ABOUD JUMBE NA SIASA ZA TANZANIA

  Рет қаралды 9,344

Mohamed Said

Mohamed Said

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@aseelaisaa428
@aseelaisaa428 3 ай бұрын
Mashallah ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ ♥️ tumefurahi na kufaidika sana kusikia maneno mazuri na ya busara na hekma na Alivyo Mh marehem Al haj about jumbe .legacy yake hatotoondoka kwasababu Alikuwa mtu Shujaaa mkwelii na uislam ulivyomvaaaa ndani ya Nafsi yake na kuwa na Alllah wake ktk kila analoliamni .❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.Allah amsamehe na amuweke pahala pazuri janat firdous. Shukran kwa kipindi hichi kitamu Shukran Skh mohd na mhariri
@AmanMediaTz
@AmanMediaTz 2 ай бұрын
Abood Jumba yeye watanzania waislamu, Nyerere watanzania wote, Acheni kupandikiza chuki za udini
@aseelaisaa428
@aseelaisaa428 3 ай бұрын
Haki zake ziligubikwa watu wakiogopa kusema mazuri yake na Alivyoitendea haki visiwa vyako wakati wa uongozi wake ❤ hata hiyiiiiiiooooooo hicho chuo cha tunguuu haukusemwa nani alikuwa ndio muanzishi.❤lkn kama tunayoambiwa haki ya mtu itatoka hata miaka mia.shukran kwa kutujukusha Slh mohd.Allah atakujaza endelea kutuekimisha na jamiiii kwa jumla .
@mohamedmakambi4412
@mohamedmakambi4412 2 ай бұрын
Jaman sayansi na historia wapi na wapi
@Dadydadonmiki-dg3nl
@Dadydadonmiki-dg3nl 3 ай бұрын
Hongereni nyote,ila ombi langu kwa mwanahistoria ningeliomba siku moja utupatie historia ya Mohammed Shamte aliekua waziri mkuu wa mwanzo zanzibar kabla ya mapinduzi ya zanzibar.
@KhalidiBakar
@KhalidiBakar Ай бұрын
Sio bara ni Tanganyika na Zanzibar bara vipi mzeee usione aibu kuitaja Tanganyika 😂😂😂
@mamohamed1252
@mamohamed1252 3 ай бұрын
Mbona humuachii akaeleza unamuingilia. Umekiharibu kipindi kidogo. Umekuwa wewe ndiye unayejua. Umetukosesha nafasi kujua mengi. Huo si uandishi kama kweli wewe ni mwana habari.
@allenngandu17
@allenngandu17 3 ай бұрын
anakera kwelii hajui lakini anataka kujifanya anajua
@marcnkwame1835
@marcnkwame1835 2 ай бұрын
Mabongo Fleva hawa wasiwe wanapelekwa kuwahoji watu serious. Wawe wanaenda kwa Zuchu
@KhalidiBakar
@KhalidiBakar Ай бұрын
😂😂😂
@mamohamed1252
@mamohamed1252 3 ай бұрын
Uislamu haujamuathiri marehemu Jumbe, labda siasa ilivyomuathiri Mzee Jumbe. .
@amourmtungo623
@amourmtungo623 2 ай бұрын
Huyu mpiga picha wenu kidogo hakuwa makini kwasababu inatakiwa uone mdadisi na mdadisiwa vizuri sawa lakini ukweli ni tafauti. Asanteni kwa mchango wenu
@Kinyozzi1602
@Kinyozzi1602 2 ай бұрын
Huyu host wako wa kipindi anaharibu mahojiano
@Kinyozzi1602
@Kinyozzi1602 2 ай бұрын
Kijana anaharibu mahojiano analeta utaahira kwenye mambo ya msingi
@wechemakambo2182
@wechemakambo2182 3 ай бұрын
Mzee wetu yeye ni uislam tu
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 3 ай бұрын
Umeonaeee!? Mzee Yupo Vizuri na Historia lkn anaonekana Kama ame base sana kwenye UDINI so inatu put off na Ndio maana kwenye story zake Kama aanamchukia Nyerere coz Mwalimu alikuwa akipinga sana UDINI
@Sheba4651
@Sheba4651 2 ай бұрын
​@@axmedcumar6196Nyerere anapinga udini wakati unasikia hapo ni mkatoliki mkereketwa. Hasara yake huko alipo, hamkuti Yesu wala Paulo mroma, kamaliza uhai wake akitukuzwa duniani, alipo yupo hasarani.
@Sheba4651
@Sheba4651 2 ай бұрын
​@@axmedcumar6196Andiko linasema...Wote waliolala katika kristo wamepotea, na kama kumtegea kristo katika maisha haya u'masikini kuliko watu wote😢😢😢
@OmariShuli
@OmariShuli 2 ай бұрын
​@@axmedcumar6196 Akipinga kweli kweli udini majukwaani. lakini athari ya udini wake ilijitokeza kadiri siku zilivyokuwa zikisonga, moja wapo ni tofauti ya elimu ambapo yupo padre mmoja alihojiwa imma na bbc au sauti ya ujerumani kuhusu waislaam kuwa nyuma ki elimu, akajibu kwa urahisi tu kuwa baada ya uhuru waislaam walijishughulisha sana na kusoma madrasa kuliko shule!!!! alisahau kwamba jukumu la kusomesha lilikuwa mikononi mwa serekali na ilkuwa kusoma shule ni lazima na usipokwenda shule utashitakiwa pamoja na wazazi wako, na pia alisahau kwamba kulikuwa na msemo wa kuwapongeza walomaliza mitihani na hawakupata nafasi za kuendelea:-"....NYOTE MMEFAULU LAKINI HAMKUPATA BAHATI YA KUCHAGULIWA KUENDELEA..." kwa maana ili uendelee sekondari wakati wa mwalimu nyerere ilitegemea bahati ya kuchaguliwa. Sasa tafuta uwajuwe hao waliokuwa wa jukumu hilo la kuwachaguwa wa kuendelea..." Ni juzi tu Mama samia alimuweka muislaam wa kwanza tangu baraza hilo kuanzishwa na pia hadi sasa kuna watu bado wana kinyongo. Acheni historia isemwe.
@MrKhatibu
@MrKhatibu 3 ай бұрын
Shukran watarishaji na muendesha mazungumzo
@abdulrahmanawadhi7184
@abdulrahmanawadhi7184 26 күн бұрын
huyo unaezungumzanae ataki ukweli usemwe..
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb 3 ай бұрын
Jamaa anamkatisha sheikh Mohamed said
@adamlyanda9450
@adamlyanda9450 3 ай бұрын
MashaAllah
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 3 ай бұрын
Mzee Yupo Vizuri na Historia Ikn anaonekana Kama ame base sana kwenye UDINI so inatu put off na Ndio mana kwenye story zake Kama aanamchukia Nyerere coz Mwalimu alikuwa akipinga sana UDINI
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 2 ай бұрын
kama Nyerere aliona hofu ya uislam mbona mrithi wake alikuwa muislam mzuri sana Mzee Mwinyi?tufundishe hili,nadhani dini na mapungufu ya pande zote mbili kwa mtu binafsi,
@OmariShuli
@OmariShuli 2 ай бұрын
Uliisikia na kuifahamu kauli ya Alhasan Mwinyi akiwa madarakani na Mwalimu nyerere akimkosoa ktk baadhi ya mambo? Alisema hivi:-"...MTOTO AKIBEBWA UANGALIA KISOGO CHA MAMAE..."
@AmanMediaTz
@AmanMediaTz 2 ай бұрын
​@@OmariShuliAcha ujingaa wa Akili na Udini......ukiamuwa kuutafuta udini hata ukabila na ukanda utapata tuh na utauonah, nyerere hakuwa mdini ila alikuaa na sera ya watu wote wawe sawaa, nyerere alikosoa wote hata mkapa alimkosoa
@abusufianijuma1224
@abusufianijuma1224 22 күн бұрын
Wewe mwandishi wa habari wacha kuharibu iyo interview mpe uhuru wa kuongea iyo mzee
@nassirali7499
@nassirali7499 2 ай бұрын
Huyu muandishi mzinguaji, kama ana misimamo yako si angekaa akatoa lecture yy?
@muhammadalibhaz1390
@muhammadalibhaz1390 3 ай бұрын
kuna baadhi ya waislamu katika ujana wao walikuwa wakitenda dhambi kama vile ulevi na kuwaonea watu lakini wanapozeka huanza kuvaa kanzu na bargashia na kujifanya wasalihina na kujiita al haj
@Sheba4651
@Sheba4651 2 ай бұрын
Nayo ndio toba hiyo, na si kuishi maasi ukafa muasi, alijibadilisha toka kule kuja kwenye toba.
@kimalinganomhelela8377
@kimalinganomhelela8377 2 ай бұрын
Masimulizi ya Mohamed Said yametawaliwa na udaku zaidi.Mengi hayatokani na utafiti wa kisayanzi.Hilo jambo siyo sawa.
@froma3732
@froma3732 2 ай бұрын
Watu hupinga kauli kwa kauli wewe tupe yalikuwa Sawa ndio tutakuelewa
@Kinyozzi1602
@Kinyozzi1602 2 ай бұрын
Hana udini sema hauwezi kutaja history ya kweli ya tanzania Bila waislamu na hicho ndo kinafanya serikali ipotoshe history ya kweli
@AmanMediaTz
@AmanMediaTz 2 ай бұрын
​@@Kinyozzi1602 😊😊😊 Acha vituko , wapi hawajatwa acheni Udini hiii NI Tanzania na sio Macca
@1961nungwi
@1961nungwi 2 ай бұрын
Waislam kuwa nyuma ni matokeo ya utamaduni tofauti wa magharibi na mashariki. Wa magharibi, ambao ni Wa Kristo walipofika kwetu Afrika walijenga Makanisa, pembeni shule na dispensary. Wa Mashariki, ambao ni Waislam hususan Waarabu, wao walijenga misikiti n madrassa, lakini si shule za elimu dunia wala dispensary. Kwa hiyo wakristo wakakua huku wakisoma. Waislam wakakua bila kusoma. Ndio maana waislam wengi niaka ya 50, 60 na 70 walisoma shule za Wakristo kwasababu ndipo elimu ilipokuwa inapatikana. Matokeo ya histotia hiyo ndio hayo: kwa Ujumla Wakristo wamesoma zaidi na wame endelea zaidi. Ni ajali ya kihistoria.
@ShawwalKingungo
@ShawwalKingungo Ай бұрын
SOMA VIZULI HISTOLIA KWASABABU HISTOLIA IMEPOTOSHWA WAISLAM KTK NCHI HII BAADA YA UHURU NDIO TULIKUA WATU WAKWANZA KUJENGA CHUO KUKUU ENEO LETU LIPO TAIFA HEKA 23 LKN KWA UKILITIMBA CHUO HAKIJAJENGWA NA ENEOLIMEUZWA ZIMEBAKIA HIKA 3 ?
@1961nungwi
@1961nungwi Ай бұрын
@ShawwalKingungo ni kweli tukitaka kujenga Chuo. Lakini kabla ya Uhuru Waarabu walipokuja na uisilamu walijenga shule? Walijenga dispensary? Wenzetu Wakristo huko Kilimanjaro na Kagera, huko Peramiho n.k walijengewa shule na dispensary
@furahachuma9039
@furahachuma9039 5 күн бұрын
​@@1961nungwi Kweli kabisa, waarabu walikuwa bize kuwasilimisha tu na sio kuwajengea uwezo katika elimu dunia.
@Ridh70
@Ridh70 3 ай бұрын
Mwendesha kipindi very disruptive
@antarsangali4456
@antarsangali4456 3 ай бұрын
Amekera sana.
@1961nungwi
@1961nungwi 2 ай бұрын
Hajasomea uandishi wa habari. Hajui principle mojawapo ya uandishi: kwamba usi prompt response, yaani usimuelekeze unaye mfanyia interview kwamba ajibu kwa muelekeo upi.
@josephmnzavas9747
@josephmnzavas9747 Ай бұрын
mtangazaji unafanya makosa sana,jifunze kuwa professional unaharibu maana ya kipindi unauliza kijinga sanaanko mohd sio level yako
BHF MOVIES is live!
1:01:30
BHF MOVIES
Рет қаралды 80
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Maisha ya Lawi Nangwanda Sijaona (1928 - 2005)
47:34
Mohamed Said
Рет қаралды 10 М.
TUFUNUWE KITABU (SILSILA 2): Mafunzo kutoka The Partner-ship cha Mzee Jumbe
59:14
2
32:47
Mohamed Said
Рет қаралды 4,4 М.
Madaraka Nyerere Hajasema KWELI - Mohammed Said
35:41
Kalamutz
Рет қаралды 30 М.