baba mama na watoto wote familia moya, mimi mkatoliki nyimbo hii imenikuza na leo naisearch youtube 2024, Mungu ni mwema
@catherinenaliaka11256 жыл бұрын
Mungu awazidishie mengi zaidi maishani mwenu hakika huu wimbo una mvuto na maneno matamu ya kufunza ndoa zetu mubarikiwe sana
@patrickmukambilwa5845 жыл бұрын
Asante sana kwamafundisho ayo yenye kujenga katika maisha yetu yote tunakuomba Ee mwenyezi Mungu utujalie nasi nguvu zaroho mtakatifu ili tupate kuishi kamavile familia takatifu ya yesu maria na yosefu kuomba nikwetu nakutenda kazi nikwako tunaomba ayo kwajinalababa na lamwana na laroho mtakatifu amina
@MariamGugiko Жыл бұрын
Wimbo mzuru sana,na unafundisha vzr🙏🙏🙏
@benjaminwilliam185816 күн бұрын
Nyimbo nzuri na ujumbe thabiti ndani yake hongera na safi sana
@GibusoniyusufubwitengeGibusoni6 ай бұрын
Hongeren kwa mafundisho mema
@abiudndawi24605 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana hii. Inafundisha na kuburudisha pia. Mbarikiwee sana
@nhandimary46657 жыл бұрын
I like this song alot, it won't pass week without watching and listening it. my prayer to all family be like the family of Mary,Jesus and Joseph
@frankernest7589 жыл бұрын
Ee Mungu bariki hii kwaya ya mt. Don Bosco kwa uwigizaji wao wenye busara kwa familia zetu.
@patrickmkambilwa99324 жыл бұрын
Asante sana kwa nyimbo iyi majukumu katika familia nyimbo iyi ni nzuri pia yenye mafunzo bora katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
@DrEvarist Жыл бұрын
🙏 Milele 🙏 amina 💒 tumsifu 🙏 Yesu 🙏 christo 💒❤🙏🙏 seen 🙏 2023 💒
@estamasudi31647 жыл бұрын
mungu awabariki na azidi kuwapa vipaji vya kumsifu na K hi mtukuza
@emmanuellibaku52005 жыл бұрын
... Watoto wawe ubao kufundishia wengine... Hongera sana kwenu waimbaji kwa wimbo huu mzuri sana unao burudisha na kufunza jamaa. samahani, natamani kupata mwelekeo nipate nota za mziki huu
@realscholarships-bolde.2344 Жыл бұрын
Mirerani can't forget was home💯🤗
@patrickmukambilwa5845 жыл бұрын
Mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume ilimpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
@cliffordmutuma37668 ай бұрын
Hii ngoma ikianza u sound kama hile ngoma ya .. Zaeni matunda memaa...
@mfinangaab216421 күн бұрын
Huwa naimbaga zaeni matunda mema Hadi wimbo uanze 😂😂
@juliusrobert7554 Жыл бұрын
Mungu awabarik wimbo mzur unafundisha san
@Onesmus83014 жыл бұрын
Christ never fails anyone who depends on him, beautiful melodies.... Mungu awajalie baraka katika maisha yenu kwa ujumbe huo mzuri
@rozaabebwa67299 жыл бұрын
mungu awabari kwa kutowa nyimbo nzuri. ili mwendelee na kazi yake.
@tobiasochieng30108 ай бұрын
feeling blessed with this song.
@angeljosephat79876 жыл бұрын
Inapenzeza xna mungu amina
@rosekweka70787 жыл бұрын
mbarikiwe sana kwa mafundisho yenu
@robertngeni39706 жыл бұрын
nabarikiwa sana nice song
@evansrono98772 жыл бұрын
Can i get the song - kama mwanambuzi anavyotafuta faraja kwa mama ndivyo moyo wangu .....
@PaulOmarimanyara10 жыл бұрын
Baba bariki Familia zetu
@saraphinadonald78727 жыл бұрын
asante Sana naupenda sana u wimbo unanibariki
@BusingyeMerida-qb1do5 ай бұрын
So teaching hongereni
@puritymutegi3886 ай бұрын
My favorite song ❤️
@emmanuelngereja25174 жыл бұрын
Kazi nzuri watu wa Mungu
@brigitmokua98193 жыл бұрын
2021 but still blessed 😊😊🙏🏿
@benardonsare57013 жыл бұрын
A good song for a family
@sebastianjohn6269 жыл бұрын
Mungu akuzidishie huduma ya utume daima
@emmynizorkapomola58385 жыл бұрын
Jmn huu wimbo naupenda sana
@AnicethMugisha-oz2ik Жыл бұрын
Tunashukuru kwa mafunzo yenu., Bwana awe nanyi ....