilo ndugu mungu akubariki sana
@tukaesanatu2754
@tukaesanatu2754 Жыл бұрын
Yaani Joel mungu aendelee kukulinda akupe afya njema ili utufundishe wengi
@veniciacharles8851
@veniciacharles8851 10 ай бұрын
Haaahaa unakuja kuyajua haya uko usiku jmn
@nassoromussa2423
@nassoromussa2423 Жыл бұрын
Afternoon!!
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l 10 ай бұрын
Nipo manira ya mchana
@sarahmtenga134
@sarahmtenga134 Жыл бұрын
Joel,uko vizuri,napenda sana mafundisho yako,kwani yamenijenga nakunibadilisha fikra zangu.👍
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
Safi ndugu nimependa Sana umeongea kitu kikubwa sana pia hata mm nmebadilika sana Kwa mafundisho yake kaka Joel tupo pamoja
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Nice
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 Жыл бұрын
Hapa mwalimu nimekupata kwanjia mzuri sana,nifuzo lizuri lakunifughuwa macho kabisaa yaninakushukuru sana
@midazanzibar1283
@midazanzibar1283 Жыл бұрын
Tunashkuru kaka mungu aendelee kukueka tupate kufaidika much love❤❤❤❤
@mosesfrancis8495
@mosesfrancis8495 Жыл бұрын
Uhakika
@RASHIDIJUMA-sq2mc
@RASHIDIJUMA-sq2mc Жыл бұрын
Thank you for your Advice again Sir.Joel, Nipo kwenye majira ya Asubuh , I wish kua Mjasiliamali later.
@user-ni3rp7sm4g
@user-ni3rp7sm4g 9 ай бұрын
Morning
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Amina Ujumbe Mzuri SANA Mungu Asimame Nawe Uzidi Kutujenga Unamchango Mkubwa SANA Ndani Ya Tanzania Yetu na Hata Nje Ya Tanzania Yetu MH.Joeli Nanauka
@JemedaliKangalawe
@JemedaliKangalawe 3 ай бұрын
@neemashirima6121
@neemashirima6121 Жыл бұрын
Asante sana sana nipo
@FaridaJisena-kz9my
@FaridaJisena-kz9my Жыл бұрын
Nipo kwenye stage ya morning na nahitaji kuimarisha taruma ya biashara na IT nifanye nini
@tabasamtv6728
@tabasamtv6728 Жыл бұрын
Kwa bongo majira n magumu sana kuyaweka sawa.
@ashaidd2912
@ashaidd2912 Жыл бұрын
Majira ya mchana nashukuru nimeanza kuwekeza
@ndetitave466
@ndetitave466 Жыл бұрын
Mungu akubaliki naona Niko kwenye majira ya mchana
@GadielMtaita-cu5xq
@GadielMtaita-cu5xq Жыл бұрын
Hongera sana kaka Joel kwa somo zuri.
@kiliopamkatalo
@kiliopamkatalo Жыл бұрын
Asante kaka Kwa somo zurii mungu akubaliki🙏🙏🙏
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
Sawa
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Asante sana
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
Majira yangu ni hapo juu ya hiyo miaka ishirina Tano uwekezaji na kujitambua zaidi lakini wengi tupo hapo ila wengi pia hawajayatambua hayo majira pia wapo TU bado Hawajajijua wapo kwenye majira gani.nashukuru sana kaka Joel kwakunipa ufahamu wa jambo ilo.mungu akubariki sana kaka
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen, endelea kujifunza na kufanyia kazi
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
@@joelnanauka Asante kaka ntaongeza sana juhudi za kujifunza na kuyafanyia kazi nashukuru kaka.
@MalongoRichard-md5dv
@MalongoRichard-md5dv Жыл бұрын
Kaka ubarikiwe Sana ufike mbali nitasimulia vingi maishani mwangu
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
Safi
@gracelaizerkisyoki7279
@gracelaizerkisyoki7279 Жыл бұрын
Barikiwa kaka
@hildamushashu5056
@hildamushashu5056 Жыл бұрын
Yaani uko vizuri keep it up
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
Sahihi sana
@rzyhamy4292
@rzyhamy4292 Жыл бұрын
📌 Tatzo llopo kwa majr y asubh Sio kufany makos je ni aina gan y makos amby yanafanyw
@sophiananziku2549
@sophiananziku2549 Жыл бұрын
Majira mchana 🙏
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
Sawa
@TinnyFlavourTz-md9dq
@TinnyFlavourTz-md9dq Жыл бұрын
Enderea ku2pa mafundsho mzee na mung akubalik saan
@alexlucas1571
@alexlucas1571 3 ай бұрын
Daaah nipo kwenye afternoon season na sina fan hadi sasa nitaweza kuinuka kweli?
@FURAHAbest
@FURAHAbest Жыл бұрын
Mm nipo asubuh najitahid sana kuimalisha mis ingi ili nisipishane na muda husika asante kwakuenderea ku2fundisha
@lazarojohn6256
@lazarojohn6256 Жыл бұрын
Brother asiekuelewa anakichwa jiwe
@yoshuasaiba4652
@yoshuasaiba4652 Жыл бұрын
Asante Kaka
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
Sahihi
@musankya6344
@musankya6344 Жыл бұрын
Daah asante sana kaka mungu akubariki
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
SAWA
@joackimkazoba
@joackimkazoba Жыл бұрын
Kaka Mungu akutunze sana
@rzyhamy4292
@rzyhamy4292 Жыл бұрын
Somo zur mno
@beatuskahwa6351
@beatuskahwa6351 Жыл бұрын
Majira ya mchana
@dottogatuntu
@dottogatuntu Жыл бұрын
Bro asante saana
@AnordBazili
@AnordBazili Жыл бұрын
Asante sana kaka Joel🙏
@joasitz9559
@joasitz9559 Жыл бұрын
Asante sana kaka, Mungu azidi kukuinua
@franciskimaro8028
@franciskimaro8028 Жыл бұрын
Asante kak tupo pamoja
@SaimonKazimoto-xt1zo
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
Nmekuelewa kaka
@felixrobert9734
@felixrobert9734 Жыл бұрын
Mungu akubariki san
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
🙏🏿✍️
@oliviawiliam7653
@oliviawiliam7653 Жыл бұрын
Good advice 👍
@dijohbanks4312
@dijohbanks4312 10 ай бұрын
samahan kaka mimi nina miaka 27 lakini bado nipo kwenye majira ya kutake risk sasa sijui nimechelewa sijui itakuwaje huko baadae?
@IsraelKisaila
@IsraelKisaila Жыл бұрын
Na wale MIAKA 30 wapo Kwa wazazi inakuwaje?!!
@nemmymtango3682
@nemmymtango3682 Жыл бұрын
Mimi nipo majira ya mchana
@JemedaliKangalawe
@JemedaliKangalawe 3 ай бұрын
@gracelaizerkisyoki7279
@gracelaizerkisyoki7279 Жыл бұрын
Barikiwa kaka
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
Joel Nanauka : Nini Ufanye Unapopitia Nyakati Ngumu?
46:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 25 М.
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 12 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 45 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 3,4 МЛН
Magic? 😨
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 16 МЛН
Mambo Matano (5) Yanayopoteza Hamasa Ya Kufanikiwa Kwenye Maisha.
10:05
SIRI ITAKAYO KUSAIDIA KUTIMIZA MALENGO YAKO BY JOEL NANAUKA
7:17
Je unajitambua | Elias Mwinuka
7:07
Elias Mwinuka
Рет қаралды 343
LIFE WISDOM : MAJIRA YA KUINULIWA KWAKO - JOEL NANAUKA
11:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 7 М.
TAZAMA KAMA UNAISHI "FAKE LIFE" BILA KUJUA
14:12
Success Path Network
Рет қаралды 26 М.
Erick Shigongo  I Leading without a Title
1:03:44
TAWCA
Рет қаралды 10 М.
USIDHARAU MTU KWA KILE ANACHOKIPITIA - JOEL NANAUKA
7:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 17 М.
LIFE WISDOM : KUSHINDA NYAKATI NGUMU  - JOEL NANAUKA
12:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 4,8 М.
Namna unavyoweza kubadilisha ufahamu wako
17:50
Chomoza Tv
Рет қаралды 10 М.
TAMBUA MAJIRA MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO - JOEL NANAUKA
10:18
Joel Nanauka
Рет қаралды 6 М.
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 12 МЛН