Mfumko wa bei upo kiwango Cha juu, gharaza za maisha zimepanda juu zaidi, wafanyabiashara wanapandisha bei watakavyo hakuna wakuwakataza, no voice of the voiceless, media mnapromote ujinga Ili biashara zenu ziende. Mnawanafikia wasakilizaji wenu na Mh. Rais..... Mwambie ukweli watu aliowateua wanamuangusha na yeye ndiye ananyoshewa mikono Kwa sababu ndiye mteuzi. It's not about vita ya Russia vs Ukraine au kupanda Kwa mafuta no, ni matokeo ya utendaji mbovu.