UWEKEZAJI WA KIHISIA - JOEL NANAUKA
2:29
WATAJE WENGINE: JOEL NANAUKA
4:58
Пікірлер
@MwanzalimaLeonard
@MwanzalimaLeonard 48 минут бұрын
Tukizingatia haya yatatusaidia! be blessed guy!
@eliudbeyanga8575
@eliudbeyanga8575 49 минут бұрын
Nakukubali kaka
@user-hm1oe4zg7t
@user-hm1oe4zg7t Сағат бұрын
Boss wangu ni abusive ,nisaidie.
@mlingijames1917
@mlingijames1917 2 сағат бұрын
ubarikiwe sana
@Immambukwa
@Immambukwa 4 сағат бұрын
Napenda sana mafundisho yako
@SHARIFAMAULID-w2e
@SHARIFAMAULID-w2e 5 сағат бұрын
Wakati mwingine unapokua mtu wa kutendwa mara kwa mara inabidi ukae utafakari kwa kina , kwanza uanze kujisafisha wewe kimwili na kiroho ukishajikamilisha geukia upande wa ukoo pengine Kuna laana za ukoo ndo zinakutesa uwe mtu wa kutendwa mara kwa mara , lakini pia ujitafakari katika safari Yako ya kimahusiano pengine ulishawahi kumtendamtu bila sababu ya msingi halafu machozi yake mungu akayapokea na yakakuweka katika wakati mgumu Tena usiosameheka yote hayo inabidi tujiulize , usilaumutu kua mbona unakua wa kuachwa Kila wakati, jitafakari ukipata majibu mkimbilie mungu, Kila changamoto inakisababishi, Asante CHIEF JOEL
@JasintaManingili
@JasintaManingili 5 сағат бұрын
Bro nawezaje kujoin madarasa yako
@jamesshirima33
@jamesshirima33 5 сағат бұрын
....I'm waiting for it 🤝🏿🙏🏽
@SHILECKIZACHARIA
@SHILECKIZACHARIA 6 сағат бұрын
Kaka wewe Mungu akubariki
@khalidiabasi2421
@khalidiabasi2421 7 сағат бұрын
Njia ya kwanza it's better more
@NekesaAnnie
@NekesaAnnie 8 сағат бұрын
🎉
@DalkhasKitchen
@DalkhasKitchen 11 сағат бұрын
Ahsante kwa kuzidi kutuelimisha vijana tuliojizatiti kuifanya biashara japo ni ndogo ila nimejifunza jinsi ya kuifanya kua kubwa ubarikiwe
@Tadeo-s4h
@Tadeo-s4h 13 сағат бұрын
Joo samahan naitaj kufaham elim ya fedha ili niweze kuinuka kiuchum na kulinda kipato changu
@user-oq4fv5ed7u
@user-oq4fv5ed7u 13 сағат бұрын
Emeen Mungu nisaidie
@ElisiaTenga
@ElisiaTenga 13 сағат бұрын
Big up bro
@ShemsaKombo
@ShemsaKombo 14 сағат бұрын
Asante kwa ushauri wake mzur
@siwazurikondo
@siwazurikondo 14 сағат бұрын
Asant. Kaka. Nimekatalwa nandugu. Malafki. Adi watoto nilio. Zaaa siijui. Nifanyaje
@florahgodifrey5312
@florahgodifrey5312 Күн бұрын
Bado najifunza😊
@MayallaMathias-tu5yz
@MayallaMathias-tu5yz Күн бұрын
Njia nilioipenda ni bank na kikoba
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Күн бұрын
Barikiwa zaidi kaka yangu, mimi kwenye muda yani Mungu anisaidie
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Күн бұрын
Asante kaka yangu Mungu akubariki sana ❤❤
@EmilyMwalongo-sg4ru
@EmilyMwalongo-sg4ru Күн бұрын
Hao wanaosema pesa zio mhimu wanafiki kwasababu (ukitoa hewa ya oxygen kinacho futia kwa kuhitajika nipesa Ili izae (chakula na vinginevyo vinavyo patikana duniani vikiwa vimetayalishwa 😊- so bro Joel tupeElimu mpaka tuelewe au mpaka ikitajwa pesa lije jina la Joel kwenye Ubongo Thank you for the lesson
@DeoEmmanuel-tq7zl
@DeoEmmanuel-tq7zl Күн бұрын
Oooh thanks so much
@monicakauky8914
@monicakauky8914 Күн бұрын
Kuepuka,gossip club.
@mahambagislain9618
@mahambagislain9618 Күн бұрын
🎉🎉🎉✍️✍️✍️🙏🇨🇩
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 Күн бұрын
Asante kaka Joel nimejifunza kitu asante sana 🇧🇭
@mahambagislain9618
@mahambagislain9618 Күн бұрын
Ndio Kaka una sema ukweli mwana damu Niki u mbe hatari sana, Mungu azidi Kuku Linda 🎉🎉🎉✍️🇨🇩
@YussufMkwende
@YussufMkwende Күн бұрын
Nmecheka mno kwny landmark,kw kwl cjuw nip kwny landmark am student
@user-pi1st6pj3w
@user-pi1st6pj3w Күн бұрын
Amen
@shekinahshimeni8320
@shekinahshimeni8320 Күн бұрын
Safi sana ❤
@DazlayanLukas
@DazlayanLukas Күн бұрын
Huyo mjomba apewe sekta ya vijana sababu vijana wanamwitaji zaidi kuliko maji
@HellenaIdama
@HellenaIdama Күн бұрын
Amen
@YosiaYohana
@YosiaYohana Күн бұрын
Ubalikiwe san kk unajuakufundish
@yothampetro5097
@yothampetro5097 2 күн бұрын
Aiseee thanks for all you toking about
@paulsibu5770
@paulsibu5770 2 күн бұрын
Mungu akupe Maisha Marefu na yenye Baraka tele
@MarryJulius-wq3eg
@MarryJulius-wq3eg 2 күн бұрын
Naendelea kupona kaka Joel🙏
@DerickMayunga
@DerickMayunga 2 күн бұрын
Asante Sana, elimu nzuri Sana nimeipata
@DerickMayunga
@DerickMayunga 2 күн бұрын
Asante Sana, elimi nzuri Sana nimeipata
@marthageorge5043
@marthageorge5043 2 күн бұрын
Asante 🙏🏻❤️
@user-zf8hg8yz1x
@user-zf8hg8yz1x 2 күн бұрын
Bravo Joel, I am learning a lot from you on daily basis. Blessings Always❤
@SHILECKIZACHARIA
@SHILECKIZACHARIA 2 күн бұрын
Kaka Mungu akubariki sana!
@Frank-q2f
@Frank-q2f 2 күн бұрын
Naitaji kitabu cha kugailisha Mambo
@IbrahimuAmiry
@IbrahimuAmiry 2 күн бұрын
Wote nishakutana nao
@Joãofedelix
@Joãofedelix 2 күн бұрын
respect
@Semsango
@Semsango 2 күн бұрын
Kwanini Wateja wana left sana kwenye Groups ?
@mohamedKudura
@mohamedKudura 2 күн бұрын
Asante sana MUNGU AKUBARIKI
@AbdulUjenje
@AbdulUjenje 2 күн бұрын
Nachukiwa bila sababu ila nakuelewa sana
@user-sf8sr1sg5y
@user-sf8sr1sg5y 2 күн бұрын
Kaka Joeli nakufatilia lila siku nikiwa na furahaa, lakini leo ni tofauti. Nimekuja uku moyo wangu ukiwaka moto😢 Lakini niseme tu ili somo limenisaidia sana sasa najua sababu🙏🙏 sasa tunawezaje kuishi na awa watu
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 2 күн бұрын
Asante sana coach Joel nimejifunza kitu