Makala yangu ya uzalishaji mkaa mbadala

  Рет қаралды 1,132

kushoka Leonard

kushoka Leonard

4 жыл бұрын

Пікірлер: 2
@rmadete
@rmadete 2 жыл бұрын
Bwana Leonard Kushoka: Binafsi nakupongeza sana wewe binafsi na kampuni yako ya Kuja na Kushoka kwa ubunifu wa mashine za kutengenezea mkaa mbadala. Yaani mkaa ambao unatengenezwa kwa takataka za shambani na viwanda vya mbao, ambao unawaka vizuri sana (niliununua na kuutumia kwa kuchomea nyama hapo kwangu, hauzimi!), bei nafuu, na muhimu zaidi unasaidia kulinda mazingira kwa kuepusha kufyekwa kwa miti. Lakini zaidi ya hapo umebuni majiko banifu (improved cook stoves) kwa majumbani na kwenye taasisi. Hali kadhalika mnatengeneza mashine nyingine nyingi za ujasiriamali. Hongera sana👏🏾🙏🏾 Njia ni ndefu na changamoto hazikosi, lakini bidii ba ustahimilivu wenu utalipa tu, hasa kwa vile sasa wanasiasa wameanza kuwaunga mkono!
@alfreddogbachie6791
@alfreddogbachie6791 2 жыл бұрын
I don't understand your language. Pls
Jinsi taka zinavyogeuzwa  kuwa mkaa mbadala
11:29
Jiko Point
Рет қаралды 3,8 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 184 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 82 МЛН
Mkaa unaotokana na taka
2:59
DW Kiswahili
Рет қаралды 3,7 М.
Serikali yafurahishwa na utengenezaji wa mashine za mkaa mbadala
11:25
Mtanzania alieshinda m300
9:05
kushoka Leonard
Рет қаралды 219
Star wetu wa mkaa mbadala Tanzania
14:31
kushoka Leonard
Рет қаралды 359
Mkaa mbadala Ajira mpya kwa vijana
4:55
kushoka Leonard
Рет қаралды 841
Malighafi ya mkaa mbadala au charcoal briquette
19:44
kushoka Leonard
Рет қаралды 2,3 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН