𝗕𝗮𝘆𝗮𝗻𝗮 𝗠𝘂𝗵𝗶𝗺𝘂 𝗞𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗞𝘂𝗳𝗶𝗰𝗵𝘂𝗮 𝗨𝗹𝗮𝗴𝗵𝗮𝗶 𝗻𝗮 𝗨𝗷𝗶𝗻𝗴𝗮 𝗪𝗮 𝗱𝗿.𝗜𝘀𝗹𝗮𝗺 (Majlis Ya 3)

  Рет қаралды 2,154

salafi

salafi

Күн бұрын

Пікірлер: 65
@omaryally5743
@omaryally5743 2 ай бұрын
Allah amuhifadhi Dr Islam,maana ni mtulivu sanaa na Elimu maashaa allahu,Allah ampe subrah pia kutokana na hasadi anazofanyiwa ila Dr anaeleweka maashaa allahu.
@Abdullah06494
@Abdullah06494 2 ай бұрын
zee la طنطنه akiwa katika ubora wake
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 2 ай бұрын
Ila nnawanasihi ndugu zangu Waislamu tusione hii ni shari kwetu, huenda ni kheri. ALLAH A'ZZA WAJALLA Anajua na sisi hatujui. Al akhiy Dr.Islam ALLAH SUBHANAHU WATAALA Ampe subira zaidi kutokana uhuni unaoendelea ktk kipindi cha mpito. Tumeyasikia na tumeyaona mengi. Zimefanywa editing nyingi,picha nyingi za kubeza, kejeli na vijembe. Hiyo ndo style ya watu wenye khusuma.
@GhurabaaAsalafiy
@GhurabaaAsalafiy 2 ай бұрын
Kuwa muadilifu kwa kunukuu ww mwnywe kupost,,, swali halikuulizwa hvyo
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 2 ай бұрын
ALAFU HAWA MATALAFI WANAJIFANYA WANASOMESHA SANA WAKATI KAZI YAO NI KUTWANI NA KUPONDA WATU KILA SIKU. SASA HUO MUDA WA KUSOMESHA UPO WAPI? MSOMESHAJI YUPO BIZE NA HANA TIME YA KUSEMA SEMA WATU
@adamkhamis1973
@adamkhamis1973 2 ай бұрын
Kenya ni nchi ya Sheria. Kuna siku ukiingia Kenya utaekwa ndani ili uonje JELAya Kenya.
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 2 ай бұрын
Watu wanatumika kuuvuruga umma wanakuja kwa sura misimamo. Tumeona kwa Abu Muawiya (Rahimahu LLAH),mpaka amefariki lakini bado wanamsema vibaya tu. Wanamkosea adabu Dr. Khamis Imaam na wengine wengi. Uislamu hauwezi kuwa na Daawa za kihuni kiasi hicho. Kinyume na Kitabu na Sunnah.
@Ajiib-gwazai
@Ajiib-gwazai 2 ай бұрын
Anapuliza moto akijua anauzima kumbe anaukoleza.,anajua anamshusha Duktur kumbe anampandisha.
@adamkhamis1973
@adamkhamis1973 2 ай бұрын
This is tantamount to Character Assasination and DEFAMATION.
@allymuhammad8956
@allymuhammad8956 2 ай бұрын
Yaan siku nitakayo kusikia unakuja kwa sheikh wetu eti kujadiliana nae utapigiwa maweee kama mwizi. 😊😊
@yusuphkhan8963
@yusuphkhan8963 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@yussufali8883
@yussufali8883 2 ай бұрын
Ndugu yangu hujamjuaa bado maan ili mtu umjue ukae nae kwa kusikiaa tu maneno ya mtandaoni kama hivi huwezi kumjuaa mtu ata kidogo
@adamkhamis1973
@adamkhamis1973 2 ай бұрын
الرويبضة لمذا لا ترد بالكتابة
@Abdullah06494
@Abdullah06494 2 ай бұрын
Naomba kuuliza,mbona hatujamskia abu hashim mpaka sasa kuhusu hizi ruduud dhidi ya daktur?
@eshematran7206
@eshematran7206 2 ай бұрын
Jambo la ruduud ni jambo la fardh Kifayah si lazma kila mmoja aradd
@Abdullah06494
@Abdullah06494 2 ай бұрын
@@eshematran7206 tupe dalili
@MabrukJuma-o6j
@MabrukJuma-o6j 2 ай бұрын
Niwewe hujaskia lakini ndio wa mwanzo kumradi
@Abdullah06494
@Abdullah06494 2 ай бұрын
@@MabrukJuma-o6j tuma link
@eshematran7206
@eshematran7206 14 сағат бұрын
قال الشيخ ربيع حفظه الله إن الرد على المخالف من فروض الكفايات Haya sheikh Rabiee huyo ambaye mwamchukia@@Abdullah06494
@الحَمْدُِلله-ص8م9ش
@الحَمْدُِلله-ص8م9ش 2 ай бұрын
washabiki na wajinga wa ductur mpoooooo
@DicksonLutende
@DicksonLutende Ай бұрын
Shekh, mche Allah .yaani wewe ndo unaijuwa khaq peke Yako TU, unafosi Dunia mzima usikilizwe ww na watu unaowataka ww hili si sawa katika dini
@coolvoices6608
@coolvoices6608 2 ай бұрын
Huyu dr. Islam aliwafanya nn? Duh hizi husda mbaya sana.
@ShaibMussa
@ShaibMussa 2 ай бұрын
Kasimu mafuta tubia saan kwa dhambi unayofanya ya kufarikisha baina ya wana sunna
@idrisamara6510
@idrisamara6510 2 ай бұрын
Anatuunganisha sana kwa idhini ya Allah
@abusalmadangaadam708
@abusalmadangaadam708 2 ай бұрын
Wewe mwenyewe wajijua kuwa jamii inakuona mtu wa shari mwenye chuki na masheikh mwenye husda kubwa tu za wazi ila kwakua wajinga ndio waongozwao unao tu
@UB40X1
@UB40X1 2 ай бұрын
Duktur alikua ameficha makucha yake.
@Abdullah06494
@Abdullah06494 2 ай бұрын
kama mafuta alivoficha chuki zake
@UB40X1
@UB40X1 2 ай бұрын
@@Abdullah06494 Ikiwa kutahadharisha watu waliopinda ni chuki basi namuombea abaki hivyo lakini duktur kaficha uhizbiya wake kwa muda mrefu mpaka alipofika kwa mzee barahiyani.
@Abdullah06494
@Abdullah06494 2 ай бұрын
​@@UB40X1 mafuta lugha anayotumia utahisi ni mtu kajaa chuki na husda,hayo madai ya kutahadharisha ni kujificha kwayo tu
@UB40X1
@UB40X1 2 ай бұрын
@Abdullah06494 Swali. Anayosema Sheikh Kassim Mafuta ni kweli au anamzulia duktur?
@Abdullah06494
@Abdullah06494 2 ай бұрын
@@UB40X1 anamzulia
@suleymanislam4015
@suleymanislam4015 2 ай бұрын
Lau ulinganizi wa maswahaba ungekuwa mfumo ni huu basi hii ndini haingefika kokote. Hata rasulullah alikuwa akiwalingania makafiri alitumia maneno ya heshima na akitunza heshima zao. Hii sasa mnajenga tu ushabiki Allah atuongoze kama kweli tunataka
@allymuhammad8956
@allymuhammad8956 2 ай бұрын
Hebu zungumza yaliokua na faida kazi yako nikuongelea mambo ya watu yaan hata, kama upo kwenye hakki basi kuna wengi hawataki kwa kusikiliza
@YusufAli-gc9cu
@YusufAli-gc9cu 2 ай бұрын
Hapo ulipo wafanya nini,,,,si we pia wazungumza watu,, kinachozingatiwa ni je wazungumza haki,,acha ushabikiwa masheikh we fuata haki
@quran._0013
@quran._0013 2 ай бұрын
Kwa hakika Duktuur sasa nimemjua. Alikuwa anajificha nyuma ya ngozi ta kondoo. Yaani vumbi bado halikuwa limetua. Sasa nimefahamu kama ni Punda ama farsi yeye. Arahisishe mambo tu. Audio nyuma ama aendelee. Haezani na mtu anayefundisha Manhaj na kuitetea. Kwasababu wewe kama hudundhishi Manhaj hutajua kama Haifai kuchukua elimu kwa Mzushi.
@AllyKiduka
@AllyKiduka 2 ай бұрын
Kasimu wewe sio bure unamatatizo kichwani killa kukicha wewe ni fujo tu na wenzako?unajifanya umekamilika ?punguza ujinga huo wewe mwenyewe bidaa unazo teleeeee
@HamzaAli-cw7qg
@HamzaAli-cw7qg 2 ай бұрын
Acheni uhasidi nyie.
@SuleimanHassan-o6f
@SuleimanHassan-o6f 2 ай бұрын
TOA kitabu kama dr Islam
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 ай бұрын
Kitabu kikitolewa utaelewa Jahili wewe? na mahizbi wote wenzako wataelewa? EM ACHA UTOTO BASI...!!! If you have nothing to say, keep quiet!
@Abdullah06494
@Abdullah06494 2 ай бұрын
​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xna umekasirika kaka😅😂
@abdullatifmnyamis372
@abdullatifmnyamis372 2 ай бұрын
Kila radd kuna comment yako dah​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@YusufDaudi-v5f
@YusufDaudi-v5f 2 ай бұрын
Kassim mafuta mtu wa fitna
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 ай бұрын
Acha njaa kijana! Kama na hapa hujamuelewa basi moyo wako ushakuwa na kutu za maradhi... muombe Allah Hidaaya!
@suleymanislam4015
@suleymanislam4015 2 ай бұрын
​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xdah! Hii ndio naswiha?
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 ай бұрын
​@@suleymanislam4015 Nasaha Ndiyo! kumwambia mtu amuombe Allah Hidaaya sio nasaha???!!! Koz mm najua watu wengi wakiwa wanasikiliza ruduud wanatanguliwa matamanio kabla hata ya kusikiliza kutokana na maradhi...!!!
@rashidandayi5514
@rashidandayi5514 28 күн бұрын
Mtu mkweli huanza na nyumba yake alafu Jamaa.... Lkn huyu doo Acha tu
Каха и лужа  #непосредственнокаха
00:15
Disrespect or Respect 💔❤️
00:27
Thiago Productions
Рет қаралды 43 МЛН
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9 🙈⚽️
00:46
Celine Dept
Рет қаралды 111 МЛН
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 9 МЛН
AFARTANKII (40) QISO OO UGU SAAMEYNTA BADNAA_2022 iyo 2023_ SHEIKH MUSTAFA.
3:26:03
IFTIN BROTHERS STUDIO
Рет қаралды 2,4 МЛН
ULAMA SAMPAI PELIK TEKNOLOGI APA YANG DIPAKAI NABI NUH? | USTAZ HAFIFI DON
58:31
KISA CHA NABII IBRAHIM NA VITIMBI VYA MAKAFIRI- SHEIKH OTHMAN MAALIM.
52:07
ABOUD JUMBE NA SIASA ZA TANZANIA
41:58
Mohamed Said
Рет қаралды 8 М.
KISA CHA NABII SULEIMAN MFALME TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI
1:11:03
arkas online tv
Рет қаралды 181 М.
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
Каха и лужа  #непосредственнокаха
00:15