MAKONDA AJICHANGANYA na MACHALII wa CHUGA, WAFUNGA MTAA SHANGWE La MEI MOSI

  Рет қаралды 27,697

HABARIMPYA TV

HABARIMPYA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 39
@SaumuJuma-mu1my
@SaumuJuma-mu1my 4 ай бұрын
Safi sana kiongozi vijana wanajivunia kumpata mwenzao
@millanolotu2839
@millanolotu2839 4 ай бұрын
Mkuu Makonda Uko sahihi Hata Yesu alienda kilabuni akakaa na walevi ili kuwab 3:17 adili kifikra❤.
@menelus911mene5
@menelus911mene5 4 ай бұрын
Rais wangu Dr mhe Samia Suluh Hasani oyeeee mama wanchi yetu hoyee nakupenda sana mi 5 tena makonda hoyeeee piga kazi ❤
@bahatiangle4424
@bahatiangle4424 4 ай бұрын
L
@bahatiangle4424
@bahatiangle4424 4 ай бұрын
L L
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
O
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 4 ай бұрын
Tuhuma za gwajima nizauzushi mwamba yuko poa sana bigup makonda
@user-ym5ko9ov2o
@user-ym5ko9ov2o 4 ай бұрын
Ile ilikuwa ugomvi wa kindugu, wasukuma kwa wasukuma,... Ila wasukuma wananyota. Ya uongozi sana
@menelus911mene5
@menelus911mene5 4 ай бұрын
Piga kazi mh Makonda mungu akusimamie Amiina
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 4 ай бұрын
Vizuri Sana MUNGU ni mwema kila la kheri Mh P M barikiwa Sana nyote shalom
@55goodmen
@55goodmen 4 ай бұрын
Well done brother Makonda MH Makonda well done you are a natural leader!!! I can see the spirit of JPM JKNyerere i believe one day in the near future YOU CAN BE A TZ PRESIDENT!!!! WELL DONE MAKONDA WE LOVE YOU
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 4 ай бұрын
Makonda hongera chapa kazi. Tunaomba lijengwe eneo maalumu la mashindano ya pikipiki. Na uwanja ujengwe si unajua sisi wachaga mwezi wa kumi na mbili wote tunarudi israel. Tukifurika huko tuje kufungua mwaka kwenye uwanja.. Mheshimiwa uwanja ujengwe mkubwa siyo wakitoto. Ujue na wasukuma watauza ngombe kuja kushangaa bado watalii tutajazana kwenye huo uwanja. Naomba mheshimiwa ujengwe haraka. Kuwe na nyama zakuchoma mashindano yakuchoma nyama na mishkaki. Dah kama nauona huo uwanja 😂 Makonda juuuu
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 4 ай бұрын
Hata mimi namkubali sana Mh. Makonda. Moto wake ni mkali mno. Lakini huku mtaani anakubalika sana na makundi karibu yote. Hata leo hii tungewashindanisha Makonda na Kiongozi yeyote yule wa ngazi za juu ukimwondoa Majaliwa, Makonda atamwacha mbali sana mshindani wake.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 4 ай бұрын
Mimi natamani makonda awe waziri mkuu.
@millanolotu2839
@millanolotu2839 4 ай бұрын
Pia hata wasanii wakubwa wa Marekani kama akina snoop dog alikua chokoraa tu....sasa ni bilionea
@user-on9tz1ow3j
@user-on9tz1ow3j 4 ай бұрын
Siku ukigombea urais wew ndo ntapga kura tena Bada yakumpgiha kura maguful wew ndo unafwata
@geey7893
@geey7893 4 ай бұрын
Hata Mimi
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 4 ай бұрын
Big up commander Makonda
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 4 ай бұрын
Safi sana makonda
@meryamabdullah2081
@meryamabdullah2081 4 ай бұрын
Mi naogopa jamani wanavo endesha hizo piki piki
@justinealistides5146
@justinealistides5146 4 ай бұрын
Hawa jamaa wanaweza kuwa kivutio cha utalii.
@justinealistides5146
@justinealistides5146 4 ай бұрын
Kikubwa hawa jamaa wavae vifaa kinga
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 4 ай бұрын
Makonda hoyeeee
@wilfredbyabato4732
@wilfredbyabato4732 4 ай бұрын
huyu bwana anajua san akazii kiufupi ni ana akilii mingi
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 4 ай бұрын
🙏🏽
@maggiechristopher8817
@maggiechristopher8817 4 ай бұрын
Kevoooo mahiri sana
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 4 ай бұрын
Wanaandaliwa kisaikoroji,wasubiri fagio la chuma waheshimu sheria wasibweteke..
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 4 ай бұрын
ARUSHA HOYEEE😂
@user-kq9lb7bd8l
@user-kq9lb7bd8l 4 ай бұрын
nawomba pesa. kidogo ya mtaji
@ManjaMako
@ManjaMako 4 ай бұрын
Mkuu karibu loliondo ujionee watu walivyo na shida na mateso kuna uwezekano mkubwa ukawa mkombozi wa ngoro2 na mali zao
@FauziAllyRamadhani
@FauziAllyRamadhani 4 ай бұрын
Ww rais wa baaadae
@user-jk6we5qu2x
@user-jk6we5qu2x 4 ай бұрын
Chuga Ni ngome ya upinzani babla hamna machawa sio kila kitu mama mama nasherekea may mosi kwa kipi wakat cna kaz
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@user-ou7jp8ug7z
@user-ou7jp8ug7z 4 ай бұрын
Twendeni tukaki washe mei mosi
@athumanimawela3021
@athumanimawela3021 4 ай бұрын
Makonda raisi wa badae
@ntegrity277
@ntegrity277 4 ай бұрын
Makonda hawezi kuwa rais hata Kwa dawa
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
👍
@user-ym5ko9ov2o
@user-ym5ko9ov2o 4 ай бұрын
Hawezi kukosa uraisi kwa kura yako moja
@blackkingsolutions3543
@blackkingsolutions3543 4 ай бұрын
Arusha tumepata mkuu wa mkoa makini
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 26 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 27 МЛН
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1,1 МЛН
MZEE AMWAGA MACHOZI KUDHULUMIWA NYUMBA KARIAKOO
14:16
Wasafi Media
Рет қаралды 7 М.
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 26 МЛН