Tatizo mnaongea sana bila vitendo na ndio maana hoa mayahudi wa ki Tanganyika wanawafanya wanavotaka..blablaa nyiingi huku mnapotwezwa mmoja mmoja endeleen kuwa mabwege tu ..😂😂
@muhammedbakari28675 күн бұрын
Kesi ya nyan unaenda kuwapelekea kima...eti waengereza,,hao si ndio hao wanao fanya muish kama watumwa kwenye nchi yenu..🤔🤔🤔
@GizibetLameck5 күн бұрын
HAKIKA MUNGU ATAKUWA UPANDE WETU HATATUACHA YATIMA KAMWE, EE MUNGU TUSAIDIE JANGA HILI.